Nakusali Katina jina la Bwana Yesu, nimekuletea nyimbo ya kesho yako Video nikukaribishe kutazama naimani itakuinua kiimani na kukutia nguvu mpendwa (amina)
To all orphans that were abadoned by the loved ones and relatives know that God will never abadon you He will change your pain to testimony 🙏😭bado kidogo Tu just wait and how God works I pray because I know he never fail 😭 heaven will talk🙏
Still giving all hopes to the Lord because the Lord we pray isn't a deaf that he can't hear our prayers and cry....bado kidogo aweke sighn🙏😭😭😭my tomorrow is greater because he lives
Hongera sana na Mungu akurinde naakupe nguvu kikweri iyi nyimbo inanikumbusha mingi nimepitiya acha uyu Mungu aitwe Mungu juu anaistahiri sifa nautukufu
hii wimbo lazima ijaze 1000,000 viewers katika jina la yesu its a powerful son nasikiza tena na tena
😭😭😭😭 miinii muisilamuu ilaa nayionaa iyii soong kilaa sikuuu
Hatari 🔥 🔥 wimbo mzuri sanaaaaa
Jamani wimbo mzuri sana unanipa nguvu ya kusha kweli Amina ubarikiwe sana
Huu wimbo unanibariki xna,,,kila nikiwa kwenye wakati mgumu nikiusikiliza napata nguvu,,,,,,kaka ubarikikiwe sana,,,,
Dah kiukweli mungu akubaliki wimbo mzur mpak mwil unasisimkaa jina la bwan lihimidiwe muwezaa wa yot
Ukosaw kaka mungu akupe kushindi zaidi
Nimeijua kupitia masanja, hongera hondwa powerful song
Also me
Kukataliwa ni njia nyingine ya kukubaliwa na kukingwa na maovu,nyimbo kali🔥🇰🇪🇰🇪
Mbali na wimbo, Producer wa hii beat anastahili pongezi sana.
Kaka umetixha xana kiukwel anae kukataa Leo anakupa nguv yakuxhindaaaaaaa Amen
Wanatupa nguvu za kushinda my brother in low 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 nimeipenda hiyo
Yaan huu wimbo huwa unanitiaga nguvu sana haswa nikiwa katika kipind kigumu ,,,,,ubarikiwe San🙏🙏🙏
Nyimbo nzur sana mtumishi ubarikiwe sana ....lkn....
Wimbo mzuri sana,na unatufundisha kuwa na imani ya kuwa Mungu yu pamoja nasi
Hongera Sana'a mdogo wangu kazi nzuri sanaa nimesjaisambaza snaaa
Asante Sana kaka
This Song should be at 1M+ views
Such a Mighty piece
May the heavens bless you Bro Hondwa
Barikiwaaaa mtumishi wa mungu .mungu aendereee kuwa pamjaa naweee.unafanya vinzr
My favorite song, huu wimbo kila nikiusikiliza unanipa moyo barikiwa sana
Barkiwa sana ndugu nyimbo inatufundisha kumtumainia mungu ktk kila jambo
onger bro mungu akuinue zaidii
Yani wimbo hu uwa unanipa nguvu yaku shinda sana ubarikiwe kaka ondwa
Kweli ww umetumwana mungu kuwapa imani watu wake penda San mungu akubaliki sana
Ajionavyo MTU ndani ya nafsi yake ndivyo alivyo, ubarikiwe sana kaka Mungu akuinue zaidi
Ile passion ya ku-feel uwepo wa yesu kila nikickilza hii nyimbo ,,,bless sana bro
Ubarikiwe sana brother nyimbo nzuri Sana
Balikiwa Sana brother,bonge langoma inatubarik saaaana ,inatujenga Zaid kiiman,Mwenyez Mungu akuinue juu,juuu zaid
Ee mungu nikumbuke kuptia wimbo huu tendaaa baba juu ya maisha yangu
Naiyona kesho yangu😭😭🙏🙏nimejikuta natokwa machozi
Barikiwa sana bro goma limetulia hakika linainua na pia siyo siri wimbo unashusha wingu la utukufu
Mungu azidi kukutukuza
This song reminds me of wat am going bt najua kesho yangu ni dhahabu💪💪💪
barikiwa sana mtu wamungu
Amina barkiwa sana Mtumishi naiona kesho yangu ya kuwashangaza maadui🥰🙏🙏🙏🙏
Amen kubwa 🙏 🙏 ubarikiwe sana
Haya mervin hongera toto umeonekana😂
This song is powerful just realized it it's derseve 1+million views woow amazing song bado kidogo story itabadilika much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nice song buda yani kila siku naskiaga huu wimbo
Dah kaka unanigusa sana misukosuko mingi tunapitia Mungu ukuzidishie balaka ufike mbali
Very powerful song watching through TH-cam in Qatar Doha praise be to God ur so blessed and ur going far in Jesus name.wakenya pitia na likes
God bless you 😥😥😥😥😥
😭🙏sure
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🧘🧘 bwana yesu asifiwe hakika tumebarikiwa mungu ni mwema
Hongera kaka nyimbo kali
Watanikubali badae❤❤
Mungu humbariki Kila mtu Kwa wakati hakika usichoke dharau za watu god is everything for the life
Kaka ubarikiwe sana. Mungu azidi kukuinua.
Naiona kesho yangu😭 Mungu akubariki kwa wimbo mzur
Mungu azidi kukuinua ma lovely bro❤️❤️
Ubarikiwe kaka wimbo mzuri sanaaaaaaa
Mungu akubariki kwa wimbo huu kaka yangu
Barikiwa kk
Aisee nzuri sna hii
Aki ubarikiwe Sana'a wimbo huu umeniguza
Nimeona kazi braza MUNGU akuinue zaidi
A good one man of God u are amazing,ad a blessing most to me yake nimepitia this song heals my hrt
Hongera sna hondwa u did it
AMEN KUBWA balikiwe sana
Barikiwa san Mtumishi.
Huu wimbo unanipa nguvu sana hata nikitaka kukata tamaa najikuta nguvu inanijia barikiwa sana bro ufike mbali🙏🏻💖
Wimbo mzuri sana hongera kaka
Wimbo mzuri sana kaka
Mungu akubariki umenipa iimani niendelee kungoja barikiwa
Hongera kazi nzuri.
Congratulations my Brother
To all orphans that were abadoned by the loved ones and relatives know that God will never abadon you He will change your pain to testimony 🙏😭bado kidogo Tu just wait and how God works I pray because I know he never fail 😭 heaven will talk🙏
Kali sana , one day God will uplift us
Barikiwa Sana my brother 🔥🙏🏼
👏pambana mungu ni mwema
The best inspiration song 👏🏿👏🏿.... The best message 👏🏿👏🏿...
The best Audio production ✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿
Bonge la wimbo Mungu azidi kukuinua
Barikiwa mnoooooo
Daaaaah what i can explain dt song god bless you 🙏🙏🙏
nice song brother 💜💜
Kaka Huu Wimbo Aisee... Nahisi Umeniimbia Mimi
Nzuri xana asee
Hongera sana. Kazi nzuri mno.#USA
Kabisaa🙏
ubarika San mtumishi wa mungu
Amina barikiwa mno
Couz huna tofaut na baraka de prince tofaut ipo kwenye content tu
Kabisa
AMINA AMINA. KAZI NZURI
God bless u ,,,😢😢😢Hii song iliniguza 2021 nikasikiza Kwa one week and my heavenly God made. A way for me🙏🙏🙏🙏
Nzur Sana kakaa
waaau safi sana nimebarikiwa sana
Still giving all hopes to the Lord because the Lord we pray isn't a deaf that he can't hear our prayers and cry....bado kidogo aweke sighn🙏😭😭😭my tomorrow is greater because he lives
Nzur san inanibariki san na inanipa nguvu yakupambana zaidi na zaid
Nyimbo kubwa sana kiwangy cha juu ila video ndogo mno! Ukubwa wa hii fanyia kaz video mpya. Nyimbo nzur sana
Barikiwa sana kwa ujumbe huu
Amen amen, very powerful song God bless you
Hongera sana na Mungu akurinde naakupe nguvu kikweri iyi nyimbo inanikumbusha mingi nimepitiya acha uyu Mungu aitwe Mungu juu anaistahiri sifa nautukufu
Wimbo mzuri ila angetoka na ulemtazamo also kua amekuja nao kwenye kava ya audio ingekua vyema zaidi
Ananitahd Sana aidia take mi kalisana abalikiwe
Amen,Amen🙏🙏
My favourite song.
Kama tai....
Stay Blessed Hondwa
Truthfully, nicely and blessed song, A singer you're so mature and great sinker
Ooh yes,more glory bro
Pale Mungu anapoweka saini
Mbingu kukubali
Dunia ikatii
Hii story itabadilika
Nitapaa Kama tai Kona zote Kama tai
Blessings 🙏..hondwa
Amen barikiwa
Nice song brother
TikTok has led me here ,what great song am lifted
nyimbo nzuri sana mtumishi wa mungu
Barikiwa hondwa M
Imenibariki Sana hi nyimbo🙏🙏🙏
Woyooo hongera mwanaa