Sheikh Rashid vipind vyenu Masha Allah ni vizur na tunavipenda. Sisi waislamu tumeitwa umma bora kwasababu ya kuamrishana mema na kukatazana mabaya, Mara nyingi watu tumekuwa tukisema ukhty mwambie anavokuwa kwa kipindi avae gloves hayo mapambo ni halali kwa mumewe na si vinginevyo. Tunaomba sana hilo tutafurahi kama litafanyiwa kazi hilo ili tuendelee kustafidi
Watu wanapiga kelele sana kuhusu hasad...tatizo kubwa ni kuwa tuko mbali na Allah s.w...pamoja na sunna za mtume...maisha tunayoishi haitapungua hasad bali itazidi....na ktk jamii yetu watu hawana kazi za kufanya..laiti watu wangekua na kazi za kufanya basi kila mtu angekua bz na maisha yake.Allah awashinde mahasidi wote.
Hasad na kazi ni vitu viwili tofauti make hasadi hata baba mzazi au mama mzazi nao wanaweza kukusudu bila wao kujua hasadi ilikuwepo fangu zamani kama nabii Ayubu si alipigwa hasadi?
Ni kosa kwa mwanamke kujipamba kama hao dada wanaokaa hapo ktk kipindi huku wana mahina je huo ndio uislamu gani mwalimu lazima awe kigezo nyinyi wengine mnasifu tu waka pa kukosoa hamkosoi

❤❤big up .hapo kwenye mitaa tunohamia ndo usiseme duh . Allah atuhifadhi na azidi kutulinda.
MASHAA ALLAH TOPIC NZURI SANA NIMEZIDI KUJIFUNZA KITU APA.
Watu wanapiga kelele sana kuhusu hasad...tatizo kubwa ni kuwa tuko mbali na Allah s.w...pamoja na sunna za mtume...maisha tunayoishi haitapungua hasad bali itazidi....na ktk jamii yetu watu hawana kazi za kufanya..laiti watu wangekua na kazi za kufanya basi kila mtu angekua bz na maisha yake.Allah awashinde mahasidi wote.
Hasad na kazi ni vitu viwili tofauti make hasadi hata baba mzazi au mama mzazi nao wanaweza kukusudu bila wao kujua hasadi ilikuwepo fangu zamani kama nabii Ayubu si alipigwa hasadi?
Allah awabarik hakika kipnd chenu kizur mno na tunaelimika na kufarajika
😢😢 Hasad Allah atulinde
Mashaallah
Husda inazidi hali ya maisha magumu .mimi hawajawahi kunichanganya rashi na othman .mimi husema mbaya ndugu
Kwa kweli makazini
Kumeozzaaa!!!
Hakika, Hasad imejaa kila sehemu, Allah atatulinda Inshaallah
Maneno kuntu, Mashaallah Mashaallah
Hasad zipo nyingi sana Tena anakufanyia hasad Wala hujamkosea chochote choyo tu
Assalaam alykum warahmatullah,
Samahani somo jitahid ukiwa umechora vaa gloves Ili lisionekane pambo LAKO,
Iyo ni Kwa ajili ya mumeo please
Ni kosa kwa mwanamke kujipamba kama hao dada wanaokaa hapo ktk kipindi huku wana mahina je huo ndio uislamu gani mwalimu lazima awe kigezo nyinyi wengine mnasifu tu waka pa kukosoa hamkosoi
Shekhe rashid usiruhusu wanawake na mahina unachukuwa zima
Nahisi wanawake wengi wa kizanzibar sasa wamekuq hawajitambui ktk kuonesha mapambo yao wanahisi ni vitu vya kawaida ila kwa kweli sio sawa kabisa
Sheikh Rashid hao wanawake wanaojipamba waambie mbona unawaleta ktk vipindi hvyo wamejipamba
Mtu aliyekosa kuhusudiwa katika maisha yake,huyo ni mtu aliyefeli katika maisha yake.
Yan mm zaman walikua wana nichanganya hawa shehe rashid na shehe Othman maalim ila ndio ivyo mtu na mwanafunz wake ila mwana funzi kamshinda mwalim 😅