JIRANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Changamoto za dada wa kazi ambazo zinasababisha ugomvi baina ya majirani.

ความคิดเห็น • 75

  • @raimmigila4980
    @raimmigila4980 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkojan

  • @user-sc9wc7mh7k
    @user-sc9wc7mh7k 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman mkopw kabxa

  • @mrvivoi7515
    @mrvivoi7515 4 ปีที่แล้ว +1

    جميل جدا. فقط نطق كلمة المناطق الحساسه سيف

  • @sarahlina9165
    @sarahlina9165 6 ปีที่แล้ว

    Mgeni kumpokea kumbe ni kujichongea,,, jirani mbaya sana hata hana utu

  • @lilianramadhan2964
    @lilianramadhan2964 6 ปีที่แล้ว +1

    akina mama c tabia nzr kudanganyaa wadada. wa kaz tabia mbaya sana

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 ปีที่แล้ว

      Lilian Ramadhan yaani weacha mimi yalishanikuta ,mfanyakazi wangu alitoroshwa nimelala km alivyoambiwa huyo.walikuwa wanamdanganya mwisho wasiku kapanga nguo nipo kazini usiku katoroshwa.matokeo yake huko nako yakamshinda akarudi alikotoka kwao

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwendelezo jamani

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 ปีที่แล้ว

    Duu inafundisha mko vizuri

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 ปีที่แล้ว

    mavazi mazur mashaallah

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 ปีที่แล้ว +8

    Mmevaa vizurii mashaallah

  • @beatricembena8118
    @beatricembena8118 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mkovizuri nice cana

  • @felistaisaay6028
    @felistaisaay6028 4 ปีที่แล้ว

    Mmhh majirani

  • @sabrinasab3963
    @sabrinasab3963 5 ปีที่แล้ว +2

    eti uyo kaka kanichekesha ujinga wa afrika wameweka mbele uchawi na wivu aaaa kweli siuongo

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 6 ปีที่แล้ว +1

    Nic

  • @khadijamashaallahnzrmbassa9641
    @khadijamashaallahnzrmbassa9641 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah mmevaa vizur

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 6 ปีที่แล้ว +5

    Kwani mwaarabu ni nini???
    Na mfanyakazi maanayake nini wote si binaadam wanastaili kuigiza sehem inayomfaa
    Au uwarabu ni unabii ????

    • @samiacell2061
      @samiacell2061 5 ปีที่แล้ว +1

      La siunabii bali manyoya ka kondoo

  • @user-jr4sz5ds9w
    @user-jr4sz5ds9w 6 ปีที่แล้ว

    Nicefilm

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 6 ปีที่แล้ว +3

    stories nzuri ma actors sio ila wamejitahidi

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 6 ปีที่แล้ว +5

    Dada Wa kazi ana tatoo mgongoni hahaha inaonekana hatoki kijiji. huyo mwenyewe nyumba ndo inaonekana ndio Dada Wa kazi na Dada Wa kazi inaonekana ndio mwenye nyumba hahahahaa

  • @tsamotekalah3816
    @tsamotekalah3816 4 ปีที่แล้ว

    Takam

  • @vumiliajazil8104
    @vumiliajazil8104 6 ปีที่แล้ว

    nmeipend

  • @mwanaaisha1715
    @mwanaaisha1715 6 ปีที่แล้ว +2

    Sasa huu mchenzo unafundisha au unaonyesha zahiri mnavowachukia wapemba wakati huko ulikofanyamchenzo ndio namba moja kwa uchawi iyo simba wanga ipo pemba wacheni kuwachukiawapemba

  • @mohammedkhamis6274
    @mohammedkhamis6274 6 ปีที่แล้ว +2

    dada wakazi mualabu

  • @MarsUk-cg1gq
    @MarsUk-cg1gq 6 ปีที่แล้ว

    Shida na uarabu uarabu nchini kwao so tz kama Huna uarabu hauna na dhikk

  • @jmeliasshanelle4303
    @jmeliasshanelle4303 6 ปีที่แล้ว +1

    sauti je????

  • @jumaothman1570
    @jumaothman1570 5 ปีที่แล้ว

    Las)

  • @mashamohamed5621
    @mashamohamed5621 6 ปีที่แล้ว

    Sabaha

  • @ikhlasvora5525
    @ikhlasvora5525 6 ปีที่แล้ว

    Jamani missing TACCI

  • @meshackkivuyo8754
    @meshackkivuyo8754 6 ปีที่แล้ว

    nzur san

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 ปีที่แล้ว +11

    Nimependa mlivyovaa

  • @shantuuhemed1373
    @shantuuhemed1373 6 ปีที่แล้ว +2

    Jmn mbn kila cku unawatia ubayan wapemba

  • @nushlynmlandan2749
    @nushlynmlandan2749 5 ปีที่แล้ว

    Trial

  • @jmeliasshanelle4303
    @jmeliasshanelle4303 6 ปีที่แล้ว

    ujinga wa kiafrika ni huo, kueka uchawi mbele na wivu, uchozi. mtafika wapi na tambia kama hizo?????

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 ปีที่แล้ว +1

    Hapana lolote hapo wanauliza wamelegea tu

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว

    ikhlaas still am waiting 4 the reply

  • @cocosnapt5007
    @cocosnapt5007 6 ปีที่แล้ว

    😚

  • @bintijasiriismaily8902
    @bintijasiriismaily8902 6 ปีที่แล้ว

    bint jasiri

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 6 ปีที่แล้ว

    Ni urogi tu hata tuna ogopa kuja huko nyumbani

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 ปีที่แล้ว

    Wapemba wamekosa nn !!!

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว

    Kunaona wapi mlizi au Dada wakazi kua muwarabu

    • @zenarajabu9241
      @zenarajabu9241 6 ปีที่แล้ว +1

      Makame Mufadhil kwani waarabu nikina nani

    • @imansaid8020
      @imansaid8020 6 ปีที่แล้ว

      Kwan warabu wa nn na ww, mbona bado umtumwa kwa waarabu?

    • @makamemufadhil627
      @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว

      Iman Said pumbavu wewe unajua namaanisha nini?

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว +3

    dada wa kazi mwaarabu?

    • @isaacmakokha7965
      @isaacmakokha7965 6 ปีที่แล้ว

      Fatma Alnabhani mwarabu ni mtu wakawaida ,fatu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว

      Isaac Makokha, nafahamu ni mtu kama watu wengine lakini imenishangaza !!!

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 6 ปีที่แล้ว

      inaonekana mpka Leo huwajuw waarabu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว

      Nimefahamu lakini ni ajabu mwaarabu kutumika kwa mtu kwa kazi za ndani, labda ni ndugu yake,nifahamuni.

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว

      Musije mnasema nimedharau watu,kuhusu ukabila sote ni hivyo hivyo, tumechanganya damu

  • @mohammedkhamis6274
    @mohammedkhamis6274 6 ปีที่แล้ว

    jamani humcheza nizuli jamani

  • @clementbankuwiha8877
    @clementbankuwiha8877 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

    • @aminaomar8789
      @aminaomar8789 6 ปีที่แล้ว

      sjaeipenda amba wapemba mkome

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 6 ปีที่แล้ว

    Basi najiomba mwenyewe msamaha ni jamii ya waarabu, kisha tu nimependa wewe ndugu yangu Zahor unisaidie kujua huyu dada wa kazi ni jamii gani?

  • @bintyndzuga3618
    @bintyndzuga3618 6 ปีที่แล้ว

    hahahaa