IKULU: RAIS MWINYI APIGA SIMU MTAANI, KUSIKILIZA KERO, ATOA MAAGIZO, KUTEKELEZWA MARA MOJA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @saidyussuf152
    @saidyussuf152 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah, hongera sana Mh: Raisi Mwinyi kwa kujali kero za wananchi wako. Allah akujaalie Kila la kheri katika uongozi wako na maisha kwa ujumla

  • @hajijuma8661
    @hajijuma8661 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Dr. Mwinyi, Allah akuongoze kwenye uongezi wako

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabaraka Allah hongera DR mwinyi una fanya vizuri Sana kaka allah akupe afya njema inshallah

  • @kombohamad6651
    @kombohamad6651 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Muheshimiwa Rais kwa kuweza kusogeza sikio kwa wananchi ambao mara nyingi tunazo changamoto lakini tunashindwa kuziwasilisha kutokana na kukosa njia rahisi ya mawasiliano

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri sana hii ni nyayo za mwendazake hizi hongera rais hussein mwinyi

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali sana mkubwa we ni Jembe, Nyundo,Jambya, hiki kipindi umewaza kitu kizuri sana Ongera sana Rais Mwinyi

  • @zuwenaomar4201
    @zuwenaomar4201 ปีที่แล้ว

    Kero za mahakamani mawakili sisi wengine hatuna uwezo wa kuweka mawakili pesa nyingi raisi zanzibar imeozaaaa

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +2

    hii imekaa vizuri Kwa kweli binafsi nimeipenda sana

  • @rashadalharas4080
    @rashadalharas4080 ปีที่แล้ว +1

    Allah akubarik dr rais kipenzi

  • @khatibuhabibu2465
    @khatibuhabibu2465 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mkuu wa nchi

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Hayo ni mambo ya kupanga kama anataka kujuwa kero ya wananchi apite mitaani au atowe no yake siku maalum kwa wananchi watowe yao ya moyoni

  • @rukiyatajir8064
    @rukiyatajir8064 ปีที่แล้ว

    Hongera Rais kwa kuanzisha kipindi hicho, tukitumie vizuri.

  • @habibaramadhani15
    @habibaramadhani15 ปีที่แล้ว

    HONGERA. YA kUOIGiA SIMU RAIA KHERI SANA ALHAMNDULILAAH

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Hii nzuri sana maana Rais najua Kila kitu 😍😍😍

  • @yahyaomar1974
    @yahyaomar1974 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hii

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 ปีที่แล้ว

    Safi husen mwinyi Zanzibar oyee

  • @khahkhas230
    @khahkhas230 ปีที่แล้ว

    Dr Hussein nasie shida ya maji mwera mtufaani

  • @abassameir9939
    @abassameir9939 ปีที่แล้ว

    Mi5 tena Kwa daktari husein mwinyi

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว

    Da! Hii mzuri sn sisi watu wa balaa huku ha! Maraisi wetu tunawaona kwenye picha tu

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba mtuletee mwinyi jamani uku mumchukue Hadija kopa a.k.a.mama.mikopo na mwigulu

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 ปีที่แล้ว

    Nyinyi viongozi mnafanya nini yaani kila siku dhiki Zanzibar yazidi baada kupungua kueni UZALENDO wezi wanyongeni ndani ya serikali yenu mkiwa hamuwachukulii hatua wezi na wazembe nyinyi itakua ni kikundi sio serikali

  • @Beststar0944
    @Beststar0944 ปีที่แล้ว

    Huyuu ndiyoo laisi hata mm nimekuelewa piga kazi Hussein unajua sana kuishi na watuu

  • @faizally5349
    @faizally5349 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว +1

    Mnaongea sana mpaka simu inamuubguza sikioni

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 ปีที่แล้ว +4

    Usanii ni tuu huu umepangwa

  • @sahiljuma5745
    @sahiljuma5745 11 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba nacc hiyo namba jaman

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 ปีที่แล้ว

    Naaam,,mwinyi

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 ปีที่แล้ว +1

    Maigizo matupu, tunaambiwa yamefanyika Mapinduzi tupate kujitawala Lkn bora mngewaacha hao Warabu Zanzibar ingekua ipo mbali kweli, mana hakuna Mabadiliko yoyote Tangu mfanye hayo Mapinduzi zaidi ya Uhongo na Haadi zenu zisisoisha Mabarabara yote mabovu Zanzibar nzima

  • @jasminmaulid1329
    @jasminmaulid1329 ปีที่แล้ว

    Huyu raisi niraisi wawatu hongera raisi huseni mwinyi umechaguliwa nawatu nawewe watendee haki watu wako

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว

    Duh🚶🚶🚶

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 ปีที่แล้ว +1

    number yake na wengine tupigesumu

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania bara kwetu 😭😭😭😭😭

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 ปีที่แล้ว

    Africa ni shida kweli , viongozi wanajua wizi tuu

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 ปีที่แล้ว +1

    2025 awe wajamhuri huyu yule Mama mmmhhhh

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +1

    team magufuli uyu mzee
    hatali usipime

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 ปีที่แล้ว +1

      Sio team dikteta mwendazake magu huyo.
      Hausudishi kuua wala kupoteza kusikojulikana, uwe unatoa mifano hai sio kufananisha embe na kashata.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 ปีที่แล้ว

      @@gulionigulioni3234 wewe ni nyoko kweli wivu unakusumbua

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 ปีที่แล้ว

      @@rosetreffert4179 tuliza kisimi wewe shamkupe, ninachoongea kipo sawa 100%
      Huwezi kufananisha Mwinyi na dikteta Magu muuwaji ambae hasahauliki hadi kiyama.

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Kuna kero ya kuunganishiwa umeme ni shida tupu kupigwa kalenda kila siku

  • @shd12m55
    @shd12m55 ปีที่แล้ว

    Hata huku Dar mvua ili kunya Jana 🙄

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 ปีที่แล้ว

    CCM wajanja wanabadilisha ajenda za watu wasahau njaa inayo wasumbuwa nakujadili mitaro

  • @felipoaugustino1714
    @felipoaugustino1714 ปีที่แล้ว

    Ina maana huko Z"bar hakuna kiongozi mpk Rais awaulize mmoja baada ya mmoja na number zenu kazijuaje au number ya Rais kila mtu anayoo ? Jee watu wabaya wakimutrack Rais kutoka kwenje cmu yake ambayo Ina GPS ci watajuwa yuko wapi mm naona kiusalama ci vizuri

  • @fayzfadhil5921
    @fayzfadhil5921 ปีที่แล้ว +1

    CCm wasanii piga wewe akipokea niite mbwa nimekaa pale😃

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 ปีที่แล้ว

      Kweli wasanii tena wakubwa hii ni Kampeni inaanza hawana moja walifanyalo Zanzibar kila siku inazidi kudidimia mabarabara yote Mabovu ziki zinaongezeka Njaaa kali

    • @youdya
      @youdya ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว

    Hamna lenu kazi ni DHULMA NA UNAFIKI.

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว

    ila mwiny ana palala daaaa hkma nying sana ww baba

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Mh atupe no yake tumpe madudu ya watu wa umeme wanavyosumbua

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว

    Hata faina ni kero

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 ปีที่แล้ว

    Mwinyi akili nyingi sana.kama alivyokuwa anafanya polepole

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 ปีที่แล้ว

      Daa safi.sana ila mwambi mama saimi mie namwambia watu wengi wamesoma awana ajila wanakaanga mabisi inaumiza sana.ukiangalia pesa alizosomeshewa baba ameuza minazi na mashamba kaa inauma anaitwa mbwana Nassoro mbwana anaomba ajira amesoma mzumbe chuo

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 ปีที่แล้ว

      Akiwa amesomeshwa kwa pesa za minazi na mashamba kaa baba mpaka amepata marazi ya bipii kwa mwanae kuto pata kazi kaa jamani inauma kweli nii anaitwa mbwana Nassoro mbwana amesoma mzumbe

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 ปีที่แล้ว

      Anaitwa mbwana Nassoro mbwana anaomba kazi na ameshoma mzumbe kwa pesa za minazi na mashamba leo hii anauza bisi kaa mama samia ujumbe wako uwo

    • @kamlkaml4509
      @kamlkaml4509 ปีที่แล้ว

      Mama samia ujumbe wako kutoka kwa mbwana Nassoro mbwana baba ameuza mashamba ili mwanae asome ili apate kazi mpaka sasa ajapata

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 ปีที่แล้ว

      @@kamlkaml4509 mwambie alime tu kwani ukisoma ni lazima upate kazi serikalini? Acheni uboya nyie.

  • @sahiljuma5745
    @sahiljuma5745 11 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba nacc hiyo namba jaman