Ahsante Sana.....!!! 1. Marafiki wanaokuonya na kukwambia ukweli. 2. Wanaosimama na wewe katika nyakati ngumu...!! (Marafiki adimu Sana) 3. Marafiki wanaokusogeza karibu na Mungu... (Hawa wanatakiwa kuwa wakwanza kabisaaa kuwamaintain) 4. Marafiki wanaovutiwa na ndoto zako..... 💪💪💪 (Wanakuletea hamasaa ya kutimiza malengo) 5. Marafiki mnaounganishwa na kusudi.... Ameeen!!! (Husaidia kukupa network ) Mungu mwema hapa sijakosa rafiki katika angel zote .... So nachotakiwa Ni kutowapoteza tu.....!!! Ahsante Sana kaka Joel
Asante Sana Bro Joel your my life coach thank you Bro, Rafiki ambaye napata changamoto kumpata ni namba moja ambaye anatakiwa kuniweka wazi na kunionya wakati ninapokwenda ninapofanya sivyo imekuwa ngumu Sana kuniweka wazi kuwa hapa umekosea wengi tunajuwa ukimwambia mtu ukweli uaminifu wangu na yeye unapungua na ndo chanzo cha kumpoteza huyu mtu
Nakushukuru sana mwalimu wangu kwahapo nawakosa marafiki 3 1) waku niweka karibu na Mungu 2) rafiki wa mausiano na kusudio la Mimi kuwepo duniani 3) rafiki wa kuwa nami wakati wote Nandoto kubwa sana nahitaji kuitimiza
Thanks a lot, nimejifunza kuwa kuna wakati marafiki wabaya walinifanya niwapoteze marafiki muhimu pale tu wale marafiki wazuri walilpobaini kuwa Nina kundi jingine ambalo si jema
Asante kaka angu jmn cjui nikupe nn kwa kunivumbua akili.....lkn ni namn gan unaeza kutambua marafiki wa aina kama hizi ambao sitakiwi kuwapoteza kwasababu mm cjabahatika kukutan na marafiki wa namna hii marafiki nilionao ciion kam wana sifa hizi lkn naomba unisaidie kwa Hilo👆 jinsi ya kuwatambua
my brother Joel nimebarikiwa na somo na nimeandika kabisa hali nipitia kila wakati lakn mm kuna mambo machache ambayo naomba unisaidie kushaur 1nilikuwa na rafik ambaye tulikuwa tushauriana mambo ya kiroho lakn nilikuja kufahamu rafik siyo mwaminifu 2kuna mambo mawili yananichanganya tofauti ya kipaji na kuzudi na kile ninacho penda ambacho watu wangine wanafanya
Mawili kati ya marafiki zangu ambao nimewaona baada ya kuangalia video hii first ni Dr franko Muhimbili national hospital huyu ndoto zetu zinafanana japo mwenzangu yeye ni daktar na mimi sio daktar lakn Tunamalengo Tofauti ya nje ya kazi zetu wa pili ni classment wangu Mwalami Amin Huyu Naiman yupo tayar kwa lolote na mimi Hawa nafikiri Nianze kuwatafuta
Rafiki anae niweka karibu na Mungu huyu Sina kabisa,yaan Hawa nyau nilionao Kuna mda hata wakipga simu nakausha tu au nazima marafiki mizigo 😁😁😁 ,sema siku hiz unachelewa Sana kutoa darasa kaka nanauka
Kweny hao marafiki wote Nawez sema wapo lkn kuna mmoja hapo yeye analeta na Mambo kimapenzi 😔😔 Licha ya kwamba ni Rafik mzuri 🤔na hapo ipoje hii kiongoz 🙏🙏🙏
Mimi sina rafiki wahivyo ilamimi ndio nipobolakwao lakini wao siosana ya nawapa moyo sana nawakemea nawakumbusha habal za Mungu wao wala sasa hapo unanishAuli vip kaka nifanyeje
Mimi sina rafiki kwasababu nilie muamini ni rafiki alibadilika kisa pesa nilimjali kwa kila hali hatamaongezi ya imani zetu kuhusu mwenyezimungu maisha lakini alibadilika sikuamini
Mm ninakosa marafiki wakuwa nao na wakunishauri nikiwa na rafiki leo baada ya muda akijua mafanikio yangu ananijeuka nifanyeje nisiwe na rafiki kabisa au nifanye nn
Kaka nashukuru sana kwa hili somo na nimeinjoy sana but mimi nilipo enda dar nlpokelewa na rafiki yangu moja msambaa tukapendana sana na tukawa tunashauriana mambo ya maisha lkn sehemu moja tu ndo tumeshindwa kuwa pamoja coz kuna fursa niliipata nikamshirikisha baada ya mii kuanza ila hakukubaliana na mawazo yangu,je na huyo nisimuache au nimuache???
Mim nakosa marafiki wanaonishauri kuhusu mafanikio ili hali Mimi nawashauri watu wengi ninaowaelezea mipango Yangu nawaona kama watazamaji hata my wife
Ahsante Sana.....!!!
1. Marafiki wanaokuonya na kukwambia ukweli.
2. Wanaosimama na wewe katika nyakati ngumu...!! (Marafiki adimu Sana)
3. Marafiki wanaokusogeza karibu na Mungu... (Hawa wanatakiwa kuwa wakwanza kabisaaa kuwamaintain)
4. Marafiki wanaovutiwa na ndoto zako..... 💪💪💪 (Wanakuletea hamasaa ya kutimiza malengo)
5. Marafiki mnaounganishwa na kusudi.... Ameeen!!! (Husaidia kukupa network )
Mungu mwema hapa sijakosa rafiki katika angel zote .... So nachotakiwa Ni kutowapoteza tu.....!!!
Ahsante Sana kaka Joel
Hapa nilipo nasoma kitabu Cha ISHI NDOTO YAKO.....nikitamu balaaa!!!! Pongez KWAKO nanauka👏👏👏👏👏👏
Mungu amenibariki na wote, niongeze bidii kujifunza kwao
Uko vizuri mungu akubariki
Shukran sana coach kwa Nanauka Elimu mzuri sana kwa sisi tulio na maono ya mbali
Rafiki nilie makosa ni ambae tuna kusudi moja nitamtafuta na kushirikiana naye asante sana kaka Joel ubarikiwe sana
Asante sana Kwa ushauri wako umenifunza vitu ambavyo nimepitia na marafiki ambao wananitenga sana nifanyeje
Asante Sana Bro Joel your my life coach thank you Bro, Rafiki ambaye napata changamoto kumpata ni namba moja ambaye anatakiwa kuniweka wazi na kunionya wakati ninapokwenda ninapofanya sivyo imekuwa ngumu Sana kuniweka wazi kuwa hapa umekosea wengi tunajuwa ukimwambia mtu ukweli uaminifu wangu na yeye unapungua na ndo chanzo cha kumpoteza huyu mtu
Ahsante kwa somo zuri mimi nimegundua nina marafiki ambao wengi wananipiga katika maono yangu,naendelea kujifunza
Nakushukuru sana mwalimu wangu kwahapo nawakosa marafiki 3
1) waku niweka karibu na Mungu
2) rafiki wa mausiano na kusudio la Mimi kuwepo duniani
3) rafiki wa kuwa nami wakati wote
Nandoto kubwa sana nahitaji kuitimiza
Ubarikiwe kwa ujumbe wako unao rusha kwenye mtandao unatusaidia sana
Asante sana Joel unayofundisha ni kweli isiyopingika. .Rafiki wa ukweli na kukukosoa hawa ni adimu.
Asante kwa somo zuri la kufahamu marafiki wa muhimu katika maisha yetu
Asante kaka mm rafiki niliemkosa ni yule wakunisogeza kalibu na mungu
Asante sana kaka unanifungua mengi sana
Asante mm nina wawili hapo
Umenitoa mbali sana my brother from another mother
Asante sana kwakutijuza tumeelawa mengi asante
Umerudanyia kipindi kizuri. Asante.
Duh! Wakati wa shida hamna rafiki brother!
Asante brother kwa somo zuri
Thanks so much.... appreciate you brother
Nimeipenda Sana na mungu akubariki
Unanijenga Sana Kaka ubarikiwe sana
From U S A nakushukulu saana kwa Elimu yako
Asante kweli barikuwa sana
Asante sana nahitaji rafiki wakwanza, kijana wako kutoka Burundi 🇧🇮
Uko vizuri Sana na huwanapenda kusikiliza speech zako
Asante kwa somo nzuri hakika unatufundisha mengi mungu akujalie na akuongezee zaidi.mimi na mkosa rafiki wakunikosoa
Thanks a lot, nimejifunza kuwa kuna wakati marafiki wabaya walinifanya niwapoteze marafiki muhimu pale tu wale marafiki wazuri walilpobaini kuwa Nina kundi jingine ambalo si jema
Asante kaka angu jmn cjui nikupe nn kwa kunivumbua akili.....lkn ni namn gan unaeza kutambua marafiki wa aina kama hizi ambao sitakiwi kuwapoteza kwasababu mm cjabahatika kukutan na marafiki wa namna hii marafiki nilionao ciion kam wana sifa hizi lkn naomba unisaidie kwa Hilo👆 jinsi ya kuwatambua
Asante nimejifunza kitu
Bro ubarikiwe sana unatufunza mengi
Barikiwa Sana unatujenga sana
Shukran sana
Ubarikiwe mno
Ubarikiwe mtumish
Thanks god bless you brother
my brother Joel nimebarikiwa na somo na nimeandika kabisa hali nipitia kila wakati lakn mm kuna mambo machache ambayo naomba unisaidie kushaur 1nilikuwa na rafik ambaye tulikuwa tushauriana mambo ya kiroho lakn nilikuja kufahamu rafik siyo mwaminifu 2kuna mambo mawili yananichanganya tofauti ya kipaji na kuzudi na kile ninacho penda ambacho watu wangine wanafanya
Blessings Sana
Mtumishi naomba namba zako nitakutafuta , namba zangu Ni 0755 975048
Hongera brother mungu akupe maisha marefu nimefunguka
Kaka nashukuru sana kwa somo lako zuri, mimi rafiki niliekosa ni yule ambae ndoto yangu na yake zinaendana
Assnte sana mwalimu
Be blessed
asante.
Safi sana Kaka
Hapo rafiki niliye naye na wa kidini tu, wengine sina wengi wakipata uonyesha unafiki wao. Anyway I always stand alone.
Somo zuri sana
Duuu! Good ideas
Shukrani Kocha
Hello Mr.Joel.mimi nina tatizo kubwa sana la kisqikolojia na maogopa kisijebreak.naomba kukuona
All the best broh #andreajr
Mawili kati ya marafiki zangu ambao nimewaona baada ya kuangalia video hii first ni Dr franko Muhimbili national hospital huyu ndoto zetu zinafanana japo mwenzangu yeye ni daktar na mimi sio daktar lakn Tunamalengo Tofauti ya nje ya kazi zetu wa pili ni classment wangu Mwalami Amin Huyu Naiman yupo tayar kwa lolote na mimi Hawa nafikiri Nianze kuwatafuta
Asante
Shukulan kak Kwa som zur
Rafiki anae niweka karibu na Mungu huyu Sina kabisa,yaan Hawa nyau nilionao Kuna mda hata wakipga simu nakausha tu au nazima marafiki mizigo 😁😁😁 ,sema siku hiz unachelewa Sana kutoa darasa kaka nanauka
Nice
Namwihitaj friend mshauli
Uwa una nifanya nakua happy bro nakujiamin
Aina ya rafiki ambaye ninamkosa ni yule ambaye tunaunganishwa na kusudi tulilonalo maishani mfano mm cnarafiki mwenye ndoto ya kuwa daktari km mm.
Nimekuelewa mkuu
Rafiki namba 4
Hello bro... nakuaminia kazi nzur rafik nnaemkubali ataesimama na mm kipind kigumu na kunifahamisha Mema ama mazuri
Namba 5
Rafiki anayenikosoa bado sijampata. Na hata hivyo weng katika urafiki wamejenga Imani ya kila mtu ana maisha yake hivyo ni ngumu kumkosoa mtu
Ameni
Swali langu nitawarudishaje marafiki wangu wazuri
2 no tatizo always
Asante bro!!! Namkosa rafiki namba mbili ma tatu
Kwa upande wangu ww ndio bext Wang
Kweny hao marafiki wote
Nawez sema wapo lkn kuna mmoja hapo yeye analeta na Mambo kimapenzi 😔😔
Licha ya kwamba ni Rafik mzuri 🤔na hapo ipoje hii kiongoz 🙏🙏🙏
Kaka hapo kwenye marafiki wanakuambia ukweli Ni hadimu Sanaa kwa asili ya wanadamu
Dah Katika Maisha yangu sijawapata hao marafiki 😔
Kua rafiki yangu
@@immaculatejohn9906 Upo wapi my friend?
Cna hata mmoja mwenye hizi sifa
Wanaovutiwa na ndoto yangu na ambao tunaunganishwa na kusudi sina hao kabisa
Sina hata mmoja.
Katika hao wote mim sina hata 1. 😭😭😭
Naomb urafik
Naitaji weweuwe rafiki yangu ili uwemuhamasijaji wangu
mimi asilimia kubwa ya marafiki zangu ni wabaya manafiki wanbea wasîotaka kuona maendeleo yangu wala maisha yangu ya kifamilia
Sina rafiki wa kuniunganisha kwenye kusudi langu
Mimi sina rafiki wahivyo ilamimi ndio nipobolakwao lakini wao siosana ya nawapa moyo sana nawakemea nawakumbusha habal za Mungu wao wala sasa hapo unanishAuli vip kaka nifanyeje
Wote
Nimekosa rafiki no 5
Rafiki wa kushauriana nae kihusu biaahara ni wachache sana ,wengi negative mind tu belief utajiri ni for special people
Rafiki wa kunihamasisha ktk malengo yang
Pr Joel! Yesu apewe sifa Sana, Nilikua Naomba Msaada wako nimeandika kitabu ila Kuna vitu ntaomba unishauri, Ubarikiwe Sana, 0742139713 Naomba msaada wako
Jinsi ya kupambana na changamoto za elimu
Rafiki tunaounganishwa na kusudi sina rafiki wa hivyo namuhitaji sana ila sijui nampataje
Mie nimemkosa anaeendana na ndoto zangu
Rafiki mwenye uwezo wa kuonya
Mimi ninaye mmoja tuu ambaye yeye anaplay all part...yaan yupo kwenye hizo aina tano zote ila ni mmoja tuu
Mimi sina rafiki kwasababu nilie muamini ni rafiki alibadilika kisa pesa nilimjali kwa kila hali hatamaongezi ya imani zetu kuhusu mwenyezimungu maisha lakini alibadilika sikuamini
Najiona mpweke tu
Mm ninakosa marafiki wakuwa nao na wakunishauri nikiwa na rafiki leo baada ya muda akijua mafanikio yangu ananijeuka nifanyeje nisiwe na rafiki kabisa au nifanye nn
Sina Rafik na wala sihitaji! Zamani nilikuwa nao ila sahv kila mtu na maisha Yake!?
Shalom Mtumishi! Mimi nawaitaji Aina zote za marafiki ulizozungumzia. Nifanyeje niwapate?
Nilikuwa najihesabu mwenyewe kama ninahizo sifa kwa rafiki zangu...
Rafiki niliyemkosa ni no 5
Anae nisogeza na Mungu huyo lafiki sina
Kati ya no zote sina hata moja nisaidie ndg bahat toka busolwa
Kaka nashukuru sana kwa hili somo na nimeinjoy sana but mimi nilipo enda dar nlpokelewa na rafiki yangu moja msambaa tukapendana sana na tukawa tunashauriana mambo ya maisha lkn sehemu moja tu ndo tumeshindwa kuwa pamoja coz kuna fursa niliipata nikamshirikisha baada ya mii kuanza ila hakukubaliana na mawazo yangu,je na huyo nisimuache au nimuache???
Natamani kupata Ila kumjua mtu sahihi ndyo mtihan
Mim nakosa marafiki wanaonishauri kuhusu mafanikio ili hali Mimi nawashauri watu wengi ninaowaelezea mipango Yangu nawaona kama watazamaji hata my wife