#UNABII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2019
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 182

  • @DanielStephan-pj6ok
    @DanielStephan-pj6ok 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu naomba nibariki na mimi nifanikiwe na unifungulie milango ya mafanikio yangu na nyota yangu ing'ae misili ya dhahabu na wabaya wangu washindwe katika jina la yesu NAAMINI KWA JINA LA YESU na kupitia maombi ya NABII ntafanikiwa kwa jina la yesu kristo AMINA

  • @DanielStephan-pj6ok
    @DanielStephan-pj6ok 11 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba mungu tatizo langu linalo nisumbua kiafya mwezi huu wanane nipone AMINA

  • @paulinemathenge514
    @paulinemathenge514 4 ปีที่แล้ว +5

    Bwana Yesu uliyehai naomba ni bariki na mume ambaye ni mume wangu, pia Bwana Yesu kumbuka mahitaji ya kijana wangu, IN JESUS MIGHTY NAME AMEN.

  • @sarahnashon9070
    @sarahnashon9070 4 ปีที่แล้ว +7

    Ashukuriwe Mungu kwa kutupatia Nabii Mkuu nchini Tanzania,Twakupenda sana Baba yetu

  • @angelinamkingi8164
    @angelinamkingi8164 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu tumekuwa wakosaji kila siku,hats hapa tumekosea kujiona sisi ni bora kuliko wewe Mungu,Tumejivika utukufu tusiostahili,Kifupi nabaki na safina yangu,sitoki nilipo,Nasimama na Yesu wangu.

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Wow,Thank you Holy Spirit

  • @philomenamueni30
    @philomenamueni30 3 ปีที่แล้ว +1

    Aki dad uwa nakuangalia kila siku nimeangaika sana watoto wangu vivyo mimi ni mkenya nimeshidwa vile naeza kukufikia jameni dad

  • @jemuujemuu2902
    @jemuujemuu2902 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen mungu atusadie

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 ปีที่แล้ว

    May God bless u Nabii wa Mungu

  • @janethhenry1557
    @janethhenry1557 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabii,nakupenda xn,napenda huduma yako.naomba unisaidie wanangu wanamagonjwa sugu.

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว

    Amen,sifa na utukufu ni kwako Jehova.

  • @ndatabayechimanuka6122
    @ndatabayechimanuka6122 4 ปีที่แล้ว

    Amen tuna chukuru mungu kwa unambii wako

  • @ferdinandntakirutimana2166
    @ferdinandntakirutimana2166 2 ปีที่แล้ว

    Mungu agupe maisha mulefu nabi mkuu nagupenda saaaaaana

  • @evelyneakimanatanzania9756
    @evelyneakimanatanzania9756 4 ปีที่แล้ว +4

    Tungekua namacho yaloho tungejuwa au tungeona jamani fungukeni mubarikiwe ngonga like yangu kma umeelewa

  • @gracesamson4339
    @gracesamson4339 4 ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji kwa jina LA yesu,Amina

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @boniventuremarrirey6930
    @boniventuremarrirey6930 4 ปีที่แล้ว

    Senior prophet hon Geordavie

  • @patrickkumburu1844
    @patrickkumburu1844 4 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu

  • @kahusienock4406
    @kahusienock4406 4 ปีที่แล้ว +2

    Paster,nawapenda,sana,munitinye,pinya.

  • @juliusmwaise5277
    @juliusmwaise5277 4 ปีที่แล้ว

    Amina na kweli baba

  • @saidakitisaida5969
    @saidakitisaida5969 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @estherkimani9974
    @estherkimani9974 4 ปีที่แล้ว

    Naomba unisaindie tafadhali Nabii was Mungu

  • @aidanongole9341
    @aidanongole9341 4 ปีที่แล้ว +1

    amen.

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว +13

    Nabalikiwa sana Nabii naomba MUNGU Anipe Neema nikija Tanzania nifike ulipo Balikiwa mno Nabii

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @happyharson6819
    @happyharson6819 3 ปีที่แล้ว

    Nimependa iyo

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 4 ปีที่แล้ว +4

    Senior prophet jua Mungu anakuona unavyopotosha watu

  • @anisetikapufi2369
    @anisetikapufi2369 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @joshuahangida457
    @joshuahangida457 4 ปีที่แล้ว +5

    daa mungu atupe macho ya rohon bila HVO kujua ni vigumu

  • @kingneviledervon8497
    @kingneviledervon8497 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anayaona aya

  • @mariammoshi3320
    @mariammoshi3320 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu namba unisaidie maisha yangu yanasida nyingi Sana naomba unisaidie Sana natamani siku moja .nikuone tu

  • @estherpassaris4912
    @estherpassaris4912 3 ปีที่แล้ว

    Nabii naomba uniombee🙏

  • @mwambaebwatelogilbert6630
    @mwambaebwatelogilbert6630 3 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu nionekanie ,nimefungwa na Ibilisi ni siolewe na kuzaa. Naomba muujiza kutoka kwako Unifunguwe Naitwa Mawazo Mwamba Asany

  • @dorisedwadi329
    @dorisedwadi329 2 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe naitaji kufunguliwa baba

  • @wenykin3563
    @wenykin3563 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimelemewa nabii na maisha plz nahitaji msaada wako

  • @lindakimario107
    @lindakimario107 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU aliyeumba ulimwengu akazidi kuwaponya wengi, HURUMA YA MUNGU itawale ulimwenguni kote ili sote tukaone ufalme wake MTAKATIFU. Amina

  • @bupeisaya4414
    @bupeisaya4414 4 ปีที่แล้ว

    Nitabaki na safina assemblies of God,.

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 4 ปีที่แล้ว +2

    Nitizamiye na mimi kama ni mume wangu. Tusaidie na sisi tukombar ya mazabaoni

  • @annamsingi2829
    @annamsingi2829 4 ปีที่แล้ว +11

    Sielewi kabisa Mungu ndie anayetakiwa kuliliwa kiasi hiki sio mwanadamu nashindwa kuelewa jamani nashindwa

    • @lizynyeze7521
      @lizynyeze7521 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀..mungu atusaidiye

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 4 ปีที่แล้ว

      Nimatapeli hawa

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 4 ปีที่แล้ว +1

      Anna huyu mtu tumwombee tu kwa Mungu Baba. Kwanza anajiita nabii mkuu. Inamaana yeye ni mkubwa kuliko Yesu, sasa huyu ni mtu wa namna gani??? Uwiiii cjui kwakweli.

    • @vanesamaombi1465
      @vanesamaombi1465 4 ปีที่แล้ว

      @@micamathew6433 venye unaongea niukweli jamani hatanamavazi yake niyaleyale muwe making🙊🙈

    • @edinamshana3420
      @edinamshana3420 4 ปีที่แล้ว

      Anayeliliwa sii mwanadamu bali ni Mungu aliyeko ndani yake. Kumbuka Mungu mwenyewe hawezi kushuka ni lazima amtumie mwanadamu kufanya matendo yake makuu

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 4 ปีที่แล้ว

    Wanaliaga unafik

  • @kassimmossi3638
    @kassimmossi3638 3 ปีที่แล้ว

    Mungu nisamehee tu😯😯😯

  • @maslinemartin1197
    @maslinemartin1197 4 ปีที่แล้ว

    Baba tafathali nisaidie katika maombi mm Niko kenya

  • @stifetienne4562
    @stifetienne4562 3 ปีที่แล้ว

    Baba, mimi niko Congo rdc napenda uombeye ndowa yangu katika ulimwengu wa roho

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 4 ปีที่แล้ว +2

    DHA 😭🙏

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 4 ปีที่แล้ว +10

    Nabii ambaye unakazia mutu kuitika abacho hana. 🤣🤣🤣🙆🏻‍♂️ nashangaa sana. Eti unasimu 📱😏 anajibu apana sasa Nabii Ana panic 😳🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 4 ปีที่แล้ว +6

    Aifichae zambi itamwaibisha na itamwangamiza kabisaa sema tupone nabii wa Bwana

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 4 ปีที่แล้ว

    Jesus is great

    • @irenejohn9053
      @irenejohn9053 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki prophet weyu mkuu tunajivunia kuwa na ww

  • @suleimanali8317
    @suleimanali8317 4 ปีที่แล้ว +8

    jamaa anajiweka juu kuliko Yesu
    hauna lolote, kula sadaka za kondoo

  • @user-hs2sp8lh3r
    @user-hs2sp8lh3r 9 หลายเดือนก่อน

    Ongera kwakazi.yako nabi

    • @user-hs2sp8lh3r
      @user-hs2sp8lh3r 9 หลายเดือนก่อน

      .baba.Nabi number ya kuungana na huduma yenu musada wenu mawasiriano yenu baba

  • @godrivermichaelsugwejo3980
    @godrivermichaelsugwejo3980 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimecheka

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huyu nabii ni msaidizi ameshinda mganga

  • @lupenzakenny8893
    @lupenzakenny8893 4 ปีที่แล้ว

    Nabii huyu Yuko vizuri sana Tena anajua kiukweri,lakini najiuliza kwanini unabodigardi,sierewi niereweshe

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj หลายเดือนก่อน

    Ifi nyinyi ndungu zangu Yani meshindwa kumuletea bwana musingo wenu munapeleka kwawadanganyifu yesu alima njooni kwangu muliolemewa naa msingo nitawapusisha mathayo 11-28

  • @komanyadotto5617
    @komanyadotto5617 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ni maarifa tu

  • @sammyjuma2868
    @sammyjuma2868 3 ปีที่แล้ว

    Nabii naona mambo mwingi kwa you tube channel yako, na sijaona ukiombea single ladies and men looking for serious relationships. I'm Sammy juma from Nairobi Kenya. Thank you!

    • @judymwende571
      @judymwende571 3 ปีที่แล้ว

      Ombea ndoa yangu mtu wa mungu

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤣🤣🤣🙏🙏🙏

  • @kassimmossi3638
    @kassimmossi3638 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmni naomb mutengeneze group kwa tuliombal group WhatsApp

  • @elizabethraymond2969
    @elizabethraymond2969 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @jullietkambura8249
    @jullietkambura8249 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba nisaidie kwa maombi niko kenya na niko na sida sana tafathali nisaidie baba

    • @njeriruagos3300
      @njeriruagos3300 4 ปีที่แล้ว

      Mwambie mungu akusaidie. Fungua macho dadangu.

  • @magnifiquentkrtmna320
    @magnifiquentkrtmna320 4 ปีที่แล้ว

    Iroswari namimi naritaka. Namimi nirikuwa na mum akanovurug. Kwakwer mimi naomba nimuace

  • @neemacharles5944
    @neemacharles5944 2 ปีที่แล้ว

    Baba samahn naitaji kufika ulipo kanisan bab niwp baba

  • @christinamkalalile874
    @christinamkalalile874 2 ปีที่แล้ว

    Natamani siku moja nikutane na nabii

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Mmmm Jesus Christ

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 4 ปีที่แล้ว +1

    Alazimisha aseme ana
    Simu wakati hana.
    Nyakati za mwisho
    Tutaona mengi
    Lakini Neno la Mungu
    Litasimama.

    • @judithmeritus6648
      @judithmeritus6648 4 ปีที่แล้ว

      Ila sijamuona kapuku ata mmoja nimatajir2 wanaokuja madhabauni ayo niyakwer

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 4 ปีที่แล้ว

    Sina simu !!!!!! Nasoma msg zako. Hahahaaaa.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว

    Uwiii kuumbuka huku

  • @user-nf1er6sb8p
    @user-nf1er6sb8p 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh

  • @felisteralias4405
    @felisteralias4405 ปีที่แล้ว

    baba naomba na mimi niombee

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 4 ปีที่แล้ว +1

    Umefanya vema wanawake wamezidi umalaya

  • @happylongino3913
    @happylongino3913 4 ปีที่แล้ว

    Jamani natamani kwenda kwa nabii nauli ninayo ila hela lakitatu ya kumuona na bii sina

  • @benjamindanielduday1246
    @benjamindanielduday1246 3 ปีที่แล้ว

    Lkn mim naona nabii kacheza na ajili za watu

  • @ndatabayechimanuka6122
    @ndatabayechimanuka6122 4 ปีที่แล้ว

    Naitaji musahanda wa maombi yako baba

  • @maryakonai4579
    @maryakonai4579 4 ปีที่แล้ว

    Habari ninahitaji msaada yako upo wapi??

  • @irenesanare8277
    @irenesanare8277 4 ปีที่แล้ว

    Jamn nataka namba niongee nae

  • @hasinatilafaeli616
    @hasinatilafaeli616 4 ปีที่แล้ว +7

    Huyunabii anatoa huduma kanisagani jamani nataka nikaombewe

    • @yassminassey6044
      @yassminassey6044 4 ปีที่แล้ว

      Pole dada nenda ukaombewe na we utupeushuhuda wako

    • @kassimmossi3638
      @kassimmossi3638 3 ปีที่แล้ว

      Kisongo Arusha

    • @adamfundikira742
      @adamfundikira742 2 ปีที่แล้ว

      @@yassminassey6044 wewe kaa na maovu yako

  • @happyharson6819
    @happyharson6819 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya nabii

  • @sophiasinda2099
    @sophiasinda2099 4 ปีที่แล้ว +2

    Huo ndio unabii uliotuka

  • @godwinivod3036
    @godwinivod3036 4 ปีที่แล้ว +1

    Haka kachalii ka R kaongo jamani😂😂

  • @yohanaraphael5265
    @yohanaraphael5265 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe yupo kwa ajiri ya kutenganisha ndoa za watu

  • @yusuphemanuel857
    @yusuphemanuel857 4 ปีที่แล้ว

    Mmh kwel ndo mana tukaambiwa watu Wang wanaangamia kwa kukosa maarifa ila tusome sana vitab vya mung tusiweze kupotoshwa kiivo mung atusaidie sana

  • @batonimwasyika9969
    @batonimwasyika9969 4 ปีที่แล้ว

    Nabii Mm ninapata namba yako nige fulahii

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 4 ปีที่แล้ว +7

    #"maana yake umenivuruga" , #"nishakasirika sasa" , #"Hakuna, staki. Umeshaniudhi", #"Mi staki mchezo", #"Nimechukia kabisa mimi"

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @radhiyaoman2543
      @radhiyaoman2543 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa nawe nini tena 😁😁😁😁

    • @praisesteven7774
      @praisesteven7774 4 ปีที่แล้ว

      Sadock Sebastian wwe umevurugwa😁😁😁

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว

      Sadock Sebastian 😀😀😀😀😀 nacheka kama mazuri vile

    • @heavenwola1222
      @heavenwola1222 4 ปีที่แล้ว

      Baba ni Ombee Mimi na omba Number za nubi kukuu

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 4 ปีที่แล้ว +3

    Shika sana ulichonacho asije mtu akakupokonya.

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf 4 ปีที่แล้ว +1

    Aty kila mtu anavimeseji ndo mnagombana alaf anauliza mbona mnagombana?yaani hii movie zaidi ile ya jackchan

  • @klystry1234
    @klystry1234 4 ปีที่แล้ว

    Waheri wasioona wakasadiki

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 ปีที่แล้ว

    Kwa wale wadangaji hili kanisa cio maana cio kwa kuumbuliwa hukoo

  • @winblessinggatwiri1865
    @winblessinggatwiri1865 2 ปีที่แล้ว

    Shetani anajua ndoa ikisimama kanisa litasimama hila jamii ikiwa na misukosuko basi ata kanisa ni hivo.

  • @seifamiri3272
    @seifamiri3272 4 ปีที่แล้ว

    Mnapatkana wap mi nko dar

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 ปีที่แล้ว

    Unabii wakugombanisha

  • @anithaizrael4400
    @anithaizrael4400 4 ปีที่แล้ว +4

    Nasimama nilipo kwakweli

  • @meena-ol6fo
    @meena-ol6fo 4 ปีที่แล้ว +2

    Nabii kaamuwa kuchonganisha mke na mme kwakusoma msg😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hebu soma msg zangu tuone😂😂😂😂

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว +3

    AMEN Nabii wa MUNGU

  • @ummuayman2591
    @ummuayman2591 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua siku gn na gn naweza kumpata nabii mkuu

    • @mejgodsgal1340
      @mejgodsgal1340 4 ปีที่แล้ว

      Karbu sana kesho atakuwepo..Karibu

    • @ummuayman2591
      @ummuayman2591 4 ปีที่แล้ว

      @@mejgodsgal1340 @naomba namba zako kama hutojal niweze kuwasiliana na ww niko moshi

    • @mejgodsgal1340
      @mejgodsgal1340 4 ปีที่แล้ว

      @Ummu namba za hudumu ni 0784315191 watakusaidia kwa urahisi zaidi..KARIBU SANA

    • @ummuayman2591
      @ummuayman2591 4 ปีที่แล้ว

      @@mejgodsgal1340 @dear nikipiga hii cm haipokelew

    • @mejgodsgal1340
      @mejgodsgal1340 4 ปีที่แล้ว

      @@ummuayman2591 nipe jina lako la insta nkuelekeze

  • @ramashunda5645
    @ramashunda5645 4 ปีที่แล้ว +1

    Matapeli hao

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 4 ปีที่แล้ว

    Maigizo tu wamechagua kudanganyika.

  • @meena-ol6fo
    @meena-ol6fo 4 ปีที่แล้ว

    Hinyie mungu katupa akili hakutufananisha na wanyama mnatapeliwa tu yaani badalaa mumlilie mungu mnalilia binaada eti hadi unifurahiche ndio nitoe unabii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 4 ปีที่แล้ว

    😁😁

  • @hanssboy2134
    @hanssboy2134 4 ปีที่แล้ว

    Nabii havunji ndoa pia hasira haitoki kwamungu niyashetan pia haitendi haki

  • @sophialaurent2876
    @sophialaurent2876 4 ปีที่แล้ว

    Mambo gani ya ku aibishana hivi mbele za watu

  • @sharonke7442
    @sharonke7442 4 ปีที่แล้ว +2

    hii kanisa bora nije tu ili nicheke

    • @margiekaaya3544
      @margiekaaya3544 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃sharon nitft tuende wote 😂😂