Msani wangu pendwa wa nyimbo za asili, Mwenyezi Mungu akutunze sana wewe jamaa unajua kuimba. tolecheyekele ba mayo, tolecheyekele ba bhabha tolecheyekele lya mwana ndooo👏👏
Maneno yako Ng'wana kang'wa Huwa n mazuri sana yenye kujenga kwenye Ndoa natamani siku Moja nifanye hata maazimisho ya Ndoa yangu kwa kutimiza miaka kadhaa halafu nikuite unitungie wimbo mzuri kama huu, kiukweli huu wimbo naupenda naweza usikiliza masaa sita bila kubadili unajirudia tu 😂😂 mpk watu wananishangaaga
Happening madame Wawa Happiness is not madame kisima,is mine from Kinama Bujumbura BURUNDI No 52 ... Tanks....KISIMA,KWA NINI NAKUPENDA NA WEWE HAUNIJIBIE,NAPENDA MUSIQUES YAKO YOTE !!!! SIJUWI KISUKUMA,ILA NAPENDA WA SUKUMA MIMI NI MUCIGA MUNYANKOLE,NIBAKUNDA MUNONGA RYUWENU RUHANGA YEHOVA ABASHEMERERE MUNONGA !OMABALA MUSIQUE YENU,IMEPENDWA !!!??
Ng'wana ka'ngwa nakupenda bulee maana unaimbaga vizuli adi rahaa na ambao hawajui kisukuma wanapensda kisikiliza mfano jirani yangu anapenda kuweka afu namufanunulia ongera kwako
Hongera sana kisima nyanda majabala kwa kufunga ndoa ni hatua nzuri katika maisha pia kongole kwako ng'wana kanywa kwa wimbo mzuriiiii na mimi ntakutafuta nikiwa tayariii nazani itakaa poa sana
Ngosha mwenzangu piga kazi nko dodoma mjini lkn nasklza siogopi lugha
Mim binafsi unaukosha moyo wangu nikisikiliza ngoma za kisukuma hongereni kwa nyimbo nzuri wasukuma wote mama neema pande za Geita magogo
Ubunifu bora kiwango cha rami
Sio poa
Katie
Kazi Kazi ipende kz yako kaka mi nakuelewa sana daah
Me naipend sana nyimbo hiz nipo pemba zanzbr naziptaga kupitia DJ zombi huw tunazipata kupitia yy dah hongera sana msanii ntemi omabala karibu sana
Nipo hapa dar s Nakuelewa xana ndugu yang
Msani wangu pendwa wa nyimbo za asili, Mwenyezi Mungu akutunze sana wewe jamaa unajua kuimba. tolecheyekele ba mayo, tolecheyekele ba bhabha tolecheyekele lya mwana ndooo👏👏
Unaimba vzr sana ww kaka bac
Kazi nzuri endelea kupiga kazi
Huu wimbo naupenda sana
Aisee mwana kang'wa Na kubali Kazi zako Sana kaza ndgu yangu japo mim Ni mfpa nymbo zako nazpenda sana
Kaka uko vizuri mno hakuna mfano wako wengine wanajaribu hata kuigiliza majina km ntemi oma gulya, komaa tunakukubali bro
Kaji nsoga mungu agutongele wendelee uguduyeja
Siku ukija Geita ufike na mtaani kwetu magogo upige shoo yakutosha ukianza na ngoma hio ya harusi ya kisima na heppi
Ubunifu wa hali ya Viwango vya Justin bieber
Mawasiliano: btmafricagroup@gmail.com
Upo vizur nyanda ndododo nyanda omageha
Binafsi wimbo huu pekee ndio naupenda pekee
💥💥💥💥💥🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿 huu wimbo haujawahi kunichoka maskioni, napenda kuuskiliza Kila siku
Maneno yako Ng'wana kang'wa Huwa n mazuri sana yenye kujenga kwenye Ndoa natamani siku Moja nifanye hata maazimisho ya Ndoa yangu kwa kutimiza miaka kadhaa halafu nikuite unitungie wimbo mzuri kama huu, kiukweli huu wimbo naupenda naweza usikiliza masaa sita bila kubadili unajirudia tu 😂😂 mpk watu wananishangaaga
Dogo hongera ngomo inatisha kaza mungu azidi kuku zidishia
Ingawa sielewi lugha ila nyimbo nmeielewa!
Nakubali saana hiyo voic ya chameleon
Hatami nakuelewa Sana huyu nugu wise
Saana kaka chapa kaz chapo siyo msukuma but huwa nakukubali saana❤❤❤❤❤
Kazi nzuri saaana ntemi , mwambie na kisima aendelee kushusha vitu nawakubali saaaana nyie 2
Mwamba uko 🔥🔥Sana🙌
Ngoma kali sanaaa 🙏🙏🙏🙏🙏
Daaa ww ni konki🌷
Respect san Pia Mpe hi san Ng'witulo
Waooo Kaz nzur Mungu azid kukusaidia ufikie ndoto zako nyimbo nzur sichoki kuiskiliza
Nakubali bro nimeipenda san 🙏🙏🙏🙏🙏
Mtwara 1 nakupata ngosha nyanda ndododoooo
Unene natogagwa gete ilyimbo lyeneli lya wiza gete😂😂😂
Bg up san ntemi omabala, nimefurah kusikia umenikumbusha saut ya bes yafanana na ya jose chamilione umetisha sana
Huu wimbo naupenda kweli ila sielewi
Napenda xana ngoma za Asili
Usukuma ndio fahari yangu"" nyimbo kali sanaa hata wasio elewa kilugha wanausikiliza na wana enjoy congratulation love song
Happening madame Wawa Happiness is not madame kisima,is mine from Kinama Bujumbura BURUNDI No 52 ... Tanks....KISIMA,KWA NINI NAKUPENDA NA WEWE HAUNIJIBIE,NAPENDA MUSIQUES YAKO YOTE !!!! SIJUWI KISUKUMA,ILA NAPENDA WA SUKUMA MIMI NI MUCIGA MUNYANKOLE,NIBAKUNDA MUNONGA RYUWENU RUHANGA YEHOVA ABASHEMERERE MUNONGA !OMABALA MUSIQUE YENU,IMEPENDWA !!!??
Niko na mwujukuu wangu anaitwa HAPPINESS SIYO UWOO APANA NDIYO NIMESEMA YAKUWA ANAKAA KINAMA MJINI BUJA
Kazi nzuti sana Kisima. Congraturation bro
Napenda nyimbo zako kaka
Sitalizika kama ntaacha kukuita wewe nimfalume kwelikweli wa nyinbo za asili ya kisukima,
Nakubal brother nyimbo nzur
Ngoma kalii🎉
Ntemi omabala hongera Sanaa limbo lyawiza Sanaa ele
Hapa umeua kiongoz nimekukubali
Ntemi Wew ni wa moto 🔥 sana
Nimekubali sana
Lyrics 100%
Beat 100%
🙌🙌🌎
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
Kwasasa kiwango chako chamusic wanatakiwa wajipangesana kukukuta uko juuu
Kipaji chako nilikiona mapema tu uliponitungia chorus nikiwa darasa la saba Busungo shule yamsingi. Hongera brother Mungu akubariki ufike mbali zaidi
Duuh!! Unakumbukumbu sana🙌
So mumesoma shule moja?
Kaka napenda sana hii nyimbo
Imejaa ufundi na ubunifu wa hali ya juu duh!
Pambana sana
Happiness amenuna kama alikua hataki kuolewa 🤣🤣🤣🤣
Yooooh nlidhani nimemuona peke Yangu..😂😂
I love your songs ntemi kip going bro❤❤❤❤
Ng'wanakang'wa ukulaga bhabha gishaghe ushushu na bakuluye Dida nu Mbigili.
Mwanaxamaka alipendeza xana
Safi sana nyanda ndododoo, Kisima na Happy wakapendane daima 🙏🙏
Kamilion pt2😂😂"good song💞💞
kuimba kwenye sherehe Kama hivyo sh ngap jamn
Kazi imekuwa bora sana hii
Respect bro that is true nic song for aller sukumas songs
Comment namba 9 Dir James Town
Is the 🔥 mungu aendelee kukulinda upate cku nyingi zaid za kuburudisha watu Amen
Nice broo
Kazi nzuuriii Kaka 💪💪
Nakuelewa sana nyanda ndododo
❤ this song nice Even me In my perty🎉 u'll sings ok ntem ❤️🙏
Asante kwa nyimbo nzur nimeipend nip dar
Pamoja Sana
My love noma sana asee daah nakupenda sana
saf sana Bro ngoma nzr
VIVA A TANZANIA!...
Daaaaah jamaaa anajua
Hujawahi kuferi tem was mabala🖕🖕👏👏👏
Salute 💯💯💯🖖
ongera kabisa bosi wangu wanguvu
Nimeipe hiyo
Chamilion wa kisukuma
Waooo yaan wewe kaka napenda nyimbo zako
Ng'wana ka'ngwa nakupenda bulee maana unaimbaga vizuli adi rahaa na ambao hawajui kisukuma wanapensda kisikiliza mfano jirani yangu anapenda kuweka afu namufanunulia ongera kwako
Hongera sana hunampinzan
Good music 🎺🎧🎶. I appreciate u,
SUKUMA to proud
Hongera sana
Proud to be sukuma Safi Sanaa wee ni konki
Big up brother❤❤❤
Huu wimbo napeda kusikiliza Kila siku jamani
Unaweza kaka karibu Sana morogoro ifakara
Mungu akubariki sana
Kisama uko pouwa sana mwanetuu songa mbele zaidi/// nice song👍👍
Ntemi omabala-hyo nimeikubali sana...,
You are the best song traditional singer ever, the best rythm, beat melody and almost everything
Congratulations 👏brother ntemi omabala 🙏🙏
Thanks so much for the love💕
mimi nazipata nikiwa zanzibar namkubari sana
Woohoo 🥰🥰 kazi nzur sana
Vp
Najivunia sana kuwa msukuma
A nimependezwa na vionjo vya sauti you so good
Saf sana kijana upo vzr🙏🙏🙏🙏🙏
we jama fundi
Kazi nzuri
Tupe raha Ntem Omabala
I do appreciate your good music ngosha ng'wenekele
Hongera sana kisima nyanda majabala kwa kufunga ndoa ni hatua nzuri katika maisha pia kongole kwako ng'wana kanywa kwa wimbo mzuriiiii na mimi ntakutafuta nikiwa tayariii nazani itakaa poa sana
N nzr xana
DSM 1 hongera kk kazi nzur
Mafundi mmekutana
Hodiiii nimeletwa na sns
Much respect Kaka🙏👊
Respect bro that is nice song 4 aller sukumas songs big up 4 u