Naipenda Sana hii couple kwa sababu ya Priyanka Chopra ( Desi girl) maana nimeanza mfatilia muda Sana pia nampenda Nicklaus Jonas kwa sababu anampenda Priyanka.
@@shamomar629 supar helo ni krishi wewe uliza utaambiwa na ndomana tunasema kwenye filamu hiyo ya kwanza ya krish hakuepo alikuwepo na mdada anaitwa hamisha pater na yeye ndo ilikuwa filamu yake ya kwanza kama krishi na filamu hiyo ilitoka kwenye mikono ya baba ake na krish. akaona amlete mwanae
Iko pouwa Sana nimeipenda msimamo wao,, even watu husema distance kwenye mapenzi haifai sema tu hampendani sio kisingizia distance hapooo mbona wenzenu hidumu miaka na miaka so Kama unamwamini mwenzako na Kuna uaminifu Kati yenu distance doesn't matter at all
Wadada ambao wanajiona niwazur kunakitu Cha kujifunza ukimtazama Priyanka coz alikuwa nimrembo w kutisha Ila saiv maixha Anza kuwa Bibi na hata mtoto hajapata mpunguze kuringa
Huyu muhindi Chopra mswazi Kama kazaliwa uzaramoni, amebarikiwa pesa lakini ulalamishi mwingi kila anapopita mpaka inakera, alialikwa Uingereza ameenda kuwabinulia mdomo familia ya kifalme, kajifunze kushukuru unapobarikiwa, pesa kubwa punguza malalamishi
Tunaopenda wahind tujuane...tuwekee historia ya RAN MUKERJII
Katika Wanawake wazuri duniani niliowajua, uyu dada Ni namba moja❤️🙌🏿🙌🏿
Huwa inapitaga hivyo km upepo.kuna muda upepo ulimuangukia Angelina Jolie.but she is pretty.
@@allyfatma7359 umenena kweli ila wapo zaid yake jmn mungu anaumba wengine cyo star ndyo mana hawaonekn
@@doreenkareem5817 exactly,
Black American, Brazilian hata Venezuelan bila kuwasahau baadhi ya watanzania, including wewe ni hatari 🙌🙌
Angelina jolie ni mzurii wewe Sema amekonda sana
Plastic surgery
Nampenda huyo dada mungu akupe watoto said ya 10
Priyanka Chopra 😍😍😍
Uyu dada ni mzury sana 🥰
Mashall mutot amehumbiw mung uy kamuhow tuwatakiy watot Weng sn namung awabarik namupend San priyank nawatakiy mahish mem 💐💐💕💕💕🇧🇮
Huyu dada mm mwenyewe namkubali sana dada huyu 💖💖
Ni mzur Sana huyu dada
Dada nampendaga Sana ❤
Waooooh is beautiful nawapenda sana.
Mashaallah nampendaga balaa😘❤❤❤
Nampenda sana Priyanka
Dada ni mzuri sana
Mungu awajalie wapate watoto
Naombeni like za kutosha Wana familia ya sns
She's so gorgeous! 👌❤😍👏
Unanikumbusha Juma khan chikongwe
Nampenda huyu manzi
Makala imetulia mzee! Kazi nzuri Sana! Priyanka Chopra! Nimecheki movies zake nyingi sana!
They look good together...
Perfect job sns🥰🥰
nawahindi wanaubaguzi saana kwa sisi weusi
wahindi ni wabaguz Kwa kweli
Namkubali sana ♥️♥️
Desi girl priyanka chopra
Priyanka my fav
Wote wabaguzi wamarekani na wahindi
Nampenda 😍😍😍😍😍😍
Namupenda uyu dem hatare
Nampenda sana piya ♥️❤️ SNS 🔥🔥
Nakukubali sana brother sky
Wow powerful woman
Huyu dada nampenda sana.
They look good together ❤️❤️🇰🇪
Sns 🔥🔥👏
good story #officialaftab from Canada
Naipenda Sana hii couple kwa sababu ya Priyanka Chopra ( Desi girl) maana nimeanza mfatilia muda Sana pia nampenda Nicklaus Jonas kwa sababu anampenda Priyanka.
Love win❤❤🔥🔥🔥🇸🇪
Waow vizuri sana hakika kila m2 anawenza 🥰🥰🥰
Na baba yake n mjeshi😁😁😁 sema wahindi wazuri bwana daah
Watu wana nyota jamani 💞📌
Shout out to my brother sky for great story 🙏 💥💥
Perfect wed
Wahoo😍😍😍
Mash’s Allah skywizzz
wow, anyway naishi ceder Rapids iowa pia
Prinka 😄😄😄
Mungu tu atawapa mutoto
Rumors has it she's pregnant 👀
Nimependa sana
Inshaallah mungu awahfadh atawajalia watoto
Filamu ya kwanza ya ya krish sio krish ni kahona praya yupo na amisha pateri apo umetulisha matango pori kaka
Hujasikia vyema
Wewe ulie sikia vizuri 2ambie bc kasemaje
Filamu ya kwanza ya super hero india
@@shamomar629 supar helo ni krishi wewe uliza utaambiwa na ndomana tunasema kwenye filamu hiyo ya kwanza ya krish hakuepo alikuwepo na mdada anaitwa hamisha pater na yeye ndo ilikuwa filamu yake ya kwanza kama krishi na filamu hiyo ilitoka kwenye mikono ya baba ake na krish. akaona amlete mwanae
🔥🔥Namkubal San uyo dada
Thx sky
God Jobs Sky walker
Smile lake tu mm hoiiii❤️🙄
😅😅😅😅😅
Wow 🥰nimeipenda history yao
Yan mbk wew murembo u aletewa ubaguz😂😂😂
The golden voice of SNS! 🔥
U kill It aisee
Yote sawa lkn unajua km alipitia kwenye michezo michafu ya only fans
My girl ❤️
Play don't worry by hakim Sasha please l
Nice Sky 😍😍😍
Wa kawaida Sana hajanifkia,hamjaniona mim hapa ni balaa
Nikweli hapa bongo hasa uswaz wapo warembo zaidi
Mmmh unaumwa ww
@@josephnyasa3643 ulazimishi kuamin ila ndyo hivyo j
SASA NDIO MJIFUNZE WATANZANIA UMRI SIO KITU. PRIYANKA ANAMZIDI MUME WAKE MIAKA 10
❤❤👍
💖❤💖💗💗💖💗
mє nαípєndα fílm чαkє чα вαrfí😊
Mapenzi kani hayo yakukaa kando ila silo penzi🇨🇩💪🇺🇬🤣
Iko pouwa Sana nimeipenda msimamo wao,, even watu husema distance kwenye mapenzi haifai sema tu hampendani sio kisingizia distance hapooo mbona wenzenu hidumu miaka na miaka so Kama unamwamini mwenzako na Kuna uaminifu Kati yenu distance doesn't matter at all
Mmmh
Good
Kumbe marehemu prem Chopra kumbe si babaake
Bongo hapa uchumbaaaa miaka kumi ,hapa kwetu India siku 10 tu hauli mxigo kabla ya ndoa
❤❤❤❤❤❤❤❤💕
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
🥰✅
Ila Nick Jonas mdg sana kwa Priyanka Chopra
Wanaendana nimeshawahi kuwaona wakiwa wote los angeles
To be continued
SnS wakali wa hizi kazi
Huyu dem ni kisu acha kama hakati gogo
Acha abaguliw hakuna wabaguzi kama hao wahindi fanya nao kazi ndo utajua
🥰
ni mzur saan uyu demu ila alichelewa kuolewa kaolewa mzeee saaan 😂
Muosha huoshwA
Tunapenda habali zenu
Manzi wa xxxxx
Watafute mtoto watazeeka sasa
Wadada ambao wanajiona niwazur kunakitu Cha kujifunza ukimtazama Priyanka coz alikuwa nimrembo w kutisha Ila saiv maixha Anza kuwa Bibi na hata mtoto hajapata mpunguze kuringa
th-cam.com/video/wGYf2o-lTLc/w-d-xo.html
Bonezaaa link
Mbona hujaongea kucepuka na shar khan
Katoka na wengi Sana nae
@@matumuhatibu4636 sababu ni mrembo sana wanaume wenyewe ndiyo walimfuata
Huyu muhindi Chopra mswazi Kama kazaliwa uzaramoni, amebarikiwa pesa lakini ulalamishi mwingi kila anapopita mpaka inakera, alialikwa Uingereza ameenda kuwabinulia mdomo familia ya kifalme,
kajifunze kushukuru unapobarikiwa, pesa kubwa punguza malalamishi
Ila mwanaume ana mtoto
Nawa penda wote mke na mume
❤️❤️❤️👍