🅻🅸🆅🅴 SAKATA LA NGORONGORO, ASKOFU MWAMAKULA ATOA UJUMBE 'MZITO' KWA RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน +6

    Baba Askofu Mungu atukuzwe, ubarikiwe kwa historia ya kweli unayoitoa kwa uma wa WaTanganyika na haki zao za uasili wao kabla hata ya makoloni ya mreno,mwarabu, mjerumani na muingereza....!

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

      Ni sahihi kabisa,pamoja na kwamba serikali imeshaweka utaratibu na imeona ni sawa,uoande wa pili unaona kwa uzoefu wa huko nyuma sio sawa, hakuzuii mazungumzo kati ya vyama, serikali,na viongozi wa dini ili sote tufike mahali pazuri kusiwe na migogoro na maamuzi magumu ya serikali na tume kama 2019/2020

    • @StevenGandile-xg6ee
      @StevenGandile-xg6ee 3 หลายเดือนก่อน

      😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😮😅😮😅😮😮😅😮😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅😮😅00

  • @HenryShida
    @HenryShida 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi kuanzia ukoloni Hadi utawala tulipo Sasa,

  • @BraviusBenedicto
    @BraviusBenedicto 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa baba

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera askofu mwamakula unachosema nikweli

  • @protasmligo4032
    @protasmligo4032 3 หลายเดือนก่อน +4

    Askofu nimemkubali kwa historia

  • @NETIQIncorporation
    @NETIQIncorporation 3 หลายเดือนก่อน +3

    Askofu upo vizuri sana huo ndiyo ukweli

  • @jojujjokyussa4699
    @jojujjokyussa4699 3 หลายเดือนก่อน +2

    Longer Mwamakula,umetuelimisha sana sana sana sanaana.Wakuelewa tumekuelewa.

  • @makkosinandei5096
    @makkosinandei5096 3 หลายเดือนก่อน

    Baba Askofu, umenena, unafaa kumshauri Serikali juu ya maisha ya wafugaji Ngorongoro!

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ni pesa tuu, inayofanya wamasai wapishe waarabu na familia za viongozi wamilikishwe Ngorongoro.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umeongea point ubarikiwe sana.

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 3 หลายเดือนก่อน +5

    Good history indeed.

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Áskofu tatizo ni kwamba serekali imesha iza Ngorongoro Kwa waarabu Taquari peza zilishaishia matumbo mesmo ndio mana wanalazimisha hawataki kusikia kuelewa yeyote..

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama Wamasai wanaondolewa kwa minajili ya usalama,
    Je ni usalama gani wanaousema?
    Kama ni usalama, mbona Waarabu wanazidi kujenga mahoteli mengiii Ngorongoro???

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Askofu umenifungua macho

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wamasai wanalazimishwa kuondoka, ndio maana shule zao, zahanati, huduma za jamii zoooote zimesitishwa.
    Dhambii hii itawaua wooote wanaosababisha vilio vya jamii hii

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ngorongoro ni ardhi yenye madini ya kila aina ambayo MUNGU alitupa Watanganyika

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 3 หลายเดือนก่อน +2

    Askofu uko sawa kabisa, watu hawataki kufuata Taratibu zilizowekwa tangu enzi za TANU

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 3 หลายเดือนก่อน

    Sijasikia kiongozi wa kiislam hadi sasa

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 3 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ni kuingiza wanafamilia katika utawala ukidhani unawasaidia lkn ni kosa kubwa maana unaweza kuwa na nia nzuri kwao lkn wao wataangalia pesa tu, wanafamilia hawatakiwi kuwa sehemu ya màamuzi Ili kiongozi uwe huru kuamua ni lazima wanafamilia wawe pembeni.

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 3 หลายเดือนก่อน

    Niaibu😢.

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwndishi ni Moja ya kazi yako kwenda huko na kuleta taarifavsahihi ya kuondolewa huduma au la aa.. Fanya kazi acha ubabaishaji mr

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน

      Uko sawa, mwandishi huyu bila Shaka ni CHAWA!!!

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 3 หลายเดือนก่อน +4

    Askofu mtu wa maana sana,
    umeongea vitu nkuntu.
    Rais ni chura asiesikia, dalali wa Tanganyika.

  • @jomimagroup
    @jomimagroup 3 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @NgomelejiSindiyo-yt5ib
    @NgomelejiSindiyo-yt5ib 3 หลายเดือนก่อน

    Mh.SUMAYE NI MWIRAQ sio masai

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu anaitwa Doctor Sure aje ajifunze huku kaja na kikaratasi chake akijidai anajuwa history ya hawa masai wa ngorongoro na kudai kuwa hawa masai si watanzania.😂😂😂😂

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 3 หลายเดือนก่อน

    YULE SHEKH WANGU DOCTOR MGANGA SIKUIZI YUPOWAPI😅

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua MOTO unavyowaka gusa WAMASAI au ukitaka kujua BARAFU inavyoganda gusa WAMASAI .

  • @knight6757
    @knight6757 3 หลายเดือนก่อน +1

    " KLERU" enzi za ujamaa

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii maaskofu ni wengi ila waongeaji ni wachache

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 3 หลายเดือนก่อน

    Jambo muhimu watu na uwongozi utwambie kunafaida gani inapatikana nchi na Watuwake ?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +1

    UKIKUTA WAMASAI WAPO SEHEMU ZINGINE NI WAMEONDOKA KWA HIARI YAOOO .

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi ukienda kea huyp jipange!?😂😂😂

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamakila; Umeshindwa kuwatetea Wamasai. Uliamza vizuri; lakini ukaanza kutetea kitu tofauti na Wamasai. NCHI NI YA WAMASAI; Usipepese kauli. WATETEE WAMASAI BASI.

  • @BeatusNgereza
    @BeatusNgereza 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi muache aongee

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Hiki kizazi kilichopo madarkani hakuna mwenye historia hiyo Pana hili ndilo tatizo

  • @MsafiriAmosi-g6b
    @MsafiriAmosi-g6b 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna rais kama huyu ninayemchukia atoke hadharani aseme neno kuhusu utekaji nyara watu wanauwawa kama wanyama amekaa kimya ajue hayo mamlaka aliyonayo yametoka kwa wananchi kukaa kimya kwetu kusimpe kiburi kuwa hatunauelewa kiasi hicho

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kwa namna gani watu fulani hutenda au kutekeleza majukumu makubwa kama haya ya kufuta,vijiji, kata bila mama yetu kujulishwa? Si mpango kamili wa kumharibia huyu mama au???

  • @isayafransiscal9682
    @isayafransiscal9682 3 หลายเดือนก่อน

    wawa rete wawachanganye kwa waha yani kwmufano serikari inawakata makundi makundi

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 หลายเดือนก่อน

    Leo Wamasai,kesho wahazabe nk Gurudumu hili likiachwa litembee halitakaa lisimame na kusabisha hasara zaidi kuliko faida ya kuhamisha wananchi wenye asili Yao kwenye eneo lao labda watake wenyewe au yatokee maafa yaliyo nje ya uwezo wao kuyadhibiti.
    Uwepo wa wanyama ngorongo ro wakiishi pamoja na wamasai kwa kutegemeana na bila kuathiriana unaleta Raha zaidi na kuvuta zaidi watalii kuliko waarabu au wageni nje ya wamasai na hotel zao kuishi na kujenga ngorongoro. Kwa maoni yangu
    Wamasai wapewe haki ya kuishi maeneo Yao ya asili.
    Uwekezaji au maendeleo yoyote yasiyozingatia usalama, maendeleo, na uchumi wa wenyeji hauna maana.
    Maendeleo ni watu sio vitu.
    Zetu duuua

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009 3 หลายเดือนก่อน

      MWAMUZI MKUU NI MMOJA; AKOSEE ASIKOSEE; WAKUPOMGEZWA AU WAKULAUMIWA NI MTU MMOJA TU. MWAMAKULA; TETEA HAKI NA KWELI! ISITETEE UJANJA AU JEURI YA MTU AU KINDI.

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009 3 หลายเดือนก่อน

      MWAMAKULA! KUNA MTU UNAMTETEA SANA; MWANZO-MWISHO. POLE KWA HILO.

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 3 หลายเดือนก่อน

    Duh history nimwalim v2 hv. Hav fundshw

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna solusheni kwakutosikilizana

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 3 หลายเดือนก่อน

    huyu mchungaji anafaa kufundisha history siyo hizi za shuleni

  • @MaarufuHussein
    @MaarufuHussein 3 หลายเดือนก่อน

    Mnapotaja maovu ya mtu tukumbuke upande mwingine ana mazuri yake. Tajeni na mazuri yake kama kweli nyinyi ni waadilifu

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe tunaposhwa kufuata historia tilpotokea makubaliano yawepo I'll Amani itawale

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 3 หลายเดือนก่อน

    Awa wazee walitakiwa wawe na mshahara ili watupe elimu

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Wazungu na waarabu wamekuwa na dhamani kuliko wazawa !!!! Hii ni rushwa kubwa au ndyo hayo mahela yanayozungumzwa ya mama ?

  • @makalasamweli9570
    @makalasamweli9570 3 หลายเดือนก่อน

    Haya madini sijawaiy pata popote pale ubalikiwe

  • @franciscotemba6929
    @franciscotemba6929 3 หลายเดือนก่อน

    najua serikali inatamani ata kama mbuga waiamishe iende KIZIMKAZI

    • @franciscotemba6929
      @franciscotemba6929 3 หลายเดือนก่อน

      UNAFUTA VIJIJI ALAFU UNAWEKA HIFADHI YA MAGOROFA

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    AHAA KUMBE WACHAGGA WALITAKA WAWE NA NCHI YAOO .??NDO MAANAAA🤔🤔🤔

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 3 หลายเดือนก่อน

    Jina halisi siyo chifu songea mbano jina halisi ni Abdulrauf songea mbano.
    tafadhali mheshimiwa pastor tutajie majina kamili ya mashujaa hao.
    Uhuru wa tanganyika waislamu ndiyo watu wa kwanza kudai uhuru .
    viongozi wa dini nyingine walikuwa upande wa WAKOLONI.
    Mwalimu Nyerere alipokelewa na akina Abdulwahid Sykes na ndugu zake , Hamza mwapachu , Mzee idi tulio , Shekhe Hassan bin Amir, na wengineo ndiyo wa mwanzo katika TANU na baadae wakamkaribisha Mwalimu Nyerere.
    Historia ya tanganyika haijawekwa wazi.
    sasa wakati umefika wa Historia ya kweli kusomeshwa katika masomo ya shule.

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 3 หลายเดือนก่อน

      Hebu waislamu msiwe wajinga wa kuelewa ,maana siku zote utasikia waislamu ndio waliopigania uhuru wa nchi hii huu ni upumbavu na kujikweza na upotoshaji mkubwa mkumbuke kuwa wakati wa ukoloni nchi iliongozwa na machifu na machifu walikuwa kila maeneo kwa makabila mbalimbali ya tanzania walikuwepo machifu wakiunganisha koo na kabila Lao kupigania uhuru na ndo maana Kuna kina milambo,kina mangi meli, kina mangungo,kina mkwawa kina swange ndaba na machifu mbalimbali kwa mfano mkwawa yeye hakuwa na dini bali walikuwa na dini zao za asili lakini mwisho alitembelewa na mwarabu taperi mmoja aliye itwa abushiri kutoka tanga akamhada mkwawa ya kwamba akikubali kuwa mwislamu atamsaidia kushinda vita lakini mwisho wake mkwawa alijinyonga baada ya kuona wauji wamemkaribia kumwangamiza ikabidi ajiue Sasa mnaposema waislam ndo walimpokea nyerere na kumpa kipaumbele katika kupigania uhuru wa nchi kumbuka hakuwa nyerere pekee yake alikuwa na wakristo wengi tu na waislamu pia ma kumbuka wakristo ndiyo walikuwa wasomi na uhuru ulidaiwa kwa hoja siyo kwa Uganga na uchawi maana mchango mkubwa wawaislamu ulikuwa kumfanyia uchawi na mazindiko pale Kaole bagamoyo kama yeye mwenyewe alivyo kuwa akisema sikuzote pia ,kumbuka dini ya kiarabu imekuja na ukilitimba haikuja naelimu ya kuwaelimisha watu bali kule chuki na ubaguzi lakini wazungu alileta Elimu pamoja na unyonyaji lakini waliwasaidia watu hivyo waislamu acheni kupotosha watu lasivyo tutaona kama uislamu umejengwa kwenye propaganda na uongo na bila uongo uislamu hauwezi kusimama kwahiyo msingi wa uislamu ni uongo

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Mwndishi wewe uko upande upi !? Ulizabmaswali yenye tija kwa taifa Zima siyo kwa serikali iliyopo nayo ni ya kupitia tu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    INTELIJENSIA INAFANYA KAZI GANI

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 3 หลายเดือนก่อน

      Kuongeza ajira nchini

  • @PeterNakei
    @PeterNakei 3 หลายเดือนก่อน

    Kasoro hapo kwa Sumaye Askofu yule ni chotara Mwiraqw na Barbaik

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 3 หลายเดือนก่อน

    Nna wazo!
    Mbona husemi idadi ndogo ya wanyama wkt ule ila unazungumzia tu idadi ndogo ya watu,mifugo?
    Af waondoke ujaze mahoteli ambayo yatakuwa na wabantu wahudumu?
    Basi wawandoe wawapeleke wote zanzibar,ili uhifadhi unaosema wa dunia uendelee!

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio wakuliamuwa hili la unyanyasaji wa wamasai

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 3 หลายเดือนก่อน

    Uwongo tu eti hawana mamlaka! Kwani nani waliotoa tanmko, si ni watu wake? Kawaagiza nano kama sionyeye

  • @NgomelejiSindiyo-yt5ib
    @NgomelejiSindiyo-yt5ib 3 หลายเดือนก่อน

    Mh.SUMAYE NI MWIRAQ sio masai

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 3 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii maaskofu ni wengi ila waongeaji ni wachache.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio wakuliamuwa hili la unyanyasaji wa wamasai

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi ndio wakuliamuwa hili la unyanyasaji wa wamasai

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi ndio wakuliamuwa hili la unyanyasaji wa wamasai