Hongereni sana Wana wa Mungu mbarikiwe sana Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza Najua mazinge atakuja na hao vibwagara wake siku moja maana wanaelewa somo watajifunza wawaongeze siku kwakua wapo kondoo wengi wa Bwana huko
Kosa sio kuzaliwa ukirsto bali kukufa ukiwa mkiristo ndo balaaaa na hasaara kubwa wlh direckt motoni bila huruma....kwa hivio tunawaombea ndugu zetu wakirsto Allah awaongoze katika njia yake ya haki ya uislam InshaAllah..Ameeen yaa Arhma raahimeen
@@naiknaik2816 shida yako ujuwi kujifunza unajua tu kukataa kwa hoja zinazotoka basi mwenye hekima anajua nini chakufanya maana ukiweka moyo mgumu hapo basi wewe ni miongoni mwa wale walioadikiwa hukumu kabla ya kuzaliwa ila na kuomba tafakari
Amina mwalimu wasilam Ni wapingaji WA Zama zetu kitu Wana juwa nikura Pirawu nakanzu huo Mzee ana Enda kuritadi anazeheka na usilam utapunguka Tanzania wengine kama huwo mbooooogo Hana kitu
Waislamu Wana Roho WA Mungu ili wamtambue Yesu akafa kazi Yao ni kupinga Kristo but nawahurumia Waislamu Sana Yesu atakapokuja mtajua mjui kumbe Ndacha alisema ukweli but sai mnapumua hakuna shida
I wish watu wangesikiliza hoja na maandiko wafanye maamuzi. Rafiki zangu muslims msikwamilie imani isiyo na msingi. Biblia mnapinga iliandikwa over 500years before Quran.
Kwa uhakika huyu pastor ndacha,amesoma vitabu hawa waislamu hawa wezi hi mada,imekua nzito kwao,kwa uhakika ubarikiwe wewe na paulo na uzidi kuafundisha hawa ndugu zetu
Mazinge huwa ni mjanja anapenda kutwist maandiko ndio iingiane venye anataka lakini amepeta mwalimu ambaye ni mhakiki kabisa ndacha mungu akulinde maana kabisa waisilamu hawawezi jibu hoja za wakristo
Ndacha ni mwalimu asiye wa mchezo ambaye hakusoma kama muhamadi s'il rahisi kusimamia naye atakuacha ukiwa unahangaika mazinge huyo humuwezi we mère katulie n'a mke wako tu humuwezi hata ucheze ngoma omba kanga ucheze mchiliku tu basi
@@omaryissa2562 mazinge ndo Hana hoja anarukaruka kama maharage Mara hili Mara lile anacho Jua ni matusi tu na matambo Alafu Kuna mdahalo wa matusi ntamualika laba huko atatoboa
Kama waislam wa Tanzania wanamtegemea kuwa Mazinge ndiye taa yao huu ni mshipa na Mbogo ni kipofu wote ni vipofu hii round Tanga kimeeleweka Uislamu ni msitu wa giza.
Mazinge kashawapanga watu ili waje kusilimu mbele za watu waonekane wamefanya kazi kubwa kumbe mchongo, humu kwenye comment karibu zote zinaonyesha waislam wana bambanya bambanya ili tu watetee uongo wao
MADA NYETI......WAKRISTO WANAONGELEA KUHUHU YESU KRISTO, ALIYEKUFA NA KUFUKA KULINGANA NA BIBLIA, NA WAISLAMU WANAONGELEA KUHUSU ISA BIN MARYA, HAKUFA NA KUFUFUKA KULINGANA NA KORAN... MADA INGEKUWA "JE, YESU KRISTO WA BIBLIA NI YULE ISA BIN MARYAM WA KORAN??????
Yeye ndie mwaminifu na wa haki Yeye ndie njia ya kweli na uzima mtu Haji kwa baba ila kwa njia ya yeye Kweli wewe una moyo mgumu kwa yote unayo skia bado tu ujajishauri
Mazinge muonye kwanini anatukana kukuambi we fara huyo niprofesa wamatusi elimu Hana huyomzee nikomedi ndiomana waisilamu wanampenda amejaza makaratasi mkononi hivi utasema etihuyo ndio mwalimu Tanzania waisilamu jamani
#AbdiAdan, kati ya Ndacha na mazinge nani anafuta pesa 😂😂hata angalia tu kwa huo mkutano uniambie nani akili zake ziko kwa pesa🤣🤣akina mazinge wanapenda mikutano kama hii ndio wapate pesa kutoka kwenu na waarabu si kufundisha ukweli
Hongera sana Paul msomaji ulieenda shule ambayo waislamu hawakuiona Mungu akubariki n'a familia yako muishi miaka Mungu Kwa jina la Yesu
Pr Ndacha and one reading you are doing great God bless you
Ndacha and team doing great job to show our brothers the light
Mwalimu Ndacha na Paul hongera Mungu awabariki na Roho wa Mungu aendelee kuwaongoza popote mlipo.
Amen pastor wetu Ndacha endelea kutetea YESU mbaka mwisho
Kazi safi mwalimu bàrikiweni sana
Barikiweni sana watumishi wa Mungu kwa kazi kubwa mnayoifanya.....mada umeipeleka vizuri imeeleweka kabisa
Barikiwa sana mwalimu ndacha na wedzako kwa ajili ya injili njema🙏🙏🙏
Mwalimu ndacha you always make me happy GOD BLESS YOU SO MUCH man of God
Hongera sana mwalimu ndacha 👏👏👏👏👏🇨🇩 tuko pamoja
Paul, ndacha and whole team 👍
Mwalimu ndacha na msomaji wako Mwenyenzi Mungu awabariki tu Sana.. Hapo najuwa waislamu wanaulizana wao kwa wao hivi uisilamu unatupotosha??
They know the truth but wameshindwa vile wanaama ukristo
Mwalimu Ndacha na Paul bila shaka Mungu amewabariki.
Manzinge uzee umemwingia kwa akili akiii🤣🤣🤣
Kazi nzuri prof yaani Mwalimu Ndacha vitabu vimejaa kwa kichwa
Yani kama Mazinge ndiye anategemewa kwa ulimwengu wa kiislamu, basi jahazi lao limezama.
Nafurahia sababu mtu mwenye akili ataona haki ilipo.
Umeona wee yaani wamepotea
Mazinge hanahoja nimatusitu
Ndacha nakukubali sana mwalimu
Kuwa muislamu si shida,hasara kubwa ni kubaki kwenye uislamu hadi Yesu arudi hapo kitaeleweka.
Sina cha kuwalipa mapastor wangu ila Mungu awalinde kila kona munayo enda kueneza Injili ya Yesu Kristo utukufu uwe juu yenu😊😊😊😊😊
When the king ( Jesus) goes to battle He takes his best soldiers....! Hongera walimu
Mwalimu Ndacha with your team mbarikiwe
Bwana yesu asifiweeee
Ndacha kazi nzuri
Hongera sana
Subhan Alla 😢
Hongera Ndacha na Paul, kazi safi bila dosari baraka tele....
Ndacha mwalimu mzuri sana points zake zinaflow vizuri yani mpaka unaelewa ila uyo mazinge akakojoe alale ajielewi😝
Yaani tangu nilianza kuwafuatilia nimebarikiwa na mafundisho yenyu pakubwa
Hii generation hatutaki uongo barikiwa Ndacha.
Ndacha nimekubali kabisa kweli hakika injili hii ikosawa kabisa mungu awalinde
Hongereni sana Wana wa Mungu mbarikiwe sana Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza
Najua mazinge atakuja na hao vibwagara wake siku moja maana wanaelewa somo watajifunza wawaongeze siku kwakua wapo kondoo wengi wa Bwana huko
Huyu mazinge ni Inalilahi kabisa. Uzee ni ugonjwa. Ni chakula iliyo ishiwa na ladha yake yote. Mbovu kabisa.
Hawa walimu wa kiislamu wananongonezana tu hapo nyuma kama mafarisayo na masadukai 🤣🤣🤣
kosa sio kuzaliwa muislam bali ni kufa ukiwa muislam mwenye masikio na asikie
Kosa sio kuzaliwa ukirsto bali kukufa ukiwa mkiristo ndo balaaaa na hasaara kubwa wlh direckt motoni bila huruma....kwa hivio tunawaombea ndugu zetu wakirsto Allah awaongoze katika njia yake ya haki ya uislam InshaAllah..Ameeen yaa Arhma raahimeen
@@naiknaik2816 shida yako ujuwi kujifunza unajua tu kukataa kwa hoja zinazotoka basi mwenye hekima anajua nini chakufanya maana ukiweka moyo mgumu hapo basi wewe ni miongoni mwa wale walioadikiwa hukumu kabla ya kuzaliwa ila na kuomba tafakari
@@naiknaik2816 mbingu ya nani mtaingia kama hamna Yesu hebu usituchekeshe jamani 😂😂😂
@@naiknaik2816 Mohamed anangoja kufufuliwa sasa ndo munamtwgemea kweli
Safi sana Paulo unajua kusoma kiarambo
Amina mwalimu wasilam Ni wapingaji WA Zama zetu kitu Wana juwa nikura Pirawu nakanzu huo Mzee ana Enda kuritadi anazeheka na usilam utapunguka Tanzania wengine kama huwo mbooooogo Hana kitu
😄 🤣 😂 mazinge bwana ety kafumaniwa sasa kafumaniwa na mkewe ama vp huyu mazinge aaaaaah
Mwalimu ndacha uwanja niwako wagonjwa ndio wanaohitaji matibabu ndio maana waislamu wamefurika kwa wingi wachome na sindano la neno mungu
Mazinge na group yke 🤣🤣🤣 hakuna siku mtajibu swali la Mwalimu Ndacha.....ovyoooo😏🤣🤣 .....Mungu awasaidie jamani waislamu
Duh waislamu wamekosa hoja kabisaaaa. Huzun kubwa kwa kweli
Waislamu Wana Roho WA Mungu ili wamtambue Yesu akafa kazi Yao ni kupinga Kristo but nawahurumia Waislamu Sana Yesu atakapokuja mtajua mjui kumbe Ndacha alisema ukweli but sai mnapumua hakuna shida
Allow people to download
Asante sana ndachi waambie
I wish watu wangesikiliza hoja na maandiko wafanye maamuzi. Rafiki zangu muslims msikwamilie imani isiyo na msingi. Biblia mnapinga iliandikwa over 500years before Quran.
Kwa uhakika huyu pastor ndacha,amesoma vitabu hawa waislamu hawa wezi hi mada,imekua nzito kwao,kwa uhakika ubarikiwe wewe na paulo na uzidi kuafundisha hawa ndugu zetu
Mazinge amebaki comedian
Mm nashaur waislama wasome vitabu vyote wengi awajui
Huyu Mazinge siku chache zijazo atakapoitwa jukwani atakuja alie kama mbuzi Kisha ateremke kwenye jukwa.......tayari ameanza zoezi hilo.
Nimegundua ya kuwa Hawa waislam wanatafuta ushindi badala ya maandiko mungu awasaidie sana 😢😢
Mazinge huwa ni mjanja anapenda kutwist maandiko ndio iingiane venye anataka lakini amepeta mwalimu ambaye ni mhakiki kabisa ndacha mungu akulinde maana kabisa waisilamu hawawezi jibu hoja za wakristo
Kaz nzur
Mbona waislamu wanagombana, badala ya kufundisha? Je wamelewa .
Amen
Ndacha ni mwalimu asiye wa mchezo ambaye hakusoma kama muhamadi s'il rahisi kusimamia naye atakuacha ukiwa unahangaika mazinge huyo humuwezi we mère katulie n'a mke wako tu humuwezi hata ucheze ngoma omba kanga ucheze mchiliku tu basi
Huna hoja piga kimya
@@omaryissa2562 mazinge ndo Hana hoja anarukaruka kama maharage Mara hili Mara lile anacho Jua ni matusi tu na matambo
Alafu Kuna mdahalo wa matusi ntamualika laba huko atatoboa
Wewe Ndacha unaenda kwa hoja wenzako wanaenda kihuni bila hoja ni ngumu kuelewana
Unaamini Yesu atakufa ila ajafa kweli mbogo akili zero
Mashallah ustadh mbog , mfundishe uyo ndach
Mbogo kashidwa kukanusha kufa kwa Yesu mwana wa Mungu 🤣
Uyo mbog ndio atulie afundishwe na Ndacha mbog matusii tupu ajielewi
Yaan kama Kuna waisilam wanafuata mazinge basi wanapotea hazarani aky ya Mungu
Yesu atasema je kafa wakati ameshakufa
Wah! NDACHA nimekuvulia kofia.Neema unayo kweli.umeleta mwamko mpya Tanga.Umeitetea injili kweli
Ndacha ni kidume mazinge ni nzige tu!
Ndacha mada imemuelemea vibaya 😄
Waislamu matusi ndp yamewajaa hamna hoka kabisaaaa. Aibu tupuuu
Kama waislam wa Tanzania wanamtegemea kuwa Mazinge ndiye taa yao huu ni mshipa na Mbogo ni kipofu wote ni vipofu hii round Tanga kimeeleweka Uislamu ni msitu wa giza.
Mbn umezika wakati Mwalimu anajibu swali ya Mtoto mama Hellen G-White
😴😴 mazinge unaniimbia lullaby song
Walimu wa kiislamu wako kama saba washindwa kuvunja hoja ya mkrrrrrriiiisto mmoja aah jamani waislamu
Ndacha kiboko
Kwahiyo mnawakataa mashehe wenu!? Na wamesoma kulikoni ninyi!? Du
Mazinge kwishel kabisa hajui data anachokuongea matusi na ubishi wa kipuuzi.
Mazinge kashawapanga watu ili waje kusilimu mbele za watu waonekane wamefanya kazi kubwa kumbe mchongo, humu kwenye comment karibu zote zinaonyesha waislam wana bambanya bambanya ili tu watetee uongo wao
Huyo jamaaa hawezi kujibu Hilo swali amechanganyikiwa,
MADA NYETI......WAKRISTO WANAONGELEA KUHUHU YESU KRISTO, ALIYEKUFA NA KUFUKA KULINGANA NA BIBLIA, NA WAISLAMU WANAONGELEA KUHUSU ISA BIN MARYA, HAKUFA NA KUFUFUKA KULINGANA NA KORAN...
MADA INGEKUWA "JE, YESU KRISTO WA BIBLIA NI YULE ISA BIN MARYAM WA KORAN??????
Ndacha tutumie namba za mitandao ya Tz tukutumie mafuta 🙏
Tumeni Kwa namba yangu ya kenya
@@BIBLIANURUYADUNIA tupo tz huku inatupa shida
Ukisikiliza mdahalo kwa makini ww unachambua hoja zao kwa maandika wao wanatoka nje ya mada na hawachambui chochote
amakweli mashee hawana kituu chichote maana kuruani inasomwa mnaikataaa kweli mnafanya mzahaa nakweli inaosomwa kwenye kuruani
Mazinge akiingia uwanjani ananiboo hana lolote ni vitisho tu
Hoja zako dhaifu
Ndacha inachekesha iti wingu jeupe
Sauti ilisikika halafu unasema tumsikilize yesu
Mazinge ameisha kama jembe.
Sikulaumu wewe na mazinge gora moja hahaha
Yeye ndie mwaminifu na wa haki
Yeye ndie njia ya kweli na uzima mtu Haji kwa baba ila kwa njia ya yeye
Kweli wewe una moyo mgumu kwa yote unayo skia bado tu ujajishauri
Yaan hakuna waisilam wanao comment ju wanajua walimu wao n hayawani hawajui wanalosema kwa mada
Damu imebubujika ni ya Immanuel wakioga wenye taka husafishwa kweliii hii I mwendae mazinge na group yake
Waislamu maskini hawana lolote. Hata ninawahurumia
Yani kama Mazinge ndiye anategemewa kwa ulimwengu wa kiislamu, basi jahazi lao limezama.
Nafurahia sababu mtu mwenye akili ataona haki ilipo.
Ama kwl Mazinge ndani mwake ni Shetani anaongea na huyo shetani amemzidi haezi kujinasua
Shuka jukwaani mzee umeisha ww
Halafu ilo swali lako unaropoka
Mazinge muonye kwanini anatukana kukuambi we fara huyo niprofesa wamatusi elimu Hana huyomzee nikomedi ndiomana waisilamu wanampenda amejaza makaratasi mkononi hivi utasema etihuyo ndio mwalimu Tanzania waisilamu jamani
Ndivyo walivyo wakishindwa na hoja kaz yao ni matusi tu hawana lolote
HIYO MADA YA KESHO UTASIKIA WAISLAMU WAKITAKA NENO UKIRISTO KWA BIBILIA SI TWAWAJUA HAWA TUU AWANA JIPYA KABISAA
Ndacha una udhalilisha ukristo
Wanaodhalilisha Kristo ni waislamu wanaomuita mwana wa Mungu eti mtume tu na hana chochote.
Hawa wafuasi wa marehemu Muhammad ni mbovu sana kabisa. Yaani watu wowote ambao hawakuuwawa bado hawajawahi kufa?
Ndacha wewe Bado hujui lolote silimu usidangaywe na pesa .
Pole sana ndugu. Sisi hatuwezi kumfwata marehemu Muhammad. Hatuwezi kuingia katika dini ya majini.
#AbdiAdan, kati ya Ndacha na mazinge nani anafuta pesa 😂😂hata angalia tu kwa huo mkutano uniambie nani akili zake ziko kwa pesa🤣🤣akina mazinge wanapenda mikutano kama hii ndio wapate pesa kutoka kwenu na waarabu si kufundisha ukweli
Uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ndacha kwa mahuri hayo iti ndo tuwe wa kristo