Mungu akuongeze dada yetu mrundi unafanya hivyo coz huna kazi na unataka familia yako iishi vizur huko Burundi inshallah mungu atakufanyia wepesi katika maisha yako
Wao wanapata kura sisi tunapata kondi za majengo wapeni vitambulisho na wao wawe wazanzibar wakaazi sheha umechanganyikiwa mwanao wa miaka10 kapewa utamu mumerizika na uzanzibar ukaazi tuleni raha sote kwa pamoja karibuni ndungu zetu wa damu tunahitaji kura tu sisi
ccm bana priority yao ya kwnz ni kukaa madarakan milele so wanawekeza hela nyongi na nguvu nyingi kw hilo. ila hayo mengine km uhalifu. maendeleo sio mmb msingi kwao ndio maan ufuatiliaji ni zero. NASHKURU UWEPO WA KTV ndio tunawez lujua hizi taarifa man taarifa hizi hata hio TVZ au ZBC si rahis kuzipata.
Tobaaaaaaaa tusitiri na vizazi vyetu daaah Mheshimiwa Ayoub umeondoka mkoa wako huku unachezewa kindumbwendumbe wale watu wamerejea tena huku mambo tirigi vyogo daah zanzibar nnayo ijua mie si hii tena 😭😭😭🙏🙏 Mungu tusaidie hakika tunakutegemea wewe
Jamani mbona nyumba hizo zipo nyingi sana za wanaojiuza kama hamuamini ingieni mitaani muulize wanaoishi katika mitaa mingi sana huzikosi na wanaowapangisha ni wenyegi wa zanzibar sio watu wambali ukiuliza tunahati kamili kutoka serekalini hivi tunafanyaje msiba mkubwa Allah atustiri
Hizo ni ajenda maalumu za kuutokomeza uislamu Zanzibar hivi Sasa ramadhani watu kutoka bara wanatembea uchi wanakula hadharani imekuwa syo Zanzibar ya zamani syo Burundi tu kutoka bara pia mikoa mingi wanakuja kuuza mwili Zanzibar
HAHAHAHAHA JAMANI ZANZIBAR IMEKUA KITOVU CHA KUJIUZA MWILI ---YAANI UKIPITA MAENEO YA PALE MAISARA CCM BEI YA MWANAMKE YAANI KUUZA MWILI NI SAWA NA DHAHABU KWA SONARA...✍
@@dahiyakhamis6257 tafuteni jawabu. msione anaye jiuza muone anaye nunua pia. Hili silo tatizo la Zanzibar pekee bali pia dunia nzima.itafutwe jawabu bora.
Jamani ndugu zetu wa uhamiaji mko wapi? Basi hata hao wasio raia (warundi) wanaachwa kuishi na kueneza uzinzi, maradhi na kutuharibia jamii na kizazi cha kesho?
hata bongo niwengi mitaani na hasa kwenye maskani za chama fulani hizo ndio kazi zao na wanapewa vitambulisho vyote hata vya kura hata aje leo akishajitambulisha basi huwezi kupanda muhogo unategemea kuvuna mpunga sasa msilalamike viongozi
Mtu anakiri kazi yake ni kutoka usiku km foxes halafu still mnamsubiria visa yake imalize ndio aondoke? Inamaana mna na visa za kazi ya kujiuza siku hzi?
Mungu akuongeze dada yetu mrundi unafanya hivyo coz huna kazi na unataka familia yako iishi vizur huko Burundi inshallah mungu atakufanyia wepesi katika maisha yako
Subhana Allah. Allah tunusuru na hali inayoendea zanzibari
Mungu tustiri na Zanzibar yetu kiukweli Zanzibar imebadilika sana
" Zanzibar ni njema atakae aje". Sasa wanakuja hao kila biashara sasa ipo.
Wao wanapata kura sisi tunapata kondi za majengo wapeni vitambulisho na wao wawe wazanzibar wakaazi sheha umechanganyikiwa mwanao wa miaka10 kapewa utamu mumerizika na uzanzibar ukaazi tuleni raha sote kwa pamoja karibuni ndungu zetu wa damu tunahitaji kura tu sisi
@jaan Jaan big up
Sawa sawa wao kura na sisi kodi ya nyumba
Naelewa unaongea haya. Kwa uchungu
Jaan Jaan Safi sanaaa wote ni binadamu 🤣🤣🤣🎧🚴
ccm bana priority yao ya kwnz ni kukaa madarakan milele so wanawekeza hela nyongi na nguvu nyingi kw hilo. ila hayo mengine km uhalifu. maendeleo sio mmb msingi kwao ndio maan ufuatiliaji ni zero. NASHKURU UWEPO WA KTV ndio tunawez lujua hizi taarifa man taarifa hizi hata hio TVZ au ZBC si rahis kuzipata.
Tobaaaaaaaa tusitiri na vizazi vyetu daaah Mheshimiwa Ayoub umeondoka mkoa wako huku unachezewa kindumbwendumbe wale watu wamerejea tena huku mambo tirigi vyogo daah zanzibar nnayo ijua mie si hii tena 😭😭😭🙏🙏 Mungu tusaidie hakika tunakutegemea wewe
Wallahi zanzibar imeharibika wanachukuwa mpaka waume za watu hawa ndio hatari na mimaradhi ilojaa
Wanaume za watu ndo wanaongoza Kwa kununua changudoa
Faida za mungano hizo wache watumalize ccm mmefanikiwa
He! Mmeungana na burundi lini!?
Si mmekubali kuwa wazanzibar wakaazi. Sasa mtaona moto. Serekali ya kimajunun
Mbona huko ccm wamejaa nje wana kimbiza magar nikero sana
Jamani mbona nyumba hizo zipo nyingi sana za wanaojiuza kama hamuamini ingieni mitaani muulize wanaoishi katika mitaa mingi sana huzikosi na wanaowapangisha ni wenyegi wa zanzibar sio watu wambali ukiuliza tunahati kamili kutoka serekalini hivi tunafanyaje msiba mkubwa Allah atustiri
Kuafukuza hao ni kupunguza kura kwa chama tawala
Uko zenji ayo yapo tele mbona ah sijaona ajabu ..na wanaowakodisha si wazanzibari wenyewe kisha tunalalamika nini uwiih zanzibar njema ndio hio endeleeni tu kukodisha nyumba zenu kuuinua uzinzi..mkikataa nyie na wageni hawatapata sehemu lkn mnawakaribisha yakiwashinda mnawaitia tv... hao 2 tu wkt km hao zenji nzima wapo tuwe pole tu.
Subhanallah
Toeni pasport ya Zanzibar basi msituleee ufyoko wenu apa
wameziondoa maan wakoloni wetu wa bara wamesisitiza waziondoe
@@alizahranmohd4095 kweli kabisa
Ufyoko unaujuwa ww mpumbavu we
@@dahiyakhamis6257 mh
Hizo ni ajenda maalumu za kuutokomeza uislamu Zanzibar hivi Sasa ramadhani watu kutoka bara wanatembea uchi wanakula hadharani imekuwa syo Zanzibar ya zamani syo Burundi tu kutoka bara pia mikoa mingi wanakuja kuuza mwili Zanzibar
HAHAHAHAHA JAMANI ZANZIBAR IMEKUA KITOVU CHA KUJIUZA MWILI ---YAANI UKIPITA MAENEO YA PALE MAISARA CCM BEI YA MWANAMKE YAANI KUUZA MWILI NI SAWA NA DHAHABU KWA SONARA...✍
😰😰😰 wa Burundi mna tuaibisha warundi wallahi 💔💔💔
MSI watulum mamba si rahisi binadamu wana dhulumika duniani kote,ata hawo wanao fanya hayo ni wanyonge pia.
Kwahio kila myonge ajiuze au vp
@@dahiyakhamis6257 tafuteni jawabu. msione anaye jiuza muone anaye nunua pia. Hili silo tatizo la Zanzibar pekee bali pia dunia nzima.itafutwe jawabu bora.
Ulipo ongea hivyo ulikuwa namaana gani
Jamani ndugu zetu wa uhamiaji mko wapi? Basi hata hao wasio raia (warundi) wanaachwa kuishi na kueneza uzinzi, maradhi na kutuharibia jamii na kizazi cha kesho?
heee,sasa kaz wanayofany inajuulikana kwann wasifukuzwe
Waondoshe sheha
Asalama aleykum warhamatu Allah wabarakatu . Waondoshwe maradhii . Ujinga mkimkubalia kuishi.
zanzibar ni njema atakae na aje
walikuka kujiandikisha hao ili waje kumpigia masauni kura aaa
Balah zanzibar ndie kuna watombaji wazuri?
Astakhafirullah subhanallah
hata bongo niwengi mitaani na hasa kwenye maskani za chama fulani hizo ndio kazi zao na wanapewa vitambulisho vyote hata vya kura hata aje leo akishajitambulisha basi huwezi kupanda muhogo unategemea kuvuna mpunga sasa msilalamike viongozi
Na badooo
Nchi inatia uchungu kama nini hiii watu wana ingia tuu.
We mpumbavu zanzibar siyo nchi au unajifanya ujui.zanzibar mkoa miongoni mwa mikoa ya tz
Zanzibar ni njema atakae na aje hawa ndo wanaoleta ukimwi majumbani mwetu washenz kabisa
Wahamisheni wa urundi wabaya
Acha ww usiseme hivyo usiwe mkabila mim nimeowa mrundi na ni mwema tu so chunga mdomo wako kabla hujaongea........burundi na Tanzania ni kitu kimoja
Wasituharibie nchi
Mwambie atuoneshe hiyo visa hao wanachafua Zanzibar yetu warudishwe kwao
\dr sheni tuletee machangudoa waje watuuzie uchi ili tuzidi kuangamia! Maana kwako DR SHENI ni haramu kwenda mbele!! CCM OYEEE
hamjaona boda boda za usiku na wateja wao
Astaghafiru Allah watu wanatoka kwao wanakuja znz kujiuza ama kweli znz ni njema
Mtu anakiri kazi yake ni kutoka usiku km foxes halafu still mnamsubiria visa yake imalize ndio aondoke? Inamaana mna na visa za kazi ya kujiuza siku hzi?
Warudishwe makwao watuwanini jawo
Viongozi wakishakua siwaadilifu hayo hua ndo matunda yake
WARUDI makwao looh
Hv kikwajun kuna nn jaman
Ghalika litawakumba hamponi
KTV njooni na huku kusini, wageni km ng'ombe waliokata zizi, kuanzia kizimkazi mpaka michamvi, hatar tupu,
Mtafute Mkuu wa mkoa Ayoub
@@aliy3303 hasikiki, km alivyokuwa akisikika town,
Wapo wengi cn tena cn yote yanatokana na ccm hakuna jambo jengine ccm ikitoka madarakani2 hakuna mambo km hayo ccm oyeeeeeee
Subhanallah
Wasituharibie nchi