ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MBILINI Sehemu ya Kwanza (1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ค. 2022
  • Mbilini ni filamu ambayo kwanza imezingatia Utamaduni halisi katika masuala ya Kijamii,kutana na binti kidole ambae aliolewa kwa sababu tu amebarehe ila anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutaka kutoka kwenye Ndoa hiyo..!

ความคิดเห็น • 233

  • @joanesotieno6936
    @joanesotieno6936 2 ปีที่แล้ว +43

    Right on time, nawakilisha Kenya kama jirani mwema. Napenda sana kazi zenu

  • @fatumalugazo9513
    @fatumalugazo9513 2 ปีที่แล้ว +42

    As'sallam Allekum vp hali wanafamilia .nawapenda sana kwa ajili ya ALLAH 🥰🥰🥰🥰🥰

    • @mapinduzimpunga8434
      @mapinduzimpunga8434 2 ปีที่แล้ว +3

      Akupende pia yule ulietupenda kwa ajili yake

    • @Sara-pi1vn
      @Sara-pi1vn ปีที่แล้ว +1

      Asante sana madeb

    • @yahyakimathi1907
      @yahyakimathi1907 ปีที่แล้ว +1

      Waalkm salam akupende pia kama ulvo tupenda kwa ajili yake.

  • @jumaabdala1976
    @jumaabdala1976 2 ปีที่แล้ว +2

    Mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kipiza mambang

  • @leylevis3317
    @leylevis3317 2 ปีที่แล้ว +5

    Jmn hii nyimbo inayoimba humu ni nzuri

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 ปีที่แล้ว +8

    ahsante madebe hujawahi.kuniangusha Allah.akufanyie wepesi

  • @salmamwanyero3226
    @salmamwanyero3226 2 ปีที่แล้ว +8

    Jaman madebe hana kazi mbovu na vinyimbo vyake vizuri

  • @totmohammedtotmohammed2982
    @totmohammedtotmohammed2982 2 ปีที่แล้ว +5

    Jmn nikuliwa nahisubili kwa hamuu hiii asante kakaangu madebe ridai kwa kz mzur 💞

  • @suleimansuleiman5204
    @suleimansuleiman5204 2 ปีที่แล้ว +4

    Asanteeee Kwa ujumbe wenye kugonga nyoyo. Part two lazma iwahi kuwekwa mapema tuzidi kufurahia kilichokua bora

  • @alicharo2384
    @alicharo2384 2 ปีที่แล้ว +9

    kazi njema ila huu mda,kiduchu mno banaaa

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 2 ปีที่แล้ว +6

    Madebe lidai nakubali kazi zako upo vizuri sana 👏👏👏👏💯💯🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว +10

    🔥🔥🔥🔥shuqran madebe kwa kazi nzuri .

  • @donmahela2412
    @donmahela2412 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Anty Asha Mzese

  • @bramwellungaho4942
    @bramwellungaho4942 2 ปีที่แล้ว +10

    Nilikuwa nimeisubiria sana....representing Kenya

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 2 ปีที่แล้ว +5

    MBILINI ina meng san twashukulu madebe kwa kazi nzuri 🔥🔥

  • @stellankoswe966
    @stellankoswe966 2 ปีที่แล้ว +10

    Napendaga nyimbo jamniiii 🥰🥰🥰❤❤

  • @christinapaul3344
    @christinapaul3344 ปีที่แล้ว

    Mkwaju sehemu ya tatu iko wap jaman nzuri sana

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 ปีที่แล้ว +13

    InshaaAllah mungu atupe umri n tufikishe hy siku salama twajuwa huna ngoma mbaya

  • @thomasnyarugembe1533
    @thomasnyarugembe1533 2 ปีที่แล้ว +1

    👍🏿👍🏾👍👍🏼👍🏻👍🏽💪🏼💪🏼 hapa sas naitaji mwendelezo

  • @pascalgasper403
    @pascalgasper403 2 ปีที่แล้ว +7

    Mambo Ni Moto Mambo Ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamisishabalala_sneper6991
    @hamisishabalala_sneper6991 2 ปีที่แล้ว +2

    LETE NYENGINE PIA IONGEZE MUDA

  • @justinkavuti6256
    @justinkavuti6256 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazichema napenda sana mov zenu ndaniyake Ku n'a mashauri .🇨🇩🇨🇩

  • @mbarakaismail9301
    @mbarakaismail9301 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu.!!! good brother

  • @onedaymandando5225
    @onedaymandando5225 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏 liengo lyambone amadebe lidai jipingawa filam janmbone 💪💪🙏🙏

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 2 ปีที่แล้ว +17

    Tunakushukuru sana kutuletea huku kaka Madebe... watching from South Korea.. nakupata vizuri

    • @michaelnganyi78
      @michaelnganyi78 2 ปีที่แล้ว

      Where in south Korea, which city ?

  • @ericklekyx9325
    @ericklekyx9325 ปีที่แล้ว +1

    Nawapata vizuri kutoka Kenya

  • @kadzojoseph6714
    @kadzojoseph6714 9 หลายเดือนก่อน +1

    Am in love with you movies madebe❤🎉

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +6

    Wewe sio msani wa katiako,Sisi tulioko yakutia na twakuangalia na tunapenda kazi zako nzuri

  • @selemanimsofe7321
    @selemanimsofe7321 2 ปีที่แล้ว +3

    Fundi wa mafundi lidai juu

  • @ramazaniamisinanjira9992
    @ramazaniamisinanjira9992 2 ปีที่แล้ว +10

    Tunakubali saana kazi zenu! Tunasubiri kwa kina saana....

  • @chitwangaseif8162
    @chitwangaseif8162 2 ปีที่แล้ว +1

    Notifications on

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +4

    Aweeeeeeeee🔥🔥🔥🔥

  • @marcelinkamuntu
    @marcelinkamuntu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee movie zako nakubali

  • @silasila3111
    @silasila3111 2 ปีที่แล้ว +1

    Tokoss 🇨🇩🇨🇩

  • @salimnurudini4895
    @salimnurudini4895 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaza nzuli San ss muendelezo tunaupataje

  • @Manjalino
    @Manjalino 2 ปีที่แล้ว +7

    best actor in easg africa madebe lidai

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 2 ปีที่แล้ว +1

    Apo sawaa

  • @danielkihorojournalist6274
    @danielkihorojournalist6274 2 ปีที่แล้ว +6

    Good job madebe am from kenya

  • @ezekielchamoto5253
    @ezekielchamoto5253 2 ปีที่แล้ว +8

    Hizi nyimbo za movies zako madebe.basi tuu!

  • @suleimankatana3909
    @suleimankatana3909 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana madebe muendelezo

  • @sophiapaulo7629
    @sophiapaulo7629 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimengoja kwa muda

  • @philemonmkumbo2095
    @philemonmkumbo2095 ปีที่แล้ว

    Jamaaa kiukweli yupo vizuri

  • @jumaabubakari5039
    @jumaabubakari5039 2 ปีที่แล้ว +1

    Najuwa huwa ukosey 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ottomanmorand6117
    @ottomanmorand6117 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ndo msanii unaenifanya nijisikie fresh 🙏💞

  • @jeremiegogy3322
    @jeremiegogy3322 2 ปีที่แล้ว

    Lini mwendelezo mwanenetu,kz nzuri saana

  • @aminarashidi592
    @aminarashidi592 2 ปีที่แล้ว +2

    Najua broo uwezi kutuangusha tunaisubiri kwa hamu sna.

  • @mudrickzeenah5175
    @mudrickzeenah5175 2 ปีที่แล้ว +8

    Nzuri MBILINI,,😍

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 2 ปีที่แล้ว +2

    Utamu wa asali ulambe, kazi nzuri

  • @rajanestofficial4237
    @rajanestofficial4237 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaz nzuri sana madebe lidai mungu akujaalie

  • @samoredelavida3782
    @samoredelavida3782 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani nimeipenda sana nyimbo

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka madebe napenda kazi zako VIP naitaji naface

  • @tundunguotv9692
    @tundunguotv9692 2 ปีที่แล้ว +3

    Daar nilimiss Sana kazi kazi nzuli

  • @kakuyasanare9834
    @kakuyasanare9834 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tunao angalia mbikini 2023 tujuane please kwa like

  • @mcsidoo95
    @mcsidoo95 2 ปีที่แล้ว +14

    🔥🔥🔥 kazi nzuri yenye mafunzo ndani yake...

  • @gilldoyvideoshows7299
    @gilldoyvideoshows7299 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi safi madebe ,,, shukran kwa mafunzo yako unaelimisha jamii sana ....#kenya

  • @mgeni7801
    @mgeni7801 ปีที่แล้ว

    Wee twakupenda Sana madebe

  • @salimabdallah704
    @salimabdallah704 2 ปีที่แล้ว +7

    VP kiongozi MADEBE filam zako nazikubali sana mana unaelimisha jamiiiii. Ila kaka mbona safari hii imekuwa fupi mno na itakuwa inaendelea Siku gani niwako funds wako

  • @makuricharles289
    @makuricharles289 2 ปีที่แล้ว +2

    Anaetunga hizo nyimbo asee daa....pongezi zangu zimfikie huko aliko.

  • @basimisecadet6569
    @basimisecadet6569 2 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up. from Congo 🇨🇩 🇨🇩

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 ปีที่แล้ว

    Kaz mzr🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 ปีที่แล้ว +2

    Madebe hunaga kz mbovu haya ngoja niichek😍

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 2 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up 💪

  • @subirabizabishaka4359
    @subirabizabishaka4359 ปีที่แล้ว

    Maishaallah madebe kutuletey muvi nzurisaan

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 ปีที่แล้ว +3

    HAUNAGA KAZI MBOVU 👏👏👏

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri yenye mafunzo kbs

  • @josephshidukiseni8758
    @josephshidukiseni8758 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro unaupigaa mwingiii aseeeeeee 💕💕

  • @hekimasadock184
    @hekimasadock184 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana👏👏

  • @sharonokhala4522
    @sharonokhala4522 ปีที่แล้ว

    Hio wimbo yenye inaimba apo ni nzuri sanaaa

  • @manonipulasayida479
    @manonipulasayida479 2 ปีที่แล้ว +7

    Yeah hakuna umaskini wa milele,nakumbuka jamaa Rasta kwenye shupa na shupaza

  • @mwinyihajjsalim4405
    @mwinyihajjsalim4405 2 ปีที่แล้ว +3

    Big up sana madebe lidai kwa kazi nzuri yenye mafunzo unastahili tuzo

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 2 ปีที่แล้ว +2

    Vzr sana madebe🔥🔥🔥

  • @omickeyjimmy5112
    @omickeyjimmy5112 ปีที่แล้ว

    daah respect saana madebe movie zako zote hujaway niangusha zinaelimisha jamiih allah akupe umri mrefu ili utimize malengo yako

  • @wurldcodd6962
    @wurldcodd6962 2 ปีที่แล้ว +2

    nomaaaaaa

    • @madinationafrica5457
      @madinationafrica5457 2 ปีที่แล้ว +2

      Nina swali Mr. madebe Lidai, Hivi Kenya utakuja lini utushirikishe ingawa kiswahili cha huko kigumu ajabu

  • @leahjoseph6
    @leahjoseph6 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumezoea kukuona una Rasta mzee baba

  • @caramamttv
    @caramamttv 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubari sana madebe natoka Burundi

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sna kabisa

  • @navashub_ke9106
    @navashub_ke9106 2 ปีที่แล้ว

    From Kenya 🇰🇪. Twende nalo

  • @halima7255
    @halima7255 2 ปีที่แล้ว

    Najuwa sija chelewa ila ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️

  • @stevenmsigwa8515
    @stevenmsigwa8515 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri Lp

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 2 ปีที่แล้ว

    Mbela upo vizuri sana kaka

  • @iddyomary1003
    @iddyomary1003 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali kazi nzuri 👊👊👊

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani hizi movie zako nikiziangalia Naridhia maana content yake ina kila kitu
    Waigizaji wanajua,sauti haziingiliani,story Nzuri
    Much appreciation to you braza

  • @kareemnanteveja3731
    @kareemnanteveja3731 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee Madebe salute bro unatishaa 💥💥

  • @dullyomary827
    @dullyomary827 2 ปีที่แล้ว

    nabii mswahili ishi maisha marefu

  • @saidramadhan4950
    @saidramadhan4950 2 ปีที่แล้ว +1

    Tupo mlete mwanao mwanao mwanaisaya usojua maisha

  • @harmicyziah3233
    @harmicyziah3233 2 ปีที่แล้ว +10

    Big ups following whatever u do joining u soon from kenya

  • @Makavelithedon2086
    @Makavelithedon2086 2 ปีที่แล้ว +1

    Filamu nzuri sana

  • @abdalanfalumenfalume7558
    @abdalanfalumenfalume7558 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana madebe na nilikuwa na amu sana kwahii filamo🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 gostei muito de historia

  • @barakanjawi5406
    @barakanjawi5406 2 ปีที่แล้ว +2

    Vip hii mbilini hakuna sehemu ya pili kweli mahana daaa

  • @joelmusebe2141
    @joelmusebe2141 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni noma sana

  • @beatricechiwa2496
    @beatricechiwa2496 2 ปีที่แล้ว +2

    Ajapita siku bila kupitia TH-cam ya madebe big up my brother

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 2 ปีที่แล้ว

    Madebe unatisha xana.i love your movie

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 2 ปีที่แล้ว +2

    Mansha'Allah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 ปีที่แล้ว

    Uyu madebe anactahiki tunzo from Kenya 🇰🇪

  • @omboymkenya2550
    @omboymkenya2550 2 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya good work

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 ปีที่แล้ว +1

    Asate sana

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri

  • @hamissemohammed9442
    @hamissemohammed9442 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal

  • @abduljumanne8783
    @abduljumanne8783 2 ปีที่แล้ว +2

    kwa uongoz sehem ya pili uludiwe mapewa

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 ปีที่แล้ว

    madebe nakukubari sanaa