This story is like mine ,my youngest sister and her daughter they abused me to z but I never replied them any word.. My reply to them was I told them Amen 🙏 And thank you Jesus.💖📖🕊️🕊️🙏🇺🇬 I forgive them from my heart ❤️
Reminder to respect the anointing is a good call. It is easy to get familiar with the Prophet and miss the grace that come with the anointing. Oh God help me to always be humble and submissive to the altar
Solomon Mkubwa Nakuheshimu sana kwa status yako lakini kwahili kuwasifia wanawake waliovaa sululia tena wengine madhahuni na kusifia mawigi yanayowapeleka kuzimu,mali za yelizabeli unazisifia madhabahuni hapo angalia sana usipoteze taji yako
SOLOMON MKUBWA, Nikweli unamuimbia BWANA Lakini hao waimbaji wako hawatubaliki kwa sababu wako kinyume na maandiko na mmoja amekaa kama kahaba mavazi ya kujisitiri ni bora zaidi 1Petro 3:3, 1Timotheo 2:8-9
Mapambo hayo kwa wanawake ni mpango wa shetani kuwafanya kuwa watumwa wake,wambie wayaondoe waishi katika asili yao na watubu usipowambia hayo wakayaacha shetani anawasubili kuzimu.
@@godsfavouriteson3585 inaonekana kuwa wewe hata Biblia husomi soma vifungu hivi ndipo unijibu, Kumbukumbu la Torati 22:5, Petro 3:3-5, Hosea 2: 13, Timothy 2:9
God is good, still your songs blessed me Glory to heavenly Father God. Amen Amen
Back upp ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wako juuuu aki adi natamani wanitrain yawa
Bassist... Backup nyote tu.... Drums... Lead everything... All the glory to God forever sir... Nawe mtumishi Solomon
Nimebarikiwa kupitiya ujumbe huu,mungu akuongezeye nguvu solomon
Am encouraged nimeachilia na nimewasamehe from my heart
Yaani nimesikia niko kanisani na roho wangu unafurahia.mungu amubariki kila mtu.backup be blessed
Ilikuwa wakati nzuri sana ,kuwa uweponi mwa mungu🔥🔥
Wueeh that guitarist yawa be blessed more that seben 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I love the whole crew the backs are so good instrumentalist are just but woo
Waaahh!!!! Back up. Sisemi kitu. Na vyombo navyo. I rest my case.
Solomon Wewe Mimunoma Life waa waimbaji wengi wanashindwa kuimba life
Mimi Miku frère manix depuis Congo minakupenda sana solomo
Wow that's great man of God ❤❤❤❤
This story is like
mine ,my youngest sister and her daughter they abused me to z but I never replied them any word..
My reply to them was I told them Amen 🙏
And thank you Jesus.💖📖🕊️🕊️🙏🇺🇬
I forgive them from my heart ❤️
Back up jameni...this is great, glory to God
mungu wangu mwenye nguvu💪❤
utukuzwe uinuliwe
Reminder to respect the anointing is a good call. It is easy to get familiar with the Prophet and miss the grace that come with the anointing. Oh God help me to always be humble and submissive to the altar
Back up big up Glory Glory to God
Wueh!! This is the holy spirit in ministration
I honour the grace and annoiting upon u min solomon,backup is in another level
I love this.nice worship ❤️
That back up is on another level. Glory be to God.
Wow hallelujah ❤️🔥🔥🙏🥳🥳🥳🥳
The coordination is super❤❤❤
This live recording is on another level
Thank you brother Solomon amen
Wow be blessed . Am blessed.
Aki hii ni more 🔥🔥🔥🔥 imeniblooo weuh🙌🙌 papaa solooo🤝🤝
😂😂woooow!
Hawa ni Congolese men in instruments?
Waoooo Alelujaaa ❤❤❤
Amen solomon... When in mombasa last year the juice was served to you by us haha bless up 🙌🙌
The lead guitarist ❤
Incredible brother
Hallelujah 🙏 Glory to Jesus
Wow great job bro
powerful revelation
What a powerful way to sum it all
Backup walienda shule walai.💯👌
Lawyer WA maisha nimebaki nawe😭😭😭😭😭
Drum set more fire
❤ love 💕
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Powerful sir
Guys....ELVIS should be here😢😢😢
May he continue resting in peace
The music is just awesome, Baba utukuzwee, baba uinuliwe, very interesting arrangement, the instruments are so powerful
Amen amen amen
Namba.yenu.iko.wapi.nitawasaport.kitu.kidogo
Amen
Sina.kitu.leo.nikipata.nitatuma..msijali.tuko..pamoja
❤
Solomon Mkubwa
Nakuheshimu sana kwa status yako lakini kwahili kuwasifia wanawake waliovaa sululia tena wengine madhahuni na kusifia mawigi yanayowapeleka kuzimu,mali za yelizabeli unazisifia madhabahuni hapo angalia sana usipoteze taji yako
SOLOMON MKUBWA, Nikweli unamuimbia BWANA Lakini hao waimbaji wako hawatubaliki kwa sababu wako kinyume na maandiko na mmoja amekaa kama kahaba mavazi ya kujisitiri ni bora zaidi 1Petro 3:3, 1Timotheo 2:8-9
Ndugu usihukumu wenzako ili usije ukahukumiwa .Ukweli ni kwamba,katika maisha haya,tunaishi Kwa neema tu.
@@patrickwameyo3882 tunaishi kwa neema sawa lakini mandiko yanasema kemea,karipia na kuonya mtu anapokwenda kinyume na Neno la Mungu lazima tumkemee
Sasa Kahaba ndugu kwa heshima tu nani amevaa kama kahaba hapo maana wote wana nguo nzuri tu@@patrickwameyo3882
😊😊😊
Nimewasamehe na Nina agano...imeweza kuweza
Mapambo hayo kwa wanawake ni mpango wa shetani kuwafanya kuwa watumwa wake,wambie wayaondoe waishi katika asili yao na watubu usipowambia hayo wakayaacha shetani anawasubili kuzimu.
Ndivyo ulivyoambiwa
@@godsfavouriteson3585 inaonekana kuwa wewe hata Biblia husomi soma vifungu hivi ndipo unijibu, Kumbukumbu la Torati 22:5, Petro 3:3-5, Hosea 2: 13, Timothy 2:9
Amen