#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #islaamic #drsulle #tanzania #live

ความคิดเห็น •

  • @HamisiOSIAS
    @HamisiOSIAS 3 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana kwa walim wapande zote mbili.mi nilichofaidi kwenye midahalo hii ni kwamba yesu yu hai na yuko mbinguni ,Muhamadi alikufa yuko kaburini sasa mimi natakiwa kumfwata alie hai ambaye anashuhudiwa na vitabu(coran na biblia)kwamba atarudi naye ni yesu kristo.

  • @ZuhuraHamisi-v2k
    @ZuhuraHamisi-v2k 4 หลายเดือนก่อน +11

    Munamuhukum Dr sule et kwa sababu ana majini wakati nyienyie kuna yenu amuwezi kuyasema kwa sauti wenyewe mnayajua ,,kila mtu anabeba mzigo wake ww mwenyewe ujui unaenda wap alafu et unasema sure wa motoni kwani we ndo mungu???,,uelewa aupo aisee pambana na nafsi yako acha kusema ya yatu jiulize ww kwanza kabla ujamuhukum mtu🤗🤗

    • @samxx411
      @samxx411 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa vile mie ni muislam, nna wasiwasi wewe sijui kama muislam...kwasababu Sule hajahukumiwa, sie waislam tumeitwa umma bora kwasababu tunaamrishana mema na kukatazana mabaya...sule amekosea ndio waislamu lazima atarekebishwa, hapa mimi nampenda sule lkn haimaanishi akikosea asirekebishwe..

    • @nchimbuke7261
      @nchimbuke7261 4 หลายเดือนก่อน

      Sule Alijisema Mwenyewe😂😂😂

    • @ChamberedRecoil
      @ChamberedRecoil 4 หลายเดือนก่อน

      Ati hujui unaenda wapi??? Wewe si muislamu... Soma Quran 19:71-73 waislamu lazima waingie motoni wote hata yule mwupe kama pamba... Mbaka Allah aridhike ndio kisha atawaokoa anaye wapenda na hao ndio wale wachache wengi wa waislamu watabakia mule motoni milele...
      Yesu naya Johanna 3:16-18 amewaakikishia yoyote sio wakristo tu amwaminie ata pata uzima wa milele ... KAMA UJA SOMA UKO PEKEE YAKO

    • @elishamwaifugemwaifuge9720
      @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

      Sijawahi kusikia popote! Kwa mkristo wa kwel yeyote, et anatetea majini, Pepo wachafu. Ninyi si mnajitangaza kuwa Mna majini!

    • @samxx411
      @samxx411 4 หลายเดือนก่อน

      @@elishamwaifugemwaifuge9720 wewe hujui wakristo wanafuga majini, hao mafreemason wanatumia majini, hebu fuatilia mafreemason wengi hasa celebrities wengi ndio hutumia.

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 4 หลายเดือนก่อน +6

    Aiseeh....🙌❤️nakuwa mkristo kuanzia sasa

    • @elishamwaifugemwaifuge9720
      @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana kwenye Ukristo

    • @ChidyAbdy
      @ChidyAbdy 4 หลายเดือนก่อน

      Dah jiande na majibu ya kumjibu mungu siku ya kiama mana ukiristo ni jina tuh sio dini.

    • @ChidyAbdy
      @ChidyAbdy 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde san tuh.

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni nikafiri tu tangu mwanzo nani aweza acha uislam

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

      Ukafiri ni kitu mbaya Sana

  • @elishamwaifugemwaifuge9720
    @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

    Wow!! Namshukuru Mungu wa Mbinguni Kwa kuona Waislam wanazidi kumtukuza Yesu kristo. 😊😊

    • @samxx411
      @samxx411 4 หลายเดือนก่อน

      Hahaha wewe kweli huna unachokijuwa, unajifanya unamjuwa yesu kuliko waislam?? Nyie wakristo mnamjuwaje yesu, hebu nitajie jina la mama yake mariam (mary) alomzaa yesu

    • @elishamwaifugemwaifuge9720
      @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

      @@samxx411 Mr.@samxx411. Hiv unajielewa kwel ww? au unadhan sisi waktisto ni watu wa kubishana. No!! Huwez kusema unamjua Yesu ambaye humtumikii, ww unamjua Yesu Kwa kumsoma! Wengine tunamjua Kwa kumsoma, kumtumikia na kumwabudu maana yupo ndan yetu. Huwez kuniuliza bib yake Yesu et ni Nan! Wakat Sina shida na bib ya Yesu. Mim Nina haja na Yesu mwenyewe.

    • @elishamwaifugemwaifuge9720
      @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

      @@samxx411 Kuwa mpole usibwajebabwaje tu, Njoo ubatizwe uwekwe huru, sio kuteseka na tabu za milele.

    • @elishamwaifugemwaifuge9720
      @elishamwaifugemwaifuge9720 4 หลายเดือนก่อน

      @@samxx411 Ukitaka kumjua nitafute nkupe Family tree yote ya Yesu. Usinisumbue tu. Au niseme tu! Alikuwa anaitwa Anna,, sasa usije ukanisumbua Tena kuhusu baba yake, ngoja nikwambia na yeye, alikuwa anaitwa Joakim.

    • @samxx411
      @samxx411 4 หลายเดือนก่อน

      @@elishamwaifugemwaifuge9720 huna andika Anna limetoka wapi?? Hamsomi maandiko mnarusha tu maneno kutoka kichwani mweni ikisha mnajifanya mnamjuwa yesu wakati mtihani mdogo umefeli

  • @richardreuben3222
    @richardreuben3222 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha I salute u brother. Unatisha.

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 4 หลายเดือนก่อน +5

    WAISLAMU ACHENI UTANI HAKUNA MUISLAMH DUNIANI ANAWEZA KUPINGA KIFO CHA YESU ABADAN TOKENI HUKO KWA MAFUNDISHO YA UONGO

  • @SaadiaHassanAbdullahi
    @SaadiaHassanAbdullahi 4 หลายเดือนก่อน +3

    sheikh mungu akulindi na mahasad

  • @Agoodservant
    @Agoodservant 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu asifiwe

  • @SamsonHumbe
    @SamsonHumbe 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuhh safi sana pst F Ndacha

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 4 หลายเดือนก่อน +4

    Simama imara Sheikh wetu Dr al hadji sulle❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 4 หลายเดือนก่อน

      Shekhe au jini

    • @halimazubeir
      @halimazubeir 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@AjiaMohamed-rt5pbwewe ndio mkuu wa ao majini

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule kashindwa kabisa

  • @HAMIS-ci2vt
    @HAMIS-ci2vt 4 หลายเดือนก่อน +1

    kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi .
    tujitahidi sana ndugu zangu .

  • @AshaAshim-gy6jm
    @AshaAshim-gy6jm 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyez mung akulinde xhekh wetu, wafundixhe watakuelewa

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule kashindwa waziwazi

    • @nomar3708
      @nomar3708 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa wakristo wa Africa vichwa vigumu hawaelewi. Wenzao wazungu washaacha zamani hiyo dini

  • @ElijaMwasi
    @ElijaMwasi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asaaaawntee saaanaaa sheikh wetu Sule Allah akujaalie yote yalo mema

  • @AllyMuawiyahMuawiya
    @AllyMuawiyahMuawiya 4 หลายเดือนก่อน

    CHA AJABU MADA YA JANA WALING'ANG'ANA YESU MUNGU..MADA YA LEO ETI MUNGU HUYO KAFA MSALABANI NI MAAJABU SANA AKILI MUNGU KAWAPA JITAFAKARINI SANA

  • @HONJEB
    @HONJEB 4 หลายเดือนก่อน

    Aisee ndacha ni 🐐 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐on 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @halimazubeir
    @halimazubeir 4 หลายเดือนก่อน

    Takbirrr huyu ndo doctor sule😊Allah akueke miaka mingi

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwenye huu mdahalo nataka kuuliza hili swali na majibu yake siyapati ,swali Hilo lipo inje ya mada hii ,kwanini mitume (prophet )wote waliletwa kwa njia ya uarabu ? Ama watu Hawa warabu walikua wanafanya mabaya mengi kukithiri,walikua waovu Sana ?,sielewi kabisa viongozi au mwenye elimu ya juu anijuze kwanini wao na huku Africa Bado.

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068 4 หลายเดือนก่อน

    Waislam wana shida ghani

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 4 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKBAR hata introduction inayoanza inaeleweka kuwa hali iko wapi hoja nzito kbs ambyo wakristo hawafikii hata kidogo

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amekuuliza jibu tuone toa Aya yesu haakufa

  • @albashakluninshaah3727
    @albashakluninshaah3727 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha hana uwezo wa kujieleza. Shida tupu. Kubali kusilimu ingia katika dini ya uislaam

    • @HONJEB
      @HONJEB 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani we unaushahidi gani kua YESU haakufa

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule kashindwa waziwazi yeye mwenyewe kamaliza mada

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

      mbona usikubali kumkubali mwana wa mungu uwachana za mashelk waongo

  • @rahmasuleiman8688
    @rahmasuleiman8688 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dr Sule wewe ni shujaa jana umeshinda kwa hoja na leo tunatarajia utashinda kwa hoja inshaallah
    Allah yupo pamoja nawe Allah atakusimamia

  • @callennyabonyi5580
    @callennyabonyi5580 4 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wana changamoto ya kuelewa

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika umeutendea haki uislam.Umemchemsha Ndacha vya kutosha.Umeuziba mdomo wake kimyaaa

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      😂Wakati Sule kashindwa waziwazi 😂

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 4 หลายเดือนก่อน

      @@richardchimba3800 Tuonyeshe aliposhindwa.Sulle anaongea kisomi zaidi.Ndacha mzee wa kutia viraka maandiko

  • @alexandertembea5940
    @alexandertembea5940 4 หลายเดือนก่อน

    Wengi ni weslaam hum. mmejaa kweri. Mbona inajulikana mnajifanya amjui.

  • @OmaryMsuya-km3cj
    @OmaryMsuya-km3cj 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha si alisema jana yesu ndiye huyo mungu Leo vipi anamtenganisha yesu na mungu mala yesu mtoto wa mungu nachanganyikiwa kwakweli

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน

    Ntakufisha Allah akamwambia

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu hakufa, wewe unaye se ma alikufa UMELIWA.

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi sija skia yesu hakufa

  • @IgnacioAndrew-rj8pd
    @IgnacioAndrew-rj8pd 4 หลายเดือนก่อน

    Woooooooooooooote du kazi ipo

  • @BarakaZabron-py2fz
    @BarakaZabron-py2fz 4 หลายเดือนก่อน

    Hoja za ndacha siku ya kiyama zitawahukumni.
    Ikiwa Dr anashindwa hoja na standard seven dropper kuna nani sasa wa kuutete uislamu?

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kazinzuri sana

  • @Saidfadhil-o3o
    @Saidfadhil-o3o 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu anakufa jamani

  • @AdamuMkimbu-x1q
    @AdamuMkimbu-x1q 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha acha uongo wa kuunganisha maneno aya ipi et yesu alikufa siku 3

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 4 หลายเดือนก่อน +3

    Waislamu hawana haya yoyote inayosema Yesu hakufa. Wanasema hawakumuuwa. Lakini hayati Nyerere hawakumuuwa, Moi hawakumuuwa, Mobutu hawakumuuwa. Hiyo haimaanishe hawakufa... Mada imewashinda kabisa. Hata majini ya Sule hayamsaidie. Labda angelinyonga hilo pete...

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

      Ebrania 5:7 mbali na Quran bibilia yenyewe inakataa

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 4 หลายเดือนก่อน

      @@Zuwenamachela Mt 26:39-46
      Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
      Sasa, Mungu alisikia maombi ya Yesu? Kikombe alipewa anywe?
      Yn 18:11
      Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake; je! Kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 4 หลายเดือนก่อน

      Waislamu ndvyo walivyo wakishindwa kwa hoja wanakataa had quran yao.,
      Wamepewa andiko 3:55 Mungu amesema atamuua Yesu .,atamfufua na atamnyanyua kwake lakini bado wanajifanya hawaelewi wanakazania hawakumuua

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 4 หลายเดือนก่อน

      @@StevenPeter-sg7zo Hiyo inaitwa Taquia. Inaruhusiwa kutumia uongo kwa kutetea uislamu. Hiyo ni SUNA

    • @StevenPeter-sg7zo
      @StevenPeter-sg7zo 4 หลายเดือนก่อน

      @@bustedislam3578 Dah hii ni hatari kweli yan wanatumia uongo kuitetea dini alafu wanasema wanafata zile amri kumi za Mungu za agano la kale ikiwa "Usiseme uongo pia ipo.
      Na Yesu anasema ibilisi ndyo baba wa uongo.

  • @HONJEB
    @HONJEB 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha anawazweza mashekhe wote

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

    Mada imeisha maana wanasema yesu ni mungu kisha huyo huyo yesu kafa msalabani hiv mungu aweza kuwamwanaumNdacha chemsha umechemsha

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sule ameshidwa waziwazi

  • @hamadsalum1791
    @hamadsalum1791 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha Acha kuichafua Quran kwa makusudi ili kufurahisha watu

  • @SubiraMussa-wy1ul
    @SubiraMussa-wy1ul 4 หลายเดือนก่อน +4

    Acheni sule atangaze dini ya Alla msikejeli ikiwa anajini ikiwamganga yote anajua.mungu na ndio mwenye hukumuzake

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule kashindwa waziwazi bila kupapasa

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 4 หลายเดือนก่อน

      We kafiri huna akili yesu hata siku ya hukum haijui atakuwaje hakim 24:36 mathayo

  • @DININIKRISTO
    @DININIKRISTO 4 หลายเดือนก่อน +1

    ANDIKO YESU HAKUFA LITOKE SIO HAWAKUMUUA WALOKUWA WANADAI KUMUUA HAWAKUMUUA MUNGU NDO KAMUUA

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 4 หลายเดือนก่อน

      Alikufa kwa ugonjwa gani

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk 4 หลายเดือนก่อน

    Waislamu tatizo mnasikiliza kwa kuwa tayali kupinga sio kujifunza kwani maneno hayo si yanasomwa kwa vitabu au anatunga acheni ushabiki bahna fungukeni macho

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha bora asilimu ataweza kuwa mzuri maana yeye hodari tatizo kasimamia kuti sio nguzo akikamata nguzo atakuwa na nguzu

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule ameshindwa waziwazi bila kupapasa

  • @mudrikramadhani32
    @mudrikramadhani32 4 หลายเดือนก่อน

    Dr sule akili kubwa sana

  • @jamesmusonda1914
    @jamesmusonda1914 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam hawana hoja yotote bali ni ubishi ubushi tu bila majibu

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 4 หลายเดือนก่อน

    Alafu ndacha huna jipya kabisa yni sikuelewi unachokitetea kitugani hpo soma quran na uache kuipotosha na maandiko ya bibilia bora usilimu uwe ndugu katika iman acha kufundisha watu uongo kila siku

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sule ameshindwa waziwazi bila kupapasa

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 4 หลายเดือนก่อน

      @@richardchimba3800 chenye kimeshindwa Dr sule sija kiona huwezi kuchafua qoran na bibilia hata ww wasubiri kuunga mkono hoja za ndacha yn Kwa kweli shetani anawapamba mpk kuisoma bibilia na kuielewa mnashindwa ndacha ndio awasomee upuzi

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 4 หลายเดือนก่อน

    ndacha kachochora sana yaani anawapeleka wenzie mbele anawarudisha nyuma , ngoja apigwe spana asilim huyu

  • @hamadsalum1791
    @hamadsalum1791 4 หลายเดือนก่อน +1

    Laaana ya taurati ndio ipi

  • @fezabeauty
    @fezabeauty 4 หลายเดือนก่อน

    We slam mnahamini sana kimwili kuliko kiroho jamn😂😂😂😂

  • @Ochiengochieng-qc8dw
    @Ochiengochieng-qc8dw 4 หลายเดือนก่อน

    Kashinda kwa hoja gani?

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani wakristo hawana hata hoja mwanzo ilikuwa yesu kafa akafufuka hapo unawambiya watu kiyama cha mauti sio tena kifo hapo iko je ? ALLAH AKBAR jamani karibuni ktk Uislamu Ni Free hujatoa hatujasikiya and iko kutoka ndani ya Biblia

  • @clarencepeterbugi2862
    @clarencepeterbugi2862 4 หลายเดือนก่อน

    Mie nnavyowajuwa Waislam huwa makusudi hawataki kuelewa

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

    Kawaroga Nani waislam 😢

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 4 หลายเดือนก่อน

    ukijiuliza kwa akili za kawaida tu mungu amekufa wenyewe tulikuwa tunajifanyia dhambi na ibada halafu kesho hizi siku tatu si tutamkatalia mungu kuwa ulikufa halafu unatusingizia hizo kesi na tulivyo wanadam zile siku tatu mungu kakata mbn moton huendi hiyo ligue yake

  • @petermatabwa2133
    @petermatabwa2133 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani ni doctor wa nini?

    • @Kujason12
      @Kujason12 4 หลายเดือนก่อน

      Samia Dr wa nini

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kujason12swali NI Kwa Sule. Huyo Samia kaingiaje ? Hii ndio inaitwa NJE YA JAMBO !!

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 4 หลายเดือนก่อน

    Mhahahhaha waislamu kweli hoja hawana jaman

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน

    Huwezi jibu hoja kama nikuubiri uslamu mbona ukamwita ndacha

  • @hamadsalum1791
    @hamadsalum1791 4 หลายเดือนก่อน

    Halafu haiingii akilini eti Mungu ambaye ndiye mwenye madaraka ya kila kitu eti amuuwe mwanawe ili awasamehe nyinyi

  • @mohamedcade2421
    @mohamedcade2421 4 หลายเดือนก่อน

    This is just a business.it is 2 persons agreed to do business using TH-cam channel.

    • @BarakaZabron-py2fz
      @BarakaZabron-py2fz 4 หลายเดือนก่อน

      After your imam loosing woefully the debate now you are down talking it.
      Shame on you

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 4 หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu anafanya kazi hiyi mithaharo nishaidi Tosha wenye kusikiya watasikia wenye hawapendi kusikiya shauli yawo bira unafiki aushabiki hapa ukweri unapatikana Kati ya sule na ndacha kuna ukweri we kuwa makini 😮😮😮😮

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sure ni mbaya zaidi kuliko kafiri kwasababu kafiri tushamjua hatusumbui ila sure anajifanya anatetea uislamu kisha anawalingania waislamu wamshirikishe Allah, na kuwapandikizia itikadi waislamu waabudu majini nakuamini pete kwamba ndio itatoa baraka enyi waislamu wenzangu jiepusheni na huyu mtu

    • @halimazubeir
      @halimazubeir 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe nae unaongea nini hujui ulitendalo sikiliza mada ayo mengine apa sio pahala pake

    • @johnngenga1320
      @johnngenga1320 4 หลายเดือนก่อน

      karibu ukristo

  • @SaadiaHassanAbdullahi
    @SaadiaHassanAbdullahi 4 หลายเดือนก่อน

    sheikh wewe ukona elmu kuliko wengi so endelea kuubiri laaillaha illa Allah

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Wakati shekhe kashindwa bhana hajibu hoja😂

  • @hamadsalum1791
    @hamadsalum1791 4 หลายเดือนก่อน

    Acha janja zako

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน

    ila ndacha😊

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 4 หลายเดือนก่อน

      Eti mungu anakufa

  • @EmmaMtusi
    @EmmaMtusi 4 หลายเดือนก่อน

    Dah ila ndacha ni master

    • @aliraalira8536
      @aliraalira8536 4 หลายเดือนก่อน

      Hana umaster wowote

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa huu ni mdahalo au ni ushabiki tu

  • @albashakluninshaah3727
    @albashakluninshaah3727 4 หลายเดือนก่อน

    Wakristo amkeni jamani. Usife ukiwa kafiri.

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Sule ameshindwa waziwazi na Quran inasema Yesu amekufa

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

      mkiwacha kuwa watumwa wa Muhammad Kisa waarabu ntakubaliana nanyi

  • @hamadsalum1791
    @hamadsalum1791 4 หลายเดือนก่อน

    Aya inakusudia vyengine wewe unaipeleka vyengine

  • @kelvinmurithi7255
    @kelvinmurithi7255 4 หลายเดือนก่อน

    Doctor wewe ata utetee uongo mwisho wa siku kitaeleweka

  • @AidanoSilvestreSabiniSabini
    @AidanoSilvestreSabiniSabini 4 หลายเดือนก่อน

    Ndacha, ta falar a verdade que esta escrito na biblia,

  • @jjtm164
    @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน

    Sule wewe sio mwalimu huwezi vunja hoja huna, huna🤣🤣🤣🤣 lolote mganga

    • @halimazubeir
      @halimazubeir 4 หลายเดือนก่อน

      Hoja gani tena mnataka atoe nyie mapimbi

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 4 หลายเดือนก่อน

      Ameshidwa Sule bhana😂😂😂😂

    • @MuhammadMakame-bx4nq
      @MuhammadMakame-bx4nq 4 หลายเดือนก่อน

      Qur an haijasema kuwa hakufa bali ilifafanua madai yao ndio maana ikaanzia walipoishia wao.tuwasikilize hawa walim(ndacha na sule)kisha tutafakar kielimu sio kiushabiki.

    • @jjtm164
      @jjtm164 4 หลายเดือนก่อน

      Hata sule kasema hakuja kujibu hoja Bali kuhubiri uislamu ina maana hawexi na ameshindwa

  • @princematumbo
    @princematumbo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha upumbavu wewe mjaluo pastor, Musa anatokea wapi, pumbavu umeambiwa Muhammad na Yesu, msenge wewe

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 4 หลายเดือนก่อน

      Waislam hipo mtujua kuwa Muhammad was false prophet

    • @HAMIS-ci2vt
      @HAMIS-ci2vt 4 หลายเดือนก่อน

      @@JamesMoses-jd1yqmkiweza kudhibitisha hilo itapendeza sana
      tutaritad kuwa wakristo kwanin tusifate haki ikidhihiri ikiwa kila mtu anahitaj kuwa salama baada ya umauti .

    • @HAMIS-ci2vt
      @HAMIS-ci2vt 4 หลายเดือนก่อน

      kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi kwa manufaa ya nafsi zetu wenyewe.