Kitatange na Mwinyi Mpeku _ KUKU WA EID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kitatange anaiba kuku wakati anatafuta mteja anakutana na Mwinyi angalia hadi mwisho kujua kitakachomtokea Kitatange

ความคิดเห็น • 172

  • @muombwamtumbatu1067
    @muombwamtumbatu1067 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahahhhhh kuku mtamu kwa mpunga kama umeskia hiyo gonga like twende sawa

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว +6

    Ha ha ha ha et kuku mwamuuua kuku wangu jamani wapemba wenzang munaniuwaaa jamani weee ha ha ha vituko iviii😘😘

  • @tauabdall2684
    @tauabdall2684 4 ปีที่แล้ว +1

    Kutembea miguu chini in moja ya sunna ,kwa wale wanomfuata mtume Muhammad (s a w)

  • @Najizilmuhsinina
    @Najizilmuhsinina 6 ปีที่แล้ว +8

    Jamaa huyu kitatange msanii mzuri sana

  • @islamsaid4830
    @islamsaid4830 6 ปีที่แล้ว +5

    Wow movies nzuri tumalizieni part nyengine

  • @emmypc8362
    @emmypc8362 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂kuku mwamuuwa huyu kuku wangu hahaha wapemba habari zenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 ปีที่แล้ว +1

    Hi mtihani mkubwa hatari kubwa.
    Wanaokwenda jela sio wotewenye hatia. Unaweza ukafa kw wema wko. Imani inaponza dahh. Gonga like hapo twende sawa km imekugusa.

  • @sherdracksimba3500
    @sherdracksimba3500 6 ปีที่แล้ว +1

    hongeren san wapemba kwa ku2wakilisha na nawaombea duw mung akufanikixhen malengo ynu aaaaamin

  • @saidali4371
    @saidali4371 6 ปีที่แล้ว +9

    hawa jamaaa mafundi kweli aloooo maashallahu

  • @yuk2012
    @yuk2012 6 ปีที่แล้ว +8

    Kuku aliya liya kwiyo nataka uza nipate chng kijio ,jamaa kuku eee ntamu kwa mpunga alijengewa band nkiwa .............😂😂😂😂😂jamaa kitatange eti mpkaa huu nkitoweo cha cku 3 😀😁😂😃kitatnge ucnde uko wenda gwiwa maana huyo nkukungwa wa mwinyi kummwiiba 😀😁😂😃😃 eti biashara naona bora ni ighairishe duh kitatange weeeee👍👌

  • @yuk2012
    @yuk2012 6 ปีที่แล้ว +4

    Eti hebu weee hili jmb halikuhu nendavo ukalime uko 😀😁😂😃jaamaaaa wasamaria wema muwapinnyie 😃😂😁😀kitatange cn mbvu kwa kucheka ahsntn wa pemba wenzng

  • @sherrybuda9248
    @sherrybuda9248 3 ปีที่แล้ว +1

    💝💝💝💝nawapenda sana wapemba wenzangu

  • @binthysaid2764
    @binthysaid2764 4 ปีที่แล้ว +1

    Kitatange wcha uwizi utamia bure🤣🤣🤣

  • @38wahida
    @38wahida 6 ปีที่แล้ว +5

    😂 😂 😂 Ntamu kwa mpunga 😂

  • @khalfanalmazidy9721
    @khalfanalmazidy9721 5 ปีที่แล้ว +1

    Hussein Asnt broo muko vizuri sana

  • @mzeemwinyi2146
    @mzeemwinyi2146 5 ปีที่แล้ว +2

    nawapenda hawa wakiongeaaaaaa

  • @mansooronlinetv535
    @mansooronlinetv535 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamaaa kaiba kuku tuu ni ivoo jee angeiba ng:ombe

  • @khabibkhamis8528
    @khabibkhamis8528 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaah big up home sweet home

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 ปีที่แล้ว +87

    Nawapenda hawa watu mpaka naumwa Kama unawakubali gonga like yk hapa 😂😂😂😂😂😂👌

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice..... move

  • @raysalalmandhary1713
    @raysalalmandhary1713 6 ปีที่แล้ว +20

    Hasara kwa mfugaji faida kwa mlaji. Kitatange ana vituko

    • @allyrashid4986
      @allyrashid4986 5 ปีที่แล้ว

      Raysal almandhary mmmh

    • @khamikhan5091
      @khamikhan5091 4 ปีที่แล้ว

      nyama mbaya kumbe kuku kammuiba akupigia hasara kwa mfugaji

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi sanaaa

  • @mohammedabdulsamad9530
    @mohammedabdulsamad9530 6 ปีที่แล้ว +1

    Best sana Allah awabarik

  • @sajdatomar2264
    @sajdatomar2264 6 ปีที่แล้ว +5

    😀😀😀😀😀😀 mm napenda sana wapemba wanavyoongea

  • @suhailbedran6284
    @suhailbedran6284 6 ปีที่แล้ว

    Hhh,, Action fupi sana lakini very comedy 😂😂 mmetisha comedian 👏👏

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha mashaallah umejuwa asa kumzika mwizi

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha Nyumbn Rahaaaa haishi ham

  • @jamilahamad2982
    @jamilahamad2982 6 ปีที่แล้ว +3

    Uko vzur na mwinyi mpeku

  • @user-xw5re3bh5x
    @user-xw5re3bh5x 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha hahahahaha mbavu zangu mm

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbavu zangu mieee😂😂😂😂😂

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 3 ปีที่แล้ว

    Hhhha hasara kwa mfugaji faida kwa mlaji 🤣🤣🤣🤣

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว +2

    sina mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    mwinyi kipaji unacho

  • @mohdothman8273
    @mohdothman8273 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah endelea kuinua vipaji Zanzibar

  • @shidisuleiman3431
    @shidisuleiman3431 6 ปีที่แล้ว +1

    safi sanaaaa

  • @amourflamin2092
    @amourflamin2092 4 ปีที่แล้ว

    Kitatange namkubali bhn

  • @balkissbalbalkis7872
    @balkissbalbalkis7872 6 ปีที่แล้ว +8

    Hahaha nzuri sana

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 6 ปีที่แล้ว +2

    Biashara Kushney..hahahaha

  • @maryamhamad8142
    @maryamhamad8142 6 ปีที่แล้ว +3

    Penda sana

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 6 ปีที่แล้ว +1

    Ati mwamuua kuku wangu 😂😂😂

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 ปีที่แล้ว +14

    Hahaha kitatange noma

  • @zauali7868
    @zauali7868 6 ปีที่แล้ว +2

    hatari sana mwivi

  • @suleymannassor1409
    @suleymannassor1409 4 ปีที่แล้ว

    Kukuona

  • @omarymussa4815
    @omarymussa4815 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilishasema huyu Mzee ni bonge la mchekeshaji lakini ule ukandamizaji wa bara ndiyo tatizo,,,

  • @abuualban5639
    @abuualban5639 4 ปีที่แล้ว

    We hili jambo halikuhusu embu nenda ukalime

  • @eddycaptain8754
    @eddycaptain8754 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tam kwel bna

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 3 ปีที่แล้ว

    Mwivi

  • @abughatimsalim7047
    @abughatimsalim7047 6 ปีที่แล้ว +3

    Nishida

  • @abdkhalidi6625
    @abdkhalidi6625 4 ปีที่แล้ว

    Hhhh kazi mzr isay

  • @salimsalum7796
    @salimsalum7796 6 ปีที่แล้ว +1

    Nauka zamani mie

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว +1

    Haha eti kuiba kuku nihivi je engeiba ng,ombe mbavu zangu

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 5 ปีที่แล้ว

    Me naona wakati tushakaribia naona kusubiri papapa
    .. A aah hiyo ni sauti ya komanzi wakonga hapa yalia kulee basi nahairisha mara basi nakugaiya wewe....hahaha...

  • @eshamohammed136
    @eshamohammed136 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kahairisha biashara

  • @khamispcali8099
    @khamispcali8099 6 ปีที่แล้ว +2

    kitatange nomaa

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +10

    Kwani naiba ng'ombe

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +2

    Usihairisheee basi chukua buree

  • @abrahmanabdalla327
    @abrahmanabdalla327 6 ปีที่แล้ว +4

    Hebu nendavyo ukalime hili jambo halkuhusu 😹😹😹

  • @vuaikhamis7546
    @vuaikhamis7546 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitatange kimeingia demani leo..

  • @asanitz756
    @asanitz756 6 ปีที่แล้ว +1

    siyo kwaki chopo hiko 😀😁😁😁😁😂😂

  • @abwidekhamis9156
    @abwidekhamis9156 4 ปีที่แล้ว

    Nilichekaa😀😀😀😀😀

  • @issaguners4739
    @issaguners4739 4 ปีที่แล้ว

    Nawapend sn...

  • @jamilasimai4586
    @jamilasimai4586 5 ปีที่แล้ว +1

    nishahairisha biashara

  • @user-em4ov5uh9p
    @user-em4ov5uh9p 6 ปีที่แล้ว +24

    Jamani wapemba wenzangu mutaniuwa mbavuzangu

  • @kulilyhassankulily521
    @kulilyhassankulily521 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha ati kuiba kuku tu je ningei a ng'ombe

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 6 ปีที่แล้ว

    mwivi haha haha haha kitatange napenda Sana video zenu from kny

  • @abubakarimran7524
    @abubakarimran7524 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuchkuch hotae

  • @hassanaisha8228
    @hassanaisha8228 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahah zuri san

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii sichoki kuitizama

  • @jabirihalifaonlinetv4511
    @jabirihalifaonlinetv4511 5 ปีที่แล้ว +1

    hii video iko poa sana

  • @jamilahamad2982
    @jamilahamad2982 6 ปีที่แล้ว +1

    Kitatange love you so much

  • @saidsuleiman5255
    @saidsuleiman5255 6 ปีที่แล้ว

    khaaaaa tehteeheeeeee

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaa kuomazi

    • @yuk2012
      @yuk2012 6 ปีที่แล้ว

      Kuku aliya aliya kwiyo nataka muuza nipe kijio 😂😂😂😂😂uwo nchu nkitoweo wa cku 3 hahahaha kitatange eti nkule kwako 😁😁😁😃😃eti biashara naona niikhairishe chezea weeee mwiz cku kuzi ni 40 ,kwan ivibaya ntu kughairisha biasharaye kitatange umwivi 😂😂😂😂😂mbavu zang mie jmn kitatange na mwinyiiiii😃😃😃😃😃😃😃

  • @shairaniismaily4966
    @shairaniismaily4966 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 hatar San

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa biashara unataka tumia nguvuu

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 6 ปีที่แล้ว

    mbavu sina mieeee daaah

  • @khamikhan5091
    @khamikhan5091 4 ปีที่แล้ว

    kuku alia kwiooo nataka niuze nipate changu kijio

  • @adamali438
    @adamali438 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaaa hatari

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 4 ปีที่แล้ว

    Hivi kwnn wapemba hawapendi kuvaa viatu??🤷‍♂️but Mashaa Allah movie nzur uhalisia wakinyumban😍

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣 Haibi tena.

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @asiakhamis9584
    @asiakhamis9584 6 ปีที่แล้ว +3

    Dah kitatange kingia demani

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh wameanda mchapia bomani mchana ramadhan yaumu shakka!

  • @alrumhali9654
    @alrumhali9654 5 ปีที่แล้ว

    Hhhhhh jaman Rahaaa

  • @aboubakarmassooud6908
    @aboubakarmassooud6908 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha!!! Kazen buti

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs หลายเดือนก่อน

    😂😂😂❤❤🎉🎉🎉

  • @talkaboutinternationaljobs3161
    @talkaboutinternationaljobs3161 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @dullahassan3827
    @dullahassan3827 5 ปีที่แล้ว

    Hopoooo

  • @mudrkothman4871
    @mudrkothman4871 6 ปีที่แล้ว

    ivo,vijimbo,vya,Kuku😀😀😀

  • @kibabemuhidini8749
    @kibabemuhidini8749 6 ปีที่แล้ว +1

    internationally!

  • @tatumbelikwe8972
    @tatumbelikwe8972 6 ปีที่แล้ว

    kuku alialia kwiooo ha ha ha ha hatar sana

  • @issaboytv8290
    @issaboytv8290 4 ปีที่แล้ว

    Kuuziana kk ndo waleta watu km hawa

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 6 ปีที่แล้ว +6

    Hahaha

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahhahahaha

  • @roseneilally5713
    @roseneilally5713 ปีที่แล้ว

    Hussen

  • @yussufhamad2728
    @yussufhamad2728 6 ปีที่แล้ว

    hhhh..kazen kamba ndugu..hard work forever pays

  • @jumahabib1693
    @jumahabib1693 6 ปีที่แล้ว

    Hi noma

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwinyi mpeku tunakuheshimu,mnasihi kitatange afute ile video aliyocheza na kachara mskitini

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahahahah nimpend nyimb

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaaa

  • @user-og9vr3hj9f
    @user-og9vr3hj9f 4 หลายเดือนก่อน

    😅😂😅😅😅

  • @s.ranger573
    @s.ranger573 6 ปีที่แล้ว +1

    kitatange wewe una sauti ngapi