SIMULIZI NZURI YA MAISHA YA MHE. JECHA SALIM JECHA. Fuatilia Kisa hiki Mpaka Mwisho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 ปีที่แล้ว +3

    Allah muumize zaidi na zaidi kuliko alivowaumiza wanzanzibari na waislamu zanzibar na awaondoe wote mafasiki katika nchi ya zanzibar wasipate kuendeleza zuluma zao

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 9 วันที่ผ่านมา

    Ucha mungu unafiq na kutumika vibaya

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu atamuadhibu kwa dhulma aliotudhulumu mi binafsi kanizulumu

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว +3

    AYAKUTE ANAYO STAHIKI KWA DHULMA ALIO😢 WADHULUMU WA ZANZIBARI .

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +4

    Aliitumikia vyema ccm sasa apokee malipo yake ya kumtumikia bwana na kumuacha mwenyezi Mungu

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 16 วันที่ผ่านมา

    Ila uyo faina na yey atakufa kifo kibaya snna mungu hafanyiw istihizai

  • @mwanaabuu6015
    @mwanaabuu6015 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi wainna ilayhi rrajiun, Allah amsamehe makosa yake na amjalie makaazi mema peponi na sisi tuliobakia Allah aturuzuku mwisho mwema na kauli yetu ya mwisho iwe Shahada. Amiin

    • @AllyHamran
      @AllyHamran 3 หลายเดือนก่อน

      Mchome apaswavyo.Dhulman huyu.

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 2 หลายเดือนก่อน

    Allah amraham inshaallah ampe mapenzi km alivoonesha upendo na kua na nia ya kufanya kazi kwa upendo zaidi inshaallah

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 ปีที่แล้ว +4

    Jecha ana historia nzuri kwa ccm lkn ana historia mbaya kwa wananchi wa Zanzibar

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 2 หลายเดือนก่อน

    Kaskazini unguja mashallah mashallah unguja niyetu napemba niyao katu abadani haiji muunguja achukue kishiwa chapemba katu wenyewe wapemba hawatokubali sasa niulize eti itawezekana vipi mpemba nae aichukue unguja kweli waunguja mtakubali ...waunguja wenzangu eee uzi ndoule uleeee

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 20 วันที่ผ่านมา

    Kuswali tu ndi ucha Mungu!sema tu alikuwa Muislamu tu

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi หลายเดือนก่อน

    Weee nassoro matako sanaa wew tulia kimyaa weww nyau la baraaaaa😊😊😊

  • @NassourChocolate
    @NassourChocolate ปีที่แล้ว

    Yaa rabii msamehe dhambi zake za kuwadhulumu wazanzbar

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 7 หลายเดือนก่อน

    Amejipeleka mwenyewe kwa Mwenyezi Mungu kua ulikua ndio mas ul jua utaulizwa na Mwenyezimungu

  • @HasaniSasi
    @HasaniSasi 19 วันที่ผ่านมา

    Allah ndio mjuzi zaidi kwa waja wake ya razak tusamehe waja wako pale tunapokukosea hakuna mkamilifu ktk hii dunia

  • @abdulismail6072
    @abdulismail6072 หลายเดือนก่อน

    Hilo lizee mungu alichome moto mkubwa sana shetani mkubwa

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 2 หลายเดือนก่อน

    Kila kishiwa kina watu wake na chembe ya luga zake hatukubali hata siku moja mutunyanganye tonge mdomoni ...na Allah atatusaidia inshaallah kwa nia safi ya waunguja tulonazo amin tunawapenda lkn wabaya sana nyieee hebu ondoeni roho mbaya mulonazo

  • @Dullytwentyone
    @Dullytwentyone 8 วันที่ผ่านมา

    Moongo uchamungu huo utatokea wapi ,nadhuiima aliyoifanya ,munguamuweke panapositahiki.

  • @suleimanalisaid2201
    @suleimanalisaid2201 4 หลายเดือนก่อน

    Mukishakaa hapo jisahaun allah ndie mlipaji

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 ปีที่แล้ว +1

    Vipi alikua mcha Mungu na huku anafqnya dhulma sifa hizo hazifanani

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi หลายเดือนก่อน

    Na uoo ukali aufanyeee ukoo kaburin huyu jechaa unasemaa mcha mungu kamchaa wap tatizo lake alishindwaa kuomba radhi mwenzake aman karumeee kayajua mapemaaa😂😂😂😂

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi หลายเดือนก่อน

    Ucha mungu so kula daku wala futar kaz zake za chama huko hakuna mambo ayo allah atupe mwisho mwema

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza mtangazaji unakosea ukisema #Marehemu. Marehemu ni mtu tayari alierehemewa, je Jecha amerehemewa? Acheni ujinga.
    Pili, Allah amlipe malipo yake anayostahiki Allah ww ndio unaeyajua matendo yake sikufundishi vya kumuhukumu ila unajua cha kumpa anachostahiki.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz หลายเดือนก่อน

    Na akhera mwende kukawe masuuli mbele ya Allah wanafiki wakubwa subirini wakati ufike mufanye uhuni wenu kati ungeuza matokeo

  • @AbdalaNdaria
    @AbdalaNdaria หลายเดือนก่อน

    Ww sishehe jibwa unamcfia kibwamwezako

  • @shamisissa9165
    @shamisissa9165 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo alishindwa
    Kufuta kifo chake

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 ปีที่แล้ว +3

    Na mutamsafisha kwa maneno hamutamsafisha kwa vitendo vyake allah hababaishwi wala hasahau

  • @Ali-u8i8s
    @Ali-u8i8s 5 วันที่ผ่านมา

    Unamanisha bila shaka kwa Sasa yupo peponi. Mashallah Allah amrehem 😂

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 3 หลายเดือนก่อน

    Mtwana huyu Faina ndio zalimu mkuu katia maalimu walopelekea kuuliwa watu dhulman nchini Zanzibar.

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz หลายเดือนก่อน

    wewe uchamungu siyo kuswali tu kazulumu mungu atatulipiya alikimbiya duuu

  • @SoudAli-i5l
    @SoudAli-i5l 23 วันที่ผ่านมา

    ww faina na huyo jecha ss hatuna maneno lkn km ndio hvyo bc ndio hivyo nn kilitokea baada ya kubadikisha matokeo jibu kalipata yy na ww vile vile kuswali co sbb lkn bc hatujui ni siri ya mungu ila ww na huyo na marehemu ni noma

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 วันที่ผ่านมา

    Nikimkimbuka huyu mzee acheni tu

  • @JumaOmar-kp8rx
    @JumaOmar-kp8rx 3 หลายเดือนก่อน

    Kazu na kofia za kinafiki ndo zenu ila hatuwasamehe mpka akhera

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 2 หลายเดือนก่อน

    Hakudhulumu lolote munatakiwa muwe waelewa jamani riziki haiwaniwi Allah ndio mpangaji wayote jamani

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n หลายเดือนก่อน

    Alizani hatokufa jitu lilikuwa jahli halafu munalisifia atalipwa kw ujahli wake

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 20 วันที่ผ่านมา

    Nadhani na wewe Faina ulijifunza kutoka kwake! Endeleza na uvae viatu vyake!

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 6 หลายเดือนก่อน

    Dhalim hawi mchamungu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwizi alale asiamke tena shetani huyo

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv ปีที่แล้ว

    Na wewe msaidizi wake jitayarishe na malipo hiyo siku ya mwisho mumedhulumu na kufanya wizi mkubwa hamukuomba radhi kwa Wazanzibar wote muliowadhulumu waongo wakubwa Mijizi mikubwa na kesho mwende mukae pamoja mudhulumu mpaka huko aliko na kaburi lake Allah amueke anapostahili na kila mwenyewe kufanya wizi na dhuluma ufisadi wawe pamoja naye

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 2 หลายเดือนก่อน

    Huenda Allah atawahurumia ...kwasababu jambo lolote msimamizi ni Allah peke yake huyo yye huy marehemu kafanya kwakua kaamrishwa na Allah subhanahu wataalah msojielewa nyie na mtaiyona hivi hivi mtakuja mkiondoka .....kazi kujenga mijini mwawatu tu hebu jengeni kwenuu unguja muje matembezi km waunguja wamepoaa wapo na nguzo ya Allah ndo tegemeo letu na nia nzuri tulonazo alhamdulilah tuna mpenda kila mmoja wetu

    • @DadialiDadi
      @DadialiDadi หลายเดือนก่อน

      Kabur lake liwe la pepon umeskiaa Kwan uko pepon kama unapanda Meli la maendeleoooooo jisahauuu tuuuuu😂😂😂😂