Mazinge mashallah Allah akubariki eti masheitan wanalala kwenye pua za waislam.mtume s.w ndie mjumbe ambae anapokea ujumbe kutokankwa Allah akatufundisha kwamba tabia za Majin hupenda kulala kwenye pua so ukiamka akatufundisha kwamba upenge kama mafua ..huwa anatoka na ukiangalia ni kweli yule ambae atalala akiamka apenge kama mafua bas atajiona mwepes kwa sabaubu masheitani huwa wanaziba njia za hewa hakika dini ya kweli mbele ya mungu ni uislam ,
Baba Ndacha Tunakuombea Mungu amekupa hekima kabisa katika kuongea nahao ma adui yetu wa Imani, nimeona wengi wao wameshindwa kujibu maswali Yako hata Mazinge kashindwa !!! Inasikitisha. Mungu aendelee kukujaza Roho wake n'a hekima kubwa ili uendelee kutetea Imani ilio ya kweli. Najiuliza umefanyaje Ku kariri maandiko Ayo yote maana sijakuona ukisimama n'a karatasi, hata Mazinge hawezi ilo!!! Anacho fanya ni Ku igiza nakuchekesha watu kama muigizaji ila maswali mengi majibu hayakupatikana upande wao. Ubarikiwe
Pole sana wa islam kwa majini alakini simuachane nayo pole sana alakini Pastor Ndacha ajadanganya nikitabu cha Koroani kinasema tusikatae nikweli tusiwe wajanja tukubali ukweli majini wamelaaniwa na Mungu.
Inallilah waina ilaih rajaun Msiba mkubwa Wasristo somen kitabu chenu Msimpende kusomewa tu kanisan au kwa miazara Fanyen akilizenu zikubari fikra mpya
Shukran Sana mwalim mjinga Ndacha kwa Weye kuwa tiya ujinga wa kristo wenzako 😂😂😂😂 wallahi msiba mtupu / mashallah Amin Rabbi Allahouma Amin walim WETU wa ki Islam ALLAH wenye kuwa na ujudhi wa kufunza jamiiii takbir ...........
Yaani waislamu wenye akili na maskio watatafakari sana.wamama lilieni wana wenu wacheni ushabiki.wababa wanatafakari jisomeeni vitabu wacheni kusomewa.
@@mollel nenda kasome biblia Yako vizuri utapata hata yesu Mungu wako huyo alirogwa....kurogwa ni kawaida Kwa mwanadamu yeyote na Mungu alimpa Muhammad dawa ambayo ni Dua ya shifaa na huyo yesu aliyemtibu nani?
@@neptuneplutonium86mungu hat hana habari na mohamed ndo maana alikufa akiendaga yesu hakulongwa alikufa na kufufuka na akaacha mohamed uko maan ni mtume feki
Huyu jamaa Ndacha Mungu azidi kumfanyia wepesi ni mkufunzi mzuli sana Maana ukitaka kufundishana anafundisha ,ukitaka kejeli kweli atakukejeli. Lakini pia Nyote Mungu awafanyie wepesi Hili muwe nanafasi ya kufundishana vyema na sio kukejiliana. Hila Ukweli ndio unatakiwa tusifiche Hilo.
@@bustedislam3578 hapana sio hivyo ni vidume vya mwizi aliyelaaniwa yaani yesu na akapigwa kama nyoka na akasulubishwa na kufa kifi Cha aibu😂😂😂😂shetani ndiye kamsulubisha Mungu wenu yesu
@@neptuneplutonium86 acha kuwapotosha Watu ngoja nikwambie ukweli kbs...Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliteswa Msalabani kwaajili ya kusamahewa Dhambi za Ulimwengu Mzima....ata nyie Waislaam wenye dhambi Yesu amewaokoa dhambi zenu
Mwalimu Ndacha kweli wewe n kiboko umenyorosha Mashehe hadi kidogo waebe ..umewalainisha kma pasi y stima nakuombea mungu akuongezee nguvu uhubilie waislam ili waokoke na Jina la Bwana Yesu Christo liinuliwe Happy sabbath
Bwana asifiwe ni milcah kutoka voo SDA nakumbaliana na maubiri yako you are the Paul today may Almighty God bless you with holy spirit to guide you all through .na tunakuitaji huku kitui .
Hii mada ya majini Sioni sababu ya muisilamu kujitetea! Mwalimu Ndacha ameimaliza kupitia maandiko ya vitabu vyote viwili. Hata hapo Tanga angalieni kwa sign posts za waganga. Hakuna jina la Kristo linapatikana kwa hizo posters.
Jesus Christ is powerful, imagine all the immams verses one man pastor Ndacha answering and teaching these people. Be blessed pastor Ndacha. Instead of them teaching they are refuting what Ndacha is teaching...... believe in the Gospel and be saved
@@RIO-jf9mo Mamaake mungu wenu (yesu) alizaa akiwa mdogo na wewe pia muige. Sasa ndoa ya Muhammad inakusumbuaje wakati wazazi wa mke waliridhika? Soma historia ya mtume uelewe, Muhammad (S.A.W) alimchukua kama mkewe wakati alipofikisha umri wa kuolewa.
King of fake translation..king of lies...read your bible and learn the truth..ask yourself simple questions before listening to ndacha and other fake prophets,pastors.. bishops...
Hakika kweli uislamu ndio dini ya hakki......haikashifu kitu ama jambo mpaka ukueleze n nn kinacho kashifiwa......allah awaongoze walimu wetu wa kiislamu.....pamoja na mwalimu ndacha......mnasababisha watu kuijuwa uislamu
Kinacho waponza wakristo ni kutotaka kukubaliana na ukweli na kufata wanavyo tamani.ukweli majini ni viumbe jamii nyingine na watu na malaika,ila shetani ni sifa ya uasi(Yani ukiasi mungu Kisha ukashawishi wengine waasi ndo unakua shetani hatakama ni binadabu).Sasa majini hawaruhusiwi kushirikiana na wanadamu, lakini wapo wema na wapo wabaya,Tena wakiwa waislamu hutakiwa kuwa ndugu wao kwa wao.
Hili swala la majini sio geni kwetu sisi wakristo! ,,, tuna wajua hao toka zamani wanamiliki majini ndani ya milizao 😂,,,, mwalimu ndacha endelea kuwafundisha Mpaka kieleweke !
@@mohamdmohamd4842 Nenda kanisani ukaombewe alafu urudi hapa,,,, hivi una jua ni kwa nini wa ganga wa kienyieji wengi wao ni wa eslam ni kwa sababu wanatumia majini!! Mfate yesu ndugu yangu hachana na muhhamed ! Na siku ya kiahama mna hamini yesu hatarudi duniani sio Muhammad ni yesu sasa jiulize kwa nini asiwe Muhammad ? ,,,,,
@@lilwilson6283 Rudi Shuleni Wewe. Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani. Yaani hata Akili pia huwezi kutumia.Toa hilo Andiko kwa Bibilia YESU AMEINGIA KANISANI. Kitasimama Kiama ukitoa hilo Andiko.Haya Toroka kama Wenzio.
@@lilwilson6283 Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani.Wacha Ujanja.Nimekwambia Kitasimama Kiama Ukitoa hilo Andiko kwa Bibilia..kuwa Yesu Aliingia Kanisani. Nenda Ukawaulize Mapasta na Mapadri Wakupe hilo Andiko kwa Yesu Aliingia Kanisani. Mpaka Siku ya Kiama hutolitoa Wewe na Wenzako Wakristo Hilo Andiko.
Hawa jamaa ni ngumu sana kuwatoa kwenye Uislam maana Majini yanawaposha wasijue ukweli ili tu wawaamini kuwa ukweli wa Uislamna wao wanaitwa Waalimu hivyo Waislam wanawaaminisha wao ni Walimu wao, sasa kama Majini ni walimu sasa Mungu na Malaika wanakazi gani? fungukeni acheni akili za mgando wa kulazimisha watu Majini wako wazuri
1:Wakkiristo o hamuna kitabu cha kutegemea Kwanza toeni sababu ya kupoteza injili ya yesu mueke bibilia mbele. 2:Kisha museme bibilia alipewa Nani ju yesu hajui bibilia. 3:yesu hajui jengo la Janis's lina kaa vipi. 4:yesu anasema ametumwa Kwa kondoo was Israeli Tu. Nyi nyi munasema hapana.yaani kila Jambo munampinga yesu alafu munadai munampinga 5:je mume jiuliza wacristo Kwanini yesu Ali chagua jengo lake la Ibada ni msikitini. 6:Kwa nini musimuamini alie zungumziwa Kwa bibilia. efeso 1. 13 Hadi 14 hicho kifunugu mulize paster yoyote kanisani akujibu.kamanimkweli
Mimi na fuatilia huu mkasa mwanzo mwisho ila kuna kitu sijaelewa maana alicho kataa mbogo mazinge anakubali hivi Hawa mbona Wanabishiana wenyewe watupe majibu kamili
Pastor ndacha,is one Man having holy spirit, imagine one pastor verse whole Tanzanian imams, Jesus is the king Amen 🙏🇰🇪✝️✝️✝️✝️ ndacha is with Jesus Christ, long life Amen Amen Amen
Ndacha anaitaji camera hinayo honyesha Vizuri kwa sababu kazi hanayo fanya Sio kila mtu hana wenza. Kwa jina la Yesu huta pata camera nzuri mtumishi. 🙌🏾🙌🏾❤️
Ukweri sina ujuzi wala hekima iliyo bora kwenye mambo ya Mungu ila kwa kufuatilia pande zote mbili, naelewa sana mafundisho ya mwalimu wa wakristo sana tu. Nawaomba mzidi kutuwekea mtandaoni ili nasi ambao tuko Mbali tupate kumujua Mungu . Mbarikiwe watumishi wote (wakristu n’a waislam) kwa kazi hii maana kupitia ninyi tunapata kuelewa ukweri uko wapi
Ndacha Hana elimu yoyote.ispokua ujanja ujanja kutetea ukristo tu Ila katika midahalo mingi nimegundua yakua ndacha Hana elimu na mambo ya dini yoyote.
@@biznaz3559 shetani alimbeba ili ata sisi tujue kuwa shetani ako na majalibu kwetu, yaani tusimame imara kwa Jina la YESU Christo kwa imani na MUNGU hatakuwaja kamwe 🙏🙏
Kama kunawatu wagumu kuelewa ndio maana hata shule zao za Secondari au Primary wanafeli sana nje ya hapo waibe Mitihani nje ya hapo hawaelewagi kabisa ila tu kwanguvu za Majini hawana ujanja mpaka neema ya Mungu iwashukie
Toa Andiko sio Porojo..huko Skuli ndio umemaanisha Nini. Sasa Nani Mjinga wa Kusema Mungu(Baba) mungu mwana na roho mtakatifu. Halafu useme 1+1+1 = 1 Nani Kafeli hapo na Ujinga pia ako nao.
@@mohamdmohamd4842 Quran yenu inasema hatukupewa elimu ya rohoni ndio maana msikitini hakuna Roho Mtakatifu. Ila elimu ilio tolewa na majini Waislam ndio mnaamini exmp Majini walisema, Tumeisikia Quran tukufu nasi tumeiamini hapana shaka Mola wetu ni mmoja hakujifanyia Mwana wala hakuzaa. Hapo ndio Waislam mmesimamia kwamba Mungu hazai na Yesu sio mwana wa Mungu, hayo ni mafundisho ya Majini. Yesu katika Roho alikuwepo kabla ya Ulimwengu kuwepo na ndie anae samehe dhambi na ndie atahukumu ulimwengu hapo ndio utajua maana ya 1+1+1 hiyo unayo pinga
Mjinga ni mkristo asiyemjua Mungu wake. Mjinga ni yule mkristo anayemshirikisha Mungu Muumba mmoja. Mjinga ni mkristo anayesema yesu ni mwana wa Mungu.
@@neptuneplutonium86 Nacho kiona kwako we ni maamuma ambae chochote atakachosema Shekhe wako wewe unakubali bila hata kuhoji kwanini hiki na kwanini vile nje ya hapo ni majini ndio yanakuongoza
@@neptuneplutonium86 Mbaya zaidi maandiko kwenye Quran ya waislam imesema Allha ni neno na Allah ni Alfa na O mega sasa tumia akiliako huyo ni nani? kifupi hata sijui kama unajua Yesu kwenye Quran na Muhammad nani kaandikwa sana na mwenye makubwa zaidi ya mashekhe kuongea maneno yao midomoni eti mawaidha
Mbona mwayafukuza Kila siku mapepo kanisani na hayaishi? Kiti cha enzi Cha shetani kipo kanisani hata mkayakemea miaka milioni halitahama maanake mwandishi wa biblia ni shetani 😂
@@neptuneplutonium86 Si nyinyi Dio wenye mapepo wabaya na wazuri...na hamlali Kuleta mapepo.. mbona tuache kufukuza? You campaign for MAPEPO? Ama MUNGU?
Mazinge mashallah Allah akubariki eti masheitan wanalala kwenye pua za waislam.mtume s.w ndie mjumbe ambae anapokea ujumbe kutokankwa Allah akatufundisha kwamba tabia za Majin hupenda kulala kwenye pua so ukiamka akatufundisha kwamba upenge kama mafua ..huwa anatoka na ukiangalia ni kweli yule ambae atalala akiamka apenge kama mafua bas atajiona mwepes kwa sabaubu masheitani huwa wanaziba njia za hewa hakika dini ya kweli mbele ya mungu ni uislam ,
allah ni lucifer,itakuaje tena dini aloanzisha ni ya Mungu?
Dini ya kiislamu ni uongo,mmepotea
Baba Ndacha Tunakuombea Mungu amekupa hekima kabisa katika kuongea nahao ma adui yetu wa Imani, nimeona wengi wao wameshindwa kujibu maswali Yako hata Mazinge kashindwa !!! Inasikitisha.
Mungu aendelee kukujaza Roho wake n'a hekima kubwa ili uendelee kutetea Imani ilio ya kweli.
Najiuliza umefanyaje Ku kariri maandiko Ayo yote maana sijakuona ukisimama n'a karatasi, hata Mazinge hawezi ilo!!! Anacho fanya ni Ku igiza nakuchekesha watu kama muigizaji ila maswali mengi majibu hayakupatikana upande wao. Ubarikiwe
Ndacha! kweli wewe ni mwalimu,may God protect you
Pole sana wa islam kwa majini alakini simuachane nayo pole sana alakini Pastor Ndacha ajadanganya nikitabu cha Koroani kinasema tusikatae nikweli tusiwe wajanja tukubali ukweli majini wamelaaniwa na Mungu.
Inallilah waina ilaih rajaun
Msiba mkubwa
Wasristo somen kitabu chenu
Msimpende kusomewa tu kanisan au kwa miazara
Fanyen akilizenu zikubari fikra mpya
Atakaye silimu ni kheri na yake abakiaye kwa ukrixto xiku yakiama akiingia motoni aximlaumu mtu ila nafsi yake
Pastor Ndacha...Mm ni Roman Catholic natamani sn Sikumoja uje Kanisani Kwetu kututembelea na Kusali Pamoja.... Ubarikiwe Saana Mchungaji 👏👏👏👏👏
Yaani huyu jamaa hautaki uroma
Ndio mzidi kupotezwa 😂😂😂
Mimi nipo Congo mchungaji Ndacha mungu akulinde akuongezeye mwika duniani ya kuishi ni mimi bukili Léonard toka Congo Lubumbashi
Kazi nzuri sana. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo awabariki sana kwa kuihubiri kweli ya injili.
Fantastic sana ndacha songambele tume elewa vuzuri sana...
Shukran Sana mwalim mjinga Ndacha kwa Weye kuwa tiya ujinga wa kristo wenzako 😂😂😂😂 wallahi msiba mtupu / mashallah Amin Rabbi Allahouma Amin walim WETU wa ki Islam ALLAH wenye kuwa na ujudhi wa kufunza jamiiii takbir ...........
Mungu ajua
Ndacha anafundisha mpaka unaelewa,safi sana Mwalimu Ndacha
Ni Kwa sababu akili yenu na ya ndacha ni sawa,na elimu yake ndacha na nyinyi wakristo ni sawa ndio maana mnaelewana
Hapana ndugu mbona anasoma vitabu vyenu ndivyo vinaongea,si kitabu cha qurani kinasema majini yalisilimi na yanapenda Qurani sio bibilia
God bless you pastor Ndacha
Huyu chairman wetu Bahebe Mungu ambariki sana kwa kuandaa huu mkutano, yani waislamu wamejaa na ujumbe wameupokea. Aminaaa
Yani waislamu kujaa kawaida yao kwani wanapenda kheli
Ndacha kawamaliza kabisa mungu akubariki mtumishi ndacha🙏🏿
Ndacha kamaliza waislam hawana hoja
Waislamu haki Mungu awafumbue macho mjue mlipo sio sahihi mda ni huu mnaskia mkiambiwa sikieni mponye nafsi zenu
Ponya nafsi Yako kwanza ww kafiri
9:14 Marko, 😂😂😂 bibiliya gani mna soma nyinyi? Mbona waongo watupu tu daaah!!!
Hapo sasa 😂😂😂😂 aganojipya si jui agano la kale hapo ndio watu wanapochanganyikiwa vitabu viwili dini 1
Ni gazi kuumu warilmu ragini mungu awabariki sana warilmu wakiristo 😭😭😭🤔🤔💯💯🇸🇦💪
Mungu akubariki sana ndacha pamja Poul n awaongese miaka mingi
Ubarikiwe Saana,,, tena Saana Pastor Ndacha hakika Wewe ni hodari wa Kusoma na kutafsiri sn Biblia takatifu.... Tumsifu Yesu Kristo 😃😃🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor ndacha mungu akuongesee miaka
Yaani waislamu wenye akili na maskio watatafakari sana.wamama lilieni wana wenu wacheni ushabiki.wababa wanatafakari jisomeeni vitabu wacheni kusomewa.
We hunaakili sisi hatusomewi kwanza vitabu vyakutunga hatuvifati..tunafata muongoza wa Qur'an...
Waisilamu okokeni tena mu batiziwe katika jinala yesu kristo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
we mbwa sana
Na wasipo okoka kuzimu kunawasubili, njia pekeeee ni Bwana YESU tu
ndo maan mohamed mungu aliamuru alongwe ave kwa sababu ya kushirikiana na majini
Hilo jibu nakupa.. Mutamkuta Mtu Jina lake ni Bar Yesu ni Mchawi mkubwa.. Ongeza na hilo Andiko pia
Comment.
ndo iliye mloga mohamed kwa sababu ya kushirikia na majini na uchawi
@@mollel nenda kasome biblia Yako vizuri utapata hata yesu Mungu wako huyo alirogwa....kurogwa ni kawaida Kwa mwanadamu yeyote na Mungu alimpa Muhammad dawa ambayo ni Dua ya shifaa na huyo yesu aliyemtibu nani?
@@neptuneplutonium86mungu hat hana habari na mohamed ndo maana alikufa akiendaga yesu hakulongwa alikufa na kufufuka na akaacha mohamed uko maan ni mtume feki
Baada ya kujibu swali,unasema Ndacha kaja na gari ya bei mbaya,mara maaskofu,tupe jibu mjini ni ndugu zenu tujibu unazunguka sana,mbona wakwepa sana
Mungu akubariki sana mwalimu ndacha, pia tuko pamoja mwalimu wangu 🌹❤️ , Hongera sana 👏👏👏👏👏👏 🇨🇩 watching From CONGO
Huyu jamaa Ndacha Mungu azidi kumfanyia wepesi ni mkufunzi mzuli sana
Maana ukitaka kufundishana anafundisha ,ukitaka kejeli kweli atakukejeli.
Lakini pia Nyote Mungu awafanyie wepesi Hili muwe nanafasi ya kufundishana vyema na sio kukejiliana.
Hila Ukweli ndio unatakiwa tusifiche Hilo.
Naona ndacha umevuka viwango vingine ndugu Mungu akutie nguvu n akuongezee umri
amefika kiwango cha muongo number 1, hata aibu hana. kafiri yeye
Ndacha ataishia kusilimu
Waeslam mme ingizwa cha kike na waarabu
Mungu hajifichi ndacha atawanyoosha waislamu wote
😅😅 Wacha wazimu
Acheni janja janja....waislamu muokoke. Yesu ndiye njia ya kwel na uzima .....humtafika kwa baba ila kwa njia yake.
Mungu akubaliki sana Ndacha ...naona hapa uliibiwa mda sana...ila wakristo tunakuelewa sana
Namkubali sana mazinge .. dah natamani siku nikutane nae..
Huwa ywazunguka sehemu nyingi
Nakupenda Sana Pasteur mpiga wa islamu mimi Niko DR.Congo .
Maaa sha Allah,vidume vya Allah
Yaani vidume vya marehemu Muhammad, ndugu zao majini
@@bustedislam3578 hapana sio hivyo ni vidume vya mwizi aliyelaaniwa yaani yesu na akapigwa kama nyoka na akasulubishwa na kufa kifi Cha aibu😂😂😂😂shetani ndiye kamsulubisha Mungu wenu yesu
@@neptuneplutonium86 Nipe andiko ya hayo maneno yako inayosema ndugu yenu muislamu shetani kamsulubisha Yesu Kristo
@@neptuneplutonium86 acha kuwapotosha Watu ngoja nikwambie ukweli kbs...Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliteswa Msalabani kwaajili ya kusamahewa Dhambi za Ulimwengu Mzima....ata nyie Waislaam wenye dhambi Yesu amewaokoa dhambi zenu
@@bustedislam3578 muisalam ni ndugu wa muislam hivyo kama jini ni muislamu basi hao ninduguzetu waislamu
Mwalimu ndacha na team hongereni sana watching from Qatar
Wa fundishe hao wasio juwa ukweli, Na Mungu hakubariki Paster Ngacha
Ndacha Mungu akubariki Kwa mafindizo hayo . Ndugu ZA Makini hope wamesikia 🤣🤣🤣🤣
Mwalimu Ndacha kweli wewe n kiboko umenyorosha Mashehe hadi kidogo waebe ..umewalainisha kma pasi y stima nakuombea mungu akuongezee nguvu uhubilie waislam ili waokoke na Jina la Bwana Yesu Christo liinuliwe Happy sabbath
Waislamu nawaombea mfunguke macho
Bwana asifiwe ni milcah kutoka voo SDA nakumbaliana na maubiri yako you are the Paul today may Almighty God bless you with holy spirit to guide you all through .na tunakuitaji huku kitui .
Ndacha akika wewe ni mwalimu, Asante kwa kuwafundisha na kuwafunza waislam, wamkumbali Yesu na kumfuata yeye. Baraka tele wewe na familia yako......
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Excellent teachings from a superb Bible teacher..
Hii mada ya majini Sioni sababu ya muisilamu kujitetea! Mwalimu Ndacha ameimaliza kupitia maandiko ya vitabu vyote viwili. Hata hapo Tanga angalieni kwa sign posts za waganga. Hakuna jina la Kristo linapatikana kwa hizo posters.
Mazinge ana ya kusema kumaliza mda tu
Jesus Christ is powerful, imagine all the immams verses one man pastor Ndacha answering and teaching these people. Be blessed pastor Ndacha. Instead of them teaching they are refuting what Ndacha is teaching...... believe in the Gospel and be saved
Mazinge Allah akutuifadhie nakulinde
yani huyu ndacha nikiboko anapambana nawalimu wannee kweli nihatari ndacha
Hajui lolote
Ukosefu wa mawazo ndio shida yake
Hana lolote muongo mkubwa, ndacha ni mwalimu wa watu wasiojua dini
@@luluamin1388 hasa huyo Muhammad kuoa mtoto wa miaka sita ...mbona msimfwate mtume wenu nanyi msioe watoto wa miaka sita ...
@@RIO-jf9mo Mamaake mungu wenu (yesu) alizaa akiwa mdogo na wewe pia muige.
Sasa ndoa ya Muhammad inakusumbuaje wakati wazazi wa mke waliridhika? Soma historia ya mtume uelewe, Muhammad (S.A.W) alimchukua kama mkewe wakati alipofikisha umri wa kuolewa.
Ndugu Mungu akupe nguvu,wakristo tunakemea manjini ,itoke ndani ya wanadamu,ndio watoke kwa utumwa,blessing brother ♥️
Na hawatoki kabisa, sababu kitu cha shetani kipo kanisani. Maandiko ya bibilia yamesema
@@luluamin1388 kitu gani hicho Cha Shetani kipo Kanisani?
@@luluamin1388 Na andiko gn limeandika hvyo?
@@yohanakiyumbi4795 please soma ufunuo 2:12:13
😂😂😂😂ati jini zinapenda kahawa😂😂😂😂thats funny....
Safi Sana mwl nakukubali ,nipe Siri ya kuhifadhi biblia
Tunakuombea ndacha Mungu akutie nguvu Sana kwa kazi njema
Mazinge hamna kitu ni jini
afadhali ya Mzinge kuwa jini sasa huyu Ndacha nishetani anaepoteza wenzake na sikwamba hajui ukweli anafanya kusudi tu
Ndacha is the king of bible,east African Gospel teacher Proudly of being CHRISTIAN Amen 🇰🇪✝️✝️✝️✝️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ndacha kwisha6
@@abdikadirabdulahi731 JESUS REIGNS...
Bible has been rewritten many times to suit the lies, most of it is not Jesus words.its just lies formulated by liars
King of fake translation..king of lies...read your bible and learn the truth..ask yourself simple questions before listening to ndacha and other fake prophets,pastors.. bishops...
@@kajinjirashid5590 umemgundua uongo wake, wakristo wengi bado hawajatambua
Masha Allah DD Pro Mazinge Mungu akubariki Nafurahi sana
Nipo tiali kua mkristo ndach unafunza
waaah 😂😂mwalimu, yaani hii mada hatar sana, mmeipeleka vizuri imeeleweka... hatari sana hiyo haipingiki
Mazinge Hana point kabisa
Hakika kweli uislamu ndio dini ya hakki......haikashifu kitu ama jambo mpaka ukueleze n nn kinacho kashifiwa......allah awaongoze walimu wetu wa kiislamu.....pamoja na mwalimu ndacha......mnasababisha watu kuijuwa uislamu
Ndacha huko juu TU sana
Ndacha kiboko yenu atawafundisha kweli mtajua koroani hamuijui nazima n'a simu yangu ñangoja Ndacha
Nafurahia ndacha aujikoshi kwa watu kuwadanganya Lakini unawaambia ukweli tunashukuru Sana.Mungu azidi kukupa maono utufundishe.
Ndacha is hot on the floor
Kinacho waponza wakristo ni kutotaka kukubaliana na ukweli na kufata wanavyo tamani.ukweli majini ni viumbe jamii nyingine na watu na malaika,ila shetani ni sifa ya uasi(Yani ukiasi mungu Kisha ukashawishi wengine waasi ndo unakua shetani hatakama ni binadabu).Sasa majini hawaruhusiwi kushirikiana na wanadamu, lakini wapo wema na wapo wabaya,Tena wakiwa waislamu hutakiwa kuwa ndugu wao kwa wao.
Mungu akubariki sana mwalimu wangu ndacha hawa watu huwa ni wangumu sana kuelewa ila leo umewanyosha kiswaswa 😂😂😂😂 God bless you
Hili swala la majini sio geni kwetu sisi wakristo! ,,, tuna wajua hao toka zamani wanamiliki majini ndani ya milizao 😂,,,, mwalimu ndacha endelea kuwafundisha Mpaka kieleweke !
Hata kwa Wa Kristo pia Wako...tena huko Kanisani.(Kwa Jina la Yesu toka Wewe Shetani....) Hilo pia Useme au UComment. Utaelewa hapa kwa Comment pia.
@@mohamdmohamd4842 Nenda kanisani ukaombewe alafu urudi hapa,,,, hivi una jua ni kwa nini wa ganga wa kienyieji wengi wao ni wa eslam ni kwa sababu wanatumia majini!! Mfate yesu ndugu yangu hachana na muhhamed ! Na siku ya kiahama mna hamini yesu hatarudi duniani sio Muhammad ni yesu sasa jiulize kwa nini asiwe Muhammad ? ,,,,,
@@lilwilson6283 Rudi Shuleni Wewe. Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani. Yaani hata Akili pia huwezi kutumia.Toa hilo Andiko kwa Bibilia YESU AMEINGIA KANISANI. Kitasimama Kiama ukitoa hilo Andiko.Haya Toroka kama Wenzio.
@@mohamdmohamd4842 ww ndo ukarudi shule hivi unajua mahana ya kanisa? ,,, yesu haki rudi hapa duniani sijui mta kua wageni wa nani ,,,,
@@lilwilson6283 Toa Andiko Yesu aliingia Kanisani.Wacha Ujanja.Nimekwambia Kitasimama Kiama Ukitoa hilo Andiko kwa Bibilia..kuwa Yesu Aliingia Kanisani. Nenda Ukawaulize Mapasta na Mapadri Wakupe hilo Andiko kwa Yesu Aliingia Kanisani. Mpaka Siku ya Kiama hutolitoa Wewe na Wenzako Wakristo Hilo Andiko.
Huyu Mzee mazinge sikuhixi ni comedian
Kwa yesu kuna Raha, mapepo na majini wote wanahabudu mungu mmoja ndio maan kuna ushirikiano
Elimu hauna ndio maana unasema Hilo...majini kaumbwa na Mungu huyo mmoja aliyekuumba ww hayawani usiyejifahamu
Ni hasara tupu ukiristo
@@neptuneplutonium86 🤣🤣🤣🤣🤣huna unalojua
Hawa jamaa ni ngumu sana kuwatoa kwenye Uislam maana Majini yanawaposha wasijue ukweli ili tu wawaamini kuwa ukweli wa Uislamna wao wanaitwa Waalimu hivyo Waislam wanawaaminisha wao ni Walimu wao, sasa kama Majini ni walimu sasa Mungu na Malaika wanakazi gani? fungukeni acheni akili za mgando wa kulazimisha watu Majini wako wazuri
Kwa mungu si ngumu,watabadilika tu
Na kuwelewa kwao ni ngumu
Yale Mapepo makanisani Moote Yanatoka Wapi .
Wahadhiri was kiislamu mW/mungu awalinde .mzidi kutuelimlsha na kutupandisha imaani na akhera muingie peponi bila hisabu
1:Wakkiristo o hamuna kitabu cha kutegemea Kwanza toeni sababu ya kupoteza injili ya yesu mueke bibilia mbele.
2:Kisha museme bibilia alipewa Nani ju yesu hajui bibilia.
3:yesu hajui jengo la Janis's lina kaa vipi.
4:yesu anasema ametumwa Kwa kondoo was Israeli Tu.
Nyi nyi munasema hapana.yaani kila Jambo munampinga yesu alafu munadai munampinga
5:je mume jiuliza wacristo
Kwanini yesu Ali chagua jengo lake la Ibada ni msikitini.
6:Kwa nini musimuamini alie zungumziwa Kwa bibilia. efeso 1. 13 Hadi 14 hicho kifunugu mulize paster yoyote kanisani akujibu.kamanimkweli
😂😂😂😂😂eti arabuni ndo umeshtuka,
Nawapenda sana Mimi Niko apa Congo R d c nawafata Tano juu yatano.
Pastor ndacha mungu awe pamoja nawe
Uislam ni kujisifia hakuna kitu kweli mnamaji
Jambo baba ndacha. Mubarikiwe sana, ila tusaidoyeni kupata hivyo vitabu vya kislamu, kama ulimwengu wa majini na vingine
Mashallah Allah
Ndacha uko sawa
Ndacha ubalikiwe.
Mimi na fuatilia huu mkasa mwanzo mwisho ila kuna kitu sijaelewa maana alicho kataa mbogo mazinge anakubali hivi Hawa mbona Wanabishiana wenyewe watupe majibu kamili
Kakristo munguh awabarikih sana
Pastor ndacha,is one Man having holy spirit, imagine one pastor verse whole Tanzanian imams, Jesus is the king Amen 🙏🇰🇪✝️✝️✝️✝️ ndacha is with Jesus Christ, long life Amen Amen Amen
Soma uelewe ufahamu uko chini xana Acha ushabiki ww
Poleni sana waislamu hamuelewi kabsa halafu kina mazinge wamejaa porojo tu hakuna wanalo lijua
Ndacha anaitaji camera hinayo honyesha Vizuri kwa sababu kazi hanayo fanya Sio kila mtu hana wenza. Kwa jina la Yesu huta pata camera nzuri mtumishi. 🙌🏾🙌🏾❤️
Nawapenda mnavyovumiliana mwatusaidia kujua ukweli.
Safi mazinge
Kwakweli Mazinge ni msanii bora sana
Comedy mazinge
Hahahaha😂😂😂 ndacha na vitabu vyake vya chochoroni
Ukweri sina ujuzi wala hekima iliyo bora kwenye mambo ya Mungu ila kwa kufuatilia pande zote mbili, naelewa sana mafundisho ya mwalimu wa wakristo sana tu. Nawaomba mzidi kutuwekea mtandaoni ili nasi ambao tuko Mbali tupate kumujua Mungu . Mbarikiwe watumishi wote (wakristu n’a waislam) kwa kazi hii maana kupitia ninyi tunapata kuelewa ukweri uko wapi
Ni kwa sbb ndio imani yako iliko
@@maymunamakungu6265fuata chumaaaaaaaaaaa
Ndacha Hana elimu yoyote.ispokua ujanja ujanja kutetea ukristo tu Ila katika midahalo mingi nimegundua yakua ndacha Hana elimu na mambo ya dini yoyote.
Kweli 😊
Safi mbogo
Bwana wetu YESU Christo ainuliwe👆👆👆👆 amen 🙏
Na shetani alimbeba nini boda boda au? Jibuni
Ni kweli ni bwana wenu🤣😂
@@bakariomari3692 hakuna kitu kitanitenge na bwana YESU Christo milele na milele 🙏🙏
@@biznaz3559 shetani alimbeba ili ata sisi tujue kuwa shetani ako na majalibu kwetu, yaani tusimame imara kwa Jina la YESU Christo kwa imani na MUNGU hatakuwaja kamwe 🙏🙏
@@jacklinenyangau3843 Allah akuongoze in sha Allah kwenye njia iliyo nyooka
Masha Allah awabariki Masheke
dancha mungu akubariki
Ukiijua Kweli itakuweka Huru
Napenda sana hii midahalo 😂😂😂
Prof DD Allah akupe afya njema na na umri zaid mrefu ili uzidi kuwanyoosha hao Makafiri wasiokua na muelekeo wowote🤣🤣🤣🤣
Kama kunawatu wagumu kuelewa ndio maana hata shule zao za Secondari au Primary wanafeli sana nje ya hapo waibe Mitihani nje ya hapo hawaelewagi kabisa ila tu kwanguvu za Majini hawana ujanja mpaka neema ya Mungu iwashukie
Toa Andiko sio Porojo..huko Skuli ndio umemaanisha Nini. Sasa Nani Mjinga wa Kusema Mungu(Baba) mungu mwana na roho mtakatifu. Halafu useme 1+1+1 = 1 Nani Kafeli hapo na Ujinga pia ako nao.
@@mohamdmohamd4842 Quran yenu inasema hatukupewa elimu ya rohoni ndio maana msikitini hakuna Roho Mtakatifu. Ila elimu ilio tolewa na majini Waislam ndio mnaamini exmp Majini walisema, Tumeisikia Quran tukufu nasi tumeiamini hapana shaka Mola wetu ni mmoja hakujifanyia Mwana wala hakuzaa. Hapo ndio Waislam mmesimamia kwamba Mungu hazai na Yesu sio mwana wa Mungu, hayo ni mafundisho ya Majini. Yesu katika Roho alikuwepo kabla ya Ulimwengu kuwepo na ndie anae samehe dhambi na ndie atahukumu ulimwengu hapo ndio utajua maana ya 1+1+1 hiyo unayo pinga
Mjinga ni mkristo asiyemjua Mungu wake. Mjinga ni yule mkristo anayemshirikisha Mungu Muumba mmoja. Mjinga ni mkristo anayesema yesu ni mwana wa Mungu.
@@neptuneplutonium86 Nacho kiona kwako we ni maamuma ambae chochote atakachosema Shekhe wako wewe unakubali bila hata kuhoji kwanini hiki na kwanini vile nje ya hapo ni majini ndio yanakuongoza
@@neptuneplutonium86 Mbaya zaidi maandiko kwenye Quran ya waislam imesema Allha ni neno na Allah ni Alfa na O mega sasa tumia akiliako huyo ni nani? kifupi hata sijui kama unajua Yesu kwenye Quran na Muhammad nani kaandikwa sana na mwenye makubwa zaidi ya mashekhe kuongea maneno yao midomoni eti mawaidha
Mbogo amechanganyikiwa. Badala ya kuelimisha watu , anajitetea.
Yaani mmi najivunia kua muislamu kwa elimu nzuri sna yenye hekima wakirsto kwa ni kkurupukwa tu
Inalilahi kabisa. Yaani unajivuniya dini ya majini? Kuwa mfuasi wa marehemu Muhammad ni balaa kubwa...
Msiba huo
Ndacha unajua kuwapa vitu vizuri
Bibilia. Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha shetani, ........Ufu 2:13. Ndio mana munawakemea makanisani na bado wamekwamia humo ndani
Uislamu ni sarakasi kwakweli anachofundisha mwalimu ndacha ni kirahisi mno ila akija mwalimu wa Kiislamu ni mtihani
kweli waislamu watanga womelowana wanona mambo nimageni kwao someni msipelekwe pelekwe tuu naona mmesikia mmechoka hoi
huyuu mzee mbwebwe tuuu hamnaa kituuu
Ndacha ameshindwa hhhhhhhhh
Kwa kweli Kwa mada hii,Ndacha uko juu,watafute mada nyingine,
Ndacha ni kidume Cha kweli katika imani
Ndacha anaujua ukweli ila njaa tu
Wewe ndasha uko mtu Waimana sana Mungu akurinde
Mazinge amelemewa
Mungu amuongezee miaka Ndacha
Mapepo yafukuzwe Kwa Jina la Yesu...
Mbona mwayafukuza Kila siku mapepo kanisani na hayaishi? Kiti cha enzi Cha shetani kipo kanisani hata mkayakemea miaka milioni halitahama maanake mwandishi wa biblia ni shetani 😂
@@neptuneplutonium86
Si nyinyi Dio wenye mapepo wabaya na wazuri...na hamlali Kuleta mapepo.. mbona tuache kufukuza?
You campaign for MAPEPO?
Ama MUNGU?
God bless you guys