TUFUNUWE KITABU (SILSILA 9): Mjadala, Maswali na Maoni na Ismail Jussa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @111dudi
    @111dudi 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana sheikh Muhammed na sheikh Ismail. Mmetufunza mengi, na hasa katika maneno ya sheikh Ismail ya mwisho. Niliwahi kuona bango limeandikwa "MACHOTARA HAWATAKIWI" ajabu Washirazi na wenyewe ni machotara, Shiraz iko Iran,na znz imejaa machotara, na pengine hawa machotara wamefika znz kuliko hao wanaowabagua. Nionavyo ni sawa kwa znz kusherehekea uhuru kuliko mapinduzi ya uhuru wao wemyewe

  • @salee1226
    @salee1226 3 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa jibu zuri Allah awalipe kheri

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa kuendelea kutupa elmu 🙏❤️

  • @innocentman5954
    @innocentman5954 3 ปีที่แล้ว

    Asant sana kwa maswali ytu kua sehem ya mjadala.. Tunazdi kuafatlia kwa makini sana

  • @hamadmkopi5136
    @hamadmkopi5136 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni mijadala inayopendeza na kukuza ufahamu Asanteni.

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kutupatia majibu kufuatia mapitio ya vitabu vilivyohakikiwa wiki ziliopita, hakika ninafarajika kwa kuweza kujipatia maarifa kupitia kipindi .Pia namshukuru ndugu Ismail Jussa kwa kutoa tahadhari na nasaha kwa vijana wa sasa katika mustakabli wa "uzawa".
    Namkubali sana ndugu Ismail japo huwa natafautiana katika political ideology, mimi ni muumin wa socialism

  • @husseinmohamedjama6316
    @husseinmohamedjama6316 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba kitabu kumhusu Mwanazuoni maarufu EA SHEKH ABDALLAH SALEH EL FARSI kama kipo tafadhali.

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 ปีที่แล้ว +1

    Brodher Moh'd usiwaachie hao wanauliza wakazungumza saana dakika zoote anazichukua yy wajitahid kufupisha waende kwenye point.

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 ปีที่แล้ว

    Chama cha mapinduzi kitaendeelea kubaki maisha?