Makamu wa Kwanza wa Rais aahidi kulishughulikia suala la mauaji ya kiholela

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 73

  • @HaleemaSur
    @HaleemaSur 19 วันที่ผ่านมา +4

    Poleni Wana familiya wakiungoni wezangu

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Mheshimiwa Kwa ahadi yako juu ya hili

  • @IshakaIssa-h4w
    @IshakaIssa-h4w 19 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni familia,daa yan mpak mm nishaaz kuogop hap ndip Zanzibar ilipofika

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hasbiallah waniimal wakil Hasbiallah waniimal wakil Hasbiallah waniimal wakil

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa masheha ndio washenzi sana

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 19 วันที่ผ่านมา +5

    Kwserekali tusahauni ushaur wngu tumuwacheeni mungu tu anatosha ss hatuna nguvu nguyetu ni moja tu sisi sotetukwnda huko alichokopanda ndio atakaevuna kwnnhamu somo ahalibadri na kiungoni kuna ulama wakubwa kw dini

    • @ibrahimsuleimanmbarouk
      @ibrahimsuleimanmbarouk 19 วันที่ผ่านมา

      Kweli tumuachie mungu lkn tunatakiwa tupitishe jitihada yetu kwanza,walohusika lazima wachukuliwe hatua,akamatwe sheha atawataja,imagine imekukuta wew hii ungeipokeaje?

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@ibrahimsuleimanmbaroukengelilaani na maapizo

  • @salyali7807
    @salyali7807 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hee Zanzibar wananchii hawana amani Kwa watawala 😢😢😢😢😢

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 19 วันที่ผ่านมา +8

    ndunngu yangu. mashauri. sheha auliwe na familiya yake.

    • @mussasaidhamad1891
      @mussasaidhamad1891 18 วันที่ผ่านมา

      usimhukumu mtu dada sheha hahusiki na lolote kwa jambo hili mimi nimefatilia hadi dakika za mwisho kitengo kinachohusika na mapapmbano na madawa ya kulevya kipo ofisi ya makamo wa kwanza yaani hao jamaa wasikie tu wakikushika kama afya ni dhaifu lazima upoteze maisha

  • @AdamMbwana-p6n
    @AdamMbwana-p6n 15 วันที่ผ่านมา

    Haya mambo yanaumiza sn kwa kwely

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 19 วันที่ผ่านมา +1

    Akaaaa uchaguzi tayari tena lazima kwanza watangulize roho za watu mimi hapa ndipo panaponiumiza raisi kuwa makini wabaya wasikutiye doa hili kama waliopita wanaonuka damu za watu wewe tumekuamini na tumeona ni faraja yetu sasa tunakuomba uwaangaliye sana hawa wauwaji ni hao vikosi vyako

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood 19 วันที่ผ่านมา +2

    Muwandishi ovyo kabisa taarifa inahitaji maelezo ila wew umeitupa tu nakuitelekeza (haijakamilika )

  • @hamdaniabdullah4189
    @hamdaniabdullah4189 15 วันที่ผ่านมา

    0:00

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 19 วันที่ผ่านมา +1

    Unajua sisi waafrica tunajifanya tumeshiba dini ila ukikaa na kuangalia utajua tuna ukosefu wa maarifa

  • @CastorinaAmandus
    @CastorinaAmandus 19 วันที่ผ่านมา +3

    wacheni visual tu

  • @StaaManeke
    @StaaManeke 19 วันที่ผ่านมา +2

    Wengine nadhani huwa wanabebwa kwenye maghari pengine gari la abilia na anaenda kuuliwa hivyo ndugu zangu katika imani NDANI YA MAANDIKO WAPO VIUMBE AMBAO HAWAFAI KUWA WATAWARA KWA NGAZI YOYOTE" Kwa MFANO TANGANYIKA YETU LEO ninashindwa kuelewa UISLAM umekwenda wapi ki maandiko

  • @Hamadzakuani
    @Hamadzakuani 17 วันที่ผ่านมา

    Bangi hizo ndio zinasababisha haya mambo

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 19 วันที่ผ่านมา +2

    Inalallah wananchi kweli hatupo salama

  • @CastorinaAmandus
    @CastorinaAmandus 19 วันที่ผ่านมา +2

    someni allubadll

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 18 วันที่ผ่านมา

    Kama hawajuulikani ipigwe dua tu bas watajuulikana ao

  • @abdulmalelemba9189
    @abdulmalelemba9189 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mohammed Assalamu Alaikum warahmatuh llah Wabarakatuh

    • @GumzolaGhassani
      @GumzolaGhassani  19 วันที่ผ่านมา

      Alaykum salaam warahmatullah kaka yangu

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 19 วันที่ผ่านมา +2

    awooo wote ni watu wa 😢yy unguja ndy wanao fanya uwoo ujinga wana

    • @alihaji215
      @alihaji215 19 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe wacha kutugimbanisha wenyewe kwa wenyewe na nyinyi wibaraka wa wazungu ndo mnavyo tugombanisha

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 19 วันที่ผ่านมา

    Tunaambiwa tusichukue sheria mikononi. Wakati hao wanaosema wanachukua sheria za kiserikali ( vyombo vya dola) wakiwakamata watu wanawaua. Bora sasa liwalo na liwe raia sasa tufanye tunavyoweza. Maana kwa namna hii watatumaliza hawa.

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 19 วันที่ผ่านมา

    Itakuwa othmani 😅😅😅😅

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 19 วันที่ผ่านมา

    Hahahaaa Wananchi Amkeni Mtaisha. Asichukuliwe Mtu Mkiwa Mnaona Msikubali Ikiwezekana Wapigeni Hao Wanaodai Kuchukuwa. Msihofie Hizo Uniforme Wanazovaa

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 19 วันที่ผ่านมา

    Poleni wate muloondokewa na ndugu zenu, lkn nahisi sheria zimeekwa ilizivunjwe, maana sheria zimo kwenye makabrasha sio kwenye kuzifanyia kazi na kuzisimamia

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 18 วันที่ผ่านมา

    mm naamin watu wa pemba mkikaachin na kumlilia mungu mnaweza kuwashuulikia hao askal wauwaji maana askal waliowengi wanajiona was nikama miungu mbona watu wanafilana kila siku na hawawaui bange ndio iwe na hatia ya kuuwa watu? askal wanaumiza mioyo ya raia. washuulikiwe tena kwadua ndio haswaaaa

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 19 วันที่ผ่านมา

    Kikubwa nikuwaondoa tu Hawa kwa kura bas hapo ndio baas hutosikia mambo haya ikiondoka tu ccm bas mana kiukweli hapo kiungoni nasikia Kuna sheha Mmoja anaitwa kome anaumiza sana watu

  • @OmarHamad-k2e
    @OmarHamad-k2e 19 วันที่ผ่านมา

    Sheria sheria. Kwani hilo ni lakwanza amma nyinyi mnajisahau mapema kama mtume alihama jee nyinyi mnangoja muuliwe hiyo ni haki?

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa taarifa yenu serikali haina Dini

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 19 วันที่ผ่านมา

    sheha auwawe !!!

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 19 วันที่ผ่านมา

    Hana uwezo
    Haikufaa rangi itakuwa chokaa

  • @Zanzibar-k3h
    @Zanzibar-k3h 17 วันที่ผ่านมา

    Acheni kuchochea fitina kwa wananchi omo una uchu ya madaraka hii nchi utaiona juu juu huipati

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 15 วันที่ผ่านมา

      Utaipata wewe, halafu utabaki duniani milele

    • @AdamMbwana-p6n
      @AdamMbwana-p6n 15 วันที่ผ่านมา

      Yko au

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 12 วันที่ผ่านมา

      Anauchu wa madaraka kwani hii nimarayake yangapi kugombea urais au nitajie alie muua japo mmoja

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r 19 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa sawa

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 19 วันที่ผ่านมา

    Bora ukutane na simba porini kuliko kukutana na vikosi vya smz hawa jamaa ni wauwaji katili kabsa

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 19 วันที่ผ่านมา +4

    Liuwenihilo sheha ndiye kila kitu

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 17 วันที่ผ่านมา

    Papigwe halibadir

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo hakuna cha haki dawa yao ni Mob justice wamfuate huyo kiongozi wamuue na familia yake yote.

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 19 วันที่ผ่านมา

    WANA CCM HUSUSAN MWINYI NAHUYO MKUUWA SMZD (WARITHI) WAMA GOFURI ,WASIA ULE ULE NA NYENZO ZA [NGURUNZIZA )WABURUNDI 《KAMOJA KAMOJA 》HASA WA TANOFOWA WAPINZANI ,MWNYI OYEEER

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 15 วันที่ผ่านมา

    Kuuliwa sheha sio suluhisho mutakuja kuuliwa nyote na ujinga wenu huo hamujui km sheha ni serikali kikubwa ombeni Dua mlilien Allah kwani huyo Allah mumeona kawasahau au hawaoni amkeni usiku muswali mumuombe muone maajabu yake yeye ndie mwenye Kila kitu anauwezo wa kufanya jambo lolote lkn sio kurudia kosa mukauwana nyie kwa nyie waislamu musifanye hivo muombeni Allah anatosha kwani yeye ndie hakimu wa haki

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 19 วันที่ผ่านมา

    Mpigeni kafara na yeye aende mbele tu

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nendeni mukawapige ndumba hao vikosi vya smz wawe Kama misukule inawezekana kuwafanya hivo wataalamu wapo

    • @Terrapinvillage
      @Terrapinvillage 19 วันที่ผ่านมา

      Wataalam wapo wapi watu wa makarama washaisha wengi walaghai tuu

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 19 วันที่ผ่านมา

    Babaaa hao jamaa wanapiga vibaya sana

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 14 วันที่ผ่านมา

    Ccm wanafikicha watu kama wanafikicha kunguni wazanzibar tushasaulishwa kuwasisini waslim

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 19 วันที่ผ่านมา

    Wewe Othman
    Kama serikali haitendi haki
    Jiuzuli
    Uisome namba
    Huna lolote kaa ushibe
    Usisingizie Mungu
    Hakuna mungu

    • @SeifRoky
      @SeifRoky 19 วันที่ผ่านมา

      Ww unategemea hata akijizulu atakuwa na njaa kama mm na ww huyo anaendelea kulipwa mpk kufa kwake kama ww akili zako ziko matakoni bc juwa hili namba tutasoma mm na ww sio kiongozi aliyefika cheo kama hicho

    • @Jojajuu
      @Jojajuu 19 วันที่ผ่านมา

      Kama hakuna Mungu yupo nani?? Yupo mamaako au

    • @StickerDoctor-m6f
      @StickerDoctor-m6f 16 วันที่ผ่านมา

      unajitahid kucomment ujinga ila izo propaganda ni za kizamani ww kafiri ata ujifich wap unajuulikan t tafta njia nyengin ya kuwatoa watu kweny lengo jiarib bahat yako mpumbavu ww Kam utakavokua hupati amani dunian na ukishakufa bas na njia ya kuwatoa waislam kweny dini yao hutoipata

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 19 วันที่ผ่านมา

    Hao wajinga kuuwa washazowea

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 19 วันที่ผ่านมา

    Imevuka mipaka sasa watu wanauwawa kipuuzi zulman.

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 19 วันที่ผ่านมา

    Hapa kazi tuu
    Othman ni mtoto mdogo sana
    Dini inawatesa
    S

    • @StickerDoctor-m6f
      @StickerDoctor-m6f 16 วันที่ผ่านมา

      Dini sisi haitutesi wewe kafiri uliokuwa huna ata iyo dini uko bize kufatilia dini ya watu nyiny tunawajua memetumwa muwavuruge waislam ila mumeshafeli na mtaendelea kufeli mpak kiama hii din imekamilika kijana tafta kaz ufanye

  • @AliMselem-t1d
    @AliMselem-t1d 19 วันที่ผ่านมา

    Wapemba tuweni kitu 1 sote Tokeya 1972 wapemba twateseka twadhulumiwa twapigwa tunanyanysawa wapemba tuwe kitu kimoja

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 19 วันที่ผ่านมา

    Ili iwe sulhu sheha auwawe yeye ndio fitna mkubwa wa mji au kijiji,hao vikosi hawaingii mtaani bila amri yake.

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Huwezi shughulikia wewe,upo kwenye nusu robot mkate bana

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 19 วันที่ผ่านมา +1

      Hawezi vp tena kwani wangapi wanaonewa huchukuliwa hatua tuache unafiki

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 19 วันที่ผ่านมา

      Shughulikia ww basi

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 19 วันที่ผ่านมา +1

      Haikuwa viongozi wakuu hakuweza baada ya vifo vingi tokea 2001 hadi leo ,iweje leo?

  • @abdulmalelemba9189
    @abdulmalelemba9189 19 วันที่ผ่านมา

    Naamini ipo siku na mimi nitafanya kipindi na wewe