Mafundisho yako yanaishi na shuhuda zako kwakweli sema shetani anaiba mafundisho yako ndani ya mioyo ya watu wakisikia kwa kitambo humrudia Mungu na kwa kitambo adui anasahaulisha yote na wanarudi nyuma, kwa Jina la YESU KRISTO mipango ya shetani ishindwe Amina
Mungu akupe maisha marefu pastor uendelee kuhubili injili
Following from Qatar, am really blessed since the beginning. May the blood of Jesus and holy spirit cover all his Pastor's Ameen 🙏🇰🇪
Nashukuru kwa mafundisho,nimefuatilia kutoka Tanga, haleluya!
Mzee haji namjua alikaa Amani christian centre ,Mungu amrehemu
Ni Jambo jema kushukuru, Asante sana Bwana YESU kwa chakula chako Cha rohoni kupitia watumishi wako ,MUNGU awabariki sana watumishi
Amina tumebalikiwa sana mwenyezi awabaliki wachungaji wote
Naomba no ya Adam haji
Namshukuru Mungu kwa ajiri ya watumishi hawa
Asante mtumishi, umenikumbusha jambo jema, Ubarikiwe
Ameen pastor be blessed more
It was a powerful ending indeed.glory be to God
Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana
Nimebarikiwa mnooi kwa semina kubwaa namna hiii.
Mafundisho yako yanaishi na shuhuda zako kwakweli sema shetani anaiba mafundisho yako ndani ya mioyo ya watu wakisikia kwa kitambo humrudia Mungu na kwa kitambo adui anasahaulisha yote na wanarudi nyuma, kwa Jina la YESU KRISTO mipango ya shetani ishindwe Amina
Hapo hatujakuelewa,una maanisha nini ndugu
@@Esthermordecai unaposahau fundisho ulilofundishwa maana yake umeibiwa.
Amen 🙏🙏
Amen
Mafuzo mema
Amen