SEHEMU YA 9 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2024
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 86

  • @naimaabdallah4002
    @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh idi nashukuru watowa huja bila kutukana nitakufwatiliza kuanzia sasa mngu akuhifadhi

  • @mohamedomary2887
    @mohamedomary2887 5 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah sheikh endelea kutoa elimu Kwa mawahab

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sheikh Muhammad eid.wallah Allah atakulipa.

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 5 หลายเดือนก่อน

    Shekh letu ABUU IDD .. Zidi kubwaga NONDO ..

  • @user-lo1uk8dp5f
    @user-lo1uk8dp5f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah jazaka llahu khaira tunapata uelewa kidogo kdgo inshallah

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran shukran sanaa sheikh kwa ubainifu mzuri

  • @alhabibymasoud3445
    @alhabibymasoud3445 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ kwa ajili ya dini

  • @user-xx7ox6bj7c
    @user-xx7ox6bj7c 5 หลายเดือนก่อน +1

    shukrani sheykh.tunaomba ututajie namna gani tutapata vitabu hivyo

  • @jumaamohamed4203
    @jumaamohamed4203 5 หลายเดือนก่อน +1

    Marhabaaaaaaaa
    Unasomeka vyema sana mwamba wewe ni jiwe kubwa,,,,,,
    Lakin kua makini hao unao watoboa na huo uongo wao hao mawahabi ni matawi ya mayahudi kwahio usile nao wala usinywe nao kwa usalama wa maisha yako.

  • @user-mj2pe4xy7v
    @user-mj2pe4xy7v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sheikh Allah atakulipa na zitabakia hizi vizazi vitasoma

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe.. yani nazidi kuwa mbali na hawa makafiri ( mawahabi )

    • @darajanida
      @darajanida หลายเดือนก่อน

      ndugu yang nakuomba sana wacha kuwaita waislamu wezako makafir

  • @user-sm1ux6nj7b
    @user-sm1ux6nj7b 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uwahabi ni uasi

  • @user-lo1uk8dp5f
    @user-lo1uk8dp5f 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah sheikh tunakuelewa vema kabixa

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 5 หลายเดือนก่อน

    Waislam,
    Mkitaka uhakika wa kila linalo wakwaza njooni kwangu. Masheikh, wanazuoni,, na wengine wote na madhehebu yote.
    Mimi nasoma habari zinazotokana na mbinguni moja kwa moja. Ila siwalazimishi. Ila yanayokuja mjuwe ndiyo yatakayo walazimisha. Nayo ni mwelekeo kuwa ile safari yetu imekaribia.
    Mimi si mwanafunzi wa yeyote miongoni mwao wanafunzi wenu. Ila ni HAKI INAYOKUJA KUITETEA HAKI ILI WATU WAIJUWE HAKI, PASIJE KUWA NA HOJA SIKU HIYO MBELE YA MOLA WETU KUWA HATUKUJUWA.
    Napatikana Toangoma Block 13 Plot 76 Mtaa wa Upendo No. 11.

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo unachelew sana kutoa mpaka tunasahau

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 5 หลายเดือนก่อน

    Mashia hamna mpya nyinyi bana

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 5 หลายเดือนก่อน +1

      Acha uchizi wewe. Sasa hapo kuna ushia?

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ametuamrisha tusiitane majina ya kejeli kumbuka, dhambi kwako

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa wapi sheikh kaita majina ya kejeli wakati sheikh kasoma kitabu hilo jina la mawahabi lilivyo tumika

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 5 หลายเดือนก่อน

      Unachoongea nikweli kabisa, Ila mawahabi wao ndo wakwanza kuwatukana wenzao.

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 5 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kejeli hapo. Hivyo ni vitabu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 5 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi mupoo😂😂

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni kulazmisha mambo imetajwa kufunga we unasema kula

  • @rashidikibuna8575
    @rashidikibuna8575 5 หลายเดือนก่อน

    Hao hata kwenye uwahabi wamepitiliza hao nimayahudi wao na wafuasi wao.

  • @user-xb5jm6of7n
    @user-xb5jm6of7n 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi kusema shekhe bangi ziko kichwani n katika sun pia,,

    • @matanohassan9667
      @matanohassan9667 5 หลายเดือนก่อน

      Wacha KUTUKANA kama huwezi sikiliza fuatilia Vitabu huwezi Wacha uchoko we vipi wafananisha bangi Na Suna yaani hii katika MITANDAO itakaa Hadi Kiama labda ufute ila kesho utaulizwa

  • @salimabddala3758
    @salimabddala3758 5 หลายเดือนก่อน

    USO WAKE NAANZA KUBADILIKA

  • @abuunutsamuonlinetv2703
    @abuunutsamuonlinetv2703 5 หลายเดือนก่อน

    Soma vizur wewe muhamad idd

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 5 หลายเดือนก่อน

      Asome nini sasa. Kwani hivyo sio vitabu vyenu?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 4 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi akili zao ni mbovu wallah

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r 4 หลายเดือนก่อน

    Wenye akili timamu hawawezi shawishika na maneno hayo ,bali haki itabaki kuwa haki,alie zoeya kucheza Miziki na ngoma ndio anaweza shawishika, lakini haki ixha tambulika kitambo, uzuxhi utabaki kuwa uzuxhi,

  • @kimchinakucha834
    @kimchinakucha834 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio mana tamta mana hajielewi watu wamekupuuza

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 5 หลายเดือนก่อน

      Soma hivyo vitabu kwanza ndio umuone sheikh hana maana

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 4 หลายเดือนก่อน

      Tamta hawakumfukuza na mpaka leo ana wadhifa mkubwa pale Tamta .. na pia ana uongozi ktk kuiendeleza Tamta

  • @rashidyusuphmwatebela8802
    @rashidyusuphmwatebela8802 5 หลายเดือนก่อน

    "فهم الإنسان إذا كان له هوى"

  • @CivilTechTutor
    @CivilTechTutor 5 หลายเดือนก่อน

    mzee kafufuka tena

  • @mohamadathman5961
    @mohamadathman5961 5 หลายเดือนก่อน

    Utazikwa peke yako

  • @twalibmohamed2494
    @twalibmohamed2494 5 หลายเดือนก่อน

    Hoja Hizo tayari zimejibiwa kielimu.
    Kwani hajaziona?

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 5 หลายเดือนก่อน

      Ehe tufahamishe zimejibiwa vipi na nani

    • @user-lo1uk8dp5f
      @user-lo1uk8dp5f 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi sijaona mwache aweke wazi kwakua ananukuu dalili kwenye vitabu vinavoaminika duniani

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 5 หลายเดือนก่อน

    Sheik amewafunua MAWAHABI leo,dalili hizo hapo.

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 5 หลายเดือนก่อน

    MAWAHABI sasa bisheni tena vitabu hivyo hapo,Kumbe uwahabi ni dhehebu!!

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona shekh watu wanaachana na maulidi, huoni kuwa yanaenda yakifa shekh.

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 3 หลายเดือนก่อน

      Maulid huzidi na yataendelea kuzidi ilaa yaumil qiyaamah

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 3 หลายเดือนก่อน

      Wala usijitie upofu

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 3 หลายเดือนก่อน

      @@noorululaatv8973 huoni shekh kama yanakufa. Tunataka yaendelee lakini sioni dalili shekh

  • @user-ty8le4vq7o
    @user-ty8le4vq7o 5 หลายเดือนก่อน

    SIO kila kinachoongewa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia namna walivyofahamu wema waliopita

    • @user-lo1uk8dp5f
      @user-lo1uk8dp5f 5 หลายเดือนก่อน

      Wema walopita ndo vitabu vinavotajwa hapo we fuatilia itikadi weka pembeni kwanza

  • @user-oe8nv2tw7w
    @user-oe8nv2tw7w 5 หลายเดือนก่อน

    MBONA KILA SIKU UNARUDIA HAYOHAYO TU?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 5 หลายเดือนก่อน

      Unaonyesha umesikiliza hapa mwanzo kisha ukawacha..

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wahabi atakaye jifanya haelewi hana akili kabisa

  • @kimchinakucha834
    @kimchinakucha834 5 หลายเดือนก่อน

    Bangi ulizo vuta bado zimo kichwani

    • @suleimanbilal3327
      @suleimanbilal3327 5 หลายเดือนก่อน

      miongoni mwa sifa za watu majahil ni kuwaona wasomi kama wajinga, tuzingatie hili tusije tukawa miongoni mwa hao.

    • @naimaabdallah4002
      @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

      Kumtukana si jawabu wewe ni mwislamu kua na akhalak mzuri

    • @naimaabdallah4002
      @naimaabdallah4002 4 หลายเดือนก่อน

      Mwisllamu haifai kumtukana mwislamu mwenzake mche mola wako

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 5 หลายเดือนก่อน

    Na ww umekubaliwa na nani? Maana mtume ndio ka toa tazkia sio ww

  • @twalibmohamed2494
    @twalibmohamed2494 5 หลายเดือนก่อน

    Si umeshaambiwa bid-aa zinazogawika Ni bid-aa ki lugha??
    Mbona huelewi WW Mzee?
    Ama kisheria Hakuna mwanazuoni aliezigawa HATA mmoja.

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe kweli hata uelewa mbovua yani hadithi inasema kila bidaa ww unasema bidaa kilugha kwan hiyo bidaa kilugha ipo nje ya kila bidaa??

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ni jahili wakiwahabi huna ujualo

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa watu wajinga hawatakuelewa​@@abubakarhussein2186

    • @user-ty8le4vq7o
      @user-ty8le4vq7o 5 หลายเดือนก่อน

      SIO kila kinachosemwa na shekhe ni sahihi kikubwa ni kuangalia ufahamu wa wema waliotangulia

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 5 หลายเดือนก่อน

      Mwambie asomee vizuri ibara

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 5 หลายเดือนก่อน

    UMEOTOA NAMBA TUKUULIZE ALAF TUKIKUULIZA HAUJIBU

    • @user-lo1ui8tb6b
      @user-lo1ui8tb6b 5 หลายเดือนก่อน

      Mwauliza kwa chuki za kiwahabi

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-lo1ui8tb6b
      Km nyie mnavyojibu kwa chuki za kikhurafiy.
      Mm nimemuuliza ktk whatsapp kwa heshma na tawaadhui..na akaahidi atanijibu nami nikasema sawa shekh..lkn mpk leo hajajibu kitu
      Na hata ukimuuliza kuhusu vitab hajibu

  • @twalibmohamed2494
    @twalibmohamed2494 5 หลายเดือนก่อน

    Kama utagundua HUYU Shekh amepuuzwa kabisaa kujibiwa Na mashekh Mana Hana jipya Ktk hoja

    • @niyonzimaaisha6159
      @niyonzimaaisha6159 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mumemuogopa

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 5 หลายเดือนก่อน +2

      Masheikh ni kwako kwtu sisi hatuwazingatii

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 5 หลายเดือนก่อน +1

      Chukua hivyo vitabu alafu wapelekee mashekhe zako alafu wamjibu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe amakweli unatakiwa upelekwe mirembe ukapimwe akili kama aliyozungumza sheikh si elimu

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 5 หลายเดือนก่อน

      Sheik katoa dalili ya vitabu, MAWAHABI ni dhehebu kaziyao nikutikana wenzao.