RISASI YAFYATULIWA, WATU WAWILI WAFARIKI ZNZ BAADA YA ASKARI KUKIMBIZA GARI, TAHARUKI YAIBUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 165

  • @zubeirzanzibar5231
    @zubeirzanzibar5231 13 วันที่ผ่านมา +8

    Allah atakulipa siku ya siku inshallah anakuja kudanganya umma kisa mshahara wa laki 7 sawa tuweni sote nyinyi muishi milele

  • @HajiHija-od2db
    @HajiHija-od2db 13 วันที่ผ่านมา +9

    Heeee mauwaji tenaaa zanzibar subhanallah , mnawapotezea wagoto baba zao hivihiviiii , subhanallah , nanyi mungu awatenganishe na watoto wenu kama ni raha , halafu ili jamaa linaongea utumbo mtupu hapa watu washakufa, para nyeupeeee kwa dhulma .

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 8 วันที่ผ่านมา

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Allah awape Subra wafiwa na kutupa Nyoyo za Uvumilivu Wazanzibar sote. Inauma Sana

  • @manyamagordon2866
    @manyamagordon2866 13 วันที่ผ่านมา +10

    Kuna muda unasema ngoja nijikaze kiume/nivumilie/ninyamaze tuu,,,,lakini unashindwa kuvumilia!!! Jamani madereva mnisaidie ni aina gani ya honi ya gari ukiipiga inayaita magari mengine yakufuate barbarani??????? Binfsi yangu hata kwenye movie za kihindi sijawahi kuona, labda sasa tutegemee AI kufanya jivyo😮😮😮

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db 11 วันที่ผ่านมา

      Ni muda gani unaruhisiwa kutembea na gari barabarani bila ya kuwa na namba ya utambulisho (PLATE NUMBER)?

    • @YalkinAlkindy-nt2hf
      @YalkinAlkindy-nt2hf 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@KassimKassim-wv8dbendelea kutetea ivoivo hadi kwa mola wako

    • @othmankhamis6657
      @othmankhamis6657 10 วันที่ผ่านมา

      Hatakama ilikua sanane usiku anacho kusema kulikua na magar mengine Yana PGA mawe gari ya askari kwa akili ya kawaida magari ayo yalikua nyuma ya gar ya askari au nyuma ya gar ya mazigo apo ningumu na njiani Kuna watu tele

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 13 วันที่ผ่านมา +3

    Uongo utakusaidia sn ktk kuendeleza dhulma za hapa duniani. Lkn jee mbele ya ALLAH S W,mtajibu nn?

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 12 วันที่ผ่านมา +2

    Yesu Kristo ndio njia..Amini kazi ya msalaba..

  • @makameally1962
    @makameally1962 10 วันที่ผ่านมา

    Innalillah waina ilah rajiun 😭😭😘
    Polisi ni wapotoshaji waongo sisi ni watu wa karibu Namba za usajili zipo

  • @AbdalaNdaria
    @AbdalaNdaria 13 วันที่ผ่านมา +4

    Tushakujuweni wauwaji sasa mpaka wanetu wadooogo wanakujuweni heee hiii imeendaa

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 13 วันที่ผ่านมา +16

    Mm nililita Kilimanjaro Moshi wiki zilizo pita nikielekea karatu nilikuta fuso zinashusha pikipiki makao makuu ya ccm nikaka siku mbili nilipo kuwa nilipo rudi bado fuso nyingine zinashusha tu .pikipiki kama kumbi kumbi kwa ajili yakugawia watu ...sasa hiyo ni Kilimanjaro tu je kama na sehemu nyingine ndo hivyo hivyo..hiyo Pesa iliyo tumika ni kiasi gani jaman watu walivyo na shida kwa sasa Pesa hakuna bihashara haziendi ...pikipiki zinanunuliwa Malaki na Malaki...wakati hospital hakuna Dawa kabisa ..Barabara Zina viraka kama mpira ..ila kama ni hizi Kodi za wantonge na maskini..mungu atatenda jambo la haki ..😷😷😷🤭🤭😱😱😱

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f 13 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisaaa

    • @matiredms917
      @matiredms917 13 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@FrenkMushi-i7fSamia lazima awe Rais hata kama italazimu watu wafe kwa kukosa dawa mahospitalini. Tumefika mahali pabaya sana. Maisha ya watu hayana maana tena nchi hii.

    • @AllyDaudiNgoyeji
      @AllyDaudiNgoyeji 11 วันที่ผ่านมา

      Hivi,fedha zinazotumika kununulia hizo pikipiki,Je CCM wamezipata wapi?
      Kama kweli CCM Ina huruma na Wanainchi masikini,Je kwanini fedha hizo zisitumike kuboresha huduma za Jamii nchini?
      Je,hiyo so Rushwa ya kisiasa kupelekea Uchaguzi S/za Mitaa&MKUU 2025?
      Kwanini PCCP haichunguzi ili kubaini uhalali wa upatikanaji wa fedha hizo?
      Mimi nimewahi kusimamia Uchaguzi MKUU wa kwanza 1965,lakini sikuwahi kushuhudia Hali ya rushwa kama hii!
      Sijui Taifa hili letu linakoelekea,jamani!
      Nyerere akifufuka Leo,akute Hali kama hii,sijui atasema nini!
      Mungu inusuru Nchi yetu.
      Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima ,Kishapu Shinyanga.

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 12 วันที่ผ่านมา +3

    Habari za uongo ziso uchunguzi .Wamewauwa kwa risasi za moto.

  • @AbdalaNdaria
    @AbdalaNdaria 13 วันที่ผ่านมา +4

    Mmefeliiiiii ondokeni madarakaniiii maongoooooooooo

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 12 วันที่ผ่านมา +4

    Polisi mazalimu wauwaji waongo wapotoshaji.Mumewauwa kwanini. Musiwahoni mashuda na wazeee wa waathirika.

  • @IlyasaJuma-cc3ee
    @IlyasaJuma-cc3ee 13 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna maisha baada ya dunia kuua mbaya😮😮😮

  • @IdrissaHaji-x1v
    @IdrissaHaji-x1v 10 วันที่ผ่านมา

    Polisi ndio wenye makosa huyu mzee mzima lakin muongo ila mujuwe mugu yupo😢😢😢😂😂😂😂

  • @IdrissaHaji-x1v
    @IdrissaHaji-x1v 10 วันที่ผ่านมา

    Ww afande unaogopa kuvuliwa cheo ila msema ukweli mpenzi mugu😂😂😂😂😂

  • @MohammedMbarouk-pd5mj
    @MohammedMbarouk-pd5mj 11 วันที่ผ่านมา

    Musijibabaishe mushauwa subirini mukahukumiwe na hakimu wa mahakimu ALLAH

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 12 วันที่ผ่านมา

    Kamanda muongobanah mtu mzima kuongea uwongo haifai, ila sikulaumu unatetea tongeyako usije shushwa cheo😂😂😂😂.

  • @JacobWaryoba
    @JacobWaryoba 13 วันที่ผ่านมา +4

    Acheni kuuuwa. Watu wasioo nahatia

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa watu wazanzibari kupiga mawe polisi kwa sababu gari inafukuzwa hiyo si kweli kafanye tena uchuguzi

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna njia za kukimbia na gari unguja wala pemba kama imepakia mzigo

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 10 วันที่ผ่านมา

    Hakuna sheria inasema ukisimamishwa na jeshi la police naukakataa kusimma utakuwa umevunja sheria

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 13 วันที่ผ่านมา +2

    Nguvu iliyotumika ilikuwa kubwa ishu Nini?

  • @nadrikhamis1399
    @nadrikhamis1399 13 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢😢
    Inaonyesha dhahiri kuwa ni uwongo ni honi ya aina gani inayo hamasisha magari mengine kuingia barabarani 😂😂😂😂😂😂

  • @HafswaBakar
    @HafswaBakar 12 วันที่ผ่านมา

    Hapana risasi hazijapihwa juuu! risasi wamewapiga wao na zimewapat za kchwa na mwengne za mgongo.
    Sababu ya ajal kutokea ni baada ya risasi zile kuwapat hawakuweza kuendesha tena!

  • @HashimAliy
    @HashimAliy 10 วันที่ผ่านมา

    Waongo Sana nyinyi lakini mungu yupo

  • @husseinjuma8830
    @husseinjuma8830 12 วันที่ผ่านมา

    Daaa kweli hapa ndo pakupata haki hap

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 13 วันที่ผ่านมา +4

    SIJAELEWA KABISAA. GARI IKIMBIE NA HULIJUI ALAFU UANZE KURUSHIA MAWE ASKARI?? MHM

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 13 วันที่ผ่านมา +1

      Inawezekana!! Kwani tukio hilo lilifanyika usiku wa manane??!! Watu walioshuhudia watasema kama kweli kuna watu waliokua wanarushia polisi mawe kuzuia polisi wasilifikie!!

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 13 วันที่ผ่านมา +3

    Sijaelewa juu ya kurushia mawe askari kivp gar lile likimpie harafu watu warushie askari mawe au magar yazuie njia!?

  • @gjrmbise7268
    @gjrmbise7268 12 วันที่ผ่านมา

    Yani watu wamepigwa risasi alafu mnaleta siasa, ok hao askari walikuwa wanawakimbiza kwa gari gani, alafu honi ya kuhamasisha watu kuingia barabarani huwa inapigwaje.?

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kisiwani poris mnakimbiza gari mpaka linagonga watu wasio na hatia lilikuwa na nini cha maana kwanini hamkupga sim lizuiwe kuliko kulikombiza na kipga risasi hovyo hovyo mnazingua

  • @YalkinAlkindy-nt2hf
    @YalkinAlkindy-nt2hf 11 วันที่ผ่านมา

    Zee zima halina hata aibu wala haya ,sijui vp km angekua mwanao huyo

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 8 วันที่ผ่านมา

    Taaarifa hayko na usawa ....

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo unakuta ata ni mfanya bihashara wamemsoma ana hela ndo wakafanya hayo ila mtashughudia vikiteseka mapaka mtakaa mahali watoto wenu watafetheheshwa na hii Dunia mm ninacho Amin malipo ni hapa hapa Dunia

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 13 วันที่ผ่านมา +1

    Aise hii nchi watu wa intelligence bado sana ..hao kazi yao nikufyetua tu na pia wakisha fanyaga tukio la mauwaji wanasemaga ni wahalifu tu mbona sijawahi kusikia mmekamata hata siku Moja ili kupata ushaidi zaidi sisi tumesha wasoma no new

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mh! tume huru?. Ukweli?. Itakuwa ndo mara ya kwanza

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mtihani kiukweli. Kwa Zanzibar huwezi kukimbia mbali na gari zaidi ya kilomota 50.

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 11 วันที่ผ่านมา

    Kwanini msipige Risasi tyre za hiyo gari jamani???

  • @BerthaMichealPhiri
    @BerthaMichealPhiri 13 วันที่ผ่านมา +2

    Waongo sana hawa,

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 13 วันที่ผ่านมา

      Haya tuambie ww mkweli

  • @JumaNgwali-c7k
    @JumaNgwali-c7k 12 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi jiteteeni lakini ukweli unabaki kuwa ukweli tu hamuna la kujikwamua mbona hamusemi kwamba askari wamefyatua risasi utawala wenu ni wa kijahili na dhulma tupu sisi si watoto wa kuwaongopa kama munavofikiria.

  • @HamisiNguche
    @HamisiNguche 10 วันที่ผ่านมา

    Umetekwa na utawala wa shetani. Nyie wote ni mashetani. Mjifurahishe tu na Dunia. Ipo siku nanyi mtaabdikiwa taarifa ya uongo

  • @Juma-w3e
    @Juma-w3e 10 วันที่ผ่านมา

    Tawireni munajua kutunga maneno

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hkn llt nyy polis mmezidi .dhulma tuu.lkn kwavile serekali .inawalinda ili mtawale .cw .fanyeni mnachokipenda .Allah yupoo. Nanyy sikuyenu ipo .madhalimu wakubwaa...

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 13 วันที่ผ่านมา +2

    Watu huwa hawasimami mana askari wanakua wengi njiani kila kona askari mwisho mtu anamuua apitilize tu

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 13 วันที่ผ่านมา +2

    Allah yupo na kuna siku utakufa

  • @hassanhajji5288
    @hassanhajji5288 13 วันที่ผ่านมา +3

    Huu uongo unaouongeya bc naw utakuwa shahidi mbeleyahaki nikama wamesafirisha magendo je walip pata ajali mulienda kutazam wame beba nini kam siyo mchanga waelifu 70000 munawauwa watu kwa elifu 70000

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail 12 วันที่ผ่านมา +1

    Tume "huru" imeundwa na nani, na wajumbe wake ni nani, na wanatakiwa kuwasilisha ripoti yao lini, na kwa nani?

  • @Muba-rf1eb
    @Muba-rf1eb 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mulipoligagua gar mlikuta chochote

  • @CjawaCjawa
    @CjawaCjawa 11 วันที่ผ่านมา

    Mbona gari hilo plate number zimo!!!

  • @khamissaid337
    @khamissaid337 12 วันที่ผ่านมา

    Huyu msemaji alipitia maelezo yake kabla ya kuyatoa hapo anatudhihirishia ana mapungufu kiasi kikubwa hivi gari inapita barabarani tena kwa kasi kuhamasisha wenzake kuingia barabarani. Tujiulize hii imekua sawa na wanyama wakali?

  • @FaridaAly-r5n
    @FaridaAly-r5n 8 วันที่ผ่านมา

    Uweni lakini na nyinyi mtakufa tu

  • @makamelila
    @makamelila 11 วันที่ผ่านมา

    Na msioonsema ukweli allwa atawahukumu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 10 วันที่ผ่านมา

    Msifiche moto wakati moshi unaonekana. Kila mtu anajua uovu wenu

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hii leo kari. Wamelazwa au wamekufa Kwa maelezo ya kamanda haya gqri lipige honii watu wajae barabarani na kuanza kupiga mawe gari la.police hii imekaaje

  • @batrumbeziks5946
    @batrumbeziks5946 12 วันที่ผ่านมา

    Mapolisi wa kutoka tanganyika watatumaliza. Wametumwa hawa kuihujumu Zanzibar. tanganyika imeifanya Zanzibar koloni lake kwa kutimia bunduki zao. Sasa hivi wakuu wote wa polisi Zanzibar wanatoka tanganyika. Wazanzibari waliomo ccm WOTE WASAKATONGE. Hawana hata haya.

  • @mussa-khatibhaji
    @mussa-khatibhaji 11 วันที่ผ่านมา

    Semeni ukweli bana

  • @AmranSuleiman-tj5df
    @AmranSuleiman-tj5df 8 วันที่ผ่านมา

    Uongo ukifuatilia video ya gari lililopata ajali namba ipo mbele

  • @SalumSleiman
    @SalumSleiman 7 วันที่ผ่านมา

    Lkn mukumbuke kama sote tutaondoka

  • @HajiManara-y7u
    @HajiManara-y7u 12 วันที่ผ่านมา

    Sasa hiyogari ilipo gonga mti asikari c walikwenda kuicheki? Nauliza swali hao police walikuta kitugani kwenye hiyogari mana walisema wanashaka nayo sasa tuambiwe walikuta Nini?

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db 11 วันที่ผ่านมา

      Kama mlikuwa hamna kitu kwenye Hilo gari kwanini wakimbie polisi baada ya kusimamishwa?

  • @NusaiybRashid
    @NusaiybRashid 11 วันที่ผ่านมา

    Mmewafukuza wamegonga mti wakafa.. Mmekagua gar mmekuta ina nn.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 12 วันที่ผ่านมา

    Duh! Mbona mwaka huu wameanza mapema?

  • @husseinjuma8830
    @husseinjuma8830 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna askar aliyepiga risasi juuuu kamishna

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 13 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kuuliza kwani ukiwa polisi ufagi😂

  • @kassim1262
    @kassim1262 2 วันที่ผ่านมา

    Kiufupi hata kwamungu utakwenda kuthibitisha kwmba mumeua kwa7bu wlikataa kusimama

  • @AbdalaNdaria
    @AbdalaNdaria 13 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm iyo nndiokaziyenu hamnauchunguzi maoongooooo

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 13 วันที่ผ่านมา +2

    Askari kuteteana ni kawaida yao

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n 12 วันที่ผ่านมา

    Mwendo Kkasi sana😂😂😂😂

  • @makamelila
    @makamelila 11 วันที่ผ่านมา

    Hebu muogopeni mungu msiongee uongo mmewauwa halafu mnabadilisha mada hee kwamungu Kuna kazi jamani

  • @abdirajabu7852
    @abdirajabu7852 13 วันที่ผ่านมา

    Watu watumie Akili kwa ujambazi ZANZIBAR bado hasa kidoti jamani....wanashuku tu sasa hizo roho zitalipwaje na pole tu..mahakama ta Allah ipo..nsifanye masikhara...Moto upo..

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna kitu hapo

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 12 วันที่ผ่านมา

    Jee ulikuwepo au ulichukua maelezo ya watumishi wako tu

  • @MakameJumaa-f2y
    @MakameJumaa-f2y 13 วันที่ผ่านมา

    Askar mwenye mafunzo ya kivitaaaa😂😂😂😂

  • @Missionary_work
    @Missionary_work 13 วันที่ผ่านมา

    Tumelia sana Watanzania. Sasa inabidi kucheka tu.😂 police Kufukuza gari katikati ya mitaa ya watu.

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 12 วันที่ผ่านมา

    Duuh hawa jamaa noma kwa uwongo bila aibu na haya.
    Khofu hawana hawa viumbe

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 13 วันที่ผ่านมา

    HAYA MBONA NI MAELEZO YA UONGO UONGO....KAMISHINA MZIMA WA POLISI ANATOA TAARIFA YA OVYO OVYO KABISA !

  • @jumamuhd620
    @jumamuhd620 13 วันที่ผ่านมา

    Wakisha waulia baba zao watawalipa pesa.

  • @IphoneIphone-p8b
    @IphoneIphone-p8b 13 วันที่ผ่านมา +1

    Inaonekana polisi wanaajiri watu maalumu kutengeneza stori za uongo baada ya kuua ima kwa kukusudia au kwa kuto kusudia. Yaaani mpelelezi mzima anadanganya kitoto toto

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 13 วันที่ผ่านมา +1

    Toyota dayana inawashinda nini kuizibiti hapa kuna kiitu hakipo sawa nakwanini watu waingie barabarani

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe ungewqsaidia mwenye ujuzi

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@jassonnelly3445 majibu ya hovyo hovyo shida nn ? Au na ww ndio wale wale mtt wako akifa unalia sana lkn wa jirani kafa panya tu wacha niende zangu ???!!!

  • @kassimhussain5034
    @kassimhussain5034 13 วันที่ผ่านมา

    Duhh hii niaibu kumbwa sana , kwani matumizi yasilaha nipale ikipidi nasio tuu kiholela mnaona sasa watu washapotea .

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahalohiyo Kuna Sababu Ya Wananchi kutowaamini Police. Ikiwezekana Waanzr Kutafuta Silaha Za Kupambananao. Silaha Somalia ZINAUZWA Sokoni. Wazanzibari Msisahau kama Kipindihiki Ni Çha Uchaguzi. mkizunaa Mtakufa Wengi Kupitia Police

    • @jumamuhd620
      @jumamuhd620 13 วันที่ผ่านมา +1

      Bora umuamini jambazi kuliko police wa sasa wa Tanzania

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 12 วันที่ผ่านมา

      PGO

  • @AbdalaNdaria
    @AbdalaNdaria 13 วันที่ผ่านมา

    Hamna uchunguzi gari imesajiliwa inakilakitu mpaka picha zatukio lote tunazo mwazo mwisho mmezowea kusemauwongo mwajiona kama hamtofika kwamungu

  • @SalimRushd-fd1mo
    @SalimRushd-fd1mo 13 วันที่ผ่านมา

    Sijaelewa apa horn kuhamasisha magari mengine yaingie barabarani kushambulia police😮

  • @AliKhamis-j9z
    @AliKhamis-j9z 13 วันที่ผ่านมา +2

    Uongo mushauwa sababu t gar ilikua imebeba mchanga

  • @jafaridaudi-z1x
    @jafaridaudi-z1x 13 วันที่ผ่านมา

    Nilivyosikia leo nilikua sokoni kwerekwe unguja kuwa gari lilikua limebeba mchanga inasemekana dereva kapi........ ri....... sina uhakika nimesikia tu kwa watu

  • @DicksonCastory-e4f
    @DicksonCastory-e4f 13 วันที่ผ่านมา

    Mtakuja kufukuza kumbe ndani kuna mabomu shauri lenu

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 13 วันที่ผ่านมา

    Ilamnachezea kodi zetu uchungunguzi nn wakati kosa nilenu eti mmeundatume

  • @Omar-g9q9b
    @Omar-g9q9b 13 วันที่ผ่านมา

    Watu wamepigwa risasi kwa sababu ya mchanga

  • @slimmthekid177
    @slimmthekid177 13 วันที่ผ่านมา

    haya mmekuta nini kilikuwepo kwann msiseme hapo hapo kilichotwa n nn

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 12 วันที่ผ่านมา

    Number kupiga horni ni Kuwaiti watu waingie barabarani, sio kusogea nje ya road, tume ya nini naumesha sema Malibu yote

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 13 วันที่ผ่านมา

    Mambo ya mikoani yanaletwa visiwani sasa mauaji yaovyo

  • @Zuwjat
    @Zuwjat 12 วันที่ผ่านมา

    Mbwa nyie kawasaidieni vita wakongo kama mnahamu yavita msipige nduguzetu wajaalana

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 13 วันที่ผ่านมา

    Siyo kwa kidoti mje kumba radhi jamani wana wa Kidoti hawa watu wengine jamani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ibrahimrajab1702
    @ibrahimrajab1702 13 วันที่ผ่านมา

    Naona hujasema kilichokutwa ndani ya gari
    Makorogo tu

  • @S.Almahrouqy
    @S.Almahrouqy 13 วันที่ผ่านมา +1

    Tuambie baada ya hilo gari kupata ajali wamepekuwa kulikuwa na nn lazima mmeliangalia ,

    • @mandujaro
      @mandujaro 13 วันที่ผ่านมา

      Hawajaenda hata kupima askar wanaogopa

    • @AliHaruna-fe6jw
      @AliHaruna-fe6jw 13 วันที่ผ่านมา

      Baada ya kuuwa wakageuza gari lao la police wakarudi mbio kiongozi maana waliona et kua mulikua na mchanga tu toka mwazo na wanazijua vizuri kua zinabeba mchanga hamna chengine

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hakun jina zuri la kuita tukio hili zaidi ya utekaji maana hawajasema mwishoni walikuta nini

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 13 วันที่ผ่านมา

    Inashangaza wakati ukabila unapigwa vita polisi watilia mkazo.Kwani haitoshi kutaja jina,umri na pahala aishipo?

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 13 วันที่ผ่านมา

    Wasiojulikana hao. Full stop.

  • @MubaMuba-n4b
    @MubaMuba-n4b 13 วันที่ผ่านมา

    Haja piga juu waongo wanapoga watu lisasi kumbe asikali polosi lenu moja na zura

  • @HassanSalmin-f5h
    @HassanSalmin-f5h 11 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu apo

  • @iddi29
    @iddi29 8 วันที่ผ่านมา

    Mshenzi mkubwa weee

  • @mussasayid9972
    @mussasayid9972 13 วันที่ผ่านมา

    Munajichunguxa nyie wenyewe ajabu 😊