MBUNGE AIBANA SERIKALI KUHUSU KUFUNGA ZIWA TANGANYIKA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • MBUNGE wa Nkansi Kaskazini Aida Kenani leo Mei 3 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ameibana Serikali ije na suluhusho la wavuvi wa Ziwa Tanganyika badala ya kusema wanafunga ziwa kwa kipindi Cha miezi mitatu kwa kigezo cha kupungua kwa samaki.

ความคิดเห็น • 8

  • @RamadhaniMnyonge
    @RamadhaniMnyonge 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaaallah allah akubalik

  • @Aisharubavurubavu
    @Aisharubavurubavu 2 หลายเดือนก่อน

    Ee mama sema mama semaa😂

  • @YasiniHasani-og4hc
    @YasiniHasani-og4hc ปีที่แล้ว

    Wee dada ni nomaaa sanaaa wambieee haoooo huo ni uonevu watupe nchi yetuuuuu

  • @NeemaSaidi-g2v
    @NeemaSaidi-g2v 5 หลายเดือนก่อน

    Wana inchi wa kigoma tunategemea ziwa alafu munafunga ziwa familia zetu tulete kwenu

  • @jumammbembe3678
    @jumammbembe3678 ปีที่แล้ว

    Aisee una tema madini bola kabisa wambie ao wasiojua uvuvi ni nini dada mungu akulinde wanataka kigoma na kusini majambazi tuwe wengi

  • @NeemaSaidi-g2v
    @NeemaSaidi-g2v 5 หลายเดือนก่อน

    Kigoma tunakufaa kwasababu machokola vibaka wakabaji watakuwa wengi

  • @jumammbembe3678
    @jumammbembe3678 ปีที่แล้ว

    Atuku shilikishwa kiujumla

  • @AthumaniHamisi-lj5qn
    @AthumaniHamisi-lj5qn 5 หลายเดือนก่อน

    Wafunge na shule