Hakika Nina Washukuru Sana Kwa Support na Upendo Wenu, Namuomba Yesu aendelee kufanyika Baraka Kwa kila Mmoja kupitia Wimbo Huu, kama Una Namba ya Mama Yako Embu chukua Simu na Umpigie na Umwambie Nakupenda Sana Mama, hata kama Unasiku Ujaongea nae Ukifanya ivyo Rafiki Utakuwa Umejichumia Baraka Kwake, Usikubali Kukaa Kimya Wakati mama Yako yupo Hai, kuna watu Wanamtafuta Mama Na hawato muona milele, Ila wako Yuko Hai Alafu Unamuacha, Embu Vunja Ukimya Uwo Kuanzia Leo, Unaweza Nipigia Simu Na kunipa Ushuhuda Kwa kile Ulicho Fanya, +255755832598 Au ukatuma SMS WhatsApp 🙏🙏🤝🙏🙏
You are my champion, my guardian angel ,I have been singing your songs ,kwa Sheree zote naenda na imefanya nitambue talanta ambayo imo ndani yangu ,natamani kukutana na wewe

Hongera Sana Mathias
Barikiwa sana kwa kazi nzuri sana hongera sana kamanda
Amen family 🙏🤝🙏
Kazi mzuri kaka
Sifa Kwa mungu
Mama mama mama mama mama 🔥🔥🔥🔥🔥 nice song kweli mama ni Kila kitu
Baba baba 🙏🤝🙏
Hongera sana
Amen director 🙏🙏🤝🤝🙏🙏
I always appreciate you... Mungu azidi kutukuzwa kupitia wewe...barikiwa mtumishi ufikie kusudi la Mungu aimen✨✨🥰
Amen Napokea Kwa Imani🙏🙏
Mungu akubaliki sana kazi nzuri 🎉🎉
Una kitu ndani yako utafika mbali endelea kuchuchumilia
Hakika MUNGU akukumbuke katika ufalme wake ujumbe mzur kwa kina mama
Amen Amen 🙏
Nice song
🙏🤝🙏
Hongera Sana my brother 🎉
Kazi safi sana mtumishi wa MUNGU
Amen🤝🤝
Ubarikiwe sana my kaka kwA Kazi nzuriii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen🙏🤝🙏
Huu wimbo umefanya nikukumbuke mamaangu 😢❤🎉nice song
Amen Amen🙏🙏
Mungu akubariki na endelee kukupa nguvu ya kuwatia wanyonge na waliokataliwa matumaini
Hongera sana mtumishi nakukubari sana hondwa
Amen nakupenda pia🙏🙏
Baba hii ni kubwa sna bosss
My Family 🙏🤝🤝🙏
MUTUMISHI wa bwana mungu akubariki Nataka tuwape eshima wa maman ôté kwayote walio fanya kwetu ivileo tuwe kamatulivyo pôle wa mama ote
Hongera 👏 sana mungu akuinue zaidii na zaidi massage nzuri sana hakika hakuna kama mama
Amen Amen Yesu Azidi kujitwalia utukufu wake🙏🙏🤝🙏🙏
Barikiwa sana hakika Mungu azidi kukutumia
Amen Amen🙏🙏🙏
Nice song 🙏 May Almighty God bless you 🙏 . Well done 👍
Amen Amen
Hongera ndugu yangu. wimbo mtamu sana 🔥🔥🙏🥲
Amen Ndugu yangu 🙏🤝🙏
Kwanza ni kumshukuru sana Mungu Baba yetu katika Yesu Kristo anaye walinda maman zetu sifa na utukufu zimrudilie yeye amina 👏
Amen Amen🙏🙏
Barikiwa mtumishi
Wow! Mama ni mama. Wimbo mzuri sana. God bless
Amen Barikiwa Sana🙏🤝🙏
Be blessed Mtumishi wa Mungu,nice message!
Amen Amen🙏🙏
Good song Man of God
Hakika Message iyi imenigusa San ! Ubalikiwe San .
Yesu ajitwalie Utukufu wake🙏🤝🙏endelea kubarikiwa zaidi
Wimbo mzuri🙏🙏may God bless our mothers
Amen🙏🙏
Hongera #Blood Nyimbo nzuri Mungu azidi kuku inua katika huduma aliyo kupaa 🔥🔥🔥
Amen blood 🙏🤝🙏
Hongera sana kaka Mungu azidi kukuinua kazi ni nzuri sana
Amen Amen🙏🙏
Hongera sana kaka yangu #Mama
My Family 🙏🤝🙏
You are my champion, my guardian angel ,I have been singing your songs ,kwa Sheree zote naenda na imefanya nitambue talanta ambayo imo ndani yangu ,natamani kukutana na wewe
Mungu akubarik san mtumishi wa Mungu
Amen Amen🙏🙏
Ubarikiweee sanaaa mtumishi mama ni mama
Amen nashukuru Sana🙏🤝🙏
Amen ,mama hana mupizani ni Mngu wa pili
Kabisa kabisa🙏🤝🙏
Nice song brother🔥
Hakika mama ni Jeshi la mtu mmoja😘🙏🙏🙏🙏🙏
Kabisa kabisa🙏🤝🙏
Mama ❤❤❤❤
Hongera sana kazi nzuri wamama Tumekumbukwa. Blessing
Amen nashukuru Sana dadaangu🙏🙏
😢😢😢❤
🤝🤝
Kaka kazi ni njema.mno...story,video,🔥🔥💪
Amen my family 🙏
Mungu awatunze mama zetu
👏👏👏hongera mtumish wa Mungu brother
Family 🙏🤝🤝🙏
Kazi nzuri sanaa Brother Mungu akubariki sanaa
Amen Amen🙏🙏
Mama ni mama hakika ni jeshi la mtu mmoja. Wimbo mzuri sana wa kushukuru Mama. Barikiwa sana na Yesu brother.
Amen Baba Namshukuru Kwa Upendo Huu kamanda🙏🤝🙏
Hongera kakaangu Hondwa
Amen Amen🥰🤝🙏
Kazi kubwa
Amen Amen 🙏🙏
Barikiwa sana mteule wa BWANA kwa WIMBO MZURI
Wa kukaya🙏🤝🙏
Hongera kaka nyimbo Kali sana
Amen brother 🙏🤝🙏
Wa ooh nice song, good massage and God bless you, keep you and lift you high in everything you do Serve of God❤🙏
Amen my family, Nawapenda Sana🙏🤝🙏
Ubarikiwe Sana mtumishi kazi ni njema mno
Amen karibu na uzidi kubarikiwa🙏🤝🙏
Hondwa mathias Hondwa From Nyamanoro mwanza ulienishawishi mimi kuimba uishi milele baba
Baba baba🔥🔥🔥
My Family 🙏🤝🤝🙏
Ubarikiwe sana
Amen Amen🤝🙏🙏
Mama, wimbo mzuri
Amen🙏🤝🙏
I really trust you my uncle,you are just the best,barikiwa sana baba Mungu azidi kukutumia kama chombo chake nothing much to say Salut.
Amen my uncle love you much🤝🙏🤝
Dah!! kaka umeimba sana wimbo mko mkubwa umenibariki sana
Oohh Amen Amen yesu azidi kujitwalia utukufu wake🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🤝🙏
Fundi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏹
Baba baba🤝🙏🤝
Good job
Amen 🙏🤝🙏
🙏🎹🙏🙏🙏
Bless you so much
My Daddy 🙏🙏🤝🥰🙏
Asante sana ubarikiwe 🎉❤❤❤
Mama yangu, Yesu Azidi kututunzia Wewe, Tunakupenda Sana, Sisi watoto wako🥰🙏🙏
♥kwa Mama woote Duniani 🤍
Amen amen🙏🤝🙏
Nice song 🙏 May Almighty God bless you 🙏 . Well done 👍
Amen Amen🙏🙏
I always appreciate you... Mungu azidi kutukuzwa kupitia wewe...barikiwa mtumishi ufikie kusudi la Mungu aimen✨✨🥰
Amen Napokea Kwa Imani🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🤝🙏
Be blessed Mtumishi wa Mungu,nice message!
Nashukuru Sana Ndugu yangu 🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥