MWANANCHI ATOA ZAWADI YA SHAIRI KWA SURE BOY NA RAIS ENG. HERSI BAADA YA KUWAFUNGA CLUB AFRICAIN.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2022
  • Baada ya kukiwasha dhidi ya Club Africain, Wachezaji wetu wamepewa zawadi ya mashairi matamu kutoka kwa mwanayanga Mwenzetu aitwae Fumau Mshairi.
    .
    Fungua video hii kumsikia.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 162

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 ปีที่แล้ว +15

    MashaAllah unajuaa kaka❤🙏Alhmdhulillah tumshukru Allah kwa ushindi aliotujali🙏🙏

  • @ray33tz
    @ray33tz ปีที่แล้ว +33

    Jamaa anajua kweli kama umekubali like nyingi @yanga

  • @ashuramhando4933
    @ashuramhando4933 ปีที่แล้ว +9

    Saf kijana kazi nzuri 💚💛💚💛💚💛💚💛🌵🌵🌵🙏🙏🙏

  • @bakarimohammed9851
    @bakarimohammed9851 ปีที่แล้ว +10

    Aisee hongera yake nginyi Sana jamaa Yuko vizur 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @zuberikaisi6529
    @zuberikaisi6529 ปีที่แล้ว +6

    So good so talented 😍... Afanye shairi moja la dakika 2 au tatu la kusifia timu, alafu uwanja wote ukae kimya iwe kama wimbo wetu wa taifa then akimaliza tuanze mchezo, sijui kama Sheria zinaruhusu ila hata kama kwenye kupasha misuli tu🤲. Wachezaji na mashabiki wasimame kimya kumsikiliza. Katika mashairi awataje wachezi na walaoanza siku hiyo hata japo kwa uchache ili wapate heshima yao. Mtatisha sana mkifanikisha wazo hili watu wa media. Ushairi ni bonge moja ya nzugo ya nchi yetu 🟢🟡🙏

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว +18

    My team Young African

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +11

    Alwatan ktk ubora wako 💚💛💛⚽️⚽️🇹🇿🔑

  • @nanah0534
    @nanah0534 ปีที่แล้ว +10

    Mashairi mazur hongera fumau💚🔰

  • @mujunimutarangwa8075
    @mujunimutarangwa8075 ปีที่แล้ว +14

    hongera mshairi ila mtangazaji 2nahitaji ep2 ya maisha ya wachezaji wa yanga princess

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 ปีที่แล้ว +5

    Nice song kijana💛💚💛💚

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 ปีที่แล้ว +6

    mmh kijana umetisha sana hongera shaili la8 noma sana

  • @halimamnavi3208
    @halimamnavi3208 ปีที่แล้ว +6

    Hongera mwanangu unajua

  • @harunayman
    @harunayman ปีที่แล้ว +5

    Uko vizuri mashaallah.. ila umemruka farid hapo kwenye movement ya goli

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +3

    Umetisha kijana big up

  • @kanidickson7612
    @kanidickson7612 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Aseeeh me furahiiiii🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah yanga tunawatu yanga rahaaaa jamani jamani

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations BROTHER fumau💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚

  • @hosianawilliamson7396
    @hosianawilliamson7396 ปีที่แล้ว +4

    upo vizur sana kijana

  • @josephntungiye6232
    @josephntungiye6232 ปีที่แล้ว +7

    Hilo shaili latano nimelikubali sana

  • @issahkibona5886
    @issahkibona5886 ปีที่แล้ว +5

    Mimi yangaaaaaà!!! Hebu tuwekewe shauri full tulichote

  • @lusatomichael7973
    @lusatomichael7973 ปีที่แล้ว +5

    Forever we young Africans

  • @gemandorobo1536
    @gemandorobo1536 ปีที่แล้ว +1

    Mimi yangaaaaaaaaa💪❤️upo vizuri brooo

  • @lastonyanga1283
    @lastonyanga1283 ปีที่แล้ว +4

    Salute kijana

  • @gidionmbiti5252
    @gidionmbiti5252 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mshairi

  • @brightsimumba3736
    @brightsimumba3736 ปีที่แล้ว +3

    Gori zuri kabisa

  • @bennieathuman9917
    @bennieathuman9917 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah tishaaaa sanaaaa

  • @fatumaaybu8648
    @fatumaaybu8648 ปีที่แล้ว +8

    Nimefrai sana mi yangaaaa 🤣🤣🤣

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Alfarash

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +4

    Yangani tamu kuliko asali

  • @sumahilibitomwa7649
    @sumahilibitomwa7649 ปีที่แล้ว +2

    Big up San kijan

  • @kelvinpeter8639
    @kelvinpeter8639 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja san

  • @alphonceromani2337
    @alphonceromani2337 ปีที่แล้ว +3

    Nomaa

  • @samweljames
    @samweljames ปีที่แล้ว +4

    Mimi yangaaa 💚💛

  • @asyashariffu7717
    @asyashariffu7717 ปีที่แล้ว +3

    Weldone unakipaji San Cha kutung nakuhani pia mashairi...nakuongea pia umebarikiw

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 ปีที่แล้ว +4

    Nimeikubali mnooooo

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 ปีที่แล้ว +2

    Yanga raha

  • @emmanuelnyandindi6430
    @emmanuelnyandindi6430 ปีที่แล้ว

    mshairi umetisha kinoma noma!!!

  • @dulamasanga6968
    @dulamasanga6968 ปีที่แล้ว

    umetisha kk

  • @alikhamis3762
    @alikhamis3762 ปีที่แล้ว +2

    Kijana bigup

  • @mussamasudi7218
    @mussamasudi7218 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 ปีที่แล้ว

    Mshairi uko njema sana

  • @fredymwakaje2636
    @fredymwakaje2636 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah ww mbadi
    Yanga Njeeeh Cheeeh

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 ปีที่แล้ว +6

    Sure Boy ni noumaaa

  • @amanimusa5744
    @amanimusa5744 ปีที่แล้ว +4

    Waarabu walikuwa awaelewi kabisaa

  • @mkalifanny4555
    @mkalifanny4555 ปีที่แล้ว +4

    Yanga kuna utamu sana

  • @User92.invisible
    @User92.invisible ปีที่แล้ว +2

    Ebhnaaa eeeeh

  • @andromedagalaxy8627
    @andromedagalaxy8627 ปีที่แล้ว +30

    Kijana umetisha. Wa kwanza kutizama shahiri hapa. 💚💛

    • @ains1122
      @ains1122 ปีที่แล้ว +3

      💚💛😅💛💚💛💚💛

    • @isimailshauri4989
      @isimailshauri4989 ปีที่แล้ว +1

      Hongera kijana

    • @joharramadhan7037
      @joharramadhan7037 ปีที่แล้ว +2

      Daa mi nimeshashindwa hata cha kusema mana daa, bado sijaamini jamani mana ninafuraha ya kupitiliza

    • @joharramadhan7037
      @joharramadhan7037 ปีที่แล้ว +1

      Naomba namba ya hiyo kijana nimtumie hata chochote kitu kiukweli kipaji anacho

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 ปีที่แล้ว

      @@joharramadhan7037 naam

  • @mg.47tv28
    @mg.47tv28 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa fundi sanaaaaaaaaaaa💚💚💚💚💚💚

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah, Mpaka zimwagike.....

  • @chemstry409
    @chemstry409 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuuhhh....dogo noma, wananchi hatuna jambo dogo....

  • @omarmnungu5364
    @omarmnungu5364 ปีที่แล้ว +3

    Kijana unatishaaaaaa

  • @olivabata287
    @olivabata287 ปีที่แล้ว

    Yaaaangaaa juuu Mungu ibariki Yanga. Best unakipaji hujakosea

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 ปีที่แล้ว

    Mngu akulinde unajua sanaaaa yanga daima mbele nyuma mwikoo💚💛💚💛🙏🙏

  • @ZAITUNIHAMADI-qn8qt
    @ZAITUNIHAMADI-qn8qt 9 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @malick_jrzramadhan7298
    @malick_jrzramadhan7298 ปีที่แล้ว +2

    Tamu san hiiiii

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 ปีที่แล้ว +1

    Vizur sana, fanyeni ku record hayo madhairi kama official video au audio tupate

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +3

    💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚

  • @nurukapalata8896
    @nurukapalata8896 ปีที่แล้ว

    yanga tamu

  • @hoxenijuma9198
    @hoxenijuma9198 ปีที่แล้ว

    Yukovizur mungu ampe wepes

  • @chikomaster1792
    @chikomaster1792 ปีที่แล้ว

    Ahsante Dana mdogo wamg umenilosha

  • @vincentonore7877
    @vincentonore7877 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana jua sana

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @selemanmdabwa7920
    @selemanmdabwa7920 ปีที่แล้ว

    Safi safi

  • @severiusmeneja4643
    @severiusmeneja4643 ปีที่แล้ว

    Waooooooooo 😍😍😍 mung akutee ujasiri ,

  • @user-rm3rn2vx7v
    @user-rm3rn2vx7v ปีที่แล้ว

    Safii

  • @munawwarbashir2680
    @munawwarbashir2680 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 honger

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 ปีที่แล้ว +1

    Yangaa kuna vpaji

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 ปีที่แล้ว +1

    Ila Pumzi Ndogo Kijana.... Ongeza Pumzi...Utafika Mbali

  • @kennethcuthbert6417
    @kennethcuthbert6417 ปีที่แล้ว

    Xfii xnaaa

  • @ernestthomas9689
    @ernestthomas9689 ปีที่แล้ว +1

    mwamba yuko vema ,,, asante kwa burudani

  • @mwanaidathuman78
    @mwanaidathuman78 ปีที่แล้ว

    Hongera brother

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +3

    💚💛💛💛✍️

  • @massagamrao4729
    @massagamrao4729 ปีที่แล้ว

    I love yangaaa mwaaaaah mwaaaaah mwaaaaah mwaaaaah

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m ปีที่แล้ว +2

    Tuonyosheni ile mipasi tuzidi kufurahi.

  • @rosewaridi6133
    @rosewaridi6133 ปีที่แล้ว

    Nakupenda yanga

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaweza sana

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kijana achukuliwe na jeshi la uokoaji akasaidiane na majaliwa

  • @dulamasanga6968
    @dulamasanga6968 ปีที่แล้ว

    hongengera

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano666 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations 🎉👏👏👏

  • @user-xf7gj4kd3k
    @user-xf7gj4kd3k 10 หลายเดือนก่อน

    Ukopoa sana mwamba mm nisimba nakuerewa

  • @geofreybandawe1476
    @geofreybandawe1476 ปีที่แล้ว

    Nakubal fumau kutoka kibamba secondary

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +1

    Kama upo karibu na mangi agiza vinywaji

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว

    Yanga rahaaaaa saana

  • @mwajaburamadhani9583
    @mwajaburamadhani9583 ปีที่แล้ว

    Saf sana

  • @omarihamadumetishasanalava4725
    @omarihamadumetishasanalava4725 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @jumaomar2436
    @jumaomar2436 ปีที่แล้ว

    Yanga muwepo bila kupzika ushindi lazima kushuka ndege tu wanatoa zawadi ya ushindi

  • @donatilababu442
    @donatilababu442 ปีที่แล้ว

    Bila unafiki yanga Kuna vipaji jamani!!💚💚💚💚

  • @Nazareth8119
    @Nazareth8119 ปีที่แล้ว

    Unajua mashairi kaka

  • @jeftabayalimo1956
    @jeftabayalimo1956 ปีที่แล้ว

    Yanga wasilizike wakaze Buti

  • @mamuwadomu8448
    @mamuwadomu8448 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba anajua mpaka mwili unanisisimka

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 ปีที่แล้ว +2

    Unatosha dogo kwa mashairi

  • @luqman4030
    @luqman4030 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @yasmadam821
    @yasmadam821 ปีที่แล้ว

    Inapendeza sana

  • @pascalmagaba7255
    @pascalmagaba7255 ปีที่แล้ว +1

    lkn shaili kakosea alitakiwa aseme faridi na c aucho alietoa pas kwa kaju

  • @shamimujamaly8197
    @shamimujamaly8197 ปีที่แล้ว

    Nyie nyie💚💚💛💛💛

  • @husseinsuffi7236
    @husseinsuffi7236 ปีที่แล้ว

    Mambo

  • @christomdickson9246
    @christomdickson9246 ปีที่แล้ว +2

    Mm ni yangaaaaaaaaaaaa

  • @leonardjuma6777
    @leonardjuma6777 ปีที่แล้ว +4

    Wa kwanza mimi

  • @radhiaabbas1040
    @radhiaabbas1040 ปีที่แล้ว +1

    💚💛💚💛🙏🥰🇹🇿

  • @kullatainjr7919
    @kullatainjr7919 ปีที่แล้ว

    Unajua kk