@@claudiangowi9628 unakuta mtu ana deni la damu za watu huko kuzimu....watalipaje....ndio haya mambo tunayoyaona.....mambo mengine ni ya kiroho zaidi...bila kusimama kwa pamoja kulifanyia ukombozi wa kiroho hili Taifa....kazi itakuwa ngumu
Ase hizi habari zingine zinatia hasira mpak bac, hizi sheria zingebadilishwa hawa watu wanaotoa roho za watu kinyamera inatakiwa nao tuwasafirishe kwa staili hyo hyo
Samia dkt pressdernt, samia sulukhu khasani uko wape nch, TZ kuongoza so mchezo????? Naskia wanasema Go ???? Wanch 🇹🇿 hawana EMAN IMETOWEKA MUNG SAID TZ??? MUNG BABA WAMBUNG SOTE WAJA WAKO!! !!
kuna watu wasenge kweli kweli sasa mtu mmeuana huko alafu mulivyo wajinga ety SAMIA MUST GO KWANI MMEMUEKA NYINYI HUYO SAMIA achen ujinga kabisa na acheni zalau za kisenge kwaio unataka kusema samiaa ndo anawatumaq nyie mkauane kwanza mijiinga kama nyie kufeni siku zote kama ndo hivo. sisi tunatamba na mama etu.
Dalili za kiama zote Mtume s, a,w alitabiria mwisho Iman inatopea muda umefika tuombe Allah atujaliye khatima njema vizazi vyema
Allah humma amin 🤲
Allah atupe mwisho mwema inshaallah 🙏
Kwakweli huu ni mwisho wa kiama
Amina Amina
Khaaaaaaaaaa 😮😮😮😮😢😢😢😢 nini hiki kimeingia ncini jamani heeeeee 😢😢😢 too muchhh shetani yupo kazini
Ashindwe
Kaandamane kadai haku yako
Allhahu Akibarr. Inalilahi wainailahi rajuun.
Dah sema wanangu mliokuwa mnashuhudia huo ugomvi nimewamaind
Hujaona mtu Tanga ameuliwa kisa aliingilia Ugomvi
Mama angu mkubwa aliuwawa kwa kisu aliingilia ugomvi wa bint yake aligonganisha wanaume @@lailatmalik7515
Hawa vijana wa2000nakuendelea MUNGU atusaidie😢😢
Ttzo nguvu walizopewa wahalifu
Kila mmoja kwa imani yake anapaswa kuliombea sana hili Taifa......kuna namna kama limewekwa bond kwa damu za watu!!
Kabisa yani
@@claudiangowi9628 unakuta mtu ana deni la damu za watu huko kuzimu....watalipaje....ndio haya mambo tunayoyaona.....mambo mengine ni ya kiroho zaidi...bila kusimama kwa pamoja kulifanyia ukombozi wa kiroho hili Taifa....kazi itakuwa ngumu
Jamani tuepukeni ugomvi usiokuwa natija cm tuu umuuwe mwenzako izraeli nae alikuwa kazi
Mtu kma Uyoo Apaswii Kupelekwa police Adhabu Yake ni kifo Kma Alivyo Muuwa Mwezie
Kwel ase ,nimemaindi knoma dah😡
😢😢 ee mwenyezi mungu tunaomba uturehemu
Kila kukichaa Tz ni matukio ya ovy ,.. Mungu tuteee 😢😢
😢 innalillah wainaillah rajiun
Eeh Mungu wetu mwingi wa Rehema naomba utusamehe makosa yetu sisi wakosefu tunaisha tupunguzie hadhabu sisi wajawako juu ya dhambi zetu tutaisha
Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'una😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Jaman tunapata wapi muda wa kupasha😢
Mmmmh hii to much jmn mbk naogopa mm😢😢😢😢nchi yetu lkn km tupo sudan
Ase hizi habari zingine zinatia hasira mpak bac, hizi sheria zingebadilishwa hawa watu wanaotoa roho za watu kinyamera inatakiwa nao tuwasafirishe kwa staili hyo hyo
Allah tujaalie mwisho mwema
Inalilah wainalilah rajuuni
Yesu tuokoe😢😢😢 uwiii umaskin unafanya tukose ubinadam mbona matajir awauani hiv😢
Watu hawanahofu ya Mungu kabisa. Anaamka subuhi, anachukua kisu anakificha kiunoni, anadhamiria kuua tuu. Hawazi akiua hatima yake ni nini😨🙌
Hatimae hotuba imeanza kufanya kazi kwa kasi ni huzuni saana kwa kwrl
Babat jamani ingieni kwenye maombi.Maana hali ni mbaya sana kila siku matukio
SASA KILA MTU ANAKUFA NAKUWAWA ..NANI ATAMPIGIA MAMA KIZIMKAZI KURA AISEE nageye kura anazitaka sana kura za Urais
Tumrudie Muumba wetu pls
Tunauwana km kuku.
Huo ni unyama sheria ifanye kazi
Asa mwenyekiti baada ya kwenda eneo la tukio waenda home kupmxika hufai kuongoza
Nayeye awuwawe😢😢
Naona shetani kaingia anafanya kazi yakee heee
Wahandishi mjawai fiwa nini mbona umuhoji mtu anamachungu hivyo na ataongea nini sasa uchungu wakufiwa muusikie2 kwa wenzenu
Binaadamu wamekuwa wanyama
Huyo mungemkamata kisha mukamshikisha hicho kisu nae ajichome mwenyewe huku munampiga mikwaju musingemuacha mpaka ajichome
Samia most go
Anahusika je?
Samia ndio kamchoma?
Au kamtuma ?
Msikaze fuvu kungekua Syria zinachukuliwa watu wangekua waoga bhana sasahivi hakuna nchi
Samia ndie aloamuru acheni hizo
Mungu inusuru Tanzania Aaah! Kila siku? Mauwaji?😮😭😱
Boya ameniulia msela angu asee
Afu so miaka 30 ni miaka kama 22 au 23 hivi
Kumbe
Mungu tuokoe Wana manyara hapa manyara kuna nini😭😭
Da polen jaman
Yani ukibushana kidogo unachomwa kisu
Mmmmh kiama kipo karibu
Kwa kweli tujiandae
😢😢😢😢😢 jamani
Angeuliwa nayeye tu
Poleni
Samia dkt pressdernt, samia sulukhu khasani uko wape nch, TZ kuongoza so mchezo????? Naskia wanasema Go ???? Wanch 🇹🇿 hawana EMAN IMETOWEKA MUNG SAID TZ??? MUNG BABA WAMBUNG SOTE WAJA WAKO!! !!
Kwen Tanzania inanini jmn mbona to much hii
Wale wengine waliuana kwakugombania ukubwa yaani umli Hawa nao simu kali Duu 😮😮😢
Wapi hiyo waliuwanakwaku gombea ukubwa. Daa mtihani. Mmsijaiyona hiyo Abali
@@HanifaOman-oo4pl ilikuwa moshi alimchinja shingo mwenzie ipo mtandaoni haija pita hata wiki mbili
@@Jurbeg aha. Daa ni.hatali tunaishi kwa wasiwasi
Bangi tuu iyo uyo dogo miaka 21 anapata wapi ujasili uo
huyo nae watasema wasiyo julikana ,
Wa kwanz ku comment like hii story kama imekuhuzunisha
Wangemkata mikono mbwa uyo.
Duh
Samia anazidi kupoteza kula za 2025 wale wa manda mano tujuane hapa 😢
Ujielew
Samia katokea wapi apo?😂😂😂dah wabongo
@@fatnasaidi3027 wewe ujani elewa
@@fatnasaidi3027 wewe ndio hujielewi unge kua una jielewa basi unge kaa kimya
Yaani watu waamue kupashana wenyewe alafu atokee mjinga asojielewa amuingize Samia😏
To much 😢
kuna watu wasenge kweli kweli sasa mtu mmeuana huko alafu mulivyo wajinga ety SAMIA MUST GO KWANI MMEMUEKA NYINYI HUYO SAMIA achen ujinga kabisa na acheni zalau za kisenge kwaio unataka kusema samiaa ndo anawatumaq nyie mkauane kwanza mijiinga kama nyie kufeni siku zote kama ndo hivo. sisi tunatamba na mama etu.
nchi imenajisiwa imeingia kwenye laana,,kwahiyo tunatafunwa na laana.
😂😂😂daaah ebu tupashe kidogo
Ibilisihuyo Alistair simama kati napombe ndiyo chanzo
Iyo roho yakuuwa km raic mwenyewe kaichukulia kawaida jee wananchi watachukuliaje
😂