Wewe kabidhi gari usianze kuzungumza kana kwamba utoa gari lako, wewe Ndumbalo umetumwa ulete gari na huu si msada ni jukumu lenu hamtaki kukosolewa mtawezaje kuimarika mawaziri acheni hayo.
Watanzania tutaendelea kupata shida kwani wateule tunaopewa uwezo wao ni mdogo kwenye nafasi hizo,kwa hali hii,Serikali inatupeleka kubaya,tumrudie Mungu vinginevyo hatufiki mbali.
Gari halikununuliwa kwa fedha ya Dumbaro wala Samia limetokana na kodi zetu WaTanzania, sekali tuna mkataba wa miaka mitano kikatiba acheni kuendesha nchi / Taifa kama vikoba!! TLS kazi moja tu kulinda haki na uwajibikaji kisheria.! Rushwa mwiko!
Wana habari wetu! Acheni kupiga ramli. Unaporejea matamshi ya viongozi; kama chanzo cha habari yako; "ruhusu live vipande vya matamshi toka kwa mdomo wa mtamkaji". Usijipe wewe matamshi hayo. Mfano jinsi unavyotamka, matamshi yako hayana phoning wala spiritual waliyokuwa nayo Ndumbalo, Ntagazwa wala Mwambukusi!
Hivi huyu waziri anauwezo gani wa kielimu

Mwandishi pumbavu sana unazunguka wee hutaki kwenda kwenye point ilimrad tu mb zetu ziishe
Mwabukusi Wakimbize Hao Hadi Waelewe.
Mnazidi porojo mpaka mnakosa uhalisiya wa jambo lenyewe acheni upuuzi huo.
TATIZO SERIKALI INAPENDA KUPAKWA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA, KAMA NI A NI A SIO A IITWE B.
Serokali iliyopo madarakani inataka watu kama akina MWIJAKU wawe wanasifia tuuu?hana hata aibu utafikili gali amewapa wafanyakazi wake
Online tv Habari Kiganjani kama si wewe basi mwandishi wako ni wahuni!
Wana habari wetu! Acheni kupiga ramli. Unaporejea matamshi ya viongozi; kama chanzo cha habari yako; "ruhusu live vipande vya matamshi toka kwa mdomo wa mtamkaji". Usijipe wewe matamshi hayo. Mfano jinsi unavyotamka, matamshi yako hayana phoning wala spiritual waliyokuwa nayo Ndumbalo, Ntagazwa wala Mwambukusi!
Kwani waziri ana kosa gani? TLS mmepokea gari halafu mwendelee kuchongachonga, basi hiyo sio serekali. Mtaisemaje serekali?
Sasa waziri kanunua Hilo gari?, na hela za serikali ni pesa za umaa si za waziri au Samia