Simulizi ya Historia ya Zanzibar - Episode 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
- Simulizi hii ilisimuliwa na Riyadh A. Al Busaidi Katika Ukumbi wa Ngome Kongwe (Old Fort) Zanzibar, Siku ya Ijumaa tarehe 15/10/2021 usiku.
Shughuli nzima ilisimamiwa na @imtumweni ikishirikiana na Wizara ya utalii Zanzibar, Kupitia idara yake ya Utamaduni na Mambo ya kale Zanzibar.
Riyadh A. Al Busaidi pia alizindua kitabu chake cha Historia ya Zanzibar kinachoitwa 𝐏𝐈𝐂𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐘 𝐎𝐅 𝐙𝐀𝐍𝐙𝐈𝐁𝐀𝐑 1800 -1964.
【Historia Yetu Ndio Urithi Wetu】
Like 👍❤ Share and Comment.
.
Tafadhali share link ya video hii kwa marafiki zako. 👇🏼
• Simulizi ya Historia y...
.
Tafadhali SUBSCRIBE kwenye ukurasa wetu wa Mavips Picture kwa video zaidi kwa kubofya hapa. 👇🏼
www.youtube.co....
.
Follow us on:
/ mavips_pict. .
/ mavipscompany
www.mavips.co.tz
#simulizi #historiayazanzibar #utamaduni #oldfort #zanzibar
Mashaallah Zanzibar yetu ilikuwa na Heba tokeya hapo zamani
Mashaallah Historia unavyoeleza unaham kusikiliza Ahsante Riadh.
Ukweli unauma sana nahuu ndiyo ukweli,tunaelewa tuliyvokuwa inshaallah kwauwezo wa Allah tutairudisha zanzibar kuwa jamuhuri
Ukweli mwingi ambao baadhi au waznz wengi hawataki kuusikia