Hii nyimbo sijawahi ichoka jameni kila nikiisikiliza najikuta naanza kusali huku nalia😭 kama na ww bado unaiangalia mpaka leo 2019 gonga like. Fan from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Hu wimbo nimehusikia mwaka 2010 mama yangu alikuwa akiupenda mno haipiti siku bila kuhusikiliza natoa shukulani Mungu kanigusa mpaka sasa ni mwaka 2023
It's so heart touching,may God almighty touch the situation you are by now and repay you with his blessings and healing in the mighty name of Jesus 🙏🙏🙏
nyimbo imenitatulia matatizo mengi sn hii watumishi mbarikiwe sn! hakika Bwana yupo ktk uimbaji!!! anayeskiliza nami leo hii tar 18 nov 2019 hebu gonga like yako hapa
I hear this song for first time in 2007 when I have 7 years old I continue to listen untill today December 2023 at 23 years old aiseee Mimi pia n legend jaman nipeni likes hizo❤❤❤❤❤😂😂
Anayeangalia wimbi huu 2024 na bado ana feel uwepo wa Mungu na kububujika mbele yake ,gonga like hapa
✋✋
kabisaa
Here I am again OCt 2024
Anayeangalia 2023 pamoja na Mimi mungu amubariki 🙏🏾🙏🏾 gusa 😭 Jehova shalom gusa masiah 🙇🙇🙏🏼❤️🇰🇪🇰🇪👈
❤❤❤
Nilikua naiangalia nikiwa na miaka 10 na leo hii nimeitafuta nikiwa na miaka 23 elf 2024 mungu akaguse kazi yangu 🙏🙏🙏🙏🙏
Nmechelewa😂😂🙏🏾🙏🏾
Alieangalia huu wimbi akuwa mschana sah n baba au mama🙋😂😂❤❤❤Mungu awabatiki sana Guza jehova popote mpo nyie wte🙌💪💪🙏🏾🙏🏾
Unayeangalia 2024 kama mimi kupitia youtube lakini uliwahi kuangalia kwa CD enzi hizo, punga mkono.
😊🎉
2024 Gusa Maisha yetu yesu❤❤..tugusee Tena ,watoto Wetu,wazazi wetu
Who is still here in 2023??May the Good Lord Bless us abundantly throughout this year and always.
Hawa waimbaji nawakubali saana
Wimbo huu nikiusikiliza nafarijika sana nasikia nikiguswa moyo wangu tunaofarijika na huu wimbo gonga like hapa 🙏🙏🙏
If still watching this 2023 May God Bless you...
2023.......im here again again please God entervene
Wed,8 May 2024, 00:36
Please God bless your people listening to this holy tune
Hii nyimbo sijawahi ichoka jameni kila nikiisikiliza najikuta naanza kusali huku nalia😭 kama na ww bado unaiangalia mpaka leo 2019 gonga like.
Fan from Burundi 🇧🇮🇧🇮
I was here 2023 ❤❤
Great message. Lord intervene in people's lives. People are really going through a lot.😭
Gusa baba mwaka huu nipate ajira nzuri.
2023 still 🔥🔥🔥🔥
10 yrs + am still playing this song,what agreat blessing..Gusa maisha yangu bwana yesu
Sah najua ww n mama😂😂😂Pia mm naupenda sana huu wimbo wazamani sana❤❤❤
Mungu baba naomba uguse maisha yangu na mafanikio yangu.....mwaka 2020 ukawe wa mafanikio
Gusa uchumba wangu baba pekeangu siwezi😢😢😢😢
wimbo wanibari sana,barikiwa sana
Savera Enock gusa bb familia ya mzee theophily ss peke yetu atuwezi bb
Tupo wenye ndoa ndani na balaa tupu gusa baba
Gusa biashara yangu mungu wangu
Anayeangalia 2020 na janga hili la covid-19 Mungu akaguse hili.
Ni kweli
2023❤
Hu wimbo nimehusikia mwaka 2010 mama yangu alikuwa akiupenda mno haipiti siku bila kuhusikiliza natoa shukulani Mungu kanigusa mpaka sasa ni mwaka 2023
Now it's December 2024 and I can feel the power of this song ...weka like tukisonga ❤❤❤
Nashindwa kujizuia kwa jinsi wimbo huu na uinjilisti uliomo ndani yake unavyougusa na kuubariki moyo wangu! Mbarikiwe sana
Huu wimbo niliusikiliza miaka mingi iliopita,nikiwa msichana,na sasa 2024,miaka 15 Kwa ndoa,na Bado unanibariki, Amina
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu; Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo awabariki Sana!
Gusa ndoa yangu bwana
Napokea baraka za huu wimbo
hunifariji sana huu wimbo! ahsante mtunzi na Mungu akuzidishie uwezo.
Asante YEHOVA kwa kuugusa moyo wangu 🙏
Gusa na mimi maisha yangu Bwana,,na familia yangu pia
Mungu mguse my brother Alex aliytangulia mbele za haki mguse bb ni mm mdogo wake vero
2019 and still listening to this Gusa hit song. if you are blessed, gonga like
Kwa Kweli Mungu ainue hii kwaya kwa huduma ya uimbaji yaani nabarikiwa sana nyimbo zao
This song has a really powerful message
Ahsante kwa hizi mnayo bariki na sinagusa rohoni mwangu endelea hivyo hivyo
Niguse bwana yesu
Nabarikwa sana na nyimbo hizi
Hongereni Sana chang'ombe na mungu awabariki mzidi kuwa wamoja katika imani
Nime kumbuka mbali sana nyimbo hii ina toka nipo galanos Sec Tanga ndio Na maliza o-leve
Hii ni 2023 na bado nabarikiwa na wimbo huu❤
Moja kati ya nyimbo bora za Muda wote. Kila nikiisikiliza ni kama imetoka jana. Mungu aendelee kuwabariki sana
I am so so blessed and this song will bless very many people.
Mungu awabariki sana hakika nimepona nakubarikiwa kwa wimbo huuu
2023 watching....
Huu wimbo niliusikiliza mwaka wa 2004, mbarikiwe sana ktoka Nairobi Kenya.
Huu wimbo ni maombi tosha kabsa tena yenye nguvu 🙌😭
Huu wimbo nimekuta moyo wangu unaimba nikabidi niutatafute 2005 ulihiti sana mpaka leo 2023 bado
Gusa maisha yangu e bwana wangu Yesu
Gusa Bwana yesu wimbo mzuri sana unanibariki sana Mungu awabariki sana waimbaji wa chang.ombe
Mungu niguse nijalie mchumba pekeangu sitaweza
Mungu ana uwezo kwa mapingo yake aniponye high blood pressure. Amina
Eee mungu gusa wajane yatima wagonjwa na wasiojiweza pia waliofiwa na wapendwa wao
It's so heart touching,may God almighty touch the situation you are by now and repay you with his blessings and healing in the mighty name of Jesus 🙏🙏🙏
Gusa Bwana Yesu maisha na kila kinachonizunguka Gusa gusa Jehovah
This still touches me and I first watched it in year 2006
Niguse Jehova ndani ya moyo wangu nami nipate hitaji langu toka kwako
Wimbo Mzuri,umeniguza mno,old is gold,watching in kenya
gusa baba maisha yang yehova
The song has great power in blessing. Be blessed all the singers.
Gusa kazi za mikono yangu Mungu wangu....huwa nabarikiwa sana na hii nyimbo
Kwa mkono wako tutabarikiwa, Kwa mkono tutatakazika, Kwa mkono tutafarijika, Kwa mkono tutawekwa huru
GUSA X4 GUSA JEHOVA, GUSA MASIA, GUSA SHALOM. GUSA X4 GUSA BWANA YESU
Kwel axanten xan
Naipenda hii nyimbo inaguda japo, mimi ni muislam lkn inagusa mnoooo,m barikiwe sana.
Sahu sahura napenda moyo unataka gusa unatakata
Nahisi niko mbinguni japo sijafika,nisikiapo wimbo huu
Utaguzwa tu
Sahu sahura yeah vzur pia
Sahu sahura 🤒
Mungu awabariki kwa kazi Nzuri
Ooh Mungu nitendee makuu niguse kwa mkono
Anayeangalia 2024 Mungu akuguse upokee hitaji lako. Hizi ni baadhi ya nyimbo ambazo ziliniinua sana wakati naokoka.
Eeeh bwana wa mjeshi Mpokee..Mwalimu Clement..kwa nyimbo hizi zilibariki watu wengi Sana..kazi emeimaliza...RIP..Mwl.Buhembo
Ameen. Ni kwa mkono wako tu Jehovah.
Gusa mume wngu me siwezi peke yangu mwanya miuzija mungu wangu we ndio kila kitu baba yetu mguse mume wngu mungu
😢😢i hope alibarikiwa
Huhuu wimbo umegusa kaila pahala mubalikiwe sana kwa tungo nzuri
Barkiwa watu wa mungu,ila huu unahuzunisha sana.
Mungu wetu anatupenda tunapomuita anatugusa. Thank you Jesus. Barikiwa waimbaji
Nabarikiwa sana na wimbo huu 🙏🙏
15+ yrs still worth listening to this song.
Naipenda sana hii nyimbo gusa baba
amen Yesu Kristo,gusa watu wako, Kristo Yesu guuuuuuusaaa baba
2020 Gusa Jehovah tusaidie na janga la Corona 😓😓😓 Gusa Baba 🙏🙏
Nawapenda sana nyimbo zenu zimenibariki mno
Npo mbele zako Baba Gusa maisha yangu😭😭😭😭😭🙏🏾♥️
Gusa baba hata tulio mbali na Tanzania tuirud salama Amina
I put this song to my favorite list 😍😍😍😍
mbalikiwe na bwana wimbo unagusa sana pia Mungu awape nguvu Amina.
nyimbo imenitatulia matatizo mengi sn hii watumishi mbarikiwe sn! hakika Bwana yupo ktk uimbaji!!! anayeskiliza nami leo hii tar 18 nov 2019 hebu gonga like yako hapa
Ooh dear God always be there for me...
too much blessings from the song. amen
I always love this choir
I hear this song for first time in 2007 when I have 7 years old I continue to listen untill today December 2023 at 23 years old aiseee Mimi pia n legend jaman nipeni likes hizo❤❤❤❤❤😂😂
2021 we still gusaing......
Mungu awape nguvu zaidi ya kuhubiri
Wimbo huu umenigusa sehemu kubwa Sana mbalikiwe sana
Gusa maisha ya waliokata tamaa baba
Hawa Makau
Mungu we ndo kila kitu kwetu katika maisha yetu unagusa kila mmoja kwa nafsi yake
2021 still my Fav❤️🙌🏻
Amen gusa maisha ya ndoa zetu
hai
naipenda sana huu mwimbo ijapo mm msabato lakin inagusa
nakumbuka mbali sana nikisikia nyimbo hii
I Zablon LISSU Mangu, i love have been loved AIC Chang'ombe as well as their song concern so May Almighty GOD bless you AIC Chang'ombe chior !
Haleluya...Niguse bwana Yesu kama ulivyowagusa wote waliokuamini
Naupenda sana wimbo huu, Mbarikiwe sana kwa kazi njema namna hii
asnte mung kwa kugusa maisha yang
Oh, touch my heart, oh Lord! Great song!
CVC mko juu sana, Fadhili na nehema za Mungu wetu ziwe nanyi daima
Moyo wangu umeguzwa na huu wimbo..mubarikiwe sana mulioguzwa na kuimba
Haleluya
Naupenda wimbo huu Gusa Gusa Mungu Maisha yangu.hakuna mwingine baba Gusa