Ni usiku wa manane ambapo nipo nasikiliza wimbo huu. Hakika naziona baraka za Bwana moyoni mwangu. Mungu tunayemuamini ni Mkuu sana, tumwitapo anatuitika kwa namna anazozijua yeye. Nautumia usiku huu kumwita Mungu wangu
Mimi naitwa Desire ndayisenga kutoka Burundi Choir chang'ombe ninaipenda sana kwa Maneno wanao imba pande zote kutokana na uokovu na kuomba badaa ya kuokoka
Kumbuka kuwa kujitakasa nia kuacha maovu yote na kumrudia MUNGU katika kweli yote, wanawake wamekuwa sehemu kubwa ya kutangaza injili ya shetani na wala si kumtangaza MUNGU ALIYE HAI ona nywele zao.
Tuliorud kuangalia usk wa manane 2024 baad ya kurudiw live gonga like
2024 anyone🙏
Amina nabarikiwa nikiwa Oman
Ni usiku wa manane ambapo nipo nasikiliza wimbo huu. Hakika naziona baraka za Bwana moyoni mwangu. Mungu tunayemuamini ni Mkuu sana, tumwitapo anatuitika kwa namna anazozijua yeye. Nautumia usiku huu kumwita Mungu wangu
freddy kippa Amen
I love this song coz it explains the reality of life without Jesus and afterward with jesus coz jesus changes your life completely once u accept him
safu sana
Ubarikiwe
Amen amen mungu awalinde nakuwapa nguvu 🙏🙏
Am still watching this song
In 2019,nyimbo bora kuwahi tokea,
1n
imk0llà0))⅞)))888)ⁿ08])m1%?))])/
.
8,4 rcf@ i4
Nabarikiwa sana na huu wimbo,,hakika ni wimbo wangu pendwa
I always feel Encouraged wen i here this song b4 praying at 3Am
Usiku Wa Manane hunipa Muda na Muumba wangu! Dunia hutulia nami huzungumza na Mungu Baba Asikiae kuomba kwangu. Amina
Huu Wimbo ni mzuri sana, hii 2024 ila bado unabaki kuwa wimbo bora san
Napata faraja sana ninaposkiliza huu wimbo Mungu wa mbinguni azid kuwatumia mzidi kubarikiwa wapendwa ...nawapenda
2020 bado napata tumaini jipya ktk janga hili la corona we Mungu tuzaidie hatutaweza sisi wenyewe.
Am watching 2020... Good message
tumrudie mungu na maombi bila kuchka usku wa mnane ndio vta kubwa uinuka juu yetu
Ujumbe uko vizuri,wimbo huu unatufundisha Kuwa watu Wa maombi bila kuchoka!
Mimi naitwa Desire ndayisenga kutoka Burundi Choir chang'ombe ninaipenda sana kwa Maneno wanao imba pande zote kutokana na uokovu na kuomba badaa ya kuokoka
Mungu akubariki endelea kuwasikiliza
Mungu ndo kila kitu kama huna Mungu we si chochote
Who's still here 2019
Sitoacha kuusikiliza
2015-2019
2023 still enjoying the beautiful song of Christ…..Jesus is good🙏🙏🙏
Be with me on this song, this is the best choir ever, Amina
I really love this song ...usiku wa manane ukimtafuta Mungu kweli kabisa unaiona mbingu iko wazi afu Mungu Yuko karibu na ww.good job changombe
AIC Chang'ombe kwaya kwakweli wananibariki sana sana,Mungu azidi kuwaweka katika huduma hiyo aliyowaiitia.
Ameeen!!!
Nawapenda sana waimbaji Hawa kwakweli mnaimba mnoooo mubarikiwe mpaka mshangae
Huwa najisikia ( wonderfully power kila niusikilizapo wimbo huu ) God bless Tanzania God bless Gusa Choir
Huwa siwachoki kwa wimbo huu uwiii nakupenda mno
Sichoki kuwasikiliza kamwe,nawapenda sana chang'ombe
Usiku wa manane wakati wa maombi makali.
Nabarikiwa sana na wimbo
Huu Mungu awabariki
Sana
Watu wote
Huyu dada aliyeimba watatu anaimbaga vyema sana, nampendaga mno anajua
This message is very good and all the message is true God bless this choir Amen
Wimbo mtam Sana huu huwa nausikiliza sanaaa una ladha Ya pekee hauchoshi... Bless you
wimbo huu naupenda saaana mpaka nikikaa na kuusikiliza namwaga chozi kwa kweli hongereni kwa huduma nzuri
sante sana nabarikiwa na uimbaji
wimboo huu unafariji sana
Mbarikiwe wapendwa bonge la song usiku wa manane mungu azidi kuwatumia ktk kumuabudu nakumtukuza yeyetu Amen
Be blessed changombe aic choir.Mungu awajaze nguvu kutangaza injili
God bless this quoir coz its true of what they say AMEN
Kweli kabisa mda wa usiku Ni mda mzuri kumtafuta Baba Mungu
sina la kuongeza kuhusu juu wimbo. mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.
Napatwa nafuraha Sana ninapo usikiliza wimbo huu unanipa nguvu yaimani yangu kuonge zeka hakika nakupenda Sana mbali sana
Napenda kuusikiliza Sana wimbo huu hakika naupenda
nimempenda sana huyu.sorolist, kaimba vizuri sana
Upendo Robert Ameeen!
2020 - this song is really a blessing
Njo wenye napenda Sana hi nyimbo iko bhya.
good song M ungu nimwem san nabarkiwa saaan naposkia wimbo huu
Mungu awabariki waimbaji
Remix ya hii song @2024 sio poa this remains the anointed 🎉
Nikisikiz hii nyimbo nakumbuka mbali Sana ata Kaka yangu Alex alikufa mida hiy mungu mpumzishe Safari yake iwe njema uko 😭😭😭😭
Wimbo naupenda sana, nausikiliza pindi nikiwa na huzuni
Am much blessed your presentation brethrens
Nabarikiwa tu sana na hiyo chior
Wimbledon mzuri 😀😀😀👍👍👍sana
Mungu awabariki na awainue sana wana kwaya wa kinondoni hakika mnanitia nguvu kila kuchao
Wimbo mtamu sana wenye mawaidha mbali na kumwabudu Maulana.Hongereni watunzi.
daaa wimbo huu jaman unanibariki sana.MUNGU AWABARIKI
Huu wimbo nikiusikiliza huwa napata Tumain jipya ,hakika usiku wa manane ni muda wa kuzngumza Na MUNGU Na kujitakasa mbele zake.
wimbo mzur sana barkiwa waimbaji
I love you wen 20000 for you ok and I love you
Kumbuka kuwa kujitakasa nia kuacha maovu yote na kumrudia MUNGU katika kweli yote, wanawake wamekuwa sehemu kubwa ya kutangaza injili ya shetani na wala si kumtangaza MUNGU ALIYE HAI ona nywele zao.
Nimebarikiwa
Nimejifunza mengi kupitia wimbo huu
God bless one love from Australia 2022 🙏
Mbarikiwe Sana watumishi was Mungu kutupatia neno kwanjia ya uimbaji.Bwana awe nanyi wakati wote🙏
Husikiza wimbo huu kila siku ❤❤❤💓💓🙏🙏🙏
Sichoki kuwasikiza kamwe, wimbo wanipa nguvu na imani zaidi. Mbarikiwe sana.
Innocent Kenyan usiku 😭 wa manane kweli anjabu,wanipa amani na nguvu barikiweni Sana 👏 faith
Amina nafarijika Sana
Amen 🙏🙏
mbarikiwe kwa kutupa neno la mungu kupia njia ya uimbaji
Usiku wa manane ni muda mzuri wa kuongea na Mungu
Estou a chorar neste momento. Lembro da minha esposa. Parabéns. Vcs nasceram para louvar ao Senhor. Que Deus abençoe a todos.
Usiku wa manane ndio ulipo muita mama angu MUNGU wangu 😭😭😭🙏
My all time song unanikumbusha mbali sana asubuhi eatv kila siku
Chang'ombe mungu awainue na kuwafungulia malango ya mbingu
Am so blessed . wimbo huu unamafunzo mengi
Wimbo mzuri sana unafundisha
Mungu Awape nguvu kwa kazi nzuri mnayoifanya.
😭😭 unagusa sana nafsi
This song is indeed a blessing to me
good song kweli kitu chchote kiovu hufanyika uck wa manane
Evance Simbaya mwakiwako
guuud
I really like this song. Deep night .....
huwa nafeel blessed nikisikiliza him song
napenda vimbo huu sana mungu awabariki changombe
Mungu awabariki. Mungu uwe kimbilio na njia hata tupitapo usiku wa manane. Nimebarakiwa tele na wimbo
Usiku wamananeee ndo mda wakutisha
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa kazi zenu nzuri....endeleeni kuifanya kazi ya Bwana pasipo kuchoka maana taji yenu imeandaliwa mbinguni....
Ameeeen nawapenda
Naupenda mno
It's 2021 November and I'm still watching this beautiful song... I wonder those who dislike the song...
My favourite tz choir ❤
Naupenda wimbo huu sana
October 2019 toka Burundi. Inanibariki sana
Mungu awabariki mmeimba vzr sana amen
l love this song todate 2022
congratulation nice song.
Nabarikiwa sana
amen watumishi wa mungu nawapenda sana 2019
It is awesome to watch to greatest videos .
Kwa Mara Ya Kwanza Nausikiliza Na Nabarikiwa....USIKU WA MANANE
Am still listening, 2020
mbarikiwe san San San tena san nawaombea kwa mungu
wimbo mzli sanaaa balikiwa mungu awape nguvu tena yakumutumikia
Ezekiel Sikia Rehe
Huu wimbo kwangu ni deni unapoimbwa unanikumbusha umuhimu wa maombi katika kanisa lote.
hakika niusku wa manane
Kweli wimbo huu unàpaswa kukilizi nawanatenda maovu usiku wa manane
Nawapenda sanaa
I love this song because of the message
nafarijika mno kwakweli mungu awatie nguvu😀😁😁😀
Usiku wa manane ndio wakati mzuri wa kuzungumza na Mungu
Mungu utusaidie
mungu awabariki sana watumishi
Huu wimbo unanifanyaga niutafakali sana ukuu wa MUNGU katika maisha yangu.
ajela kwaya
Huu wimbo jamani ni zaidi ya nyimbo bora
This song is such a blessing to me
Am still watch this song 2020
A blessed choir you really sing God......U have preacher with this song......God bless you for ministering to me
Ahsanteee
Barikiwa sana. Na style yenu ya kupokezana solo ni burudani kubwa. Mko vizuri watumishi.
nice song