Narudia ku comment kiukweli huu wimbo ni mzuri mashairi/sauti mpaka producer wetu #Gwamaka ameupiga mwingiiiiiii hongera sana ma young brother Hondwa Mathias
Congratulations to both of you....a new fan. Knew you from the story in Instagram about you two not seeing each other for five years . Such an encouragement. May God bless you abundantly 🙏
Nisiwe mnafiki, anayestahili kusifiwa ni MUNGU pekee aliyeviumba vitu vyote. Jina pekee lenye kupewa sifa ni Yesu Kristo. Unapoimba wimbo wa Kumsifu mkeo maana yake ule utukufu aliostahili kupewa MUNGU anapewa mwanadamu. Ukisoma kitabu cha Isaya 42;8 Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Ongezea na Isaya 48;11 Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu. Sio vibaya Kumsifia mkeo, mpe sifa mkiwa peke yenu lakini Nafasi ya MUNGU ibaki pale pale. Yeye ni mwenye wivu, huwapatiliza maovu wana wa baba zao (Kutoka 20:5) Mtumishi nikusihi, neema ya sifa umpe Mungu pekee, Amina
Duh sasa hapa amekosea wapi jamani kumsifia mkewe nako dhambi? Mbona hajatumia sifa kama ya Mungu amemsifia kawaida tu kama ambavyo mtu mwingine anaweza kumsifu mtu ampendae? Au wewe huwezi kumsifia mtu unaempenda au kumwambia amependeza jamani La muhimu kusifia kwa kiasi ndani ya Mungu tuu🙏🙏
Kwakeliii ata Mimi adi Sasa bado nakuuliza apo alichokosea Nini yaniliii jamaniii duuuh........ Mungu awatunze rafki zangu hondwa na Rachel nawapenda Sana❤️♥️
@@leticiadevine6886 huyu ni mtumishi wa Mungu anayeimba sifa za MUNGU mbele za watu, anapovaa jukumu la kumsifia Mkewe mbele ya watu, Mke anachukua nafasi ya MUNGU kwenye jamii,
Wewe kilichokuuma nini kumsifia mkewe Ni kosa nyie ndo tunawaita warolokole wa zamani pia Ni ushamba huo Kama uliona jaukafrahishwa na huu wimbo usingecoment bro sio kuanza kuchafua fraha ya watu na inaonekana wewe mkeo humpend ndo maana huwezi kumsifia Sasa hapo kakosea wapi hebu muwachee wa enjoy watu wa Mungu kuliko kuanza kuwapona kuwakoseshea amani
Narudia ku comment kiukweli huu wimbo ni mzuri mashairi/sauti mpaka producer wetu #Gwamaka ameupiga mwingiiiiiii hongera sana ma young brother Hondwa Mathias
Kaka yangu Tunakupenda Zaidi kaka 🙏🤝🙏
Nzr sanaa mtumishi wa mungu 🔥🔥🔥🔥
Mubarikiwe sana,binamu Rachel Na mme wako
May God bless you according to His riches in glory
Amen
Amen My papaa🙏🙏
Wow much love from Kenya,,sauti unayo Kaka,kila la heri katika ndoa yako na Rachel,May God bless you both 🙏🙏🙏
Mmependeza Sana watumishi wa MUNGU awatunze nawapenda mnooooooo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰
🙏🙏
Amen 🙏
My best song ever..sichoki kuusikiliza, you did the best Honda🔥🔥
Congratulations to both of y’all, big congratulations Rachel❤️🔥
Mungu asifiwe ii niujumbe muzuri sana na omba mungu nasi tiliye bakiya nyuma tuweze kufikishana Ku mwisho
Amen🙏🙏
Hatari Nawapenda sana 🔥😘
Amen🙏🙏
Kwetu church's ⛪️
Congratulations to both of you....a new fan.
Knew you from the story in Instagram about you two not seeing each other for five years .
Such an encouragement.
May God bless you abundantly 🙏
Hatari sana mtumishi wa Mungu
Mungu aendelee kukupigania utubariki kazi zenye viwango vya kimataifa namna hii ubarikiwe sana
Amen🙏🙏
hogeraa mmependeza
Nicely
Brother ngoma tammmmm sana Congratulations 👏👏🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Amen🙏🙏
❤️❤️🔥🔥🔥
🙏🙏
Mungu awatunze
Hongera Kaka kwa wimbo mzuri Sana mungu akubariki ktk uduma yko ya uimbaji
Barikiwa sana bonge la wimbo. Mungu aibariki ndoa yenu iwe ya baraka
Amen🙏🙏
🥰🥰god bless you for long life and your wife
🥰🥰Yesu awatunze ndoa yenu idumu daima👏👏
Nice Song My blood be blessed in good couple 🙏🏼🙏🏼
Ikawe kheri kwenye ndoa yenu🙏🙏Mmebarikiwa sana❤️❤️❤️
Amen🙏🙏
Hongera sanaa brother nyimbo ni kali sanaa.. Mungu aitunze ndoa yenu🙏
Amen🙏🙏
Barikiwa kwanyimbo nzuri
Amen🙏🙏
Nimeipenda
Amen. Wimbo mzuri sana. Mungu awafanikishe na kuwatangulia maishani.
Amen🙏🙏
Hatar San umetisha ,, Rachel Rachel 🫂🫂
Nice song Mungu awe nanyi
I just can't stop listening to this song. God bless your marriage, Rachel you have found a good husband.
Amen🙏🙏
Wow..wow... waiting is over
Congratulation 🔥
Nice song !
Amen Amen ,Barikiwa sanaaa mpendwa
Hatariii Sana my brother
Kaka bwana yes asifiwe
Umeupiga mwingi ndugu yangu
Hongera sana
Yan recho umetuacha hoi huku mpaka wivu mlivyocheza kwa madaha
Oohh Amen 🙏🙏
😍😍😍❤️❤️🥰🥰
You always never disappoint in any song you do ....have been following you since 2020 kutoka nikujue na umekuwa baraka mungu akubariki sana
Amen🙏🙏
God bless all
Bless you
Amen Dady 🙏🙏
Umu gole brother u never disappointed since I know kigomaaaaaa🌠✌🙌
Amen 🙏🙏
Waaao, Glory to GOD hit song brother
Amena
God bless you
🙏🙏
Nyimbo kubwa Sana
🥰😍😍😍😍
Asante kwanyimbo nzuri
Amen🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹
✊✊
❤😍🥰🥰
Nisiwe mnafiki, anayestahili kusifiwa ni MUNGU pekee aliyeviumba vitu vyote. Jina pekee lenye kupewa sifa ni Yesu Kristo. Unapoimba wimbo wa Kumsifu mkeo maana yake ule utukufu aliostahili kupewa MUNGU anapewa mwanadamu. Ukisoma kitabu cha Isaya 42;8 Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu.
Ongezea na
Isaya 48;11 Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
Sio vibaya Kumsifia mkeo, mpe sifa mkiwa peke yenu lakini Nafasi ya MUNGU ibaki pale pale. Yeye ni mwenye wivu, huwapatiliza maovu wana wa baba zao (Kutoka 20:5)
Mtumishi nikusihi, neema ya sifa umpe Mungu pekee, Amina
Duh sasa hapa amekosea wapi jamani kumsifia mkewe nako dhambi? Mbona hajatumia sifa kama ya Mungu amemsifia kawaida tu kama ambavyo mtu mwingine anaweza kumsifu mtu ampendae? Au wewe huwezi kumsifia mtu unaempenda au kumwambia amependeza jamani
La muhimu kusifia kwa kiasi ndani ya Mungu tuu🙏🙏
Kwakeliii ata Mimi adi Sasa bado nakuuliza apo alichokosea Nini yaniliii jamaniii duuuh........ Mungu awatunze rafki zangu hondwa na Rachel nawapenda Sana❤️♥️
@@leticiadevine6886 huyu ni mtumishi wa Mungu anayeimba sifa za MUNGU mbele za watu, anapovaa jukumu la kumsifia Mkewe mbele ya watu, Mke anachukua nafasi ya MUNGU kwenye jamii,
Wewe kilichokuuma nini kumsifia mkewe Ni kosa nyie ndo tunawaita warolokole wa zamani pia Ni ushamba huo Kama uliona jaukafrahishwa na huu wimbo usingecoment bro sio kuanza kuchafua fraha ya watu na inaonekana wewe mkeo humpend ndo maana huwezi kumsifia Sasa hapo kakosea wapi hebu muwachee wa enjoy watu wa Mungu kuliko kuanza kuwapona kuwakoseshea amani
@@madamneema7626 ulokole hauna uzamani, Waebrania 13:8
Nzuri sana kaka ni fire
Hongera sana
Mungu awatunze
Hongera sana