1. Mbegu na ganda la parachichi 2. Mbegu ya apple 3. Kitunguu kinaleta kukausha damu 4. Machungwa na limao inapunguza mayai 5. Maharage mabichi 6. Vyakula vya asili ya sukari inaleta unene kupitiliza 7. Chumvi Ila wape kidogo kwenye chakula chao 8. Vyakula vya kuchacha au kuharibika 9. Viazi mviringo vibichi vyenye ganda la kijani 10. Yai Ila ganda la Yai ukisaga ni zuri linaongeza calcium Kwa kuku
@@AGALUSTV Ahsante kaka Agalus, kuku Wang anapenda mabibo, na nyanya ni vyema nisiwape? Halafu umetufundisha vitunguu c vzr, lkn mbona tunaambiwa swaumu ni nzuri Sana kwa kuku, inasaidia tiba, na Kinga, na huongeza mayai?
Mkuu Toka Jana kuku wangu wawili nimeona wanakula huku wamelala kama miguu Yao imekosa nguvu nikiwasimamisha wanatembe hatua mbili au tatu Kisha Wana shuka chini je yaweza kua shida Nini? Naomba msaada wako, pia naomba msaada wa namba yako
Somo zuri Asante Ila ongeza kusema madhara ya kila chakula unachoongelea coz ukisema2 linamadhara bila kutaja hayo madhara nadhani sio sahihi. Pia khs kitunguu nahisi kinasaidia hasa vitunguu swaumu.
Hakika kupitia chanel hiii ntafanikisha kwenye ufugaji Wang. Mbarikiwe
Tupo pa1 ndugu ila Ubarikiwe nawe🙏🙏
Amina
Asante sana kwa kutufundisha ufugaji wa kuku
Tupo pamoja sana ndugu
Santé mwalimu kwa mafundisho .napenda kuuliza, viazi mviringo vina hasara gani kwa kuku
Vibichi ni sumu
Asante sana mwalimu kwa mafundisho mazuri,Mimi nauliza umesema pilipili ni nzuri kwa upande wa mafua je ni aina Gani ya pili au pilipili zozote
Cayenne peppers AU ukiwa na kichaa ndio nzuri zaidi lakini kama huna izo basi yeyote Ile iwe imeiva vizur tumia tu
Asante kwa kutufundisha njisi ya ufugaji wa kuku
Tupo pamoja ndugu
Nimekuelewa
Barikiwa
Asante kwa elimu👍
Barikiwa pia
Ansati sana kwa kuifundisha jinsi ya kufuga kuku za kienyeji na hiyo ndio ndoto yangu nikitoka majuu na nitashidi kuwavuatilia
Barikiwa Sana ndugu
Asante sana mwalimu nimejifunza vitu vingi kupitia darasa lako.Mungu akubariki sana.
Amina🙏
Asante kwa somo... jee pili pili iko na madhara
Hapana tena tiba nzur
@@AGALUSTV shukran
Pa1🤝
Masha Allha kwaiyo chakula gani ambacho Niki zur ili watage vizur?
Madini, mboga mboga za majani na vyakula vya protini
Maashaallaah asante kaka kwa somo mungu akubalik ktk kaz zako mungu akufanyie wepes
Amin🙏ubarikiwe nawe
Asante kwa mafunzo au maelekezo unayotupa sisi wafugaji wa kuku. Thanks alot.
Pa1🤝🤝
Asante kwA dalasa naomba Visio ya Banda lako Kama ipo
Banda ujenzi hii
th-cam.com/video/PZKM8CzOpew/w-d-xo.html
Asante,
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
1. Mbegu na ganda la parachichi
2. Mbegu ya apple
3. Kitunguu kinaleta kukausha damu
4. Machungwa na limao inapunguza mayai
5. Maharage mabichi
6. Vyakula vya asili ya sukari inaleta unene kupitiliza
7. Chumvi Ila wape kidogo kwenye chakula chao
8. Vyakula vya kuchacha au kuharibika
9. Viazi mviringo vibichi vyenye ganda la kijani
10. Yai Ila ganda la Yai ukisaga ni zuri linaongeza calcium Kwa kuku
🤝🤝 Safi summary nzuri🙏
Vp vitunguuu swaum kuna sehem nimesoma nimeambiwa n vzr kwa kuku
Ni sahihi ona somo hili apa👇 kuhusu vitunguu saumu kwa kuku faida zake
th-cam.com/video/2UFuBrIJA-A/w-d-xo.html
wanao tengeneza chakula cha kuku maharage wanaweka yalio. pikwa ama??
Maharage yawe makavu apo haijakua na maana ya ubichi kama kutoiva 🙏🙏
SAMAHANI SWALI LANGU LIKO NYUMA SANA NAULIZA JE VP KUKU KUANZIA KIFARANGA ANAEZA KUCHIA UMRI WA MIEZI MINGAI HAI KUJA KUTAGA
Miez 6/7 apo
Je tangawizi na kitunguu saumu ukiwapa vifaranga vina madhara
KIFARANGA kiwe na zaidi ya mwez
Viazi mviringo vinaandaliwqje ktk kulisha kuku?
Viazi vibichi ndyo sumu na ndyo kilichoelezwa ktk channel hii🙏🙏🙏
Ahsante kwa somo
Suala langu kuku wangu wapenda sana tomata na majani kama fijili kabichi jee kila siku naweza kuwapa
Wape ila nyanya zisiwe mbichi 🙏
@@AGALUSTV Naomba kuuliza Kaka yang
Karibu uulize🙏🙏
@@AGALUSTV Ahsante kaka Agalus, kuku Wang anapenda mabibo, na nyanya ni vyema nisiwape?
Halafu umetufundisha vitunguu c vzr, lkn mbona tunaambiwa swaumu ni nzuri Sana kwa kuku, inasaidia tiba, na Kinga, na huongeza mayai?
Wape ila yawe yameiva. Vitunguu ni vitunguu maji endapo utawapa kwa wingi🙏🙏
Nanasi je
Ngoja tufuatilia nasi kuhusu nanasi
Tomate kumpa Kuku ni vizuri?
Hapana
Tatiizo langu ni wadudu waharibifu wanakula vifaranga na mayai usiku nifanyeje?
Kama panya, paka n. K au
Panya panya Kabisa anatuuzi sana
Poleni Sana 😭 ngoja tutakuja na ufumbuzi wake
Naweza wapa pilipili kuku wangu?
Yaaah iyo Sawa ni nzuri kwao
Je kwabahati mbaya akila koko la ovacado nimpe nini
Kwa Mara 1 si mbaya
Vipi kama nitawapa kuku wangu mashudu yenye mchangnyiko was dagaa,pumba na mashudu ya alizeti?
Sawa tu waweza ila zingatia vipimo sahihi.
Lkn je wali ni mbaya kwa kuku?
Mabak ya VYAKULA yanaleta magonjwa y matumbo kw kuku
Je nikiweka chumvi kwenye dagaa chumvi unapochanganya chakula cha kuku?
Inaruhusiwa japo kwa kiasi kdogo
Asante
Pamoja
Lakini nilikua nawapa kuku wangu vitungu walinawiri vizuri sana
Ok 🙏
Hivi naweza walisha kuku wangu nyanya na je zinafaida gan?
Usiwape mbichi. Pia kama zilizoiva hakikisha hazina dawa. Kwa UFUPI si vizuri kuwapa
Asante mkuu nashkuru sana na tuko pamoja ktk masomo
Tupo pamoja ndugu
Mkuu Toka Jana kuku wangu wawili nimeona wanakula huku wamelala kama miguu Yao imekosa nguvu nikiwasimamisha wanatembe hatua mbili au tatu Kisha Wana shuka chini je yaweza kua shida Nini? Naomba msaada wako, pia naomba msaada wa namba yako
Pole Sana ndugu angalia kama Wana hara kinyes gani
Viazi hivi vya kijani hata kwa binaadam ukikila kinakuwa na test fulani mbaya sana yaani uchungu si uchungu uwasho si uwasho.
Oooh kumbe🙏
Ni namna ipi ya kuhifadhi mayai ya kuku wa kienyeji kwenye mikoa yenye joto? Na je joto linasababisha yai kupungua na lisifae kwa kutotoleshwa?
Kwa njia ya trey tu na yasikae zaidi ya wiki mbili
TUMIA trey tu yaani makasha ya MAYAI
Vifaranga vyangu vinaonekana kuwa na baridi na mabawa yanadondoka niwape dawa gani
Vitamin na antibiotics na dawa za Homa za matumbo au typboid
Ufugaji wa Kuku wa kienyeji
Ufugaji wa
Ok
Asante sana
Barikiwa🙌
Kuku wangu wananenepa hawtagi niwape nn ili watage?
Punguza chakula na angalia mchanganyiko w hakula chako punguza chakula chenye mafuta zaidi
Punguza chakula na angalia mchanganyiko w hakula chako punguza chakula chenye mafuta zaidi
Hiyo mboga au hayo majani yanaitwaje??
Nayajua kw jina la kilugha tu ngoja tutafute jina sahihi
Mimi nahitaji kyfuga je naweza kupata vifaranga vya kuku wa kienyeji nitumie Namba
Upo wapi?
Asnteni jaman
Barikiwa sana🙌
Video za Uzalishaji Funza wakuku whtsap napataj?!!
Hapana ndugu video hizi hatusambazi wasap 🙏🏿🙏🏿🤔🙏🏿sory
Mimi mfugaji napenda elimu hii
Karibu sana🙏
Somo zuri Asante
Ila ongeza kusema madhara ya kila chakula unachoongelea coz ukisema2 linamadhara bila kutaja hayo madhara nadhani sio sahihi.
Pia khs kitunguu nahisi kinasaidia hasa vitunguu swaumu.
Sawa ila kuhusu vitunguu saumu faida zake hizi apa, th-cam.com/video/2UFuBrIJA-A/w-d-xo.html
Kitunguu ni dawa ya minyoo kwa kuku
Ok 🙏 Karibu kupeana uzoefu kwenye ufugaji
Si ndio hata mimi nashangaa akisema ni sumu.
Vitunguu ni sumu endapo watapewa kwa wingi 🙏 tena ni vitunguu maji
Asante kwa somo.
Barikiwa🙌🙌
0ngera baba kumipa helimu
Pa 1 sana
Somo zuri Asante!
Barikiwa sana🙏🙏
Naomba namba yako ya wasap bro!
Poa
Niwekee humu kk 0756329976
Sasa apo unahitaji link ya iyo video au
Asante sana
Tupo pamoja ndugu
Asante
Pamoja
Asante sana
Tupo pamoja