FUMARISON MJEJE - NIMEKUCHAGUA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04
Asante studio
kipaji sio bahati
Mashalah bro
Uko pow sana
Awesome poet ❤❤❤
Wawooo ❤❤
❤❤❤❤
Mwamba ametisha sana nmfagilia hakika maua yake mpeni
Kaka ww ni mkaazi wa wapi au unatokea visiwan
Dogo anajua Hadi anakera
Kazi nzuri mshairi mwenza fumau hongera omar mwawema #msafi wa pwani kutoka kenya
Jamaa anajua
Mashaallah Allah akuzidishie
Wiki iliyopita nimemkuta zanzibar huyu
Mashallh mol akubariki ❤❤❤❤
waooooo👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mashallah
sina usemi walai dah
Uko vizuri
Wasafi midia
Unajua sana jamanii❤❤❤❤😂😂
MashaAllah
Maxhaallah hongera fumau
❤
Safii
Jamaa anjua sannnnnnnnna❤
Wajina mashallah