Dr Slaa ni Mwana siasa mtafuta masilahi. Leo chadema, kesho CCM, kesho kutwa Chadem. Hadi unajiuliza baada ya Mwezi mmoja hatokua kwenye Chama cha Nguruwe?
JPM alikuwa anawaogopa wapinzani aliona awape nafasi kama hizo lakini walizitumikia kwa shingo upande hasa kwenye misimamo yao huyu aliogopa kupotezwa ikabidi akubali ya jpm
Huyo ni DR. NADHANI hata maana DR hujui hata hujui dini huna adab8 hujafunzwa kwenu hata shuleni WEKA ujinga wako MFUKONI huyo ni sawa na mzazi wako aibu sana.vunabeba laana siku Moja utajuta
Wiki hiyo iliyopita Mtendaji mmoja wa Serikali kitongoji mojawapo katika mkoa wa Pwani,kafariki NA mwili wake ukazuiliwa Hospitali hadi alipe gharama za tiba. Nilifurahi saaana. Maana wananchi hudanganywa kwa kunyonyeshwa dole gumba . Hatimaye yanawakuta . Hakuna kulipia matibabu kwa Taifa lenye Mali
Ninasikitishwa na tabia za Wilbrod kuwa yeye muda wote wa maisha yake kwamba yuu sahihi yeyee juu za Wanadamu wenzie... Hii kitaalam inaitwa ni shida ya Afya ya Akili.
Mzee unajidanganya.fanya utafti,upinzani kwa ujumla,wana washabiki wanacha labda ambao ni viongozi .lakini ccm wana wanachama wengi na wapenzi pia. Na ukiona mgombea wa ccm mahali ameshindwa uchaguzi,ni kuwa,uongozi umeteua mgombea ambaye hakukubalika na wana ccm wenyewe. Na ccm wakileta chaguo lao,piga uwa,matokeo utasema umeibiwa, chaguo la wana ccm,hata wewe ukigombea na muuza miwa,utashindwa tuu. Muulize cheyo jimbo la magu na busega walivo mfalitula.hivoo ccm huwa inashindwa kutokana na uteuzi,usio chaguo la wana ccm.
TULINYIMWA ELIMU BORA SASA UPEO WA KUELEWA MAMBO YA MAANA HATUNA KAZI KUJIBU PUMBA MNATUTPOTEZEA SLAA HUTOFIKIA DARASA WEWE PENGINE HATA DIPOLOMA TU KTK UKOO WENU HAIPO SASA UNAJILINGANISHAJE NA DR KTK EDUCATION YAKE?
Dkt silaa mungu akureem
Watanzania wengi huwa hawapendi ukweli kabisa wamejazwa ujinga na ccm
Mtangazaji hujui kuhoji vizur😮😮
Slaa mganga njaa tu
Ni mtu asiyetosheka.
Hana msimamo.
Wishful thinking!
Ni mtu mmoja msomi sana kuhusu katiba. Wewe Huna hata elimu. Kaa upande wapi she wenye kujielewa wa toe magi so na elimu
Nchi yangu Tanzania sikupendi
Uko vizuri dr slaa
Huyu Wilbord Slaa ni Mshindwi.
Kila Alipokwenda Kuhudumia Hakutoka Vizuri,Ametoka kwa sintofahamu.(hiyo ni kauli tosha Slàa Ameshindwa.
Dr Slaa Wewe ni Mzee Sasa kalee wajukuu
Wewe ndio Mzee akili ndogo. Hio sio hoja ya msingi
@@SaviorAfrica
Ifike wakati wazee wawapishe vijana Sasa Waache Ung'ang'anizi Wa kupenda Madaraka
Dr Slaa ni Mwana siasa mtafuta masilahi. Leo chadema, kesho CCM, kesho kutwa Chadem. Hadi unajiuliza baada ya Mwezi mmoja hatokua kwenye Chama cha Nguruwe?
JPM alikuwa anawaogopa wapinzani aliona awape nafasi kama hizo lakini walizitumikia kwa shingo upande hasa kwenye misimamo yao huyu aliogopa kupotezwa ikabidi akubali ya jpm
Dr mbona hukamilushi sentensi kuna mambo muhimu ila usiongee km kila mtu anajua usemalo. Kamilisha tukuelewe
Huyo ni DR. NADHANI hata maana DR hujui hata hujui dini huna adab8 hujafunzwa kwenu hata shuleni WEKA ujinga wako MFUKONI huyo ni sawa na mzazi wako aibu sana.vunabeba laana siku Moja utajuta
Leo interview yako sijaipenda
Who cares upeipenda hauja ipenda?
@@aliyageorge6794 Bado hujasemaa
Wee ongea maana unaongea ukweli wasio jua maana watakuzarau unayo ongea nakupenda
Wewe mbona umezeeka?
Mzee MPAKA ukate moto hutaona kiti chochote 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Wiki hiyo iliyopita Mtendaji mmoja wa Serikali kitongoji mojawapo katika mkoa wa Pwani,kafariki NA mwili wake ukazuiliwa Hospitali hadi alipe gharama za tiba. Nilifurahi saaana. Maana wananchi hudanganywa kwa kunyonyeshwa dole gumba . Hatimaye yanawakuta . Hakuna kulipia matibabu kwa Taifa lenye Mali
Reo tanzania imepokonya na kuuwa viwanda hatuna sjira binafsi kama viwanda Tanzania ii inaperekwa wapi na hawa viongozi
Muongo wewe usiekuwa dunia ilivyo
Ninasikitishwa na tabia za Wilbrod kuwa yeye muda wote wa maisha yake kwamba yuu sahihi yeyee juu za Wanadamu wenzie...
Hii kitaalam inaitwa ni shida ya Afya ya Akili.
kusema hivyo sio sawa. Kila mtu anatoa mawazo yake. Jamii kwa Ujumla wake Ina uwezo wa kusikiliza yote na kujua yapi sahihi na yapi sio sahihi
Watu wanaogopa kujionyesha azarani
Mzee unajidanganya.fanya utafti,upinzani kwa ujumla,wana washabiki wanacha labda ambao ni viongozi .lakini ccm wana wanachama wengi na wapenzi pia. Na ukiona mgombea wa ccm mahali ameshindwa uchaguzi,ni kuwa,uongozi umeteua mgombea ambaye hakukubalika na wana ccm wenyewe. Na ccm wakileta chaguo lao,piga uwa,matokeo utasema umeibiwa, chaguo la wana ccm,hata wewe ukigombea na muuza miwa,utashindwa tuu. Muulize cheyo jimbo la magu na busega walivo mfalitula.hivoo ccm huwa inashindwa kutokana na uteuzi,usio chaguo la wana ccm.
WEWE SILA ACHA UONGO TUNA KUJUWA NA UNAFIKI WAKO SASA HIVYI UPATI ULAJI NENDA UKALIME HUNA JIPYA
Acha dharau debe tupu.
Wewe na ccm nani kazeeka?? acheni hizo
Vivuruge HAWAJUI kujenga hoja ya msingi wanakimbilia vijembe mtanyooka
TULINYIMWA ELIMU BORA SASA UPEO WA KUELEWA MAMBO YA MAANA HATUNA KAZI KUJIBU PUMBA MNATUTPOTEZEA SLAA HUTOFIKIA DARASA WEWE PENGINE HATA DIPOLOMA TU KTK UKOO WENU HAIPO SASA UNAJILINGANISHAJE NA DR KTK EDUCATION YAKE?
Anaishi na mawazo mengi mazuri sana lakini ya kuangusha
Umejichanganya, mawazo mazuri sana huwa yanaleta mambo mazuri sana. Na kinyume chake ni sahihi! Inabidi urekebishe statement Yako Ili iwe na mantiki
Silaa ia dead. Wood politically
Wakati unakula kuku kwa magufuli ccm ilikuwa kijana? 😂😂😂😂
Hata dr naye hajui katiba because huwezi kufikiri wewe ndo unajua tu halafu ukawa na akili
Wewe challenge hoja sio HALI yake hoja anazitoa zipo vip jadili