Mzozo waendelea kutokota kuhusu hatma ya atakapozikwa kijana wa miaka 12 aliyepigwa risasi na polisi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Mzozo umeendelea kutokota kuhusu hatma ya atakapozikwa kijana wa miaka 12 aliyepigwa risasi wakati wa maandamano eneo la Rongai kaunti ya Kajiado. Utata kati ya baba na mamake mtoto Kennedy Onyango sasa ukisababisha kusitishwa kwa mazishi yake kaunti ya Homa Bay. Licha ya mama kuandaa mazishi ya mwanawe, babake mtoto alielekea mahakamani kutaka apewe idhini ya kumzika kijana wake.

ความคิดเห็น • 25

  • @luqash_luqman9744
    @luqash_luqman9744 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mama anapitia magumu sana 😢😢Mungu amsaidie

  • @madinaibrahim8125
    @madinaibrahim8125 หลายเดือนก่อน +4

    huyu mzee anataka tu pesa

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 หลายเดือนก่อน +3

    Wakati baba mtoto analea mwanawe kwa 10years huyu mwanamke alikuwa wapi

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto will never get peace

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b หลายเดือนก่อน

    Haya yangekuwa mazishi ya kawaida baba hangekuja ,bt ata kama kuna shida ,ni viema mtoto azikwe kwso,hapa ndio unasikia ukiachana na mume na uko na watoto walee mwanzo wafike umri wakujitegemea ndoa haitoroki wala hakuna ndoa nzee utapata tu atakae kufaa

  • @ag-tm7je
    @ag-tm7je หลายเดือนก่อน

    But babake ako na right ya kuzika mtoto coz huyo mama aliwacha mtoto kwa babake since 2015 akamchukua 2022 amekuwa akimlea all those years na pia hao dada zake huyo kijana Bado wako kwa baba yao mbona akamzike kwingine

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 หลายเดือนก่อน +1

    kwani mtoto ana baba wangapi ,,,,huwa namuona baba mwengine akifanya interview???

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 หลายเดือนก่อน +4

    Baba anafaa kuzika mtoto huyu mwanamke aache ujinga

    • @ThankGod2024
      @ThankGod2024 หลายเดือนก่อน

      😮poor child !!

    • @emilysawayi5787
      @emilysawayi5787 หลายเดือนก่อน +1

      Understand her mtoto ni wake

  • @jacklineadhiamboowino964
    @jacklineadhiamboowino964 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani huyo baba alikua wapi

  • @scienceguy5259
    @scienceguy5259 หลายเดือนก่อน +1

    I come from rusinga

  • @zeynabtwaha4260
    @zeynabtwaha4260 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanadamu akiwa hai hakuna mtu anahaja naye lakini akisha kuwa marehemu anakuwa mtamu what if uyo mtoto angekuwa anauguza majeraha huyo babake hangeshughulika

  • @josphineorawo4851
    @josphineorawo4851 หลายเดือนก่อน +2

    sperm donor amejitokezea juu ya pesa

    • @fatimaabdulla6967
      @fatimaabdulla6967 หลายเดือนก่อน

      Understand the situation please this father has been raising his own kids the boy plus the girls only that the boy went for a visit to his mom and never came back only a year ago now

  • @AnkoLolo-mv5bk
    @AnkoLolo-mv5bk หลายเดือนก่อน +2

    Niliskia watu wakisema Ni ruto amechukua mtoto mbona Tena imegeuka Kuna kesi ya wanaume wake huyu mama wakenya mko na ujinga sana

  • @Mboki2
    @Mboki2 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto angejua hangeua huyu aki
    Hata pa kuzikwa n shida man

    • @carenchepkurui126
      @carenchepkurui126 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe unaongea ujinga, qwani n ruto ameuwa.. nonsense

    • @mainakihurusia6380
      @mainakihurusia6380 หลายเดือนก่อน +1

      alichukua bunduki akauwa au c utuambie vizuri eyewitness

    • @carenchepkurui126
      @carenchepkurui126 หลายเดือนก่อน

      @@mainakihurusia6380 watu wengine cjui wanakaa aje

    • @Mboki2
      @Mboki2 หลายเดือนก่อน +2

      Chep na Maina commenting! Haha hata siwezi soma juu hawanaga cha kusema 😂😂😂😂empty debes

    • @mainakihurusia6380
      @mainakihurusia6380 หลายเดือนก่อน +1

      @@Mboki2 hii ni siasa too inatumika kuaribu nnchi yetu ...tutabaki kua Ka southern Sudan ikiiendelea hivi ...there are some want to withdraw government...why they spot parliament building and fire 🔥