Wote mtu na shangazi yake wana uelewa mzuri wa kujibu maswali wametulia hawana papara kweli wamelelewa vyema poleni sana Mungu awatie nguvu kwa yote mnayopitia mgonjwa apone haraka amen 🙏
Poleni sana ndugu wote wa marehemu Mungu awe faraja kwenu nimemkumbuka marehemu baba yangu alivyokuwa anapenda kuongea na watoto wake na kufurahi mkubwa naye na utani mwingi ni kama Mzee kibonde tu, Mungu awape pumziko wote waliotangulia tutaonna nao baadae
Mdogo angu katimiza mwezi jana tangu alale mavumibini sina nguvu hadi leo miguu inakufa ganzi kila napomkumbuka. Mungu tisaidie...kifo kibaya pale mtu anpokutangulia😢
halafu apo apo anasema baba alikuwa anakunywa chai na mkate na blueband kweli kabisa mzee unampa chai na mkate wenye blue band na huku ana presha yaani uuuuw aki inashangaza sana
Ulitaka afanye nn alie kwa sana au hata akilia haina faida hata kidogo wala hawezi kuamka huyo alokufa yake yameisha pia kulia sio faradhi wala suna kikubwa ni alhamdulillah kilichotokea@@omanoman2044
Nimejikuta nalia 😭😭kila nikitazama macho y efraimu jr naona kuna namna anapitia wkt mgumu n hn mtu w kusemezana nae naona jinsi anavyojikaza akiw anajibu maswali macho yk yakionyesh machozi sema anajikaz tu nimejikuta naumia sn kwaajil yk natama mungu afanye kitu kwa ajili yk kitakacho mpa furaha n faraj zaid
@@SHEIKHMWAIPOPOTV yaani wewe unafikiria kuto chozi ndio kulia? Unajuwa kama hakuna anaye lia sanaa kama wanafiki? Unafahamu kama hata walie wajilaze udongoni baba haata rudi tena
Mungu aw ape nguvu wafiw wote hasahasa watoto wa eframu mungu awape faraja na nguvu pia n mungu awe nao ,sema ukimtazama dada hy sara utaona jambo ukiona mtu anatumia neno umoja n c wingi bac mtu hy n mbinafsi n ukiona mtu anataja nyadhifa z mtu sehemu ambayo haitajik kusemwa bac jua mtu hy n mbinafsi mfano hakukuw n aja y kumtaja mwanae mara zote n c watoto w wengine hakukuw n haja y kusema cheo cha mfanyakaz wk kwasababu hakukuw n hj mungu atupe ndugu sahihi wenye upendo w dhati
Et alikuw anaswali online kunaswala ya online kweli waktisto mnasara kubwa san dunian had akhera anavyo hadithia utafikir ni baba wajiran yake kumbe ni bab mza,i w huyu kiboko lbda wameshukur hata alivo kufa w
tunatofautiana,mwezi wa 11 baba yangu aliuwawa na wasiojulikana napata taarifa nikastuka nikaliaaaa,ila tulipoenda msibani nikaona hata sielewi sikuwa nalia,weeee nilivyorudi nyumbani nalia kila siku mpaka mama ananikaripia badala ya kumuombea unalia lia namwambia mimi baba hajafa siamini mimi yaan maumivu makali watu wakitawanyika acha tu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
😮sls
Sio House boy Sema Kaka Wa Kaz Ndyo Heshima
Na utashangaa anamkany'aga!
😢😢😢😭😭😭😭😭😭dah kila msiba natoneshwa kidonda Cha mama angu,pumzika Kwa aman mama yngu tutaonana baadae mwanaisha wang
Pole sana Linda Mbilinyi, mwanasimba mwenzangu😭
@laninjeje8290 Amina Amina ndugu yngu
@LindaMbilinyi-n3n nmeona comments zako sehemu mbalimbali you upo vizuri sana, Simba nguvu moja
@@laninjeje8290 Wana Simba wote sisi ni ndugu na tutasimama na Simba yetu nyakati zote inshallah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❣️❣️
@LindaMbilinyi-n3n 🙏🙏
Mmmh kweli kuna tofauti ya MSIBA na KILIO !
Very strong boy, asante kibonde umetuachoa dume la mbegu kabisaa hili! Altitude on point. Like father like son😊
Wote mtu na shangazi yake wana uelewa mzuri wa kujibu maswali wametulia hawana papara kweli wamelelewa vyema poleni sana Mungu awatie nguvu kwa yote mnayopitia mgonjwa apone haraka amen 🙏
The best couple in town
Mtoto ana akili kubwa sana. Mungu awalinde🙏🏽
Poleni sana kwa msiba mkubwa mwenyezi Mungu awape faraja
Pole kijana umeongea kwa hisia sana na unchungu sana pole sana
Poleni sana ndugu wote wa marehemu Mungu awe faraja kwenu nimemkumbuka marehemu baba yangu alivyokuwa anapenda kuongea na watoto wake na kufurahi mkubwa naye na utani mwingi ni kama Mzee kibonde tu, Mungu awape pumziko wote waliotangulia tutaonna nao baadae
Kweli usemi uongo kifo kisikie kwa jirani kisikukute
😭😭Duu Mungu akutie nguvu wewe na wadogo zako jamn inaumiza sana
Hawa ndio wakina Martha mwaipaja😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Yehova Mungu awape faraja na amani ndugu na dada wapendwa wa kibonde family
Yaani watangazaji unamuulizaje mtu swali kama Hilo experience ya kufiwa yaani mnakera hebu jifunzeni kuuliza maswali ya msingi
Indeed
Nampenda Mtangazaji, Dada Tabuyanjaa wa global TV kwa kazi zake . Mungu ambariki.❤
Poleni sana kijana huyu anaongea kwa hisia na hekma sana mtoto mungu awape faraja yeye peke yake
Ambaye amkelekwa kijana wangu wakazi
Poleni sana familia ya ndugu Kibonde. Yehova Mungu wetu awategemeze na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
Mdogo angu katimiza mwezi jana tangu alale mavumibini sina nguvu hadi leo miguu inakufa ganzi kila napomkumbuka. Mungu tisaidie...kifo kibaya pale mtu anpokutangulia😢
Pole sana Mungu akutie nguvu 😢
Pole
Pole dear
@@maria_mutondioriginal5 Ahsanten sana.
Baada ya miaka 24 dada yangu anamfata baba. Siwez elezea navojisikia
Duuu Mzee alikosa CPR as a first aid for heart attack person kwa wakati.
Poleni mnoo.
Poleni sana ndugu zetu 😭🤲🙏
Aisee ni hudhuni ila huyo dogo wa kiume is very bright ameongea kiume mno
Uyu ni mjukuu mtt wakibonde mtt yn yupo smat sn uyu dogo ata msiba wababa ake aliongea kismat sn
@nishaabdula5015 yupo smart naishnae upanga konyagi kma zoteeeee
Rip Kibonde, babake e. Kibonde , rip.😊😊
Waandishi angalieni maswali ya kuuliza wafiwa
Unaroho ngumu😢😢😢dada yaan kama jiran.
Yani anaroho ngumu sio kidogo mkavu sana kama hajafiwa
Pole sana Twitike Kibonde
Poleni sana wafiwa mungu yuponanyee
Kifua kubana dalili sio nzuri,wangemkimbiza hosp,ila kifo hakina taarifa
Shame 😢 huyu mtt ananikumbusha marehu kibonde ilesiku amefariki😢😢 kifooo aaaaaaiiiiii
Yaan we acha TU kisikie TU kwa jiran
Allah amrehemu amjalie gher ktk sqfari yk ila dd upo mkavu km jirani
watu wena hela wanakula mkate na blue band, imenishangaza sana by the way RIP
Mkate na blue band vinakushangaza,? Duh Pole sana umaskini mbaya sana
Kwa taarifa yko matajili ndio wanaongoza kula mikate😅
Bluband mbona ni hela ndogo tu jmn?? Cha ajabu hpo n nini??
@@firdausqutty2067na ndo maana wengi wao wana shida za pressure
Punguza kuunga bandle utakula mkate na comment za watu
Innalillahi waiinailahi rajuun. Kilakifo kinasababu. ,,, mama akiambia sijuihatakua haligani. Allah awape subra familianzima🤲
Mungu wangu 🙆🙆🙆
Ana adisia kwa show off anataja ma house boy nini mwanangu anaendesha gari jmn kabila gani huyu
Nikitaka niseme walah mmh atar
Hana hata uchungu akajuw labda ipo siku atarud mjinga san
halafu apo apo anasema baba alikuwa anakunywa chai na mkate na blueband kweli kabisa mzee unampa chai na mkate wenye blue band na huku ana presha yaani uuuuw aki inashangaza sana
Ndizi bukoba na kuku@@julianapeason6254
Ulitaka afanye nn alie kwa sana au hata akilia haina faida hata kidogo wala hawezi kuamka huyo alokufa yake yameisha pia kulia sio faradhi wala suna kikubwa ni alhamdulillah kilichotokea@@omanoman2044
Poleni sana wafiwa
Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya 😭😭😭
Nimejikuta nalia 😭😭kila nikitazama macho y efraimu jr naona kuna namna anapitia wkt mgumu n hn mtu w kusemezana nae naona jinsi anavyojikaza akiw anajibu maswali macho yk yakionyesh machozi sema anajikaz tu nimejikuta naumia sn kwaajil yk natama mungu afanye kitu kwa ajili yk kitakacho mpa furaha n faraj zaid
Huyu kijana nilimuona kwenye msiba wa baba yake lkn siwez kusahau ile siku.Nilijuta kwa nini nilienda kwenye ule msiba
@hyacintagugu7 Kwann ulijut ,nn uliona?
Inalilah wa inailah rajuun
HILO NDO TATIZO LA HISIPITALI ZETU TANZANIA , WEEKEND HAWAFANYI KAZI ETI . WANAFANYA KAZI KAMA KIWANDA CHA MIKATE.
Ajabu sana hili swali. Africa bana?
Alivyo changamka kama katiwa ndimu duuh 🤔 kweli msiba wa pesa hauna maumivu
umeona eeh masikini wanalia shida sio kuwa wameumia sana,
Hata akijivuruga chini mavumbini hata avue nguo akimbie na kulia kilometres 100 mzee haatarudi
Yes ni kweli kabisa. Lakini kuwa na uchungu ukiwa na maumivu ya kufiwa huwezi kuongea hivyo @@svt3
Maumivu yako moyoni hata akilia damu mzee hawezi kurudi
Yn kiukweli uyu dada mkavu mno
Dada jamani tafadhali !
Mama yangu alikufa mwaka jana 22.12.2023😢
Pole sana ndugu yangu mimi pia alifariki mda mrefu 2014
Pole mama yangu safari ni moja tumuombee
Pole sana Mungu akupe subra
Pole Sana
Poleni sn jmn, mama anauma!
Daah mtoto wa kibonde ardhi inakula watu jamani
Huyu wakiume, ana akili kubwa saaana.
Innallahi 😢😢
Huyo mama anaonekana hana huzuni kabisa hamjui mungu kabisa
Hana huzuni kwa sababu ana TUMAINI kwa MUNGU YEHOVA kwamba Baba yake atafufuliwa@@SHEIKHMWAIPOPOTV
@@SHEIKHMWAIPOPOTVkivipi?
@@SHEIKHMWAIPOPOTV yaani wewe unafikiria kuto chozi ndio kulia? Unajuwa kama hakuna anaye lia sanaa kama wanafiki? Unafahamu kama hata walie wajilaze udongoni baba haata rudi tena
Hv kwann Tanzania hawafanyi kazi wikendi nakumbuka hata yule marco alifika hospital wakamwambia mpaka jumatatu kaka wawatu 😢
Mie nilimpeleka mwanangu zahanati jumamos nikaambiwa hawatoi huduma mpaka jumatatu
Ongeza Vzr km hujafiwa
Poleni sana wasifa mwenyezi mungu awatie nuvu
Wasifa tn
Ilitakiwa mzeee azikiwe karb n motto wake kibonde
Polen jaman
Jamani Kwa hiyo atazikwa bila mkewe kujua...poleni mno mno mno
Ss ni mgonjwa unaweza mpa taalifa na yy mkasababisha mshtuko mkampoteza
POLENI SANAA. MUNGU AMWEKE PEMA.😊
Sasa mke wake ata muagaje? Ila poleni sana kwa msiba
Hindu mandal panafungwaga?!😮… but poleni na msiba
😢😢😢😢
Polen sana familia
House boy ni kingereza hana kosa
Hata angeongea kiswahili bado ni mbaya, angeweza kusema kijana wangu
Kwahyo kiswahili angesema mfanyakaz wangu wa kiume, pia unaona ni sawa??
Mungu aw ape nguvu wafiw wote hasahasa watoto wa eframu mungu awape faraja na nguvu pia n mungu awe nao ,sema ukimtazama dada hy sara utaona jambo ukiona mtu anatumia neno umoja n c wingi bac mtu hy n mbinafsi n ukiona mtu anataja nyadhifa z mtu sehemu ambayo haitajik kusemwa bac jua mtu hy n mbinafsi mfano hakukuw n aja y kumtaja mwanae mara zote n c watoto w wengine hakukuw n haja y kusema cheo cha mfanyakaz wk kwasababu hakukuw n hj mungu atupe ndugu sahihi wenye upendo w dhati
Mmh!!
Kifo bn yn anaondoka mxima anabakj mgonjwa
RIP
Vijijini huwez kuuliza mfiwa maswali kama hayo maiki inakugomea kuongea
Bora huyu ndo anajua kuhoji anaongea taratibu kwa ufasaha kwa wafiwa. sio wengine anahoji utadhan anatangaza.
Kuna maswali mengine jamani. Experience ya kufiwa na wazazi????
Poleni sana❤
Kijana Unikate Tamara kipindi kigumu hupita weka maombi pele❤
Dada,house boy ni ndugu yako,usimnyanyapae kwa kumwita house boy,sema kijana wangu wa nyumbani.
Kwani si ndo kazi yake maana yake kaka wa nyumbani kwani house boy ni tusi?? Inategemea wewe unavyochukulia
Mtu mzima mnampa mkate mkavu inamadhara kwenye moyo
Hapo Sasa na Tena alitaka kumpa na blue band! Mkate una sukari jaman
NA KWELI KUMPA MGONJWA WA MOYO MKATE NA BLUE BAND NI SHIDA. RIP KIBONDE 😢😢😢😢😢😢😢
Dada anajikaza hatari
Ma first born huwa ni majasiri mno
Et alikuw anaswali online kunaswala ya online kweli waktisto mnasara kubwa san dunian had akhera anavyo hadithia utafikir ni baba wajiran yake kumbe ni bab mza,i w huyu kiboko lbda wameshukur hata alivo kufa w
Usimalize maneno kipenz
Akilia marehemu atarudi?
😂😂😂😂😂
@@omanoman2044 make apo kwanza nicheke 😀 japo msiba ila duuh
Uyu sara mbona hana hata huzun
Yeye ndo mkubwa akikaa ana huzunika nani atasimamia majukumu yake? Kingine akikaa kulia huyo baba atarudi?
Katika watu wanaokuwa na maumivu makali ni kama huyu bora anaelia
tunatofautiana,mwezi wa 11 baba yangu aliuwawa na wasiojulikana napata taarifa nikastuka nikaliaaaa,ila tulipoenda msibani nikaona hata sielewi sikuwa nalia,weeee nilivyorudi nyumbani nalia kila siku mpaka mama ananikaripia badala ya kumuombea unalia lia namwambia mimi baba hajafa siamini mimi yaan maumivu makali watu wakitawanyika acha tu
Kuna shida familia ya kibonde ombeni sana
Jmn wew watu wasife!
Mjinga nini wewe kwani ukoo wenu hamjawahi kufiwa?
House boy wangu ana drive duuuuh huyu dada cjui ni muhaya
😂😂
Kibonde alikuwa anaishi na baba lakini baba alikuwa anaishi chini kubonde alikuwa anaishi juu ili tujue wana ghorofa ukaongea kwa mapozi mpaka unakera
We mwandishi nawe😊
Mdada anaelezea msiba wa babake kama sherehe mmisifa ya ajab