Hondwa Mathias - Kesho Yako (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 298

  • @mauricelauson5920
    @mauricelauson5920 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzr sana ❤

  • @JamesGozbert
    @JamesGozbert 3 หลายเดือนก่อน

    Amen nyimbo nzuriii sanaaa
    Ambaoo tunayoo mwaka huu 2024
    Tu like hapaaa❤❤❤❤

  • @jessieboaz4592
    @jessieboaz4592 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyieeee Kwan m nilikua wap kuisikiliza hii nyimbo 😭😭😭😭😭daaah speechless ❤️❤️❤️❤️

  • @josephmwanakijiji4990
    @josephmwanakijiji4990 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa wimbo mzuri hakika nimebarikiwa Sana Mungu akubariki gonga like Kama umebarikiwa na wewe.

  • @lameckmbembati6636
    @lameckmbembati6636 4 ปีที่แล้ว +30

    Wimbo huu umenibadilisha sanaa?? mungu akubaliki mtumsh wa mungu? kam umekugusa weka like?

  • @yohanaleyan7790
    @yohanaleyan7790 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko na nyimbo nzuri sana hakika nikisikiliza nyimbo zako zinanitia nguvu na ujasiri kwani tunayoyapitia hakika mungu atatushindia god bless you kwa nyimbo nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @josephmsaki1932
    @josephmsaki1932 5 ปีที่แล้ว +24

    Duuu nyimbo zuri sana ,,wanao nikaaa Leo wananipa ngu ya kushinda ,safi sana. Nyimbo imeibwa kwa hisia ngonga like kama wakubali

  • @gozbertjames3028
    @gozbertjames3028 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @danieljohn8009
    @danieljohn8009 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilipata kuona kwenye status ya MTU ikabidi niitafute Kweli wimbo unaujumbe mzuri SANA barikiwa sana

  • @pyuritjuvenal7657
    @pyuritjuvenal7657 3 ปีที่แล้ว +10

    Wako wengi walinidharau San ndugu zangu nikiomba msaada hawanisaidii leo Mimi dactari Tena mungu kanisaidia kanipa sclorship kwenda nje ya country nimehitimu mwaka Jana 2020 Leo hiii wananiheshimu asanteeeee mungu

  • @clevermsigwa1560
    @clevermsigwa1560 4 ปีที่แล้ว +1

    nyimbo nzuriii sana mung akubalik uzid kutoa nyimbo bola zaid ya hii asante

  • @pillybakary5638
    @pillybakary5638 3 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi hondwa mungu azidi kukutambulisha hakika ujumbe ni bomba ile mbaya by elizabeth byejwe

  • @iluminanttanzania2988
    @iluminanttanzania2988 3 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu nimwema sana nyimbo nzuli kaka mungu azidi kikutumia Zaid na Zaid kaka ukape ufunuo Zaid uzidi tunga nyimbo Kali na nzuli zaidi Kama hiii nice songs for

  • @olivamaro2722
    @olivamaro2722 3 ปีที่แล้ว

    Sichok kuisikiliza inanibariki sana,

  • @gdggghh2052
    @gdggghh2052 4 ปีที่แล้ว +1

    Miimii nii muuisilamuu ilaa nayiipendaa xaaan

    • @AmbariTv
      @AmbariTv 4 ปีที่แล้ว +1

      Mee too

  • @kelvinchuwa2212
    @kelvinchuwa2212 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kama siyo leo bas kesho ila watanionea aibu hongera mwimbaji

  • @zainabujosefumsambwa6640
    @zainabujosefumsambwa6640 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikwerii baba Mungu akupe maisha malefu

  • @dorisjackson8146
    @dorisjackson8146 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri Sana umenigusa kwel bt nashindwa ku u danlod

  • @bupesauly2256
    @bupesauly2256 3 ปีที่แล้ว

    Bado kidogo istolia itabadilii

  • @tunaitwakiwovele7358
    @tunaitwakiwovele7358 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuja baada ya kuona tiktok!!kumbe ni miaka 2imepita !!stay blessed

  • @CATEMARKHEI
    @CATEMARKHEI 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana wa baraka zidi hivyo hivyo kaka mungu akuinue zaidi naipenda sana kila wakati naiskiza👏

  • @vitusikevini5839
    @vitusikevini5839 3 ปีที่แล้ว

    Kaka unajua sana mungu akubaliki

  • @esthermasima5215
    @esthermasima5215 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nyimbo inabariki sana bado kidogo history itabadirika

  • @NasoroSaidy-s3y
    @NasoroSaidy-s3y หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo hua unanitia moyo sana pale napochoka na kukata tamaa dah

  • @jonassyimon6250
    @jonassyimon6250 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏inanipa nguvu ya kushinda wimbo bora kwangu

  • @masharikicosmetics1054
    @masharikicosmetics1054 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri Sana mungu akubariki Sana kaka 🙏🙏

  • @jacklinngukwi3513
    @jacklinngukwi3513 2 ปีที่แล้ว

    Hakika nyimbo imenibarik San mungu azidi kukpngania uwe viwango vya juu

  • @mannsulisalim7970
    @mannsulisalim7970 ปีที่แล้ว

    Balikiwa Kaka nyimbo nzuli mungu akuweke viwango vya juu

  • @charlesjackson7511
    @charlesjackson7511 2 หลายเดือนก่อน

    Walinizalau lakiniii leo mungu ameniheshimishaaa nimekuaa msaaadaa kwao

  • @mariamzirojuma2157
    @mariamzirojuma2157 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kaka. Mimi kalinga . Mpaka jasho limenitoka

  • @cavinkevoh418
    @cavinkevoh418 4 ปีที่แล้ว

    Wanaona nikataa leo wananipa nguvu y kushinda

  • @chitalokaisi953
    @chitalokaisi953 3 ปีที่แล้ว

    Asante we mtumishii wa mungu nmeptaa nguvuu yakushindaa kwa jinaa la yesuu

  • @givenmsule6891
    @givenmsule6891 3 ปีที่แล้ว +1

    Daa 🙏🙏🙏🙏

  • @blandinakazumba7730
    @blandinakazumba7730 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur sana. Nikiskia wimbo huu nakumbuka mengi sana

  • @emmanuelngwiji2069
    @emmanuelngwiji2069 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nyimbo imenibariki mungu ndiye muwenza yote yawenza kwake

  • @nelsonachola3712
    @nelsonachola3712 4 ปีที่แล้ว

    wanaonikata Leo wananipa leo

  • @maphieemanuel3137
    @maphieemanuel3137 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya Bwana Yesu asifiwe hakika wimbo unanibariki na kunigusa mno ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @neemaafrica449
    @neemaafrica449 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana

  • @hassandazuuh1427
    @hassandazuuh1427 3 ปีที่แล้ว

    Amina baba naiwe vema mungu akujalia fulaha milele

  • @fulgenceniyubahwe8015
    @fulgenceniyubahwe8015 2 ปีที่แล้ว

    Hongela kijana nyimbo inavutia kabisa

  • @samsonjmary1393
    @samsonjmary1393 5 ปีที่แล้ว +13

    Bado kidogo tu story ya maisha yangu itabadrka nitaitwa mbarkiwa mshndi

  • @tabufredmakunga8436
    @tabufredmakunga8436 4 ปีที่แล้ว

    Axnt bother aminaaa

  • @shamimusindano2325
    @shamimusindano2325 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mungu aibariki kazi ya mikono yako

  • @agnessmkonda1924
    @agnessmkonda1924 4 ปีที่แล้ว

    Ameee wimbo mzrii sana amina bado kidogo historia yanguu itabadilika ooh haleluyaaa barikiwa sana

  • @emmilianstevene649
    @emmilianstevene649 3 ปีที่แล้ว

    mungu.akubarikii.sanaaaa.kaka.wimbi.wako.mzr

  • @esthermasima8440
    @esthermasima8440 5 ปีที่แล้ว +15

    Nyimbo nzuri sana kaka na inabariki sana napenda kusikiliza kila wakati ,,Barikiwa sana kaka

  • @deskorydominick3218
    @deskorydominick3218 2 ปีที่แล้ว

    Who is still with me listening this song this year 🔥🔥🔥🙏

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 2 ปีที่แล้ว

    Tulio letwa hapa na Godbless Lema tujuane✌️

  • @maggiekelimishajamiishow6670
    @maggiekelimishajamiishow6670 2 ปีที่แล้ว

    Imenitoa machozi naomba kuisambaza kwa TikTok

  • @nyiravumeradiana9670
    @nyiravumeradiana9670 3 ปีที่แล้ว

    Nashukulu saana kwawimbo.
    Uminitiya moyo nakupenda saana

    • @nyiravumeradiana9670
      @nyiravumeradiana9670 3 ปีที่แล้ว

      Rafiki yangu Mathias natamani kukuona usokwauso
      Umenikumbusha maisha yangu

  • @ismaelfreddywemafreddy7721
    @ismaelfreddywemafreddy7721 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatiye nguvu ,,huuu wimbo ndilo faraja langu,ninapo kuwa matatizoni

  • @theresiajohnmrimbo9446
    @theresiajohnmrimbo9446 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo umeniriki sana Mungu azidi kukutumia

  • @vanyahmed8937
    @vanyahmed8937 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakumbuka nilipo toka hadi machozi walio nikataa before ivi wako upande wangu asante YESU umenitendea mema History yangu imebadilika☀️🔥

  • @angestecy6093
    @angestecy6093 2 ปีที่แล้ว

    Badokido kaka yangu asante sana.

  • @aysherkitoi1845
    @aysherkitoi1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen naiona kesho yangu

  • @hamisayusuph5966
    @hamisayusuph5966 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wimbo una ujumbe mzuri

  • @vumiliagunda416
    @vumiliagunda416 3 ปีที่แล้ว

    Amina balikiwa san

  • @samueljames2009
    @samueljames2009 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongeze uwezo na nguvu ya kutunga jumbe nzuli kama hizi nice kwel God bless this song

  • @salomanmwanga3897
    @salomanmwanga3897 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe kibali katika mziki wako

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 5 ปีที่แล้ว +16

    Kazi nzuri kaka..wanaonikataa leo,wananipa nguvu ya kushinda🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mejadanieli8910
    @mejadanieli8910 3 ปีที่แล้ว

    nyimbo nzur kaka mungu akubariki

  • @doreennyakundi8826
    @doreennyakundi8826 3 ปีที่แล้ว

    Wow nice song 😢😢😢barikiwa

  • @moseslucas2414
    @moseslucas2414 3 ปีที่แล้ว

    Kaka ubarikiwe sn nyumbo nzr sn

  • @viviandaniel8976
    @viviandaniel8976 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongela mungu akubaliki San wimbo mnzuri San asantee

  • @dieumerciiraguhanikobahoze196
    @dieumerciiraguhanikobahoze196 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukusaidia nakukupa uzima wimbo unaleta ngufu na hamu ya ushindi ALELUYA AMINA 🇨🇩

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 3 ปีที่แล้ว

    Amina Kaz nzri mtumishi umenibaliki na ujumbe huu

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 ปีที่แล้ว

    Una kipji kikubwa san

  • @MIZUKAMEDIA
    @MIZUKAMEDIA 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli nimebarikiwa sana na wimbo huu, big up sana kakangu

  • @mariumoden3744
    @mariumoden3744 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki hakika nimebarikiwa san

  • @merlianynduva1142
    @merlianynduva1142 ปีที่แล้ว

    Hakuna nyimbo inayonibariki Kama hii naisikiliza usiku, mchana hata asubuhi na siichoki

  • @samueljames2009
    @samueljames2009 3 ปีที่แล้ว

    Nice songo nameipwnda sana hiiiiii

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 ปีที่แล้ว

    Dah huu Wimbo umenibariki

  • @janito7506
    @janito7506 3 ปีที่แล้ว

    Here straight from TikTok this song is awesome

  • @remykagoma3532
    @remykagoma3532 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo umenigusa sana

  • @alfredypeter536
    @alfredypeter536 4 ปีที่แล้ว

    Umetisha

  • @yohanajordan5473
    @yohanajordan5473 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenibaliki Sana kaka

  • @GospelclassicEnt
    @GospelclassicEnt ปีที่แล้ว

    Nice one🔥🔥💪

  • @deborahngomanje2328
    @deborahngomanje2328 2 ปีที่แล้ว

    Hiii nyimbo imegusa moyo wangu

  • @denismketo3717
    @denismketo3717 5 ปีที่แล้ว +35

    Nyimbo nzuri sana kaka Hondwa. Hakika bro una kipaji kikubwa sana, ingawa bado wakati wa Mungu haujafika kwa kipaji chako kuonekana ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu. Hakika wengi tunabarikiwa sana na utume wako kupitia nyimbo zako za kutafakarisha. Mungu aendelee kukutumia kaka, barikiwa mno.

    • @hondwamathias
      @hondwamathias  5 ปีที่แล้ว +2

      Nashukuru kwakunitia Moyo,Kesho Ya Kuinuliwa Yaja

    • @kipuyatibaraka725
      @kipuyatibaraka725 5 ปีที่แล้ว +1

      Kazi nzuri

    • @gmuasa70
      @gmuasa70 4 ปีที่แล้ว +1

      Naamini.mungu alieniumba ypo hatoniacha wala hatotuacha kamwe

    • @TheskyRainbo
      @TheskyRainbo 4 ปีที่แล้ว

      @@hondwamathias naomba nisaidie mawasiliano yako kama natamani nisapoti video yako maana nimesach sijaiona nafikir hujafanya

    • @fridafuraha9212
      @fridafuraha9212 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyimba nzuri sana. Gloire à Dieu

  • @agnesnabalayo4041
    @agnesnabalayo4041 4 ปีที่แล้ว +1

    Kesho ya kibali changu, God bless you 🙏🙏

  • @peterjackson6697
    @peterjackson6697 4 ปีที่แล้ว

    Hakika bro ukovizuli

  • @margaretkanji9785
    @margaretkanji9785 4 ปีที่แล้ว

    So blessing song ati wenywe kunidharao Leo Wananipa nguvu ya kushida bado kidogo story itabadilika in Jesus name waanze kuniita mbalikiwa

  • @neemadaud234
    @neemadaud234 3 ปีที่แล้ว

    Naiona kesho yangu ya kuinuliwa kwangu, ya kibali cha kushinda hakika MUNGU atanipa kibali

  • @doreecasdaniel1366
    @doreecasdaniel1366 ปีที่แล้ว

    Mwee wimbo umenigusa

  • @princeemmamunda4286
    @princeemmamunda4286 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo iliwekwa na Mungu kwako kama ujumbe wa moja kwa moja kwaajili ya watu wanaopitia magumu kukataliwa n.k. kama Yusufu kwa ndugu zake kumkataa Hatimae kumuuza akapitia magumu mengi sana kumbe ni daraja la kumfikisha ikulu Mungu akubariki sana rafiki yangu nakuombea kwa Mungu ufanye video yake na sisi tuko pamoja kukuunga mkono kwa kadri tutakavyowezeshwa

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 5 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri kaka nabarikiwa sana

  • @cinderellahkatila1226
    @cinderellahkatila1226 3 ปีที่แล้ว

    💞💕💓💞💕ukweli amen

  • @mickmichael8287
    @mickmichael8287 4 ปีที่แล้ว

    Naitwa mick michael .daah wimbo upo good sna bro mungu azidi kukuinua.

  • @missoderochannel
    @missoderochannel 4 ปีที่แล้ว +1

    Wembo huu unaupako mwingi sana .kesho yangu ni ya kufanya mungu aitwe mungu.asante sana kwa wimbo huu maana yake imekua ya kunibariki

  • @eliudhance6582
    @eliudhance6582 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kaka

  • @zenaazani5861
    @zenaazani5861 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mung kwa ujumbe huu

  • @mrsabdul7mrsabdul606
    @mrsabdul7mrsabdul606 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur sana lkn ukii download inakataa kwann

  • @winifridatairo6660
    @winifridatairo6660 4 ปีที่แล้ว

    Sauti yako tu kaka,,, naipenda mnooo
    🤗🤗🤗🤗😘😘😘

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 4 ปีที่แล้ว

    Kaka hondwa huu wimbo unabariki sana

  • @diegovanpersie5938
    @diegovanpersie5938 3 ปีที่แล้ว

    @Hondwa Mathias nabarikiwa sana na wimbo wako. Mungu akuinue

  • @pmweusi8906
    @pmweusi8906 ปีที่แล้ว

    💚💚💚💚💚💚💚 GUD song

  • @emmahazengaemmahazenga6531
    @emmahazengaemmahazenga6531 3 ปีที่แล้ว

    Tiktok imenileta hapa🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PROMOVERTVLive
    @PROMOVERTVLive 5 ปีที่แล้ว +4

    Nice song,utafaa kwa shuhuda zangu

  • @sophysulley1431
    @sophysulley1431 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azid kukupatia ujasir na kipaji cha kutunga nyimbo nyingine, thanks God blues you

  • @merysinangowidonttouchhapa305
    @merysinangowidonttouchhapa305 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakika Wimbo umenitia Nguvu Sana 🙏🏼🙏🏼