ILI UAMINI MCHAWI KAOKOKA NA KUACHA UCHAWI WAKE LAZIMIKA AKABIDHI VITU MUHIMU VITATU NAVYO NI......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 หลายเดือนก่อน +2

    Du mambo mengi,hatari sana

  • @askarwayesu
    @askarwayesu 16 วันที่ผ่านมา

    Mtumish naomba kuuliza uchawi wa kuvalishwa wakat hujui kuloga huo uchawi umekaaje nisaidiw hapo

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji katekela mafundisho na maombi yake yapo imara Mungu akulinde

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 หลายเดือนก่อน

    Ndio Amina

  • @abelmbata37
    @abelmbata37 หลายเดือนก่อน +5

    Kuokoka kwa mchawi kwa asilimia kubwa integeneana na nguvu ya Mungu iliyo ndani ya mtumishi anayemuongoza sala kama mtumishi ana nguvu mchawi hahitaji kuleta chochote.

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli ee

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 หลายเดือนก่อน

      @@valentinanduku8718 yaa unajua vitu wanavyoniliki wachawi tunaita ni media of contact yaani ni vitu ambavyo huvaa roho yavkichawi na vinatumika kuwaunganisha wachawi na shetani sasa kwa mchawi kuwa huru hutegemea nguvu ya Mungu iliyo ndani ya mtumishi ambaye atamfungua huyo mchawi. Maana yake wakati huyo mchawi anafunguliwa roho iliyo ndani vitu hivyo huachia. Mfano kama anakinyago kulichobeba roho wakati mchawi akifunguliwa roho iliyo kdani ya kinyago nayo hutoka kitakacho baki ni kinyago kisicho na roho.

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 หลายเดือนก่อน +2

      Wee. Hakuna kitu kama hicho. Nimefatilia wengi tu wote huwa wanaleta vitu vinachoma japo sifaham ni vitu gani.hawez kuokoka bila kuchoma vitu vyake ujue huyo bado

    • @godlistenPaul
      @godlistenPaul หลายเดือนก่อน +1

      Si kweli kaka mchawi lazima alete vitu vyote anavyomiliki kinyume na hapo ataendelea kutumika na ibilisi,

    • @godlistenPaul
      @godlistenPaul หลายเดือนก่อน

      ​@@estermathias8354nakubaliana na wew dadangu

  • @kulwamathias7680
    @kulwamathias7680 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @BaltazarSavin-b3q
    @BaltazarSavin-b3q หลายเดือนก่อน

    😮

  • @ZeldaMzena
    @ZeldaMzena หลายเดือนก่อน

    Ndala ya ndege ni kitu gani?? hicho.tunatakiwa tukijue ili utakapoagiza kwa mchawi alete unakuwa unajua ni kitu gani mtumishi ..

  • @OleNongoyo-i7x
    @OleNongoyo-i7x หลายเดือนก่อน

    Ndala ya ndege ni nini

  • @nchumaTz
    @nchumaTz หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza, eti nikweli mfalume Suleiman alikuwa na Nguvu za Giza??

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 21 วันที่ผ่านมา +1

      Biblia gani inasema mfalme suleiman alikuwa na nguvu za giza😂 labda mfalme suleiman wa quran au wa simulizi za wasafi😂

  • @abelmbata37
    @abelmbata37 หลายเดือนก่อน +1

    Kuokoka kwa mchawi kwa asilimia kubwa integeneana na nguvu ya Mungu iliyo ndani ya mtumishi anayemuongoza sala kama mtumishi ana nguvu mchawi hahitaji kuleta chochote.