Najiuliza na Sijui kama hakuna uchafuzi uliyofanyika katika uchaguzi huu! Wale mashetani wa kijani hawakuingiza mkono wa uharibufu hapo kwenye uchaguzi wa Chadema??!!
Umekosea kutamka utakabiziwa ofisi kwa amani.kwani kuna vita ndani ya chadema?na kama ipo hukutakiwa kutamka hadharani.chadema kwann tusiwape seminar za kuongea hawa viongozi wetu
Natamani iwe ivi lisu mwenyeki lema makamu mwenyekiti na heche katibu mkuu kwa siasa za sasaivi zinaitaji watu hawa👏👏
Heche ndo anafaa kua makam m/kiti
Hongera wakili msomi,mungu akusimamie katika uongozi wako naomba tume huru ya uchaguzi iwe kipaumbele cha kwanza
❤❤❤❤ well well safi kabisa umetisha saana
Hongereni sana Mungu aendelee kuwatunza na kuwaimarisha, nguvu moja kazi isonge pamoja okoeni chama kisonge mbele.
Ngojeni uchahuzi hata kiti kimomoja hampati
Hongera brothe unajina la shule yangu niliyosoma naamini nawe ulisoma hapo hongera
Hongera sana dada
Hongera Sana mheshimiwa Welwel
Nimependa ukomavu wako🎉🎉🎉🎉
Hongera sana❤❤❤❤❤
Hongera Mh Welwel
Hongera Sana Welwel!
Kwakweli kilawila mungu akubariki
Huu ni ukomavu wa hali ya juu sana, Arusha mnatutia moyo
Lema anakuwa makamu mwenyekiti na lissu anakuwa mwenyekiti kuhusu mbowe anastaafu
Bila shaka uko sahihi kabisa hata mimi naliona hilo @AliciaKyai
😅
Alicia watu wangependa iwe hivyo ili na WA vyama vingine wajue hiki ndio chama Cha kujivunia nacho
Yes@@AllyMandunda-tj9jc
,w@@AllyMandunda-tj9jcmwisho wa chademaa na mwanzo wa vyama vingine😂😂😂
Kilawila team mbowe umeangukia pua 😉
Wanachadema nidhamu yetu zero ccm wanaheshimu sana viongozi wao
Kauli hizi mara nyingi ndio chanzo Cha kutokuelewana
Huo ndio ukomavu. Demokrasia ndani ya chama muhimu
Tunategemea LISSU akishashinda uwenyekiti Taifa,mzee Mbowe aoneshe ukomavu kama Kilawila.
Msabsha Lema haonfoki anaandaliwa nafasi kubwa zaid Natoa siri makamu mwenyekiti. 18:05
Hapa lema anaenda kuchukua form ya makamu mwenyekiti,,, kesho mbowe atatoa tamko kuwa hata gombea🤔🤔🤔
Lema namlilia na namhitaji
Pumbavu sana edward hiki ni chama cha kitaifa broo
Mwenyekiti ukiishi hotuba yako utakuwa kiongozi bora sana hata kwa ngazi nyingine bora sana baadae
Hizo ndo busara kuachia wenzako siyo lazima mtu mmoja
Pamoja makamanda ,naamini wote wanachadema wote niayetu nimoja kuipambania haki yanchi hii nakuwatetea wanyonge wanchi hii
Haya
Unatakiwa kudanya uchaguzi na siyo kulalamika kisa mwenzio kagombea! Gombea na ushinde ndiyo maana ya democrasia.
Najiuliza na Sijui kama hakuna uchafuzi uliyofanyika katika uchaguzi huu!
Wale mashetani wa kijani hawakuingiza mkono wa uharibufu hapo kwenye uchaguzi wa Chadema??!!
KWA SURA ANAONEKANA ANAFAA, SIJUI MOYONI
Chadema mwe makini na Paka mweusi anataka kusambalatisha chama.
Mmhhhh sio fedha chafu zimetumika,
Umekosea kutamka utakabiziwa ofisi kwa amani.kwani kuna vita ndani ya chadema?na kama ipo hukutakiwa kutamka hadharani.chadema kwann tusiwape seminar za kuongea hawa viongozi wetu
Wewe unauwezo wa kuidondosha CCM hiyo CCM ndio imekulea Wewe
MWAMBA huna maneno machafu kama yule mtabiri wa vifo....naajifunze Sasa kuwa cheo ni dhamana
sacos
Chawa wa mbowe, hana maana
Lema vp amestaafu au mi namkubali lema
Yuko Canada
Hakugombea
😅
Nazanii mmeelewa iyo chama ni ya kikabilaa
Lakini kwani hujui kuwa Kanda ya Kaskani yoote ina makabila ya aina hiyo? Yaani uliona wapi Msukuma au Mgogo akawa huko?😂 😂😂😂
Alieshinda mwanzo mlivorudia kashindwa duu
Hiki chama ni kikubwa sanaa
Chadema kuwa makini na mamluki kutoka ccm!
Chadema huwa hawana sare wanajivalia tu ovyo ovyo
Hiyo siyo shule
Naimani lisu katumwa na CCM
Lema kama mwiba kwa ccm kuondoka kwake najua wanafurahia
Nadhani Lema anaenda kuombea umakamu uenyekiti Taifa.
Kwanini unadhani tu?@@JosephChrisant
Sawa kwani kimambo akishinda ni haki ya wachaga tungoje uchahuzi tuone kama mtapata kura za kina molel
Koma wewe ccm siyo adui wako acha kauli za kijinga hizo
Tume huru ya uchaguzi kwanza