FRANCIS NDACHA VS HABIBU MAZINGE..TOPIC IS JESUS SON OF GOD?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • FRANCIS NDACHA VS HABIBU MAZINGE..TOPIC IS JESUS SON OF GOD?

ความคิดเห็น • 353

  • @jeremiahkiguchia8198
    @jeremiahkiguchia8198 ปีที่แล้ว +13

    Am a Muslim but Christianity seems more realistic ❤

    • @YothamZabron-ee2ly
      @YothamZabron-ee2ly 10 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka aitwe Fahad ndo ujue muislam??? Acha ushamba wewe nenda Rwanda ndo utajua

    • @makenaOG
      @makenaOG 10 หลายเดือนก่อน

      Kama wewe ni muislamu wa kwale jibu hili swali "yesu ni mungu au ni mwana wa mungu" na ulijibu kulingana na imani yako ya kiislamu

    • @makenaOG
      @makenaOG 10 หลายเดือนก่อน

      @@aliroro9344 bro labda hukunielewa mimi nlikuwa namjibu huyo anayedai yeye ni mwislamu ila ukweli dini ya kikristo ndio ya kweli

    • @makenaOG
      @makenaOG 10 หลายเดือนก่อน

      @@aliroro9344 bro nimekwambia sio mimi nilosema hivyo kuna mtu ndie alisema angalia comments vizuri bro

    • @makenaOG
      @makenaOG 10 หลายเดือนก่อน

      @@aliroro9344 angalia hiyo profile pic yangu hapo imeandikwa nini?

  • @johnsonmachukamakori6410
    @johnsonmachukamakori6410 ปีที่แล้ว +22

    Lazima kieleweke huko Tanga, barikiwa sana mwalimu Ndacha.

  • @andreanicholaus1696
    @andreanicholaus1696 ปีที่แล้ว +11

    Mazinge hunalolote njaandio inayomsumbua kusema uwongo Aishi bingwa wao dk mwaka

    • @sharifhassan71
      @sharifhassan71 ปีที่แล้ว

      Shekh mazinge mungu akujaalie mwisho mwwema

    • @sharifhassan71
      @sharifhassan71 ปีที่แล้ว

      Wakiristo bibilia mnayo mnaingia nayo mpaka chooni lakini hamuijui hata kidogo

  • @benjathekingofficialshows
    @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว +30

    Ndacha peke yake anaweza kuwanyoosha wote hao , mazinge hajuagi anasema nini . Kwanza waislamu hawajuagi roho ni nini kwa IYO hata uwaeleweshe hawataki kuelewa wameshakaririshwa tu hawataki ukweli 😝😝😝

    • @michaelkweka
      @michaelkweka ปีที่แล้ว

      Yesu poa

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 ปีที่แล้ว

      Ndugu vipi humzima nakukumbusha kitu kwanza mimi ni muislam munasema atujui roho yawezekana ikawanikweli nieleweshe vizuri bilaujanjaujanja kiroho yesu ni mwana wa mungu tunakubali katika roho iyoiyo yesu mungu apo roho anatuchanganya mwisho ataonekana nimwongo labda unifundishe vizuri apo

    • @danielmij7050
      @danielmij7050 ปีที่แล้ว +1

      Ndacha unasema kweli Mungu wa binguni akubariki

    • @ibrahimkim6960
      @ibrahimkim6960 ปีที่แล้ว

      Ndacha ni balaa amemeza vitu vyote,. Waislam wanayo kazi sana

  • @zacdere9097
    @zacdere9097 ปีที่แล้ว +4

    Wakristo nawaombeni nyote tumsupport mtumishi ndacha kwa kuwa mm maisha yangu cjawai ona wakuwashida kesi hizi waislamu

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 ปีที่แล้ว

      Apo siokweli unacho kiomba yani akiwa mkristo akaona ukweli aukatae abaki kwenye kiza achakupotoza watu ungeshauli wakrosto wasikilize vizuri iliwatowe lolote kwenye mdaharo ingelikuwa vizuri

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +9

    Waislamu kazi yao kupiga Takbiiiir hawasikilizi hoja 🤣 🤣

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 ปีที่แล้ว

      Ndugu vipi wewe umesikiliza vizuri au unafanya ushabiki

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Acha tupge yesu sio mwana wa mungu

  • @nathanch7766
    @nathanch7766 ปีที่แล้ว +9

    This debate has been won by Ndacha before it started

  • @kiragufrankjoram4060
    @kiragufrankjoram4060 ปีที่แล้ว +6

    Ndacha na Paulo good work brothers

  • @jonasdaniel6142
    @jonasdaniel6142 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Wana macho lakini hawaoni wanamasikio laki hawasikii,, uwislamu ni shida sana,, Wana lukaluka tu,,

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awabariki sana mwalimu ndacha na msomaji wako

  • @isaiahonyapidi5662
    @isaiahonyapidi5662 ปีที่แล้ว +9

    Ndacha ni WA kimataifa

    • @alexfadhili.
      @alexfadhili. ปีที่แล้ว +2

      Ndo wa kwanza dunia nzima... hakika Mungu Amzidishiye mwalimu Francis ndacha,,,na bila kumsaau mwalimu Paul Hassan.

    • @frankkikambako9281
      @frankkikambako9281 ปีที่แล้ว

      Ni AK 47 inapambana na Pisto hapo

  • @rossarutasha9391
    @rossarutasha9391 ปีที่แล้ว +17

    Tunakuombea sana mwalimu Ndacha Mungu akubariki akutie nguvu yeye aonekane akupe maneno mazuri ya kiroho upambane nao waujue ukweli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu

  • @presenttruthloudcryforthel5338
    @presenttruthloudcryforthel5338 ปีที่แล้ว +23

    Halleluyaah,,Injili imewasili Tanzania ,,Imani yetu ya Kua Yesu ni Mwana wa M might

    • @emanuelmanyika4775
      @emanuelmanyika4775 ปีที่แล้ว +3

      Mungu ampe nguvu za roho mtakatifu mwalimu ndacha azidi Kumtangaza Yesu mwokozi wetu.

    • @thelastdaycry
      @thelastdaycry ปีที่แล้ว +2

      Amina injili isonge mbele

  • @dominickdebolh2589
    @dominickdebolh2589 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji wote mliopo ktk mkutano wa apo tanga MUNGU awabariki san tena awazunguzhie ulinzi wake mtakatifu na awajaze nguvu ya rooh mtakatifu

  • @egidereuben9704
    @egidereuben9704 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge hana elimu hata kidogo ako chini ya Mwalimu ndacha. Mwalimu ndacha waonyeshe tena wafundishe hao hawana elimu

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo wakristo wanatetea YESU ni mwana wa Mungu, kesho watatea YESU ni Mungu, kama yesu mwana wa Mungu ni Mungu bas Mungu ni wengi sababu wana wa Mungu kwenye bibilia ni wengi

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kipind yesu hajafanyika mwili alikuwa nani?..... Kama alikuwa na Mungu na wakristo wanasema yesu ni Mungu inamaana munaabudu miungu wawili 😂❓❓❓

  • @blackchair_chairman1307
    @blackchair_chairman1307 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji Ndacha ... Ujuzi wako umetoka kwa mwenyezi Mungu ... Umebarikiwa sana🤝

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 ปีที่แล้ว +5

    Waislamu hawawezi bibilia kabisaa

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 ปีที่แล้ว +11

    Mbarkiwe sana Wasabato kwa kumhubiri Bwana Yesu.

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 ปีที่แล้ว +11

    YANI WANAOFUATILIA HUU MJADALA WATAJUA WAISLAMU HAWANA ELIMU YA ROHONI KABISAA wanambiwa yesu alikuako kabla dunia kuwapo wao wanaleta mambo ya MARIA YUSUFU hawaelewi kabisa

    • @benjathekingofficialshows
      @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว +4

      Ndugu waislamu hawajuagi roho ni nini , kwa IYO kuelewesha anakuaga kama unamwaga maji mgongoni mwa bata ni kutereza tu , Yesu awaongoze

    • @frankmpembu
      @frankmpembu ปีที่แล้ว +2

      @@benjathekingofficialshows Umenifanya nifurahi yani 🤣🤣🤣, eti kumfundisha Mwislamu ni kama una mwaga maji mgongoni mwa bata, yana tereza tu🤣🤣. Waislamu hawana elimu ya Roho, ni kuwaombea tu

    • @benjathekingofficialshows
      @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว +1

      @@frankmpembu utaumiza kichwa bure tu kaka

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 ปีที่แล้ว +1

      #Jacksonkilonzo,ni ndugu za Wayahundi tu vile hawakuamini Yesu mwenyewe akiwaambia yeye ni Mwana wa Mungu Hata waleo hawamwamini

    • @benjathekingofficialshows
      @benjathekingofficialshows ปีที่แล้ว

      @@rosemutinda3076 kweli

  • @denismomanyi6310
    @denismomanyi6310 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha kiboko yao, waislamu ni kuni za jehanamu. Hawajui lolote nje ya Quran

    • @nancynyambura4082
      @nancynyambura4082 ปีที่แล้ว

      God will have mercy on some of them, atawaokoa

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Waislam wapo sahh mwenyezmgu hana mwana

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha ubarikiwe, umetuliza dunia, tulikuwa tunanyanyasika sana

  • @schadracnsengiyumva6525
    @schadracnsengiyumva6525 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu niwabishi tuu ,Ndacha amewapa maandishi yakueleweka ila majibu Yao niubishi tuuu.hata wajuwe ukweli nivigumu kushindwa. Ila Waislamu wengi wawe makini wasifuati wala wafungwe na dini ila wafuate ukweli ,wasije kupoteza nafsi zao

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 ปีที่แล้ว +6

    Hii ndio Mafarisayo Wa SDA hawataki Kuona 🤣🤣🤣 Bandala waungane na Ndacha watingize uislamu wanampiga Vita ndio asihumbiri.Lakini wameshindwa katika Jina la Yesu

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 ปีที่แล้ว +4

      Nimewzarau sana tena sana very stupid wanakula sadaka kaz ya injili wamesalit wameamusha hasira zetu nitahubir km ndacha kanisa likinitenga halina mbingu

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 ปีที่แล้ว +2

      @@donaldmwahalende4841 Cha kufanya nikuwaacha Kama vile Yesu alisema waacheni hao ni vipovu..GCSDA wamebaki na matumbo tu injili wameipa kisogo

    • @denniswasai2668
      @denniswasai2668 ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏 kapisaaaa

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 ปีที่แล้ว

      @@donaldmwahalende4841 AMEN AMEN AMEN

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 ปีที่แล้ว

      Ni hiii I wanajuwaa a ila wanajitowaa ufaam wanafanya shingo yao kuwa ngumuuu

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 ปีที่แล้ว +6

    Well done mwalimu ndacha barikiwa saana

  • @anselthebest3423
    @anselthebest3423 ปีที่แล้ว +8

    Mungu aendelee kuwatia nguvu

  • @emanuelkyomo3772
    @emanuelkyomo3772 ปีที่แล้ว +1

    MIMI NITOE RAI TU KWENU ILI HII MIHADHARA IWE RAHISI KABISA MADA IWE HIVI KATI YA QUR'AN NA BIBLIA NI KIPI KITABU CHA MUNGU., HAPO TU BASI LIPATIKANE JIBU

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +5

    Yani, kumfundisha Mwislamu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 ปีที่แล้ว

      #FRANKMPEMBU,tatizo ya waislamu wamefundishwa ubishi Hata aone Kuna ukweli Bado atabisha tu.kuna dada mmoja alisimama na Zakir huko Qatar akitetea Imani kuhusu Yesu Lakini ukiangalia Zakir akiongea waislamu walikuwa wanampiga makofia Hata Mahali Hakuna point ya makofi Lakini Huyo Dada Hata aseme point hawawezi piga makofia Kwa Sababu walifunzwa Hakuna ukweli Kwa Biblia.Lakini nashukuru Mungu Kuna wenye wanafunuliwa mwanga

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +1

      Wanaelewa sana ila wanaona aibu KUUKUBALI WOKOVU

    • @janekimwetich7013
      @janekimwetich7013 ปีที่แล้ว +1

      Sure , they know but shida wanapoteza wafuasi wao

  • @mariammakau2435
    @mariammakau2435 ปีที่แล้ว +7

    Be blessed Mwalimu Ndacha sio rahisi kuelewesha hawa watu Mungu azidi kukutumia pamoja na Paulo ...Yesu ni mwana wa Mungu

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mazinge ameshindwa hoja analeta vituko kabisa Yan hivi huyu ni mwalimu au comedian ?waislaamu wanamwalimu Kama huyu si mtihani huu😳😳😳

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 ปีที่แล้ว +4

    Nitakuita tena Tanzania usikate tamaa injili ya kweli itaanza kupingwa ndani

  • @emanuelmanyika4775
    @emanuelmanyika4775 ปีที่แล้ว +12

    Bwana azidi kukupatia hekima na ulinzi wake mchungaji ndacha uendelee Kumtangaza Yesu mwokozi wetu .

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 ปีที่แล้ว +4

    Kuwa mkristo ni raha sana.

    • @janekimwetich7013
      @janekimwetich7013 ปีที่แล้ว +1

      Nasikia Raha pia , but let's pray for them

    • @jeanefelix70
      @jeanefelix70 ปีที่แล้ว

      @@janekimwetich7013 Kweli kabisa ndugu yangu katika Kristo Bwana 🙏

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 ปีที่แล้ว +1

    Leo nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho.
    Ndacha hajajibiwa hoja zake

  • @matarapatrick6694
    @matarapatrick6694 ปีที่แล้ว +9

    Am proud of you Ndacha, I will forever support your ministry

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 ปีที่แล้ว +3

    JAZAKA ALLAH KHAIR MAY ALLAH PROTECT YOU AND YOUR ENTIRE TEAM OF DA AWAH ALLAHUMMA AMEEN THANK YOU SO MUCH SHEIKH MAZINGE.

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naniulize Nuru ya bibilia je ? Kuna watu wengine waklisto wako na nehema kama hii ya Dacha ?

    • @muspylenz
      @muspylenz หลายเดือนก่อน +1

      SIKU ZOTE MUNGU HUWA NA MaSALIO KUNA HAWA KASEE,godlogic,christian prince ambaye ni hatari zaidi,sam shaumoun,jay smith ,bob ,arul wa speakers corner, na wengine wengi waangalie na hakuna siku muislamu atasimama mbele yako kukupiga .Waanngalie kwa mtandao.

  • @MariaWambugha-nh1wh
    @MariaWambugha-nh1wh ปีที่แล้ว

    Mwalimu Ndacha umewarudisha waisilamu pamoja na walimu wao shuleni kabisa 😮😮😮😮😮😮😮

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +3

    Nakuambia sijaona injili kama hii hakika nawaomba ndugu zangu tuwasapot hawa wakina ndacha sio Kwa jaziba tusikize hoja jamani

  • @thomasafanda8572
    @thomasafanda8572 ปีที่แล้ว +3

    Aiiiiii Hawa waisilama aki mungu awaurumie waahhh kwanza ilo swali la mwisho wamechemsha🤣🤣

  • @32Empire
    @32Empire ปีที่แล้ว +8

    Best combination Ndacha na Paulo-- Baraka sana muhadhara uko sawa ukweli utasmama wenye maskio wataskia-- hoja zina nufaisha sana tuzidi kuwa pamoja kwa upendo na ukweli..

  • @rahmamusa4484
    @rahmamusa4484 ปีที่แล้ว +3

    Thank u ndacha they will never understand

  • @badaral6167
    @badaral6167 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wenu mkulima hahaha 🤣🤣🤣🤣 mazinge allah akuifadhi

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

    Nmewapenda mashekhe wanafundsa kistarabu ata hawapanic 😂😂😂😂

  • @k_teenent8181
    @k_teenent8181 ปีที่แล้ว +1

    mtajibia kwa kaburi

  • @georgelugaliki1307
    @georgelugaliki1307 ปีที่แล้ว +6

    Amen.

  • @navokisembo
    @navokisembo ปีที่แล้ว +2

    Ndacha an Paulo Mungu mkuu awalinde damu ya Yesu iwalinde

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 ปีที่แล้ว +6

    Siku wakifa ndiyo siku watajua kumbe Yesu Kristo ni mwana wa Mungu na hapo rehema itakuwa imefungwa kwa kweli ni huruma 😢

    • @wizzahgfalme3874
      @wizzahgfalme3874 ปีที่แล้ว +2

      Hata sasa wanajua ila hawataki kukubali sababu washakwisha kuhukumiwa hawa. watapata wapi uzima wa milele na mwenye huo uzima wamemkataa?

    • @mwanashagladys4581
      @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @ndikumanaarchimede3172
      @ndikumanaarchimede3172 ปีที่แล้ว

      ​@@wizzahgfalme3874ni kweli waislamu wanasikia ila hawaelewi. Ila wanajua kwamba Yesu ndio alama ya kiyama sasa si upumbavu wanao kuto muamini?

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Yesu sio mwana wa mungu acheni ujga mwenyezmungu nimuumbaj tu

    • @marymwapiya1274
      @marymwapiya1274 ปีที่แล้ว

      @@saphinalutaha9077 mwenyew unaweza kuwa mjinga elewa kuwa Yesu ni mwana kwa kuzaliwa ule mwili ndiyo mwana na Rohoiliyo ndani yake alikuwa ni Mungumwenyew aliyevaa mwili ,Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa sababu hamtaki kuwa na maarifa ndiyo maana kila kitu mnabisha kama ni hivyo nenda kafute maneno yake aliyokuwa anasema.

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wetu ni mvumilivu sana,hivi Mazinge anadai Mariamu ni mke wa Mungu na bado anapumua tu,jameni Mungu wasamehe hawajui wasemalo.

    • @janekimwetich7013
      @janekimwetich7013 ปีที่แล้ว +1

      Waja Tu Mungu amusamehe

    • @peterwakhungu411
      @peterwakhungu411 ปีที่แล้ว +1

      Imagine, 🤣 sometimes hua naomba Mungu awafunge izo vinywa zao wabaki kimya kimya

    • @PeterOngwae
      @PeterOngwae ปีที่แล้ว


      Mungu hawalehemu waislamu wajue ukweli,asante ndacha vile Mungu anakutumia,God bless you so much.

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Ahaaa 😂😂Kama sio mke wake amezaa nae aje acheni kumsgzia mwenyezmgu ety anamwana😢😢😢😢😢

  • @CristinaSeti
    @CristinaSeti ปีที่แล้ว

    Yani.waisilamu.wametekwa.ufahamu.ndancha.waelimishe

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 11 หลายเดือนก่อน +1

    Am from Kenya Dacha is a teacher no body can challenge him in the bible teaching nor koran this man wisdom of God is in him

  • @ongeshabani8439
    @ongeshabani8439 ปีที่แล้ว

    NDACHA awa mweliwi NDACHA awa wapinga CHRISTO

  • @cyrusbarongo2716
    @cyrusbarongo2716 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge hana chochote ni kiburi tu na kujidai, empty words za kudanganya waislamu bure kabisa

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Mazinge alipewa Uprofesa wa kitu gani? kama ni wa Uislam na vipengele vyao vya kikatiba hapo itakua sawa, maana hivyo vikaratasi vinamaanisha hana uwezo wa Kiprofesa labda kama ni ule wa Maji Marefu mganga wakienyeji.

  • @ongeshabani8439
    @ongeshabani8439 ปีที่แล้ว

    Sasa apo kwenye mzabibu na Baba yangu ni mkulima? Kwaiyo mazinga anataka kusema na YESU naye ni tunda la mzabibu? alafu anakuja kukazia kwamba kwaiyo Baba yake ni MKULIMA? 😂😂😂 yani nacheka kweli kweli uyu mazinga Pumba 😂😂😂😂

  • @Joseph-ch4ow
    @Joseph-ch4ow ปีที่แล้ว +1

    Hawa waislam ukiwashida hoja wanaanza Ndacha ujui kishwahili.kwani hapo ulikua unaogea Kikuyu.Jesu ni mwana wa Mungu 100%

  • @dennisbahati2691
    @dennisbahati2691 11 หลายเดือนก่อน

    huyu mazinge ako na arguments primitive sana.... point anaelewa but ana twist iwe literal ili watu wacheke...pathetic

  • @benjaminsika1782
    @benjaminsika1782 ปีที่แล้ว +3

    Wameelewa mwalimu wakibisha jehanam

  • @rabbithare381
    @rabbithare381 ปีที่แล้ว

    Wow this muslim fella has really convinced me here that kweli Yesu siyo mwana wa Mungu isopokua ni Nabii.. Kwani vipi Sijawahi kuona hayo maneno kwenye biblia? Jemeni mimi sasa nimesoma biblia na nimeridhika kwa kweli Mungu yu pekee.... Sasa niko kwa njia tofauti ambapo nafikkiria itikadi ya dini yangu. Ndugu Francis hajaniridhisha na mambo haya... Naji laumu mbona mimi mwenyewe sijasoma biblia hizo mwako yote.. Yaani huyo muislamu kusoma biblia nami nilidhani ni biblia ya uongo waliotunga wenyewe walakin nimepitia biblia yangu na kuona neno ni ile ile.....

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 ปีที่แล้ว

    Ndacha kwanza ana hekima kutoka kwa Mungu kutokana anavojibu kifanisi bila lugha zenye maneno maovu na machachu😂😂 Ndacha barikiwa sana

  • @deborahmoraa2442
    @deborahmoraa2442 ปีที่แล้ว +1

    Neno la mungu lazima litasimama ukweli uko wazi kabisa watu waokoke

  • @lucynyambura5470
    @lucynyambura5470 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mwalimu dacha na akuongezee uwezo kabia ili utoe watu kwenye ngiza ,mpiga Kristo hana uzima wa milele nilikuwa nimeslimu ila sikuwa najua mambo yenye yamejificha huko nashukuru mungu nilitoka huko kabisa na siwezi tena

  • @SamuelIha-c8d
    @SamuelIha-c8d ปีที่แล้ว

    Mazinge hujui lolote kuhusu neno la MUNGU wako niujinga tu

  • @koperawasona9551
    @koperawasona9551 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mungu awape nguvu zakutagaza injili nakufuguwa hao waliofungwa na majini waje kwa yesu christo Mungu mkuu

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

    Mungu hana mwana na uumbaji wake masih kwa mwenyezmungu niktu rahs sana😂😂😂😂

  • @mercywainaina8840
    @mercywainaina8840 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu ndacha ubarikiwe na team yako . Atakae kubali ukweli atakuwa huru.

  • @ndikumanaarchimede3172
    @ndikumanaarchimede3172 ปีที่แล้ว

    waisilamu wengi ni mashaabiki.Ndacha anacanganiwa na watu wawili mpaka na mwenye kiti. wafarisayo walikuwa hawamuamini Yesu.kumpinga tuu.

  • @lucynyambura5470
    @lucynyambura5470 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo wenzangu hakuna kitu mbaya kama roho mtakatifu akishaa ondoka katika roho yako unakuwaga kama kijumba kienye hakina chochote na ukishaa slimu unakaaga kama mtu hajielewi mungu koboa watu waku na uwahurumie hawa wapiga kristo

  • @bonfacenjogu4533
    @bonfacenjogu4533 4 หลายเดือนก่อน

    I didn't know even strong believers have to be threatened for them to do the right thing.😮. Maajabu haya

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge anachokifanya ni kuwafurahisha watu ili watoke kwenye umakini wa kusikiliza ukweli. Mazinge anajua ukweli wote ila kiapo cha Majini ndio kinamfunga kutoka hapo alipo.

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 ปีที่แล้ว

      Ww mwenyewe yawezekana unaufahamu ukweli lkn unasimamia ubishi

  • @josephfrazier5001
    @josephfrazier5001 11 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wako sawa wakisema Yesu mwana wa Mariamu , kwasababu wanamjua Yesu akishafanyika Mwili au Mtu tu ! Kabla hajafanyika Mwili au Mtu Hawamujuwi.

  • @dennisbahati2691
    @dennisbahati2691 11 หลายเดือนก่อน

    ... mi nategea kusikia concrete evidence ya kupinga mada na hamna kitu wana create tu mockery

  • @michaeldoroleo4864
    @michaeldoroleo4864 ปีที่แล้ว

    Ningejisikia aibu sana kama kama ningekuwa muislam baada ya mdaharo huu😂😂.

  • @MohamedChelampaji
    @MohamedChelampaji ปีที่แล้ว

    Duh wamepigwa za kichwa kinomaaa hahaahaa professional mazinge hana mpinzani daima.

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni mwana wa Mungu aliye hai na ni Mungu na yeye ndiye njia ya kwwli na uzima na ndiye atakayehukumu dunia

  • @raymondngajagu66
    @raymondngajagu66 ปีที่แล้ว +4

    Fanya kazi mtumishi wa Mungu Mr Ndacha ukiona sms yangu nitumie namba ya mpesa nikurushie hata ya maji kwa kuwa umekuja kwetu nyumbani au y namba ya Mr Baheba

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  ปีที่แล้ว +1

      ±254705602959

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 ปีที่แล้ว +1

      Ametengwa na kanisa lkn kaz inaendelea

    • @raymondngajagu66
      @raymondngajagu66 ปีที่แล้ว +3

      @@donaldmwahalende4841 Niliingia SDA nikifuata ukweli na kuwacha wazazi wangu so nitausimamia ukweli hata kwenye shimo na simfuati mtazamo wa mtu Ila maandiko tu basi

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 ปีที่แล้ว +1

      @@raymondngajagu66 amen Barikiwa uko km Mimi tutahubir injili

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 ปีที่แล้ว +1

      @@raymondngajagu66 Mungu tusaidiee sootee Mungu atusaidie ndilo ombi langu

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 ปีที่แล้ว

    Kichwa cha mwl Ndacha ni hatar utamwona Mazinge akizidiwa anakuja na mashair na matusi tu hapo

  • @healthandscience1996
    @healthandscience1996 ปีที่แล้ว +4

    We should support Ndacha he is a true minister and soldier of God's word. Glory to God

  • @catherinepeter-mx3ok
    @catherinepeter-mx3ok 7 หลายเดือนก่อน

    Keep up the good work of God, pastor Ndacha you inspire me.

  • @grantmwakalambile2808
    @grantmwakalambile2808 ปีที่แล้ว

    Ao waislam wa Tanga wanawaamin waalimu wao kuliko kumuamini mungu wa kwel yesu kristo ni mwana wa mungu wa pekee

  • @grantmwakalambile2808
    @grantmwakalambile2808 ปีที่แล้ว

    Waislam hao waliopo hapo wapo kishabiki ndio maana akipanda jukwan mwalimu wao ata aongee pumba wanamshangilia hawajui kuwa wanapotezwa

  • @craigalfred-sz1ho
    @craigalfred-sz1ho ปีที่แล้ว

    Waislam wanashindwa kutetea hwana ushahid,ushahidi ni kuwa Yesu ni mwana wa Mungu

  • @khalifmaalim5826
    @khalifmaalim5826 ปีที่แล้ว

    Ndacha bro STOP ur controversial 😤 yesu ni mungu au mwana wa mungu? ????
    Mara yesu ni mungu , Mara mtoto wa mungu , Mara ni mtume which is which????

  • @VictorKibiriti-tb9or
    @VictorKibiriti-tb9or 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mazinge

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 ปีที่แล้ว +1

    Ndasha kazi yake kushkanisha hili na lile akitafuta kuchafua,hata wanafunzi wake hawaezi ulizwa swali wakajibu yake ni bora elimu,ana ruka ruka kamaachezae dana dana

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 ปีที่แล้ว +3

    WATCHING ALL THE WAY FROM MINNESOTA USA
    MA SHA ALLAH ❤.

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

    Yesu amezaliwa kwa kauli ya mwenyezmgu muwe na akil

  • @lenardnyambane1410
    @lenardnyambane1410 ปีที่แล้ว +2

    Kwakona mimi mtumishi Kahebe hapa kenya Bellevue church Nairobi

  • @husseinhusein-zj7ez
    @husseinhusein-zj7ez ปีที่แล้ว

    mungu hana mshilika kwasababu
    bibilia hiyo ya ndacha inaasibitisha
    sasa mungu anamke

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 ปีที่แล้ว +10

    Hallelujah Yesu ndiye mwokozi wa ulimwengu

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 ปีที่แล้ว

      Siokweli Kaka kwasababu walio kuwa kabla ya yesu ya kuanzia Kwa Adam waliokolewa na nani ?

    • @dannyosolo2752
      @dannyosolo2752 ปีที่แล้ว

      @@aboubahebura8144 Kwanza kabisa YESU ALIKUWEPO HAPO MWANZO ...JOHN 1:1.....

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว

      ​@@aboubahebura8144 isome imani ya mitume na upate kuijua maana ya kushuka kuzimu.

  • @يونيسيونيس
    @يونيسيونيس ปีที่แล้ว +1

    Kwa hakika waislamu wako na roho ngumu. Maandiko kuhusu uungu wa yesu haitaki kachumbari inajiereza

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Achen ujga yesu sio mungu sema ni mtume tu

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha anafanya mdahalo na wahuni hawana hoja za kupinga ni wachekeshaji

    • @apostelgodwin
      @apostelgodwin 11 หลายเดือนก่อน

      Wahuni gani kwani huoni waumini wao ..kama ni wahuni wangetoa wapi waumini wao ..acha kufuru ww ndacha yupo sahihi .Mungu amtunze hii ndio injili inayo takiwa zama za mwisho za kuvuna kondoo wakijua ukwel

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂ndachaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwoso
    @mwoso ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini wazazi wa mama wa Isa na wazazi wa mama wa yesu Kristo wana majina tofauti na tena waliishi nyakati tofauti. Na je, mbona wakristo wa kiarabu wanatumia jina yesu/yesoo na sio Isa?

    • @brianokello1779
      @brianokello1779 ปีที่แล้ว

      Wewe umechanganyikiwa

    • @mwoso
      @mwoso ปีที่แล้ว

      @@brianokello1779 Nani kachanganyikiwa? Mimi au nani?

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว +3

    Waislamu ni makafiri wakubwa.

    • @bensonmanyalape7802
      @bensonmanyalape7802 ปีที่แล้ว +1

      Kazi nzuri ndacha Mungu akubariki

    • @amirmohamedali7922
      @amirmohamedali7922 ปีที่แล้ว

      Makafiri ni nyinyi mnaojiita wakristo
      Kwakweli nyinyi wakristo ni ushabiki tu

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 ปีที่แล้ว +1

    Wapi andiko yesu kamwita Yusuf baba, wajua mazinge yake n porojonna kutafuta ushabiki na mwenye kiti wa kiisilam acha hasira usijitoe akili kwa mdahalo umeambiwa ukweli acha kuongeza wewe c mwalimu

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha umeeleweka vizuri na ndivyo ilivyo Yesu ni mwana wa Mungu

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +1

    Waislam wanamujua yesu kibinadamu si kiroho hivyo hawawezi kumuamini yesu wasipofunuliwa na roho

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      Kiroho alikuwa wap mana mtume Mohammed ameshatufundsha kabla ya dunia kuubwa alipokuwa amecet twambieni nq uyu masih alikuwa wap

  • @AsAs-ji1vx
    @AsAs-ji1vx ปีที่แล้ว +4

    Amen Amen