Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ‘atinga’ Njombe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo amewasili mkoani Njombe kwa ajili ya kuona mwenendo wa matukio ya utekaji na mauaji ya watoto na hatua zilizofikiwa katika oparesheni zinazochukuliwa na vikosi kasi maalumu vilivyotumwa kutafuta kiini cha matukio hayo.

ความคิดเห็น • 1

  • @dicksonaroka6961
    @dicksonaroka6961 5 ปีที่แล้ว

    sasa naona wazee wa mjongo mmeamua kupasua jibu m naelewa vibaya mno salut kwako mkuu