AMEN MUNGU anisamehe dhambi zangu na wote niliowakosea namuomba anisamehe na wale walionikosea nimewasemehe wote kutoka moyoni mwangu Eeh MUNGU nakuomba unisamehe
Tena wewe afadhali umetendwa na mama wa kambo kuna watu wameuawa na wazazi wao waliowazaa wangemka leo wangesema nini ...kuna watu wanateswa kichawi kabisa na wazazi wao siku wakipata neema wanawasamehe na wanawavuta kwa YESU inawezekana kanani yako iko kwahuyo mama ....tujifunzeni wakristo baraka zetu haziko kwa wanaotuchekea wala taa haiwezi onekana kati kati ya taa inaonekana gizani kuna watu MUNGU anaficha baraka zetu kwao ili shetani anatuchochea tuwachukie ili tusizione MUNGU atusaidie
Bwana asifiwe brother
Nimebarikiwa Na neno
Amen, hata mimi naona kuchukia tu na watu napigwa vita kila Mara lakini naamini Mungu ananipigania
Chochote changu kilichopelekwa kwa waganga watazitapikaaa in Jesus Mighty name
AMEN MUNGU anisamehe dhambi zangu na wote niliowakosea namuomba anisamehe na wale walionikosea nimewasemehe wote kutoka moyoni mwangu Eeh MUNGU nakuomba unisamehe
Encouraging testimony.people should leave awkward ways of living
Tena wewe afadhali umetendwa na mama wa kambo kuna watu wameuawa na wazazi wao waliowazaa wangemka leo wangesema nini ...kuna watu wanateswa kichawi kabisa na wazazi wao siku wakipata neema wanawasamehe na wanawavuta kwa YESU inawezekana kanani yako iko kwahuyo mama ....tujifunzeni wakristo baraka zetu haziko kwa wanaotuchekea wala taa haiwezi onekana kati kati ya taa inaonekana gizani kuna watu MUNGU anaficha baraka zetu kwao ili shetani anatuchochea tuwachukie ili tusizione MUNGU atusaidie
hallelujah glory good testimony 🙏🙏🙏 shalom
Nimesu.buliwa na mguu hila nimesamee mungu ndiooza anisamee nimesikia neno nimesamee kutoka leo
True. We thank God for all. Keep going and shining for God, s glory
Keep going ❤
Amen very powerfull testimony,,,I want to a testimony lyk that before the end of this yr...Allelujah
Yaan nakupendaga Solomon god bless you wakat mjamzito nilikua napenda saana kukuangalia huku namuomba MUNGU nizae Mtoto Wa kiume na ikawa hivoo❤️❤️🙏🙏
amen mungu ni waurengesho sana❤❤❤❤❤
Amen nimawasamehe wote nimeachilia
Amen glory be to God Amen Amen more grace and blessings
Wow you can sing well
Amen God's is a blessed redeemer
Mungu hakubariki sna nimebarikiwa na test mony
kuna yale unapitia leo ni kwa sababu ndoto yako ni kubwa, na adui anaiona .... Amen hili neno nimelipokea . Shetani hurusha mawe kwa mti ulionamatunda
Amen
Amen kwatoka kwa wamama❤
Glory to God Hallelujah and AMEEEEN
MUNGU AKUBALIKI
Amen amen amen mungu anarutisa mara thufu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen kweli walio na Kesho kubwa mateso Yao ni makubwa lakini yesu yupo.
Mungu asifiwe❤
Glory be to God nimewasamhe wore
Powerful man of God
Amen 🙏 glory to God .nimewasamehe wote
Amen ❤❤❤
Aliye..niendea..kinyume...nawaganga...mungu..atanitetea
Be blessed mtumishi wa MUNGU umenitia nguvu
Hallelujah,Wacha Mungu aitwe Mungu ni wa ajabu na yeye utenda maajabu
Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏
Amen mungu keta mwangaza Kwa maisha yangu
Nimewasamehe wote
mungu naomba ufishe nyota ya huyu mtoto
❤🎉 Hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏 unatosha kuwa nabiii
Ameni..haleluy
Kwanza mm,napitia aki,be blessed dungu yangu,
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
Amen I believe this 😢😢
Amen nimebrikiwa sna nimewasamehe wote thankyou
God bless you man of God
Nakupenda sana
Amen yes hatukamalizana shetani
Powerful message always encourage me wakati nimeinama
Ameen.ameen.ubarikiwe.sana.mtumishi.wa.mungu
Aleluja Mungu mwenye nguvu.
Ni kweli kuwasamehe ili tuinuliwe na bwana
Halleluya Halleluya Halleluya
Nimekusameee bure🙏
Don't worry God is with you
Amen mungu akuinue
Haleluya, mtumishi wa Mungu 🙏🙏😮
Amen mtu wa MUNGU
Ongela mutumishi
Amina sana in Jesus name
Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Umenibariki mchaguliwa wa Bwana
Amen to this powerful testimony
Ameen gogogo man of God
Amen and Amen 🙏 🙌 👏
Hallelujah AMEN
Pole
Mtu wa Mungu unani bariki saana mimi piya niko kama wewe mkono iliniendaka na watu wa duniya lakini nimeisha samehe
Pole
ameeeen,,
Ningubuk nami
nikweli.baba.na.ni.meya.piya.hayo
Amen powerful testimony
Mungu akubariki
Amen man of God
Hallelujah
Nipokea neema
Powerful testimony
Nipe kontagte yako
Ameen glory to God 🙏
Ubarikiwa
Mungu nisamehe
Amen glory to God
Amen and Amen
Glory be to God❤❤❤❤Amen Amen
Ameeen
Aminaaa aaamen hallelujah 🙌
Amen I believe Jesus
Amen Amen
Amen god is the away
Ameen
Amen and amen
Amen amen
Amen Amen in Jesus name
Amen Amen 🇨🇩
Amen in Jesus name amen
Kile shetani alilba kwangu atarudisha mara saba
Amen.
Amen 🙏
Amen
Huyo mdada wa suruwari anatuondorea upako mazabahuni haoni wenzie wameependeza na gauni
Uneona eee
Amen 🙏 🙏
Ameni
A big Amen