BINTI ALIYEFUNGWA KAMBA KWENYE BASI, POLISI MORO WATOA UFAFANUZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 19 นาทีที่ผ่านมา

    Safi Sana raia wema kutoa taarifa na pongezi Kwa Polisi kufatilia hata Kujua ukweli, Good job Ayo tv.

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wanafatilia mtu ambe amefungwa Kamba na anasafiri na gari la abiria,hawafatilii watu wanaopetea na kurejeshwa wamekufa, taarifa muhimu. ...

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 51 นาทีที่ผ่านมา +1

    😢😢 huyu polisi nafanana na Millard Ayo kabisa

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Millard Hawa watangazaji umewapa kazi we mwenyewe!??

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 45 นาทีที่ผ่านมา +1

    We learn from mistakes

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Jaman wanadam wamekuwa wakatiri sana kuliko hata huyo shetani mwenyewee

    • @yousifyousif-p7f
      @yousifyousif-p7f 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kbs

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa hapo ukatili gani alioufanya mshaambiwa mtu ana matatizo ya akili na anapelekwa milembe ni hospital ya vichaa sasa mlitaka amuachie apige watu au aluke dirishani ss lipi jema.acheni lawama zisizo za msingi.angemnyanyasa porisi wasingemuacha.kichaa yeyote huwa anafungwa kamba kwa tahadhali​@@yousifyousif-p7f

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAO HUWA WANASEMA ANA MATATIZO YA AKILI AU YA KIAFYA KUMBE NI UONGO WANA JAMBO LAO ASANTE POLISI TUNAOMBA HUYO ALINDWE ASIPOTEE.

  • @YangaNews
    @YangaNews 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polisi wa tanzania 🇹🇿 asanteni sana 😭😭😭😭 yaani wanaotekwa 😩😩😩😩😩😩 ila bc