Mashaa Allah nasaha zangu naomba tumsikilizeni sana shekhe wetu huyu huyu ni shekhe kweli kweli kuna baadhi ya mashekhe wetu tuna wahishimu sana lakin kiti kinawalewesha sasa lakin sio huyu Allah Akubarik shekhe
Mtume S.A.W.alisema sema ukweli japo kuwa unamaumivu sema.kisha sikumoja shekhe walid siku moja tena sehemu ngumu sana alisema walio fanikiwa wote walikuwa wanasema ukweli nimeshuhudia shehe anaishi ju ya ukweli hata mm nimesema ukweli msikizeni sana shekhe walidi hakika huyu ni mrithi wa mtume
Kama shekh anavyosema mtume swalalahu alaiyhi waalihi wasalam hakuwahi kuwatukana maswahaba’ sasa leo vipi tuwe pamoja na wanao watukana maswahaba? Allah akulipe shekh kwa nukta hii
@@yazidumussa3144 nawe utasema eti umekaa chini ukasoma dini 🤣🤣sasa mwanafunzi si ndo anamuwakilisha sheikh wake kwa hyo kama ww uko hvo mwalimu wako 🤣🤣🤣
namkubr sana hyu shekh yupo vema,tatzo sisi waambie haoo,
Mashaa Allah nasaha zangu naomba tumsikilizeni sana shekhe wetu huyu huyu ni shekhe kweli kweli kuna baadhi ya mashekhe wetu tuna wahishimu sana lakin kiti kinawalewesha sasa lakin sio huyu Allah Akubarik shekhe
Njaa tu ya pilau kupenda kulakula
MashaaAllah! Kigogo hicho chahekima, Allah akuhifadh shekh Walid
Mtume S.A.W.alisema sema ukweli japo kuwa unamaumivu sema.kisha sikumoja shekhe walid siku moja tena sehemu ngumu sana alisema walio fanikiwa wote walikuwa wanasema ukweli nimeshuhudia shehe anaishi ju ya ukweli hata mm nimesema ukweli msikizeni sana shekhe walidi hakika huyu ni mrithi wa mtume
Maneno machache yenye kueleweka MashaAllah
Allah akupe umri mrefu
Shukrani sana sheikh kwa ujumbe mzuri
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum
MASHA ALLAH.
Mashaallah Mashaallah
كثر الله من امثالكم وسدد الله خطاكم
Amiin
امين
أتسأل الله اكثار اهل البدع زي هؤلاء
أشنع بدعائك!!!!
Ni kweli kabisa tatizo sisi 😳
Sheikh asante
Masha Allah
Leo ume ongea kama shekh Muhammad Ayyubu kabisa shekh
Mmmh
Dah!hekima kubwa sanaaa umeitumia Sheikhe wangu.
Kama shekh anavyosema mtume swalalahu alaiyhi waalihi wasalam hakuwahi kuwatukana maswahaba’ sasa leo vipi tuwe pamoja na wanao watukana maswahaba? Allah akulipe shekh kwa nukta hii
Tatizo sisi
HUO NI UKAFIRI INAMAANA KABLA YA MTUME HAKUKUA NA BINAADAMU AMA
Acha uchizi said wewee asingekua mtume smw tusingekua kwenyeuwongofu mwehuwewee
Subhanallah
Gogolbahar
Mashaallah Shekhe Waldi Allah Akuhifadhi
Jinga hili cjawahi kuona chini ya jua
@@yazidumussa3144 Utaulizwa na Allah cku ya kiama utoe ushahd was maneno yko
@@yazidumussa3144 nawe utasema eti umekaa chini ukasoma dini 🤣🤣sasa mwanafunzi si ndo anamuwakilisha sheikh wake kwa hyo kama ww uko hvo mwalimu wako 🤣🤣🤣
@@yazidumussa3144muogope Allah