#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • #LIVE: HIVI NDIVYO MAJINI WANAVYOWAINGIA WATU | WADHAKKIR
    TAREHE: 06.10.2023
    MUDA: SAA 2:30 | BAADA YA INSHAA
    SHEIKH NURDEEN KISHK (MHADHIRI WA KIMATAIFA)
    KIPINDI CHA 269
    TUTAKUA LIVE
    KUPITIA CHANNEL ZETU ZA KISHKI ONLINE TV (TH-cam, Facebook na Instagram)
    PIA USISAHAU KU_FOLLOW NA KU_SUBSCRIBE ACCOUNT ZETU ZA KISHKI ONLINE TV
    TH-cam: / @kishkionlinetv
    Facebook: / sheikhnurdinkishki
    Twitter: / sheikh_kishk
    Instagram: / sheikh_nurdeen_kishk

ความคิดเห็น • 223

  • @PetonillaNzomba
    @PetonillaNzomba 9 หลายเดือนก่อน +5

    Am a Christian lakini nimejua mengi ambayo sikuwa najua kuhusu majini, nashukuru sana. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa hekima

  • @evalinekerubo7129
    @evalinekerubo7129 10 หลายเดือนก่อน +13

    Am a Christian from Kenya haya mafunzo yameniguza sana ,mungu akubariki sheikh🙏

    • @rayaabdallah1869
      @rayaabdallah1869 10 หลายเดือนก่อน

      Allah Akubarik❤from Oman to Kenya

    • @abdikarim324
      @abdikarim324 9 หลายเดือนก่อน

      Pia Niko Kenya, Allah akuongoze dadangu

    • @themirrorKE
      @themirrorKE 8 หลายเดือนก่อน

      Hello

  • @MusondaLawrence-w7q
    @MusondaLawrence-w7q 8 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah am watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲 may Almighty Allah bless you sheikh

  • @HalimaHassan-u5f
    @HalimaHassan-u5f 5 หลายเดือนก่อน

    Subhannallah mm hpo kwenye swalah fikra nying n kupiga miayo

  • @kimwanachangani3922
    @kimwanachangani3922 ปีที่แล้ว +16

    Am from Kenya...Maa Shaa Allah taabaraka llahu

  • @rehemakhatushi9942
    @rehemakhatushi9942 7 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah Rabbil aalamiin, sheikh mafunzo yako mazuri kweli

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 ปีที่แล้ว +7

    Mansha ALLAH tuna kupenda kwa ajili ya ALLAH Mwenyezi_Mungu akuhifadhi na akuhifadhi na akuweke kwa ajili ya wengi ❤❤❤

    • @kaltumagodana4173
      @kaltumagodana4173 ปีที่แล้ว

      Naitwa kaltuma kutoka moyale,naota mwanamke ananikujia nikiogopa na kila wakati nikimsomea ayatul kursi anaanguka anazirai kwa ndoto huyu ni mjini ama?

  • @nadiahassan7993
    @nadiahassan7993 ปีที่แล้ว +4

    Madaa nzuri sana

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah sikupata live lkn Naomba kipind kiendelee pls Shukran sheikh Nurdiin Allah akupe Afya njema na Umr mref wenye kher na wewe😍😍😍😍🤲

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sheik kish wajazakumullah ll kheir wabaada ll kheir jannatu naima

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Mashaallah

  • @MwajumaMbotoni
    @MwajumaMbotoni ปีที่แล้ว +2

    Jazakallahkheili shek Mimi nonatatizo Hilo lamajini naninahangaika bado cjaaliwakupona naomba msaada wako shekh kwaajili ya Allah shukrani Allah Akupe umri mrefu wa uchamungu

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 10 หลายเดือนก่อน

      Jitahid ujisomee ruqya mwenyewe na ubadili mwenendo wa Maisha yako

  • @shamilamchimiler2514
    @shamilamchimiler2514 ปีที่แล้ว +4

    Ahsanteeeee sheikh kishk nimejifunza MENGI tu

  • @rehemamagomba5963
    @rehemamagomba5963 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shukurani sana 🤝

  • @LovenessElia-qm9gf
    @LovenessElia-qm9gf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Vizur sheikh

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 11 หลายเดือนก่อน +2

    Manhallah asante sana sheikh kishiki

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 ปีที่แล้ว +6

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Mashaallah, sheikh wetu, Allah akulipeni pepo ya firdaus, na akuhifadhi, na akuwekeye wepesi katika kazi zako na kundi lako, mimi ni yule mja wa Allah aliye kutana na wewe marekani ( minisota)
    Aliye kusomeya Quran! Jina naitwa:
    Cishahayo Ali

  • @ilhamally6633
    @ilhamally6633 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khaira shehk wetu ALLAH MTUKUFU akujalie mwisho mwema Amiyn

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 7 หลายเดือนก่อน

    Jazaka Allah khaira

  • @MoMo-el4rs
    @MoMo-el4rs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh. Kishk ALLAH azidi kukupa umri mrefu zaid na zaidi utupe elimu zaid inshaa llah! Jazaqkh khel Sheikh tufundishe. Jinsi ya kuyatoa haya majini...maan wengi wao sie. Wasichana tunakumbana na changamoto izo sheikh

  • @comedizo
    @comedizo 9 หลายเดือนก่อน +2

    Assalamu aleikum,asante nimejifunza mengi

  • @AsmaAsooma-jz3eo
    @AsmaAsooma-jz3eo 7 หลายเดือนก่อน

    Haya m kweli shekh yamenitokea.sana mpaka sasa bado

  • @yusroman1626
    @yusroman1626 ปีที่แล้ว +4

    Asalam alaykm warahma tullah wabarakatuh alihamdulilah shekhe Allah akulipeni Kila la kher akupe umuli mrefu wenye mafanikio kesho akhera

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana kwa darsa zuri

  • @samiramwindadi
    @samiramwindadi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallah khaira

  • @kanyamagaraabdallah8300
    @kanyamagaraabdallah8300 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asc , shukrani ya sheikh!

  • @hakizimanaomar8055
    @hakizimanaomar8055 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda shekh wang kishik

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 11 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah Darsa ninzuri sn JAZZAKAALLAH KHAYRA🙏🧡🌹

    • @kibambiibrahim5714
      @kibambiibrahim5714 10 หลายเดือนก่อน

      Shekh nimekuekewa Tupe namba ya whasapp

  • @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv
    @MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mwenyezi mungu akuweke uzidi kututolea mawaidha in shaallah

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ndio maana sisi wakristo tunajifunika kwa dmu ya Yesu😊

    • @smadon5638
      @smadon5638 8 หลายเดือนก่อน

      Haisaidi maana waingia chooni na kujui Dua,ipo siku watakuvaa 😂

  • @NkurunzizaAbdoulhamid-ef3ls
    @NkurunzizaAbdoulhamid-ef3ls 11 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuongezeyekilalaheli
    Jazaqallah khaillla Mada indereye navitabudutumiyeburundi

  • @GarbageAroma
    @GarbageAroma 9 หลายเดือนก่อน

    Am a Christian watching from Nairobi and you are on point

  • @salminjaku9955
    @salminjaku9955 11 หลายเดือนก่อน +2

    MaashaAllah nakupenda kwa ajili ya ALLAH ya sheikh

  • @MaryumiYussuf
    @MaryumiYussuf 11 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah mawaidha mema mungu akuhifadhi na akupenguvu za kuhudumia uislamu.

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 10 หลายเดือนก่อน

    Allahmdulilah leo nimejifunza vitu vingi sana hasa kwenye kumwang vitu hasira kupiliz na hof kuzd kias Mashahlla Allah akuzdishie nuru na Ermu juu ya waja wa mola 🤲🤲

  • @mwanaramadhan7059
    @mwanaramadhan7059 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah shukran jazakAllah ukheri sheikh

  • @cosmasjoshua1973
    @cosmasjoshua1973 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh.Sheikh Kishk hii mada tamu sana tena ifundishe kwa upana zaidi mana imani zetu zinapotea kutokana na madhila ya maradhi ya uchawi wa kijini.mtaani Matabibu wengi wa ruqya wanatupiga pesa ndefu sana na bado huponi.Fundisha na Ruqya kwa upana zaidi ili tuepuke shirki mana ukienda maostadh wengi wanakuuliza majina ya mama na kuendelea.Allah akupe kheri kubwa duniani na akhera.

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 10 หลายเดือนก่อน

      Anza kuzingatia ruqya ya kisheria Ina sifa zipi

  • @mwajumamahita6619
    @mwajumamahita6619 ปีที่แล้ว +3

    Barak Allahu feekum

  • @aminamutheu324
    @aminamutheu324 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, sheikh mimi ni m christo lakini napenda kusikiza vipidi vya kii islam, mimi nime kuwa na shida sana kimwili kwa mda karibu miaka 6 sasa nasikiaga vitu vikinitembea mwilini na maumivu mingi, na mambo yangu yanakuwa aiendi vizuri. JE unaweza kunizaidia tafanthali

  • @kingmwalimanga7084
    @kingmwalimanga7084 4 หลายเดือนก่อน

    Great teaching

  • @HalimaMousa-xu3qt
    @HalimaMousa-xu3qt 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asalama alaykum warahmatullh wabarakatu asante sana sheikh nurdeen kishk kwa mawaydha mungu akujaaliye maisha mema na akuepushe na husida pamoja na familiya yako na kutakiya Kilala heri kwenye maisha yako 🙏🙏🙏

  • @abubakarabdulrahman286
    @abubakarabdulrahman286 11 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH AKUBARIKI SAANA SHEIKH NURDIN KISHKI TUMEPATA FAWAAID ALHAMDULILLAH

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 9 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ×3 ...Sheikh Kishki Jazzakullahu kheir Ya' Sheikh Nikiwa Qatar...Ikibidi muendelezesho In sha Allah Taallah 🤲

  • @Safina-y9y
    @Safina-y9y ปีที่แล้ว +4

    Allah Akupe umri mref na mwisho mwema inshaAllah sheikh

  • @AishaMtapa
    @AishaMtapa ปีที่แล้ว +3

    Mashallah sh. Kishki. Allah akuhifadhi uzidi kutupatia il'mu zaidi.

    • @SwahiliSister-o5v
      @SwahiliSister-o5v 7 หลายเดือนก่อน

      Mashaa Allah Tabarak wataala

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maasha Allah Natamani Nami Pia Liendelee Shekh

  • @maryamhassan1154
    @maryamhassan1154 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah ❤️ elimu nzuri yenye manufaa Jazaka wallahu lkheir sheikh

  • @ladyjmoha
    @ladyjmoha 8 หลายเดือนก่อน

    Assalam Alaykum warhamatullah wa barakatuh...Sheikh mafunzo Yako yameniguza 😭😭😭 Niombe kwa Allah anifanyie uwepesi katika Dini yangu ya kislam 🙏🙏🙏 Allah akubariki humu duniani na Akhera

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar Amiiin Inshaallah.

  • @HidayaOrry
    @HidayaOrry 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi sana imetufunza mengi

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 ปีที่แล้ว +3

    Jazaka llahul kheir Sheikh kishki
    💐💐💐

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaa Allah. In shaa Allah

  • @mpawenimanafatu9036
    @mpawenimanafatu9036 ปีที่แล้ว +2

    Sheikhnurdeenkishk ndoto izo zinatufikia ssi wanawake

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 10 หลายเดือนก่อน

      Pambana kujisomea ruqya

  • @sadasaid7212
    @sadasaid7212 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa Allahu!! Shukran sana shekh wetu!! Allah akubariki na akulipe Kila la kher, Ila me Kuna ndoto ilikua ikinisib Sana!! Naota mambo ha maiti maiti Sana,eidha tunaosha au anaenda kuzikwa, au namna yoyote Ile,Sasa inanipelekea nakua na khofu Sana!! Naogopa mnoo!! Hata kushiriki masuala mbalimbali ya kustir ndugu zetu waliotangulia, he nifanyeje? Halafu pia nilikua nimekaa nalo mimi Kama Mimi suala hili, Ila nilipomwambia mume wangu kuwa napatwa na ndoto hizi, alhamdulillah haijajirudia tena!

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 11 หลายเดือนก่อน

      Ata mm nilikuwa na ota hivyo hivyo ....kila siku ...naota maiti au watu walio kufa au naosha...lkn mm nilitibiwa Sasa sipati tena hizo ndoto

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 10 หลายเดือนก่อน +3

      Ukiwa unaota ndoto mbaya usisimulie Bali Muombe Allah akuepushe na Shari ya ndoto hiyo na pia ukiota waliokufa Sana unahitajia uwafanyie Dua

    • @alisaleh7040
      @alisaleh7040 9 หลายเดือนก่อน

      Itakuwa wang wamekuon mkoshaj mzur wanakuchkua kufany kaz zao ao Allah atunusur natania

    • @MaryamAhmed-qt5ey
      @MaryamAhmed-qt5ey 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@joharifarahani2739ulifanyaje😢
      Na mm nateseka sanna

  • @NdayizeyeAdija
    @NdayizeyeAdija 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah sheikh wetu allah akuhifadhi tumeilimika naam

  • @MacumiFraha
    @MacumiFraha 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran mwalimu wetu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 ปีที่แล้ว +3

    Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️

  • @NasraMusa-z6z
    @NasraMusa-z6z 9 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah,shukran jazakAllah kheir

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah tabaraka llah 🥰 Jazaka llahu Khair Sheikh Nurdin 🌹❤️❤️

  • @Aisha990-pt6vm
    @Aisha990-pt6vm 10 หลายเดือนก่อน

    mashallah asante shekhe
    wetu akika nimejifunza vitu vingi sana mim nina jini na natamani sana Atoke jee ntakupataje uweze kunitoa mana nashindwa ata kufanya swala sabab yake

  • @jassminemubarak2828
    @jassminemubarak2828 10 หลายเดือนก่อน

    mashaaallah sheikh kishk Allha akujaliye kila hitaji unalo lihitaji Nimejifunza kitu kikubwa leo Alhamdulllihah nakupnda sanaaa kwajili ya Allha ❤❤❤❤

  • @SarahMohamed-ex6iw
    @SarahMohamed-ex6iw 10 หลายเดือนก่อน

    Daaaah... kweli hzo ndoto zilinisumbua mm kama serias kwa maisha yangu..

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mungu amuhifadhi uzidi kutuilimisha

  • @zuhurasaid1097
    @zuhurasaid1097 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aaw nakutakiya kila la heri apendayo Allah Niko na shida hizo ulotaja na Niko Kenya ukija huku nikuone tafadhal ni shida ya miaka mingi takriban miaka kumi ss naomba msaada wako nikufikiye Wabillahi Taufik gd

  • @aishadakio7237
    @aishadakio7237 ปีที่แล้ว +5

    Mm leo shekh umenifungua masikio kuhusu kumwaga uchafu Alhamdulillah Allah akulipe nilikuwa sijui

    • @NaimaSalim-hv6bd
      @NaimaSalim-hv6bd ปีที่แล้ว +1

      Nikuulize kwani kutokwa na ucha

    • @NaimaSalim-hv6bd
      @NaimaSalim-hv6bd ปีที่แล้ว

      Kwani kutokwa nauchafu sinikawIda ama nivip hebunieleze mana mmi najuwa Kuna uchafu wakawaida na Kuna wakilala namumeo

    • @aishadakio7237
      @aishadakio7237 ปีที่แล้ว

      @@NaimaSalim-hv6bd mm nimekusudia kumwaga uchafu jaani sio kutokwa mtu uchafu

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaykum nashukulu sana sheikh wetu Allah. Akulinde

  • @omarymageni
    @omarymageni 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekh wetu jazakallah khaira

  • @nurusaeed4554
    @nurusaeed4554 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarakallah allah akuhifadhi nakupenda sana kwa ajili ya allah shekhe

    • @HaleluyaKalalu
      @HaleluyaKalalu 9 หลายเดือนก่อน

      Nimejifunza kitu hapa

  • @rehemamagomba5963
    @rehemamagomba5963 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shukurani sana maana Atamimi nikiwa nasali napingamiyanyo 😢

  • @NasraJuma-o7z
    @NasraJuma-o7z 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akujaze nying rehem shekh

  • @salimqahtwan
    @salimqahtwan 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah sheikh wangu

  • @alimarsel2566
    @alimarsel2566 10 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleykum warahma thullah wabarakatu shekh nurudin mimi nina binti yangu ana jini alipandisha akasema alimpenda huyo jini asema hawezi kutoka. Binti yangu hawezi. Maudhi akisirika anapandisha vibaya mno anaumia lkn ukimwita shekh kumsomea anamtuliza tu mashekh wengi wanataka kiasi kikubwa cha pesa nashindwa kuzimudu hizo pesa binti yangu waallah anamtihani. mzito

  • @fathrish3216
    @fathrish3216 11 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallah kheri sheikh naomba unisaidie Niko na matatizo ya Siri sijui nitakufikia vipi

  • @Mulki-j1c
    @Mulki-j1c ปีที่แล้ว +2

    Masham allah❤❤❤🎉🎉

  • @kamagaissa4561
    @kamagaissa4561 9 หลายเดือนก่อน

    Shekh Mungu akulipe wema kwa hili hakika wema mkubwa uliofanya kwetu

  • @mauajumasaid9351
    @mauajumasaid9351 ปีที่แล้ว +3

    asalam aleykum jazaka Allha kheri ustadh

  • @aisharamadan4803
    @aisharamadan4803 10 หลายเดือนก่อน

    Shukurani shekshe Allah akulipe kirakheli

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 ปีที่แล้ว +3

    Kweli shekh umenena mimi toka ni mdogo wachawi nawaona na mpaka sasa akija na muona

  • @Officialconi20
    @Officialconi20 9 หลายเดือนก่อน +1

    💚🤲

  • @pilimgandi6744
    @pilimgandi6744 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Tabarak Allah I'm from Kenya

  • @farhatbates9302
    @farhatbates9302 10 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleikum,jee kama ameshakuingia,na ruqia nishaenda mda mrufe sana,ila tatizo lipo bado, nifanye nini, shukran jazzakah Allahu

  • @abubakarabdulrahman286
    @abubakarabdulrahman286 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tabaarakaallah habiib

  • @moshidongo
    @moshidongo 8 หลายเดือนก่อน

    HII MADA IENDELEE

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @rehmastyle4446
    @rehmastyle4446 11 หลายเดือนก่อน

    Allah barik jamia Sheikh

  • @jacquelinekavita7289
    @jacquelinekavita7289 11 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabaraka Allah

  • @ndayikezaaminata424
    @ndayikezaaminata424 11 หลายเดือนก่อน

    Haya mawaidha ys sheikh ni matamu sana mashallah

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije 11 หลายเดือนก่อน

    Neema na maarifa zikuongoze sheikh .!!....Kenya....watamu.

  • @bakarimwaguluwe-yh2dn
    @bakarimwaguluwe-yh2dn 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah.Vp sheikh ukiota Kwa kisima unavuta maji kwa kamba,Kuota Pete nyingi za dhahabu,Kuota uko juu ya ghorofa yenye haijaisha kujengwa uko juu unaona Kila pembe na ukiongea na Kuota ukiongea na mzazi wako wakike kwa furaha?

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 11 หลายเดือนก่อน

    Assalamu shukran

  • @MuthaynaMohammed
    @MuthaynaMohammed 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @evawilliam8177
    @evawilliam8177 9 หลายเดือนก่อน

    nimependa somo lako sheikh

  • @DennisKinoti-r5i
    @DennisKinoti-r5i 9 หลายเดือนก่อน

    Wonderful 🤲

  • @hawa6052
    @hawa6052 ปีที่แล้ว +2

    Asalam Aleykum mada iendelee

  • @beautyandfashiontipsforbot4524
    @beautyandfashiontipsforbot4524 ปีที่แล้ว +1

    Asalamu alikumu warHmatulahhi wabarakatuh shekhee kihemba mada iendeleye

  • @abubakarabdulrahman286
    @abubakarabdulrahman286 11 หลายเดือนก่อน

    Mada iyendeleee sheikh kishki

  • @josephbuteyo4438
    @josephbuteyo4438 10 หลายเดือนก่อน +1

    wonderful

  • @yvonewere4012
    @yvonewere4012 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa mafunzo yako mwenyezi Mungu asidi kubariki,, ila naomba kuuliza swali, mimi naitwa Yvonne kutoka Kenye nina shemeji yangu ambayo anaanguka kifafa lakini hakuzaliwa na huo ugonjwa, Je hiyo pia inaweza kuwa jini mahaba?? Na je anaweza kupona maana amekaa na huo ugonjwa kwa miaka kumi na mbili sasa, tafadhali naomba ushauri wako 🙏🙏🙏

  • @BakariMwayaga-q2p
    @BakariMwayaga-q2p 8 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleikum mashallah