Ushahidi Wa Maulid / Moja Kati ya Sababu Ya Kua Maulid Yanafaa ? Sheikh Walid Alhad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2021
  • Ushahidi Wa Maulid / Moja Kati ya Sababu Ya Kua Maulid Yanafaa ? Sheikh Walid Alhad
    Sheikh Walid Akifundisha Darasa la Tafsiri pale msikiti wa kichangani kila siku ya jumaanne baada ya sala ya Alasiri Usisahau kufuatilia vipindi vyetu vyote tafadhali subscribe ili uwe wa kwanza kuona vipindi vyetu Asante
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us On Paypal 👇👇👇👇
    www.paypal.com/paypalme/Darsa...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 82

  • @sokotvonline8845
    @sokotvonline8845 3 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Walid Allaah Akulipe Kheri Kwa Kazi Kubwa Inayoifanya.

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 2 ปีที่แล้ว +2

    MAA SHAA ALLAH WASHUKRAN JAZILLAH

  • @uthaymaanashshiraaziyy2413
    @uthaymaanashshiraaziyy2413 9 หลายเดือนก่อน

    ماشاء الله
    صلوا على سيدنا محمد

  • @saadaabdallah7473
    @saadaabdallah7473 3 ปีที่แล้ว +4

    Tumswalieni Mtume SAW Allah atulipe kheri

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 ปีที่แล้ว +2

      allahu mmaswali alla muhammad wa alaa ali muhammad

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว +1

      Allahum swali wasallim alaih

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Allahumaswali wasalim wabarikalleh

  • @abuumudhakkir5090
    @abuumudhakkir5090 3 ปีที่แล้ว +5

    YAA SUBHAANALLAH huyu jamaa kweli kaishiwa na hoja sasa ameamua kuja na hoja za kubambanya bambaya yaani suraul-kauthar ndi imekua dalili ya maulid. Ha! huu ni mtihaniiiiiiiiiiiiii

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว +1

      wee toa hoja acha ujinga unakataa ukweli mbwa ww

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Ww hasidi ya mtume

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Sasa ww ungesema suratul kauther inasemaje ww ni uhasidi tu

    • @user-fb7xt4kr1s
      @user-fb7xt4kr1s 9 หลายเดือนก่อน

      Mtihani kweli kweli sheikh wangu

  • @ANASMATIWILI-x5x
    @ANASMATIWILI-x5x 3 วันที่ผ่านมา

    Ndo sifa ya masufi kujibu wasichoulizwa na kubadilisha maana

  • @MussaZombwe-du4pj
    @MussaZombwe-du4pj 9 หลายเดือนก่อน

    Q.2:78,2:

  • @yusufmohamed-tz6fd
    @yusufmohamed-tz6fd 2 หลายเดือนก่อน

    Tafsri za kisufisufi za kutetea baatwil zao

  • @abuushaakir9582
    @abuushaakir9582 2 ปีที่แล้ว +1

    Aliekutangulia katika ulamaa ninani???

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b 10 วันที่ผ่านมา

    Misufi wanajua kuliko maswahaba kheri zote ibada zote kuliko hata Mtume mwenyewe
    Siku kweli hao wafuasi wengi wakisoma mjue hata miskiti yenu hawata swali kwa namna wanavyoelezwa tafsiri kinyume na uhalisia

  • @salumasaa7933
    @salumasaa7933 ปีที่แล้ว +1

    Sawa nimekukubal

  • @OMAR-se6rb
    @OMAR-se6rb ปีที่แล้ว

    Anae kutukuza ww kwa ngoma

  • @mohdmud4324
    @mohdmud4324 ปีที่แล้ว +1

    sina shaka na maulid
    mwenye shaka na maulid na akae shaka zake

    • @ummhajer
      @ummhajer ปีที่แล้ว

      I’m so

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wafundishe hao mawahabi watoto wa bachu

  • @fouzi_bin_yamani
    @fouzi_bin_yamani 10 หลายเดือนก่อน

    Masahaba walifanya lini mailid? Inamaana nyie mnampenda kuliko masahaba wake?

  • @abuushaakir9582
    @abuushaakir9582 2 ปีที่แล้ว +1

    Unababaika tuu aliekutangulia katika ulamaa akasema tafsir ya hizoo Aya ndo maulidi ninani????

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Ww wahabi ilimu hamuna wala uwelewa wenu mdogo

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan
    Tuna yaapendaa maulidi

    • @shariffjuma7974
      @shariffjuma7974 2 ปีที่แล้ว

      Mpaka mbele ya mwenyezi mungu ayatolee ushahidi

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 2 ปีที่แล้ว

      @@shariffjuma7974 Ayatolee ushahidi wamanisha alete mtume mwengine au. Ayatolee ushahid vipi,, na wakat anae swaliwa ni nabii wakee na Allah alisema ni wa mwisho hatotokea nabii mwengine zaidi yake sasa ushahid wa nn wataka
      MIMI nikuambie tu kitu kama waona hakikuingii basi bora uachane nacho sio ukaae kusikiliza weee half ufk mwisho ukatae kwann hukuachaa kablaa na.usha jua dhamira ya kitu hiko kuwa wew huendani nacho kwann ukae kukitumia baada ya kushiba Ndio utole dosarii

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว

      @@shariffjuma7974 wee kakutolea ushahidi? wee unaepinga ushadi unao au unaropokwa2

  • @sittacharlesmaendeleo778
    @sittacharlesmaendeleo778 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwel maarifa yako madogo asee

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Toa yako makubwa mahasidi wa mtume

  • @mubarakahatwibu398
    @mubarakahatwibu398 ปีที่แล้ว

    Kweli hayo ni màalifa yako ni nani katika maulamaa wa tafsiri walio tafsiri hivyo acha kuleta maarifa yako kwenye quran ww

  • @ibn_maleeqqeibraheem_188
    @ibn_maleeqqeibraheem_188 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ww wacha kupotosha umma,watu wambieni wafate sunnah zake sio mangoma yenu ya maulidi na kutwaa ayah za Allah mkitoa tafsiri zenu....

  • @bemindfulofurswalah
    @bemindfulofurswalah ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu mtume salalahu caleyhi wasalam alifunga saum siku ya kuzaliwa kwake ambaye ni jumatatu..na haku amrisha masahaba kusherekea wewe kama unampenda mtume salalahu caleyhi wasalam mbona unalifanya katika dini jambo ambaye hajalifanya na unaliacha ile ambaye alifanya

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว +3

      Soma suurat yuunus aya ya 58 utaelewa na sio kila ambacho mtume hakufanya basi hakifai kufanywa na kama ukisema hivyo haya tuambie lini mtume amefanya mashindano ya Quran kuwakusanya watu viwanjani? Soma ndugu yangu acha kukremu mambo

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว

      Alafu hawa wapinga maulidi wengi sio waislam ww hata namna yakumswalia mtume hujui ati salalahu, mzee acha ujinga kama umetumwa kujakuvuruga wiislam kwa uwezo wa Allah tabaaraka wataala hamuwezi

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว

      Apa apa2 unajulika hujui hata kuisoma quran wasanlama wee unasema wasalam mjinga jaahir

    • @engineerkhamis9275
      @engineerkhamis9275 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@matataoneproduction5355 Sema: Kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake! Basi nawafurahi kwa hayo. Haya ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya..
      10:58 Qur-an.
      Hebu nipe Elimu nami, Je aya hiyo inanasibisha vipi kufurahia Maulid kwa Magoma. ?

    • @Mwagogoonlinetv0534
      @Mwagogoonlinetv0534 หลายเดือนก่อน

      Wewe rudi dara sani Allah hakusema alilo liacha mliache bali alisema alilo likataza mliache siyo alilo liacha mliache rudi class

  • @abilugome7461
    @abilugome7461 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtetez wa bidaa kajitokeza

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 11 หลายเดือนก่อน

    Huna la kusema bwana
    Hapo haijatajwa maulidi
    Lakini wewe unatoa ushahidi wa kunjunga.
    Elewa kwamba maulidi Ni Uzushi katika dini
    Haifai,dini imekamilika

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  11 หลายเดือนก่อน

      ELEWA KWANZA NDIYO UBISHE

  • @sittacharlesmaendeleo778
    @sittacharlesmaendeleo778 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha kutafsir kwa matakwa yako we jamaa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Tafsiri ww kondoo

    • @Mwagogoonlinetv0534
      @Mwagogoonlinetv0534 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na adabu shekhe mtume anasema dini ni adabu wewe hufikii hata theluthi ya elimu yake kisha unamuita jamaa hiyo ndio sunna sio angalia kuna dini na dili zinafanana hizo kaka huwenda ukawa upo kwenye Dili

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 ปีที่แล้ว

    Na barazanji ililetwa na nani na ni miaka mia ngapi tangu mtume kufariki

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Imeletwa na Ahlubeit jaffar barzanji wasemaje tutamsifu mtume s a w

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@fikafikan8484
      Afadhali Barzanji wewe ulikuja lini duniani?

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@shilingi-Ahmadi sasa ww wataka kujua mm nilikuja lini duniani itakusaidia nn wacha nikwambie kitu kizuri mwanzo ujijue ww umekuja duniani kufanya nn na ujue Allah ni nani na malaika wake na mtume s a w na ufanye ibada kwa ajili ya Allah na mtume wake lakini ukitaka kujua mtu kazaliwa lini haitokusaidia kitu katika maisha yako umenielewa insha Allah

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 10 หลายเดือนก่อน

      @@fikafikan8484
      Sasa wewe ukijua maulidi yalianza lini

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      @@shilingi-Ahmadi niambie ww yalianza lini nikinukia naona maulid mm

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 11 หลายเดือนก่อน

    Maulidi ilianza lini?

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe kwani umezaliwa linj

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 10 หลายเดือนก่อน

      @@shilingi-Ahmadi swali halijibu swali nimeuliza maulidi ilianza lini? Kma hutaki kunijibu s unyamaze

  • @omaryhashim8431
    @omaryhashim8431 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh acha huna hoja kabisa maulid ni bidaa

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 ปีที่แล้ว

      wee lete hoja bac tuone

    • @Mwagogoonlinetv0534
      @Mwagogoonlinetv0534 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenyewe piya ni bidaa rudi darasani ukasomeahwe ujue bidaa kua ninini

  • @issaally7928
    @issaally7928 ปีที่แล้ว

    Maulidi bidaa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Sawa lskini bida ya kheri ndani yake kwasomwa quran ndani yake yuwaswaliwa mtume alafu ndani yake kwa twaja mambo mema kuinukia kwake na mpaka mwisho wake na tabiya yake sasa si nijambo jema wasio mjua mtume watamjua kwa kusifiwa kwake

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhhhh hoja za kubambanya

    • @hosseinrashidi2240
      @hosseinrashidi2240 3 ปีที่แล้ว +2

      Mm mwenzak lkn uyo shekh hatr tusome kwanza

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hosseinrashidi2240 uhatar wake uko wapi kijana,yani hata hao maulamaa wenye kutetea hiyo maulidi hawajawahi kuleta hoja hiyo yake ya kituko,nani ktk maulamaa wenye kutegemewa ktk tafsiiri wametafsiiri aya hiyo,kama alivyotafsiri yeye

    • @abuubakariamiri1037
      @abuubakariamiri1037 3 ปีที่แล้ว

      Hoja ya mshiko ni kusoma na siyo kubisha bisha tu kisa umekalili hiki hapana, kwanza tusome zeni ndiyo tutaufahamu ukwel

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 3 ปีที่แล้ว

      @@abuubakariamiri1037 kwan nani kapinga kusoma? Mi nimesema hoja zake ni pofu,atafute walau hoja zenye kueleweka

    • @abuubakariamiri1037
      @abuubakariamiri1037 3 ปีที่แล้ว

      Kama zake pofu emu weka zako habeeb .. ili tusome kwako habeeb zako .. inaelekea zinamacho mazr ... utupe faida