Familia ya Nyerere Yatoa Wito kwa Steve: Kuacha kutumia Jina la Baba wa Taifa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Madaraka Nyerere, mtoto wa sita wa Mwalimu, amesisitiza umuhimu wa wasanii kutumia majina yao halisi ili kuepusha mkanganyiko kuhusu familia yao. Anatoa mfano wa Steve Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, akieleza kwamba matumizi ya jina hilo yanaweza kuleta kuchanganya kati ya wasanii na wanachama wa familia halisi.
    Aidha, familia hiyo inaelezea kutoridhishwa na tabia ya viongozi na watu wengine wanaotembelea Butiama kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa, lakini kisha kukosekana mawasiliano baada ya kutimiza malengo yao. Madaraka anasisitiza umuhimu wa kudumisha mawasiliano na familia hiyo ili kuonyesha heshima na kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati.

ความคิดเห็น • 167

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 9 วันที่ผ่านมา +12

    Yaani ameongea point nzuri sana! Waandishi wetu bado hawajielewi, huo ndio ukweli.

  • @edwinkajuna7207
    @edwinkajuna7207 8 วันที่ผ่านมา +3

    Familia ya Mwalimu haitaki uchawa...Kwa hiyo aache kabisa tabia hizo...Kama hawezi achague familia zinazopenda Chawa

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 9 วันที่ผ่านมา +13

    Mtoto wa Nyerere ana haki kuzuia kwa mtu yeyote mwenye nia mbaya na chochote kinachoohusu familia yao .Mfano huyo Steve,siyo kijana muungwana,siyo mfano Hata wa kuigwa na wenzie ( Chawa) Mdudu mchafu.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @ahmadikininga239
    @ahmadikininga239 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani mtu mwingine hawezi akaitwa jina la nyerere?

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 9 วันที่ผ่านมา +11

    Ni kweli kabisa. Maana inaonyesha naye analitumia kama jina la ukoo wake. Ni wengi inatukera. Afadhali aambiwe aliache.

  • @AronAnselemi-he4vk
    @AronAnselemi-he4vk 9 วันที่ผ่านมา +11

    Family ataki uchawa ndomaana awataki ajiite jina lao Kama mumemsikiliza vizuri umesikia kusifia sifia selikali ,

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 3 วันที่ผ่านมา +1

    MbonA tunao akina Lumumba ambao siyo wakongomani?

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mtoto wa mwalimu anafanana sana na mama yake🔥🔥💃💃💃

  • @AronAnselemi-he4vk
    @AronAnselemi-he4vk 9 วันที่ผ่านมา +7

    Kwani we stivu chawa huna wazazi wako

  • @karakairasa2161
    @karakairasa2161 9 วันที่ผ่านมา +4

    Sawa sawa, chawa hafai.

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 9 วันที่ผ่านมา +10

    Kweli mzeeee kasema ukweli mtu amezidisha uchawa mpk anatumia jina la baba wa TAIFA 😂😂😂😂 kweli baba Mzee haikuw chawa yeye 🤝🤝

  • @hijakambangwa9148
    @hijakambangwa9148 7 วันที่ผ่านมา +2

    Jina tulimpa sisi wananchi tulipomsikia akiigiza sauti ya Nyerere anapokia jukwaani ndio tukamwita Steve Nyerere hajajipa mwenyewe sasa kama mlikua hataki aitwe jina lenu mngemkataza mapema leo ameshakua maarufu ndio hamtaki atumie
    Mbona mzee kikwete yupo hai na akasiriki anapo muona jk comed akimuiigiza mbele yake na msherheshaji jk njoo jukwani

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mmmh

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hata akibadili jina bado nitamwita Steve Nyerere, Ni Kwa Neema tu na wew kuzaliwa kweny iyo familia ya Nyerere.

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hoja yako nzito ina mashiko sana. Tuyaenzi majina ya wazazi wetu waliotulea kwa shida kubwa sana.

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 9 วันที่ผ่านมา +5

    Safi Sana nimekuelewa point kabisa 🙏🙏🙏

  • @IbvJamary
    @IbvJamary 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee hapo unamfungia ridhiki tumaomba mwamwache tuu hiyo ndy njia aliyopewa na mwenyezi mungu kujipatia kipato kwa kutukumbusha usia wa baba yetu mpendwa wetu mwalim juliasi kambarage Nyerere

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 4 วันที่ผ่านมา

      Kabisaaaa ameshazoeleka hivyo,ht akiacha ataitwa tu kwa lazimaaa

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 8 วันที่ผ่านมา +5

    Hilo ni kweli steve atumie jina lake

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 9 วันที่ผ่านมา +4

    Unaongea mambo mengi na hakuna hoja yeyote .

  • @aediaygo8546
    @aediaygo8546 9 วันที่ผ่านมา +3

    Steve waachie jina lao lenye laana 😂 tumia jina la babako labda mama atakuona

    • @MrA24G
      @MrA24G 9 วันที่ผ่านมา

      Jina halina tatzo Steve atumie jina Lake.Hana sababu ya kutumia jina la baba wa taifa.Kwanza unapochukuwa jina la mtu hata personality yako basi ifanane na ya nyerere unakuta mtu hata nyerere hafanani nae hata elimu hawafanani.Atumie jina la babaake sawa sawa madaraka

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@MrA24G Basi hata msimamo

  • @hono1232
    @hono1232 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hajasema kwamba hahiruhusiwi kuitwa jina la mwalimu Nyerere bali waandishi wa hqbqri ndo wanakosea kumwita jina la mwalimu Nyerere kupitia taaluma ya uandishi. Kumwita mtu nyerer si dhambi

  • @clementmgongolwa8316
    @clementmgongolwa8316 7 วันที่ผ่านมา +1

    Steve acha kutumia jina la nyerere acha kutumia jina la mwalimu tumia jina lako la steve mengele wewe ni mkinga hutaki kutumia jina la baba yako umeling,ang,ani jina la mwl acha mara moja

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 8 วันที่ผ่านมา +2

    Safi kabisa Huyu stv anaharibu sifa ya mwl.

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 8 วันที่ผ่านมา +1

    Uko sahihi kabisa

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 7 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kumsumbua steve, kwa maana hata baba wa taifa, Jina nyerere halikuwa lake. Aliitwa Julius na baba yake aliitwa kambalage, hivyo jina kamili la baba wa taifa ni Julius Kambarage.
    So, steve na baba wa taifa wote wametumia jina lisilo lao.

  • @ShamsiKasoma-fn4cl
    @ShamsiKasoma-fn4cl 8 วันที่ผ่านมา +6

    Shida co kutumia shida ni kutumia jina kipumbavu saiz amekua chawa sana.anaharibu jina la baba wa Taifa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@ShamsiKasoma-fn4cl kweli kabisa asee

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 8 วันที่ผ่านมา

      Yaani ni chawa mkubwa . Ni mnafiki na chawa mkubwa.

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 6 วันที่ผ่านมา

    Mie mwenyewe hapa naitwa nyerara

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli atumie jina Lake badala ya kujibrand kwa jina la watu wengine.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 8 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni Steve Nyerere siyo Steve Julie's Kambarage Nyerere

  • @HadijaKilagule
    @HadijaKilagule 9 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana jamani aliekaribu na Steve Nyerere. Feki atufikishie ujumbe huo kuwa familia hawataki ajipendekeze kwao Kwan Hana wazazi akatumia jina lao ?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 nakweli asee

  • @user13375
    @user13375 8 วันที่ผ่านมา +1

    Anaitwa STIVEN CHAWA😮😮😮

  • @ZAMANI-2n
    @ZAMANI-2n 9 วันที่ผ่านมา +9

    Hpn kijana anapaswa kupongezwa na sio kuvunjwa moyo kuitwa jina la steve nyerere hakuwez kuongeza chochote zaidi ya jambo jema mwache kijana anufaike na kipaji chake isije ikaonekana km ni roho mbaya au chuki binafs

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 9 วันที่ผ่านมา +3

      ana vigezoo msenge msenge baba wataifaa akua msenge msengee wewe boy chawa 2 ajiitee juna kubwaa kama ilooo wewe

    • @margaretswai8229
      @margaretswai8229 9 วันที่ผ่านมา +5

      Wenye jina Lao wamekataa

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 9 วันที่ผ่านมา +2

      @@RomanMwinyi hizo ni choyo na roho mbaya yeye ameitwa Nyerere kwa kuigiza sauti ya Nyerere kuna shida gn kuna watu Wanaitw God yanga kwaajili ya ushabiki wengine wakina simba nk tatizo sisi wa Tanzania tunaroho chafu tukiona mwenzetu anafanikiwa kwann sijui

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 9 วันที่ผ่านมา +2

      @@Zuwenamachela kuigiza na sio ndio baba yake kwelii co ajiiite jina la baba yake alafu atafasilii nikama naigiza kama nyelele nyelele ana mtoto mugizaji balii WA toto wanyelele wasomi Wana jitambua sio walopokaji lopokaji ovyooo

    • @abednego3876
      @abednego3876 9 วันที่ผ่านมา +1

      @@ZAMANI-2n kipaji kipi, taja muvi moja ya uyo steve, anakipaji cha kulamba matako tu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 วันที่ผ่านมา

    Mwambie huyo Steve ajiite JK hata hivyo JK. Mbona ajiiti Kikwete kabisa. Au kama Mengele ni aibu kwake wewe uliye mwiita mpe ubini wako wewe. Mnatangaza tena mnasema huyu alikuwa amejibandika Nyerere leo anajibandika mnalitaja. Mtu anabatizwa akiwa mtu mzima mara jina jipya linachukuwa nafasi. Steve Mengele rudi nyuma ukawaweke wazazi wako mbele.

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 8 วันที่ผ่านมา +5

    Kwani lazima atumie Ubin wa watu? Wenyewe hawataki mlevi na mropokaji una wachafulia haya naajiite steve lbilisi kama atatokea mtu wa kumuuliza.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Haaa haaaa asee 😂😂😂😂😂 Sina mbavu

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani jina hilo lina hatimiliki?

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 9 วันที่ผ่านมา +6

    Mwakani nikipata mtoto wa kiume nampa jina Nyerere 🎉🎉🎉😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Hilo halina shida lkn je? Huyu stivin babake siyo Nyerere Tena hiyo familia inaroho nzuri ingekua familia nyingine wangemshtaki Ili alipe fidia Kwa kujinufaisha na jina la familia ya watu

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 8 วันที่ผ่านมา +4

    Chawa mkuu na chawa mashuhuri wamekataliwa na familia ya nyerere kutumia jina la baba yao.

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 9 วันที่ผ่านมา +1

    Saawa kabisaa jina la mzee kubwaa

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 2 วันที่ผ่านมา

    Acha ushamba Mzee kwani akitumia Hilo jina Una pungukiwa nini?

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 9 วันที่ผ่านมา +7

    Roho mbayaa

    • @shafee9128
      @shafee9128 9 วันที่ผ่านมา +2

      Mukiambiwa ukweli munasema roho mbaya

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 9 วันที่ผ่านมา

      @@shafee9128 nyerere wapo tele jia si lolote lishakufa huko jina silake tena wsitake sifa kwani nani bwanaa

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 8 วันที่ผ่านมา

      Kama yako

    • @pueblo148
      @pueblo148 8 วันที่ผ่านมา

      Kaanza mwenyewe kuabudu uchawa kujandamiza haki za wananchi ni matusi Kwa baba wa taifa nyerere.akipigania uhuru wa nchi hii Sasa huyu Steve Yuko kinyume na tabia na difa za mwalimu nyerere.wanae lazima wakasirike.akome mbona miaka yote walimuacha tu? Ni Kwa sababu anapotosha dhamira ya baba wa Taifa yaani kiufupi anamchafua baba wa Taifa nkutumia jina lake kuimarisha uchawa wake.watanzania hatutaki.
      Angekuwa na akili angepita mule mule Kwa baba wa taifa

  • @Hamisi-y2j
    @Hamisi-y2j 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee yupo sawa kwnn usaliti jina lako utumie jina la mtu

  • @eliakimmelkizedeck2059
    @eliakimmelkizedeck2059 7 วันที่ผ่านมา

    Hichi kizazi cha 2000shida sana, Yaani somo Muhimu sana limetolewa lkn dahh mnamponda mh Madaraka,,,,wewe unaeona haidhuru Stephen kutumia Jina la Nyerere tufanye wewe upewe jina lolote la hovyo lakini Mashuhuri.utakubali!?hautarusha ngumi!?bila na Mahakamani utafika kwahiyo tuache ushabiki.tujikosoe pale inapoonwa jambo limeenda mrama

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 8 วันที่ผ่านมา

    Safi sana sasa ajiite Stev Samia😂😂😂

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 6 วันที่ผ่านมา

    Steve amemiliki jina la wenyewe

  • @davidyongolo8102
    @davidyongolo8102 6 วันที่ผ่านมา

    Atumie JINA LA ukoo wake .

  • @gililwise
    @gililwise 8 วันที่ผ่านมา +3

    Duh kumbe siyo ndugu ni chawa tu.jamani acheni kutumia majina ya watu bila idhini ya familia

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 umenichekesha asee huyu stivn ni chawa tu wa ccm Wala hanaundugu Wala ukoo wanyerere kwanza alitakiwa ashtakiwe Kwa kujineemesha na jina la watu wengine pumbavu kabisa

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 8 วันที่ผ่านมา

      Mi ninavyoona hili ni jina kama yalivyo majina mengine kuna watu wanaitwa
      MANYERERE
      NA KUNA WATU WANAITWA HILO JINA LA NYERERE
      JE? HAYO MAJINA WAYAONDOE
      MADARAKA AMECHEMKA
      HATA ENZI ZA UHAI WA NYERERE MBONA HAKUGOMBA KUTUMIKA JINA HILO
      AU MFANO JINA LAKE LA MADARAKA
      NI LAKE PEKE YAKEEEE
      AU MTU AKITUMIA JINA LA MADARAKA AMELENGWA YEYE

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 8 วันที่ผ่านมา +4

    Kwani huyo nyerere jina alinunua?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Sizani kama alinunua ni chawa flani tu

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 6 วันที่ผ่านมา

      Amekusudia mzee nyerere jina alilinunua

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 9 วันที่ผ่านมา +2

    Watu anaitwa majina ya mitume na hakuna mkanganyiko kina Ibrahim baba wa walimwengu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 9 วันที่ผ่านมา

      @@Ajijji12 Ni kweli kabisa, hao mitume tunasoma maisha yao. Mwl Nyerere ni wa hivi kitambo watu wanajua aiba yake ilikuwaje. Ndio maana hata hao wanaweza kuiga sauti yake. Kimsingi unavyotaka aiba yako kuifinyanga iwe kama ya Mtu kama Mwl Nyerere inahitaji uangalifu wa hali ya juu sana.mfano wa huyu kijana zinapoibuka hoja za kitaifa, ujitokeza kutoa hoja na mawazo yake kwa Aiba ya ki Mwl Nyerere. Basi tatizo huanzia hapo. Fikra na matinki za maneno na maono yake huyu Kijana. Hayafanyi Mwl Nyerere halisi kuishi katika nyoyo Zetu. Mwl Nyerere alikuwa mtu wa hoja sio vioja vya Steve. Ni sawa aache atumie ya kwake majina.

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 8 วันที่ผ่านมา

    Safi

  • @RehemaPanga-x6z
    @RehemaPanga-x6z 7 วันที่ผ่านมา

    Shortly mzee hataki tabia za uchawa ihusinywe na babake, maana siyo tabia ya baba wa taifa . Ukiamua kuiga iga hadi tabia . Ambao hatumjui mwl kwa tabia tunaweza kusema labda alikuwa chawa?,

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 8 วันที่ผ่านมา

    Nyerere ni baba wa taifa, hivi vichawa ni vibaguzi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 วันที่ผ่านมา

    Amesema arudi nyuma aanze kutumia jina la mzazi wake au ubini wake! Kwani watu maarufu hawajawahi kutokea? Mbona watu kama Churchill watu hawajajibandika? Wengi sana lakini mimi kwa watu wenye akili huwezi kuwasikia wanaacha ubini wao wananza kuchukuwa wa watu malaafu sijui iweje sasa. Acha huo ubini ni aibu kwa wazazi wako!

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 8 วันที่ผ่านมา

    Yani uwe msanii TU na maarufu na kusumbua taifa just kwsbb ulikuwa unamuiga Nyerere anavyoongea, kwnz hampatii,pili Hana vipaji tofauti zaid ya kazi hio ya kumuiga Nyerere,wenzake kama kina jk comedian au Oscar na waliozuka wanawaiga Hadi Marais wote bila kukosea,na hawana vimbelembele,Steve ni kama yule msukuma wa jichanganye Hana anachojua baada ya pale,sio msanii by profession kapachikwa na akajipachika,au ebitoke hajui kuchekesha ila Hana anachojua zaid ya kujifanyisha umapepe wa kihaya, kilichomkera madaraka Nyerere ni kwamba Steve hakubaliki kwny jamii ni kama kituko haishi kusemwa au kukosolewa au kuzomewa wkt jina la Nyerere asli yake ni la kukubalika na si la kukataliwa na taifa Hadi na mataifa,

  • @bernardmwenda5186
    @bernardmwenda5186 8 วันที่ผ่านมา

    Kumbe jina lake ni Steve Mengele! Nilikuwa sijui na nilikuwa sijui nimuulize nani, maana nilikuwa najiuliza; Huyu Steve Nyerere ana uhusiano wowote na Julius Kambarage Nyerere? Kumbe hakuna uhusiano wowote, wala hata kabila hawahusiani. Akina Mengele nadhani ni Wahehe, kama sikosei au Wabena!
    Basi nimejifunza kitu, maswali ambayo nikikuwa sina mtu wa kumuuliza, nimepata majibu yake.

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 8 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kijana aendelee kutumia hili jina mtaonekana kama mna chuki mzuie leo wakati kaanza kulitumia miaka kibao sio vzr

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 9 วันที่ผ่านมา +1

    Stive Nyerere atiwe moyo, kuna shida gani? Au umaarufu wa Stiven Nyerere unamtesa Madaraka?

  • @TheGospel-jh5zc
    @TheGospel-jh5zc 8 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu nyerere hakuwahi kuwa chawa

  • @GilbertMasukila
    @GilbertMasukila 9 วันที่ผ่านมา +1

    Steve Mengele upo ?

  • @ndannahkashindye19
    @ndannahkashindye19 8 วันที่ผ่านมา

    Hana sifa za Mwl J.K Nyerere, aache kutumia jina la hayati baba wa taifa.

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 8 วันที่ผ่านมา

    Kwani cheti chake cha kuzaliwa kinasemaje?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 วันที่ผ่านมา

    Ipo siku mtasema hata ule uwanja wa ndege uache kutumia jina lake,,,,

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu Stivin inatakiwa ashtakiwe kwa kujineemesha na kilipa fidia kwanza kwanza anatumia vibaya jina la familia ya watu chawa mkubwa wa ccm

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 7 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wakuu wa dini wa Roma majina wanachagua ya mapapa waliopita utsikia papa John poulo wa pili Benedict wa kumi na sita wapo akina samora mashel sadam usinali mzee wangu bado tunampa heshima yake mwalim kijana anaafuta ugali ttu hana nia mbaya

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 8 วันที่ผ่านมา

    Ila anatumia jina vibaya aache. Hlo ni jina la muasisi wa hili taifa . Afanye sanaa na sio kutumia jina la Nyerere kama ni baba ake au ametoka huo ukoo.

  • @AntonSiprian
    @AntonSiprian 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani kutumia jina vibaya kwani nikizaa mtoto nikampa jina lanyerere ni zambi

  • @himanmwalwala7569
    @himanmwalwala7569 9 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanza tabia yake ni mbaya,
    Kwanza chawa wa Wala rushwa hafai kulitumia

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee Madaraka ukumbukwe baba yako alikuwa baba wa Taifa la Tanzania, kila mtu anahaki ya kutumia jina la baba wa Taifa kwa nia njema

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Sasa je huyu Stivin anatumia hiyo jina vizuri? Maana amekua chawa tu wakutetea majizi

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Mzee nyerere ni mzee wataifa kwaiyo wewe unatenguwa viongozi wasi mzunguze achaa ayo mambo

  • @FadhiliLesha
    @FadhiliLesha 8 วันที่ผ่านมา

    M nadhan Steve hakujiita ila watu walimuita

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Ckuzote urikuwa wapi kusema iyo

  • @paulmnyeti7027
    @paulmnyeti7027 7 วันที่ผ่านมา

    Kimsingi ndugu yetu madaraka pamoja na hayo yote aliyoyasema anapaswa aeleweshwe vyema sana kuwa mwl Nyerere ni zaidi ya kuwa babayake.
    Mwl Nyerere ni baba wa taifa. Kama ni baba wa taifa Sasa mantiki ya alichokisema ndugu yetu madaraka ni Nini.
    Madaraka anapaswa kueleweshwa (kama hajui) kuwa Kuna watu wengi sana wanaitwa Nyerere kama jina la kuzaliwa.
    Kwa lugha rahisi tu ni kwamba Nyerere si Mali ya familia yake pekee. Na kusema ukweli ukimwangalia vizuri mwalimu Nyerere wantanzania na Tanzania ilikuwa ni familia yake zaidi kuliko hiyo familia yake wenyewe.
    Kwangu Mimi, hicho alichokisema kulikuwa siyo muhimu kabisa.

    • @NechLove
      @NechLove 7 วันที่ผ่านมา

      @@paulmnyeti7027 kwetu pia kuna mtu anaitwa mzee nyerere mie mwenyewe naitwa fatuma nyoka nyerere

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 8 วันที่ผ่านมา

    UPO SAHIHI LAZIMA UPOTOSHAJI UWACHWE NA ASITUMIE JINA LA NYERERE

  • @victorcampbell2659
    @victorcampbell2659 8 วันที่ผ่านมา

    Mtoto anatakiwa kutambua kuwa yule Mwl. alikuwa Baba Wa Taifa so alikuwa Baba wa watu wote sio pekee yake

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 6 วันที่ผ่านมา

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 8 วันที่ผ่านมา

    POLENI FAMILIA KWA HILO

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 8 วันที่ผ่านมา

    Sioni hoja hapo kwani amejiita mwenyewe,watu wanajiita majina tofauti mpaka yameua majina yao ya asili kila kitu kinasababu,kwani hili la Nyerere liko peke yake

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 9 วันที่ผ่านมา

    Hajakatazwa, alichoshauri Madaraka ni kuwa kijana Steve jina lake liandikwe Steve Nyerere ajulikanaye pia kama Steve Nyerere (i.e A.K.A)

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu ameishiwa,,,,

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Nikuurize swali kwani adi linakuu ma nini Kuna mirasi unayompa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 วันที่ผ่านมา +1

    Itakuwa siyo rahisi kama usemavyo Madaraka ukweli ni kwamba Watanzania wanamjua kabisa kama huyo siyo mtoto wa Nyerere hilo ni jina la usanii tu kama aluvyoigiza jina la huyo baba yenu kwa kuiga hiyo sauti yake muache tu usimkatishe ndoto zake za uigizaji mpendeni tu familia

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Anandoto Gani chawa tu

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 7 วันที่ผ่านมา

      Ni rahisi sana kufuta asitumie tena jina Nyerere, majina mangapi yamefutwa yamafutika kabisa.

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 8 วันที่ผ่านมา +1

    No comment 😂😂😂😂😂😂😂

  • @MwajabuShabani-p2f
    @MwajabuShabani-p2f 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli mzee madaraka yaani mpaka kero utafikiri mtumwa aibu kweli

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 8 วันที่ผ่านมา +2

    Jina halina mwenyewe

  • @husseinsalehe6506
    @husseinsalehe6506 9 วันที่ผ่านมา +3

    Nilidhani ukiwa mtu mzima unakuwa na busara kumbe hapana,mzee hilo jina la Steve Nyerere hakujiita yeye,amepewa na watu kama ilivyo desturi yetu wa Tanzania kupeana majina kutokana na haiba yako,pili hakuna asiejua kuwa Steve ana baba yake na sio Mwalim Nyerere,lakin ni kama umekusudia kumuaibisha na kuonyesha kama hilo jina la Nyerere ni very special.Mimi nilidhani Steve ametumia jina hilo kutapeli watu kumbe analitumia kwenye sanaa yake ambayo ndio inampa rizki,Busara itumike,MUOMBE RADHI NA UWAOMBE RADHI WATANZANIA.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 9 วันที่ผ่านมา +2

      Wenyewe awataki sasa atumie jina la mamake

    • @pena_tz
      @pena_tz 9 วันที่ผ่านมา

      Mzee kuna jambo analisema bila kwenda direct.

    • @pendongowi3508
      @pendongowi3508 8 วันที่ผ่านมา

      Atumie jina lake, mana wakati mwingine anaongea vitu vya kuudhi watu , atumie lakeeee.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 วันที่ผ่านมา

      @@pendongowi3508 kwanza mimi nilifikiri ni mtoto wa nyerere kikweli kumbe kenge kama mimi kumbe alikuwa chawa wa family ya nyerere

    • @MehmetMtonga
      @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

      Mwambiee ajitambui na ana oja ya mcngi

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 8 วันที่ผ่านมา

    KWANI MMESAHAU KUWA NYERERE NI BABA WA TAIFA??😅😅😂😂
    KWAHYO HATA WALE MNAOWAONA MATAAHIRA NYERERE NI BABA YAO
    KWAHYO SI AJABU HATA MIMI KUITWA DOMINIC NYERERE MAANA NI BABA WA TAIFA ZIMA 😊

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Uyo siyo siv j nyerere uyo stiv nyerere wewe

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    SASa amekosa nini

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Hoja una ya mcngi uyo kama commedy Sasa una mjiajuu nani umri umekwendavturiawewe

  • @meckytossy9160
    @meckytossy9160 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani jina ni ukabila au unataka ukatambike😢😢😢😂

  • @RichardLyamuya
    @RichardLyamuya 8 วันที่ผ่านมา

    Uchawa

  • @djfunk255
    @djfunk255 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kama ni baba wa taifa munavosema so kila mtanzania ana haki ya kujiita ivo c ndio baba wetu wa taifa na vile vile stive Nyerere tulimuita sisi hajajiita yeye kwanza .,au family na serekali acheneni kumuita baba wa taifa

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 8 วันที่ผ่านมา

      @@djfunk255 point...

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 7 วันที่ผ่านมา

      Aaache kutumia jina la Nyerere analichafua, wewe simama katika kweli usilete upumbavu na uchawa wenu hapa, jina halimhusu afute haraka.

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@joycehaule9717Hakuna point hapo afute haraka jina Nyerere, atumie jina la Chawa wake ataeleweka.

    • @djfunk255
      @djfunk255 7 วันที่ผ่านมา

      @@JesusJesus-ny1sm sawa Wana family samahanini wanafamilia

  • @anthonymgina3893
    @anthonymgina3893 9 วันที่ผ่านมา

    Haina shida jina ni jina tu wakina Nyerere wapo wengi sana mtaani, umaarufu wake labda ndo tatizo na haizuii kulitumia. Mtu akiamua hata kuitwa Kisiki au kinginecho ni sawa, mmh watu watie juhudi si kutegemea majina ya wazee wenu kuwainua bana 😂😂.

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 9 วันที่ผ่านมา +1

    Jina tlimpa sisi wananchi kama nyerere mwenyewe hakumkataza wewe nani haswa tmeshamzoe ivyo na litakywa ivyo 😂😂😂 pole kwa maumivu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Huyu chawa aliibuka wakati Nyerere ameshafariki

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 7 วันที่ผ่านมา

      @@Sarah-e1o9k Aache kutumia jina Nyerere kulichafua, wewe ulimpa jina kama nani !??? Mpe jina lako mpuuzi wewe !!!!!

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 7 วันที่ผ่านมา

      @JesusJesus-ny1sm kama nyerere mwenyewe alinyamaza yeye nani yni ndio kwanza tutamuita😀

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 6 วันที่ผ่านมา

      @@Sarah-e1o9k Mnaona mnavyoaibika ili mradi u comment tu usivyovifahamu !!! Mwalm Nyerere mpka anakufa hamjuwi huyo Steve, Wewe na huyo Steve Mengele ndiyo wale wale unalopoka hata hamjuwi heshima ya jina hilo.

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 6 วันที่ผ่านมา

      @@Sarah-e1o9k Eti alinyamaza !!!! Wewe km humfahamu Baba wa Taifa na heshima zake kaaa kimya kuliko kuaibika bure tuu!!! Umezaliwa Baba wa Taifa ameshakufa halafu mnajifanya wajuaji wakat hamjuwi lolote.

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Tuwambiee amekosanini

  • @mtummoja6882
    @mtummoja6882 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu naye. Jina imekuwa nongwa? ANA KAUMIMI NDANI YAKE

  • @ibrahimdaudi5823
    @ibrahimdaudi5823 9 วันที่ผ่านมา +1

    roho kubwa

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 8 วันที่ผ่านมา

    Ni jina la kazi hilo. Asikatishwe tamaa. Baba wa Taifa nyerere alifanya mengi mazuri lazima aenziwe. Steve nyerere ni kitukuu kinachotukumbusha Sauti za nyerere. Ingawa wewe ni mtoto lakini bado hutukumbushi hata sauti ya baba yako ilikuwaje.
    Michael Jackson alikufa lakini wapo wanaoitwa marina ya michael Jackson kutokana na kazi wanazozifanya zakumwenzi Michael Jackson.
    Mzee uwe na point. Hii uliyosema ni point less

    • @moodyzanzibar4336
      @moodyzanzibar4336 8 วันที่ผ่านมา

      MIMI NAONA HUYU ANAONA WIVU TUU NI ROHO MBAYA TUU

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 8 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo unataka aenziwe na huyo chawa?

    • @rajabukitego1662
      @rajabukitego1662 8 วันที่ผ่านมา

      Kama,hi yo,ndivyo,,stiv,,tumia,jina,,la,baba,yako,,wameona,mmefanana,saut,hamja,fanana,tabia,,maana,nyerere,,kwel,hajaiba,pesa,za,lambi,lambi

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 9 วันที่ผ่านมา

    Wazeee wa TZ mikun😂😂😂😂😂😂😂duu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani hawezi kupata ugali mpaka akajibandike Nyerere? Hapo ni kwamba anajikataa. Na siyo kujikataa tu bali anakataa wazazi wake. Jamani mimi nafurahi sana watoto wakiinua ubini wetu. Hata wakikosea matamshi huwa napenda kurekebisha hata kwa spelling ili waweze kulitamka sawa sawa. Kwa kutumia ubini kuna faida kubwa watu tunahama hama siku hizi. Milikwenda America kuna mtu aliwahi kuishi na kufanya kazi na ndugu alinikarimu sana nilipomuelezea uhusiano wangu na yule yeye alikuwa anamfahamu. Sasa kwa kujibandika ubini usiyo wako unakupa faraja gani. Kwani Nyerere alikuwa komedi? Acheni uchawa. Basi sasa ajibandike SAMIA!

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa amekosanini wewe