Wenye kuwa Africa shikamaneni na Bwana wetu Yesu Kristo ,wazungu wamemuchezea Bwana wetu Yesu Kristo ,songeni mbele ,watawatafuta kama vile watatafuta Njibwe ambavyo wa njenganji waliotupiliya mbali (( Yesu Kristo))(( Njiye Atakaye Kuwa Njiwe ya Musingi)) nendeni mbele .
Wapendwa Tuko katika mwaka 2020,na kusema ukweli, sijapata kwaya yeyote katika Baraka Africa waliyo imba nyimbo nzuri kama nyingi. Nikikumbuka ile CD ya kwanza GUZA. PLIZ LET SOMEONE DOWN LOAD THEM AGAIN.Mbarikiwe Sana.
Mmmmmmhhhh kuna mafundi wa vyombo humu sijawahi ona Mimi ni fundi pia lakini hawa kina-Kaka ni hatari sana pia asanteni kwa masololist kiukweli kinaDada nyinyi viwango vyenu ni vya juu mno pia Asante Mwalimu wa Kwaya bila kumsahau mtumzi wa nyimbo na wanaMaombi wa kwaya , Nawapenda sana sana sana sana sana sana sana sana sana mnaniBariki mno
Wependwa Kwa hakika,HUU wimbo unanipa amani moyonimwangu kila wakati ninapoiskia Kwa miaka kumi na moja tangu niipate kutoka TH-cam.mungu awabariki Sana.
Nyimbo nzuri sana, I wish mrecord tena hizi video katika HD quality. Bado mnaweza mkarecord hizi nyimbo na zikauza sana. Sijawahi kuchoka kuzisikiliza. Mbarikiwe sana!
Wow there power in giving thanks the presence of God is all here in Nairobi kenya through this song may bless whoever wrote this great song . I too will tell my great great great grandchildren the great doings of the lord in my life .
Tunaosikiliza hii nyimbo 2024 tujuane 🔥🔥🔥
Locked
Am here
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Niko hapa sanaaa ❤
Naisikilizanga daily
Jamn 2023 nani anazikubarii hz ngoma,,nipe like zangu
Tupo pamoja 🔥
Hizi ndio zilikua kwaya za kweli sio za kisasa 🎉❤❤❤❤
❤
😊😊@@johnjoycemalusu4886
2024 nakutukuza Mungu
May 2024 Bado nyimbo inanibariki sana kama Huwa unarudi kuangalia mara Kwa mara like tujuane❤
It sounds as if it was sang yesterday. & We are in 2024 D k from Kenya baraka Tele kwenu ❤
Ni 2023 kwaya hii ni nzur sana ina dumu Zaid na zaidi rudini tena ❤❤❤
Wenye kuwa Africa shikamaneni na Bwana wetu Yesu Kristo ,wazungu wamemuchezea Bwana wetu Yesu Kristo ,songeni mbele ,watawatafuta kama vile watatafuta Njibwe ambavyo wa njenganji waliotupiliya mbali (( Yesu Kristo))(( Njiye Atakaye Kuwa Njiwe ya Musingi)) nendeni mbele .
Wapendwa Tuko katika mwaka 2020,na kusema ukweli, sijapata kwaya yeyote katika Baraka Africa waliyo imba nyimbo nzuri kama nyingi. Nikikumbuka ile CD ya kwanza GUZA. PLIZ LET SOMEONE DOWN LOAD THEM AGAIN.Mbarikiwe Sana.
Innp.
P
Please let me download
Africa nzima hakuna kwaya iliyoimba kwa kufata maandiko ya Biblia kama hii.hii ni kwaya jamani🙏🙏🙏
Ndungu zetu kutoka Tanzania wamebarikiwa na kipawa cha utuzi wa nyimbo za injili.utukufu kwa bwana 🎉
Nabarikiwa sana kusikiza huu wimbo
Tanzanias you are wonderful people in all respects, I love your choirs and the presentation by your handsome and beautiful brethren
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu zote. Mungu awabariki sana kwa kweli. Naomba muweke download
Nani aliye juu yake Bwana Mungu? Matendo yake Mungu ni ya ajabu sana tutukuzeni Mungu Sisi mataifa yote duniani 🎹🎤🎸🙌🙌
Nampenda huyu dada kwa kweli anasauti nzuri org nakupenda sana ,sijui jina anaitwa nani
Mungu amewapa kitu cha tofauti Sana hawa wandugu Yesu awabariki Sana wazidi kukua na kuongezeka kiroho na kimwili❤❤❤
Nitayakumbuka matendo ya Bwana naam nitayakumbuka maajabu yake ya kale
Ila sijui mmeenda wapi tena sasa siwasiikii tena
Tunaozidi kuitazama nakupenda hii nyimbo October 2022❤️❤️🔥🙌
Nyimbo ziko vizuri
2023 nitayakumbuka matendo ya Bwana siku zote🙏🏾🙏🏾🙏🏾
ambao tunaitazama 2019 na tunaimani itatufikisha 2025 gonga liki👍👍👍
.."nani alikuwa mshauri wake..nitaitafakari kazi yake..mtukuzeni Mungu.".nabubujikwa na machozi jamani!kazi ya Mungu na hukumu zske hazichunguziki!!
mm sichoki kuutazama huu wimbo
Amina Amina najiona fahari juu ya Bwana Mungu
@@cecilialucas7655 😘
Mi kwa mara ya kwanza nliuskiliza 2012
Nawapenda waimbaji wote walio imba wimbo huu matendo yake mungu kweli ni ya ajabu Sana
Kwaya hii naipenda sana yani toka mwaka2013 ipo moyoni mwangu,,ah
I love this choir, the best even I don't understand their language❤❤❤
🎉
Mungu wetu atukuzwe, sifa na utukufu zimwendee yeye. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Good sana namuelewa solo
Mungu awape afya njema mzidi kutuinjilisha,mmbarikiwe
Wimbo bora kabisa kuwahi kuusikia masikioni pangu, japo sio muumini wa J/ pili but Congratulations guys
Amen wapendwa, Kilamara ninabarikiwa na Nyimbo zenu.
Nitayakumbuka matendo ya bwana na nitayakumbuka maajab yake ya kale
Nawapenda kwa uimbaji wao na miondoko yao ,Mungu awape Neema na Rehema.
Mungu hawabariki aicc Chang'ombe
Mpigien mungu kelele za shangwe nawapenda mno
Who is with here 2024❤❤
Napenda nyimbo zenu kweli kweli
A I C chang'ombe nyimbo zenu zinanibalik sana mungu awepamoja nanyi
Amina Nazi nzuri sana mungu awalinde na wapandishe utukufu had I utukufu mbarikiwe sana
The Best song from the best choir !!! Congratulations!!!!!
Usipime izinyimbo sio pw ataazichuji tunabarikiwa mno amen
Sjawahi kuchoka kusikiliza hizi nyimbo niwe na furaha au majozi nasikilizaga san. Mbarikiwe mnooo
tunawatakia uimbaji mwema aic chang"ombe nyimbo zenu huwa zinanibariki xn
Yesu akutunze Mamy Diana!! nakupenda Mungu awabariki jamani
"Mpigieni Mungu kelele za shangwe"🥰👏
huu wimbo unaendelea kunibariki 2020
Mungu ni tajiri stay blessed haichuji hii song
Huu wimbo nakupenda sana..mbarikiwe sanaa wanakwaya
Wimbo umenibariki sana roho mtakatifu awaangaze zaidi mzidi kumtumikia yeye peke yake.amina
Nabarikiwa na huu wimbo
Barikiweni Kwa Kwa kueneza injili,nyimbo zenu za baraka kweli
Nyimbo nzuri Sana 🔥 inanibariki Sana
mbarikiwe mnaimba na kupiga vyombo kwa ustadi sana
Mmmmmmhhhh kuna mafundi wa vyombo humu sijawahi ona Mimi ni fundi pia lakini hawa kina-Kaka ni hatari sana pia asanteni kwa masololist kiukweli kinaDada nyinyi viwango vyenu ni vya juu mno pia Asante Mwalimu wa Kwaya bila kumsahau mtumzi wa nyimbo na wanaMaombi wa kwaya , Nawapenda sana sana sana sana sana sana sana sana sana mnaniBariki mno
Nawapenda Sana kwaya hii sina kwaya inayogusa moyo wangu na kuuhuisha Kila ninaposikiliza nyimbo zao kama nyie Mungu azidi kuwapa mafuta yake
Waimbaji wenzangu mubarikiwe ni kambale kirovi pa butembo
Wependwa Kwa hakika,HUU wimbo unanipa amani moyonimwangu kila wakati ninapoiskia Kwa miaka kumi na moja tangu niipate kutoka TH-cam.mungu awabariki Sana.
Best song,!! You're the best choir !! I love you so much
Bado nikohapa 2024 amen and amen 🙏🏿
Amen amen 🙏 🙌 👏 barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen 🙏 🙌 👏
Nyimbo nzuri kama hizi kila ukisikiliza unaona ukuu wa Mungu.
Mimi hapa. Nasikiliza kutoka mjini DOHA-QATAR
Mm ndo nyimbo zangu nazipenda sana
Nyimbo nzuri sana, I wish mrecord tena hizi video katika HD quality. Bado mnaweza mkarecord hizi nyimbo na zikauza sana. Sijawahi kuchoka kuzisikiliza. Mbarikiwe sana!
Wow there power in giving thanks the presence of God is all here in Nairobi kenya through this song may bless whoever wrote this great song .
I too will tell my great great great grandchildren the great doings of the lord in my life .
Jaman huyu mama ananibariki sanakwa saut yake nzur ubarikiwe sana fanya kaz ya bwana mwisho utalipwa
The soloist has a beautiful voice
Za kale ni dhahabu
Mungu awaweke miaka elfu watumishi ujumbe unapenya kumoyo
chan'gombe kwaya mpo vizur kwa uimbaji.mungu awabariki sana
I like nyimbo zenu sana barikiweni sana wapedwa
Thumbs up for your soloists her smooth and sweet voice is fantastic and good to hear!
Wilson Oduor Omondi nawapenda waimbaji ,Mungu awabariki sana
🎉
Rb
Mungu awainue kwa viwango vya juu sana,nabarikiwa na kazi zetu-
Mungu awatumie vile apendavyo mbarikiwe sana
God bless you
Mungu awainue tukamwimbie mpaka mbinguni hapa duniani tunafanya Naxos I
Haki husikia kubarikiwa sana kwa nyimbo zenu,mungu azidi kubariki sauti zenu,ili muinue jina lake,Amina.
Mko vizuri sana nawapenda sana wapendwa wa mungu mungu awabaliki
This song never ages ....... absolutely banger
well organised song...this is wonderful.
am blessed for such a beautiful voice and instumentors..God increase you.
Uwa nawakubali sana. BRAVO
Nyimbo safi Mungu na aendeleze hii taranta
yaani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza, barikiwa Sana waimbaji
Hatari sana kweli chang'ombe mungu awatie nguvu zaidi
Kila nikiskiza huu wimbo nazidi kubarkiwa, mungu azidi kuwatia nguvu na baraka tele.
cjui nn niseme kwajinc mnavyonibarki na nyimbo zenu nakoxa neno lakusema,nawapenda
Mi nawakubali saaana hawaimbaji niseme mungu awabalika sana
Asante chang'ombe. Nipo Dubai napenda nyimbo zenu. Lakini mwananchi mwenzenu
musikufe jamani Ata siwajuwi, lakini nyimbo zenu zina nibariki Sana
2022 wenye tuko hapa🔥🔥 CVC my best choir
CVC my best choir ever to date 2022,you are blessed.
Well arranged relaying the appropriate massage and providing good preaching to the society keep it up may Almighty God bless u all
Mmesahau kuimba hii jumapili kanisani nawaomba siku moja muipige live
Mko vzr sana Mungu awabariki
Ukiskia mungu hushuka kupitia sifa amini jmn mungu awabariki waimbaji jamn (Muandishi Wa nyimbo, BT producer) nimebarikiwa sana sana
wimbo huu unatafakarisha xana,ee Mungu tumche Mungu kuliko kuabudu wanasiasa wanaopenda kutukuzwa utafikiri wanaweza hata kuumba hata sisimizi
Jamani sisimizi kweli watu wajitolee kabisa
nyimbo inapondwa kama najana bwana abarikiwe sana
Nawapenda natamani niimbe pamoja na nyinyi nampenda huyu dada hana makuu
Mungu awabariki sana nawapenda
mnanipaga raha sana watumishi wa mungu mbarukiwe sana
Amina
Mbarikiwe sana
Nabarikiwa sana na nyimbo hii hasa sololist
Kweli ltatufikisha 2025
mungu azidi kuwa barik kwenye kazi zenu maana nyimbo zenu zina tubarik
Hindi zilivyo Tu , hakuna mshauri wa mungu
May God bless CHANG'OMBE choir for wonderful songs
What a soloist. What a choir. Mbarikiwe zaidi daima
nawapenda waimbaji wote mungu awabariki