ZANZIBAR’ YAJAYO, YANAFURAHISHA NYUMBA MPYA ZITAKAZO JENGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 100

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 3 ปีที่แล้ว +15

    Hatuhitaji nyumba wananchi wa nahitaji bidhaa zishuke bei. Saruji 25. Gypsam powder 30 hichi ndio nn. Uchumi wa blue au..

  • @khamisjumazume8477
    @khamisjumazume8477 3 ปีที่แล้ว +8

    Waziii,pemba hakujengwi au pemba sio zanzibar

  • @kheirdulla9046
    @kheirdulla9046 3 ปีที่แล้ว +4

    Sijaskia Pemba hapa. Ila jamani mi sijaona kitu zaid ya maishà kuzidi kuwa magumu bidhaa zimepanda bei yaani maisha yamekua juu sana

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 ปีที่แล้ว +5

    Barabara ni muhim sana na bandari Pemba

  • @issa7087
    @issa7087 3 ปีที่แล้ว +5

    Hatun shida n nyumb sis tunvyotk vit vipunguwe bei man kw mfumo huoo tutakuw hatun ata iyoo pesa y kukodi iyo nyumb

  • @khalidkhaan5688
    @khalidkhaan5688 3 ปีที่แล้ว +9

    Tushushieni hizi bidhaa kwanza twaumia huku cc twataka jenga zetu japo kibanda cha chumba kimoja kwanza tujihifadhi.

  • @Aakhar-z3c
    @Aakhar-z3c 3 ปีที่แล้ว +9

    Bei nafuu utaikuta milioni 80
    poleni kwa uongo endelevu.

  • @vuaimuhidin5250
    @vuaimuhidin5250 3 ปีที่แล้ว

    Yajayo yanafurahishwa wazanzibar tuwe pamoja kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo allah ibariki Zanzibar, allah wabariki viongozi wazanzibar na tanzanzania kwa ujumla

  • @nnadir7799
    @nnadir7799 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwinyi hana lolote maneno mengi tu "hakuna mpikaduri wala mangapwani kujengwa bandari "wameshindwa kulitengeneza betlajab linazidi kuporomoka

  • @khamisjumazume8477
    @khamisjumazume8477 3 ปีที่แล้ว +3

    Rais mwinyi aliahid cho2 atacho kifanya ungaja na pemba atakifanya Mpendwa wetu doctor mwinyi tunakupendw sana na pia tunakukumbusha usisasahau bos. Wetu Allwh akubark na atuzidishie maelewano na INshaallwh ainawirishe nchi yetu ya zanzibar unguja na pemb amen yaarab

  • @allykhamis6968
    @allykhamis6968 3 ปีที่แล้ว

    Ni wazo zuri but wabalance basi wakifanya unguja waende na kwawalipakodi wengine pemba na kwenye wanaitaji

  • @fatmajuma6905
    @fatmajuma6905 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @jumasaid2792
    @jumasaid2792 3 ปีที่แล้ว +8

    Sasa nyumba za kazi gani kama hakuna ajira na watu hawana pesa?
    Hata walio na ajira za SMZ mishahara ni mkia wa mbuziii😢😢😢😢😢

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 3 ปีที่แล้ว

      umezungumzia jambo la msingi sana ajira hakuna mpk vitendo vya ukabaji na wizi vimeongezeka akanunue nani nyumba hizo zaid ya matajiri wanaojineemesha hii serikali kweli ni ya wanyonge au matajiri watupe ajira bhana vijana tunateseka maisha magumu.

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 3 ปีที่แล้ว +6

    Kizazi kinapotoshwa. Eti MAPINDUZI matukufu. Mmeuwa watu . Bora nendeni mkomuombee NYERERE huko kaburini anavokula azabu. Sheenzi nyie

  • @bushirigharr9435
    @bushirigharr9435 3 ปีที่แล้ว +8

    Hamna mpango wowote nyie msitupotezee muda

  • @samosaommy6657
    @samosaommy6657 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Pemba haimo mmmmh

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +2

    Na ndio maana sifatili sana taarifa za hii channel maana hazina hata mvuto ni kichefu chefu tu na hata viongozi wa ZANZIBAR ni uduanzii ZANZIBAR nchii yangu lakn nimekua sina imani hata kidogo na viongozii

    • @kreamagdfsa1697
      @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว

      Wananchi wanateseka kwa njaa wao ndio kwanza wanawaza kujenga nyumba wazanzibar walio wengi wanakula mlo 1 tu kwa siku asubuh hakuna chai hupika mchana 1 kwa 1 usiku ndio nitolee lakn kwenye hutuba zao hawazungumzii kushuka kwa bei za vyakula vile wanaona wao hawana dhiki wanafikiri watu wote wapo hivyo kweli aloshiba hamjui mwenye njaa

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 3 ปีที่แล้ว +1

    Pemba naona hakutajwi au sio Zanzibar

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 3 ปีที่แล้ว +4

    Tushachoka na propaganda humjui alosoma wala asosoma wote wapo barazan huyo raisi tokea aingie madarakan anaranda misikitin akihubiri dini kujisafisha kila siku mpango mkakati ila hatuon kinachofanyika

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 3 ปีที่แล้ว

      hatar sana kaka acha tu ajira imekua kilio chetu kisichokua na thamani

  • @nak3477
    @nak3477 3 ปีที่แล้ว

    Imekosa kipaumbele hii nchi...punguzia raia vifaa vya ujenzi...puuz sana hii serekal...na viongoz hawana vision

  • @munajomar3218
    @munajomar3218 3 ปีที่แล้ว +2

    Mie nataka moja

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa upande wa Zanzibar au unguja kumbukai kwa Hani City pembaa mume jenga wap

  • @abdulnassir7836
    @abdulnassir7836 3 ปีที่แล้ว +1

    Pemba mbona hamutaji au sio Zanzibar au hakuna watu wa kujengewa nyumba..

  • @yassirahmed3838
    @yassirahmed3838 3 ปีที่แล้ว +1

    yajayo yanafurahisha kweli mana iyo hela ilivokua ngumu bhna aaaaahhhh mna Rais anazuia mwizi kweli tunashkuru ila ttzo na hela haipo yaani tunaumia bhma

  • @hamaddady4862
    @hamaddady4862 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwaiyo Pemba cio zanzibar

  • @aliyaljahdary3123
    @aliyaljahdary3123 3 ปีที่แล้ว +2

    Rais wa kwanza wa Zanzibar hakuwa mfano wenu
    Bali alihakikisha kuwa akifanyacho unguja pia napemba atafanya
    Lakini nyinyi niwazi kuwa mmekuwa wabaguzi

    • @mohammedabdulsamad2428
      @mohammedabdulsamad2428 3 ปีที่แล้ว

      Mipemba inashida kweli kumaamazao wamejazana unguja kenge hawa wasionashukurani

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 3 ปีที่แล้ว

      @@mohammedabdulsamad2428 ninacho kuomba Andika ujumbe wa kuwaomba radhi Waislam wote wenye asili ya Pemba la sivyo si hasha kwa matusi uliyoyatoa ukawa kwenye khasara kubwa akhera

  • @jumaothman2395
    @jumaothman2395 3 ปีที่แล้ว

    Au kule matajiri sana

  • @eenpaard3915
    @eenpaard3915 3 ปีที่แล้ว +1

    Vya muhimu havizingatiwi

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaykum mashallah allah azidi kuwatia nguvu

  • @chicagousa2695
    @chicagousa2695 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna jipyaa Zanzibar😂😂😂😂😂

  • @abulfadhwil3733
    @abulfadhwil3733 3 ปีที่แล้ว

    Ni mpango mzuri utakaoleta maendeleo ya Rasilimali watu na fedha kwa maendeleo ya nchi serikali ijitahidi sana katika huu mradi umalizike haraka ili iweze kuwauzia watu wa ndani na nje nchi kama Uganda,kenya na malawi wanahitaji makazi hapa zanzibar itapanua sana maendeleo

  • @aliyaljahdary3123
    @aliyaljahdary3123 3 ปีที่แล้ว

    Wallah huu niubaguzi mkubwa sanaaa
    Na allah atawalipa

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 3 ปีที่แล้ว

    Naona pemba haipooooo au siooonao

  • @khamisjumazume8477
    @khamisjumazume8477 3 ปีที่แล้ว +4

    Doctor Mwinyi awamu iliopita zilijengwa huko unguja kidonge chekundu sasa ni zamu ya pemba ,njoni pembaaaaaa hahaha mmekusahauuuu ccm oyeee.

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbna huku kwtu pemba mnakusahau Sana

  • @hamudseif
    @hamudseif 3 ปีที่แล้ว

    Zitakozojengwa...ok

  • @bakarmakam3105
    @bakarmakam3105 3 ปีที่แล้ว

    waziri samahani Zanzibar hakuna vijiji wote mji ila munapotosha watu

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 ปีที่แล้ว +3

    Pemba jee?

    • @mohdmascatm6472
      @mohdmascatm6472 3 ปีที่แล้ว

      Wabaguzi wanaona Pemba kama hakuishi watu lkn yanamwisho

  • @vuaimuhidin5250
    @vuaimuhidin5250 3 ปีที่แล้ว

    Hiii ndio Zanzibar tunayoitaka muungu awape afya ya kutosha kupambana na maendeleo

  • @allykhamis3378
    @allykhamis3378 3 ปีที่แล้ว

    Jengeni hizo nyumba ili ndugu zenu wa damu wapate sehemu za kufikia na kuishii hapa Zanzibar

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 ปีที่แล้ว +1

    Otenitu kwaza azeni nahayo yanyumasiongeetu kilasiku mapya

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 3 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah yangu moja hapo,mwanza lini na. Mwamaliza lini?

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 3 ปีที่แล้ว

    Kule Pemba ni kisiwa cha wapi naona hakikutajwa Micheweni, mwambe, Pujini ndio sehem zenye maeneo mazuri kwa kujenga, Konde uko.

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว +1

      Pemba labda imo South Africa

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 3 ปีที่แล้ว

      Pemba itakua ipo Kenya

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman 3 ปีที่แล้ว

    Tengezeni miundo mbinu barabara kisha mushushe bei bidhaa tujenge wenyewe. Kisha makaazi yenyewe ni Unguja tu. Kwa hiyo punguzeni bei vifaa vya ujenzi tujenge wenyewe..

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukisikia upumbavu ndio huo, yaani unatawaza baadae ndio unakunya, haiwezekani bara bara mbovu njaa kali,halafu...

    • @Humble.....
      @Humble..... 3 ปีที่แล้ว

      100000000000% MANENO YKO... ALLAH AKUHIFADHI

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว

      @@Humble..... kwa sote inshaallah

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 3 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu wewe ,hizo nyumba umeambiwa ni sponsorship ,sasa huezi mpangia mfadhili ajenge barabara wakati yeye anaona nyumba ndio uwezo wake na ndio faida kwake

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 3 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu wewe ,hizo nyumba umeambiwa ni sponsorship ,sasa huezi mpangia mfadhili ajenge barabara wakati yeye anaona nyumba ndio uwezo wake na ndio faida kwake

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 3 ปีที่แล้ว +2

    Wapemba nusu na robo mumehama kwenu, hatujengi hadi mrudi kwenu

    • @yunussothman7422
      @yunussothman7422 3 ปีที่แล้ว

      Sisi tunatafuta pesa. Sio nyinyi munao subiri serekali iwajiri watu wa hapa unguja mumejazana nyie tu.

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 3 ปีที่แล้ว

      @@yunussothman7422 naam sahihi ss wapemba popote kambi tunatafuta pesa popote muhimu iwe halali tu

  • @baroutnassor6574
    @baroutnassor6574 3 ปีที่แล้ว +1

    Pemba mmekusahau au hawaishi binadamu kule mungu anawaona mchachotufanyia, sio haki Zanzibar ni zisiwa 2 unguja na pemba

  • @azizayussuf9324
    @azizayussuf9324 3 ปีที่แล้ว

    Poroja tu hmna liwalo...

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 3 ปีที่แล้ว

    Hamna jipya maneno mengi tu mpiga duri manga pwani vipi mbona kimya kaene mudanganye watu na muda wenu unakwenda na mwengine atakuja bwamkubwa alituambia ataifanya znz kama dubai sasa ndio hii?

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hakuna eneo la Pemba lililotajwa kwenye mpango huu au wao vibanda vinawatosha? Wacheni dharau nyie.

    • @hamadfaki2503
      @hamadfaki2503 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha,,,eti wapemba nyinyi mnapesa mnaimarisha miji ya watu ndo mana hawajengi kwenu wanajua mkiamua mtajenga

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

    Serikali hoi porojo jingi yeye sheni kila anaekaa huwafan ya wazanzibari kama misukule yao

  • @khamisame5349
    @khamisame5349 3 ปีที่แล้ว

    Lakin mjue wat halizao ngumu za kimaisha

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 3 ปีที่แล้ว

    Nyumba tutajenga wenyewe Nyie mnapoteza muda!!

  • @salehal-tewany4627
    @salehal-tewany4627 3 ปีที่แล้ว

    Naona miradi yote tz bara na zenji ila pemba sijui inakosa gani...

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

    Porojo to mungelijenga lile belt ajaib

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 ปีที่แล้ว +1

    Punguzeni makodi kwa wanyonge kwanza

  • @salehhemed148
    @salehhemed148 3 ปีที่แล้ว

    Naona huyu mkurugenzi kataja Unguja tu Pemba hamna

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 3 ปีที่แล้ว

    Mnachukua maeneo kujenga majumba makubwa hayasaidii maendeleo ya wananchi!!

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

    Mutafute Sehemu ambazo hazijajengwa sio mukawa bomolee wanyonge vibanda vyao

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 3 ปีที่แล้ว

    Punguzeni vitu bei tunaumia wananchi

  • @dhayondrama9907
    @dhayondrama9907 3 ปีที่แล้ว

    Bwabwaja tu hamna moja

  • @yussufmohd5281
    @yussufmohd5281 3 ปีที่แล้ว

    Sasa NUNGWI N MATEMWE NISHAMBA Jamani , Kwa nn Zisijengwe DONGE, KIBOJE , KIZIMBANI HKO TUMBATU

  • @jumaothman2395
    @jumaothman2395 3 ปีที่แล้ว

    Vp pemba mbona sja skoa kutaja

  • @sharifissa26
    @sharifissa26 2 ปีที่แล้ว

    Sijasikia likitajwa eneo hata moja kwa upande wa Pemba, kwa ninii?

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 3 ปีที่แล้ว

    Si umtaje jina tu.....mh rais Mwinyi. Sasa hiyo jemedari .......jembe inatoka wp mh waziri?

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 3 ปีที่แล้ว

    Hkuna bei nafuu bna

  • @sabahiaboud654
    @sabahiaboud654 3 ปีที่แล้ว

    Naona just unguja tuu vipi pemba sio zanzibar . ???

  • @aliyaljahdary3123
    @aliyaljahdary3123 3 ปีที่แล้ว

    Lakini alipangalo allah halipanguki

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

    TUONE BASI ,HARAKA MANA HUKU MJI WA DODOMA UMEMILIKIWA NHC

  • @harouniali270
    @harouniali270 3 ปีที่แล้ว

    Hapa kwetu ss tuna njaaa bc lkn pakukaaa tunapo et

  • @aliyaljahdary3123
    @aliyaljahdary3123 3 ปีที่แล้ว

    Niunguja tu ndio kinajengwa so ndiooo

  • @binsaid6945
    @binsaid6945 3 ปีที่แล้ว +1

    Na hzo nyumba ndo zitakuwa km zile za ZSSF milion100 bado ccm ndo ile ile km ya sheni tu

  • @salehal-tewany4627
    @salehal-tewany4627 3 ปีที่แล้ว

    Pemba???

  • @mwgaadam7261
    @mwgaadam7261 3 ปีที่แล้ว

    Ule mradi wa kwahani uliishia wapi walaji wakubwa nyie

  • @baroutnassor6574
    @baroutnassor6574 3 ปีที่แล้ว +3

    Pemba mmekusahau au hawaishi binadamu kule mungu anawaona mchachotufanyia, sio haki Zanzibar ni zisiwa 2 unguja na pemba

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 2 ปีที่แล้ว

      Sio kama amekusahau unajua kuna jambo lazima tuwekane sawa, hii miradi ya wawekezaji hua ni ngumu kumwambia muekezaji aende Pemba kwa sasa coz Unguja ndio kuna fursa za kibiashara na masoko zaid ya Pemba, na wawekezaji hua wanaangalia wapi atakapoekeza pesa yake itamlipa kwa haraka zaid..
      Pemba ili isogee mbele zaid ni lazima Serikali yenyewe ianze kuweka miundo mbinu na kuanza kujenga wao kwa pesa yao ili mazingira yawe rafiki kwanza kwa wawekezaji..
      Serikali wakiweza kujenga miundo mbinu mizuri nna uhakika wawekezaji wengi watakuja Pemba coz Pemba ni virgin island kwa uwekezaji una eneo kubwa la Ku design viwanda na miradi mikubwa mikubwa kwa sababu eneo lipo la kutosha ambalo halijaguswa...

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 3 ปีที่แล้ว

    Hkuna bei nafuu bna

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

    TUONE BASI ,HARAKA MANA HUKU MJI WA DODOMA UMEMILIKIWA NHC