Familia ya mwanafunzi aliyepigwa risasi na askari yalalamikia mtoto kutelekezwa.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2016
  • Familia ya mwanafunzi iliyepigwa risasi na askari wa jeshi la polisi, wamelalamikia jeshi hilo kwa kutelekeza mgonjwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili bila kushiri katika matibabu ya mwanafunzi huyo ambaye mpaka sasabado hajaondolewa risasi katika sehemu ya mwili wake.

ความคิดเห็น • 136

  • @mwajabusaidi5695
    @mwajabusaidi5695 6 ปีที่แล้ว +3

    Wao mbona hawasamehe makosa ya watu kwa sababu wengine ni bahati mbaya wanafanya Mara moja tuu na ndio bahati mbaya

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 ปีที่แล้ว +5

    Kwa nini watumie silaha za Moto? Viongozi wa serikali, mkuu wa polisi wote hamna la maana mnalosema. Bahati mbaya angekuwa mwanao.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว

    Shakil pole sana, Allah akupe uzima, uzima usokua na madhara kwa baadae, Amiin.

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba angu Alla atakuponesha

  • @silasteven6632
    @silasteven6632 6 ปีที่แล้ว +3

    Kila siku bahat mbaya

  • @arturmgatha7858
    @arturmgatha7858 6 ปีที่แล้ว

    Sam unajitahidi kutuabarisha, Mungu aibariki kazi yk

  • @shadiajumaa182
    @shadiajumaa182 6 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu Tanzania ishakwisha aman hakuna

  • @jastindimoso6975
    @jastindimoso6975 7 ปีที่แล้ว +2

    kamanda sirro anajitahidi kupindisha ukweli mpaka anajigonga gonga oooh tumekwenda kumuona yule askari ahahahaha we upige risasi chini iende mbele wapi wapi akiri kampiga risasi na sio kusema kapiga chini

  • @aminamuhamad897
    @aminamuhamad897 6 ปีที่แล้ว +2

    mbona watumia risasi kama hamujui maana ya kutumia tumieni matiagas kutawanya watu sio risasi kuuwa wasio kuwa na hatia

  • @fatmarashidi8353
    @fatmarashidi8353 6 ปีที่แล้ว

    Mnakela kilakit bahati mbaya tu pole mtot mungu atakusaidia utapon

  • @brayannmadebe1117
    @brayannmadebe1117 6 ปีที่แล้ว

    Bahat mbaya mpaka lin!!😂😂😂😂😂😂😂

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 หลายเดือนก่อน

    Uyoooo NI MTOTO SIO KIJANA. Police muwe na ROHO YA UTU. M NYIE MI PESA MBELE TUUU

  • @chriss7506
    @chriss7506 6 ปีที่แล้ว +2

    Polesana mungu yuponawe

  • @hocymbesere9459
    @hocymbesere9459 6 ปีที่แล้ว +4

    ww unaesema bahat mbaya ww nae upo miongoni kla cku bahat mbaya nyooo fyuuu mnakeraaa had nataman mfe na raisi wenu ata silii wala sihuzunikii ngooo

  • @sabrinaayoub7032
    @sabrinaayoub7032 6 ปีที่แล้ว +6

    Dah kila siku bahati mbaya tu

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 7 ปีที่แล้ว +4

    inslh Allh atakuaf biidhnllh

  • @nikiflavour613
    @nikiflavour613 6 ปีที่แล้ว +2

    iyo ni dam ya bina damu si yambuzi mungu ata lipa najua aliye pigwa risasi ni mtoto wa mlala howi wenye matumbo ya uzazi ni kina mama Leo askari wana jifunzia shabaha kwa wanyonge? hakika auwae kwa upanga ata laaniwa nakufa kwa upanga pia R I P ndugu ye2 kumbe ulikua kwenye nchi yenye vita ukujua na ume waachia majozi wa zazi.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana, mmmh! Inasikitisha sana

  • @aishamalima9413
    @aishamalima9413 6 ปีที่แล้ว

    The streets of Dar es salaam are no longer safe for us nor our children. Unfair situation. Police need to take responsibility. Apelekwe Kenya. Watanzania tumchangie jamani. Inaumaaa

  • @keshenmwalo2713
    @keshenmwalo2713 6 ปีที่แล้ว

    kamanda kua serious namatamxhi yako watu wanamachungu yao bhana wewe unasema bahat mbaya daaah!! kuen care na maisha ya watu jaman.

  • @jumafaki2820
    @jumafaki2820 7 ปีที่แล้ว +3

    poleni sana mungu ataleta nafuu

  • @golethkaguo4183
    @golethkaguo4183 6 ปีที่แล้ว +1

    Naona kama Dunia nzima haioni Tanzania inakuwa uwanja wa Vita amani imepotea

  • @shafiidumba5513
    @shafiidumba5513 6 ปีที่แล้ว

    Aysee kumbe kwenye sheria kuna bahati mbaya sjui mm nikifanya kosa nikamwambia IGP bahati mbaya atanielewa Dah

  • @user-gi1ez6fc1y
    @user-gi1ez6fc1y 6 ปีที่แล้ว +6

    Duh hadi naogopa kurudi Tanzania

  • @saidaali9379
    @saidaali9379 6 ปีที่แล้ว

    Hiyo bahati mbaya ingelikuwa raia kafanyahivyo ungeiongelea kama hivyo unavoongea meno wazi bahati mbaya

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 6 ปีที่แล้ว

    Eti ile nyimbo yao inambagaje tena!!!🎶🎶🎵🎧,JESHI LEEETU LA POLICE NI CHOMBO CHA WANANCHIIIIII,,🎶🎵........
    USALAMA WA RAIAAA NDIO KAZI YA JESHI LETUUU!!!!!!🎶📻📻📻🎼🎼. ( nauliza sasa imekuwaje????) Wananchi ndio mnawaua inzi!!!!!!!!

  • @barick
    @barick 6 ปีที่แล้ว +2

    sam mahela ni shetani unajifanya una uchungu wakati wewe umesapoti sana hii serikali ya wauwaji

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 ปีที่แล้ว

    Tanzania si sehemu salama, tufwaaaa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 ปีที่แล้ว

    Tz imebaki jina tu mungu atusaidie

  • @mariamsekalutu8385
    @mariamsekalutu8385 6 ปีที่แล้ว

    embu ona kinachoendelea kweli jamani mda umefika haya mambo mnayotufanyia yanamwisho

  • @gastobruno8779
    @gastobruno8779 6 ปีที่แล้ว +3

    Tumewachoka na bahati mbaya zenu mapolice. Sasa imekua gunzo kabisa I hate all police because there doing shit in this peaceful and lovely country. R I P

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว +3

    kila siku bahati mbaya tu

  • @kfastak
    @kfastak 7 ปีที่แล้ว +2

    nchi inatisha sana Sasa hiv

  • @queenandrea5648
    @queenandrea5648 6 ปีที่แล้ว

    tumechoka na bahati mbaya zenu silo una nin wew😢

  • @ZawadiZawadi-if2sv
    @ZawadiZawadi-if2sv 6 ปีที่แล้ว

    😡 jamani. kila. siku. habali. mbaya. tu. mtatufanya. tusiludi. tazania😢😢😢

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 6 ปีที่แล้ว

    Jee ingekua raia wanapigana askari akaenda kuamua tu lakini ngumi ikamkosa raia anaepigana ikampata askari pangekua pema? Sembuse risasi. Kwenu ni bahati mbaya kwa raia ni makosa makubwa. Imehusu nini kupiga risasi chini mmeona wapi upumbavu huo. Wauaji wakubwa killers. Mungu ajaalie atokee mwanamme siku moja akufyatueni na nyinyi kisawasawa ili iwe bahati mbaya. Tumechoka

  • @shamilamanyalika248
    @shamilamanyalika248 6 ปีที่แล้ว

    mungu anayaona

  • @onesmoleonald1430
    @onesmoleonald1430 6 ปีที่แล้ว

    Dr.sijamuelewa hata kidogo! !!
    polisi nao bahati mbaya kwao kwa mwananchi huwa sio bahati mbAya isipokuwa sheria huchukua nafasi yako kwanini mambo haya yanatokea!!??

  • @naominyende2141
    @naominyende2141 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu, sirro siyo binadamu ni mnyama tyuuuuu@

    • @shaibungoda9647
      @shaibungoda9647 6 ปีที่แล้ว

      nikweli kabisa kazi kutetea ujingatu

  • @jamilahassan288
    @jamilahassan288 6 ปีที่แล้ว

    Tanzania's mbona munakuwa wanyama

  • @clementdiyay5789
    @clementdiyay5789 6 ปีที่แล้ว

    Mambo kama haya ni aibu kwa nchi yetu

  • @queenandrea5648
    @queenandrea5648 6 ปีที่แล้ว

    daaaa jaman imekuwa kelo sasa

  • @tausimwambujule1642
    @tausimwambujule1642 6 ปีที่แล้ว

    Hii ni aibu sana, police wetu wanatufanyia haya kwel? Sasa tukimbilie WAP?

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 6 ปีที่แล้ว

    Bahati mbaya!!!!! Duuu haya mwayego

  • @daviesibrahim9587
    @daviesibrahim9587 6 ปีที่แล้ว

    Tulikuwa na wasiojulikana Leo bahati mbaya

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 6 ปีที่แล้ว

    huyo kijanya alikua chini au? waache kutetea ujinga bwana, wakibali maakosa na jamaa awajibishwe

  • @emmanuelmasuke5803
    @emmanuelmasuke5803 6 ปีที่แล้ว

    polen

  • @aminahamisi66
    @aminahamisi66 6 ปีที่แล้ว

    hivi siro huoni aibu, kila ck inasema ni bahati mbaya

  • @leticiachunga9118
    @leticiachunga9118 6 ปีที่แล้ว

    Polece acheni uongooooooo,mmezoea sana,kumbukeni mnafamilia zenu.laana hiyo itakuja kuwatafuna nyie kwa nyie

  • @gracejohn4925
    @gracejohn4925 6 ปีที่แล้ว

    Muwe mnajiuwa wenyewe nyinyi mnatuumiza sana sisi wananchi. Lol

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +1

    hakutegemea duuh.

  • @benjatweve863
    @benjatweve863 6 ปีที่แล้ว

    walidhamiria kuua hao yaan tunako elekea kubaya

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi VIONGOZIIII WETU MBONA WANA LOHOOOO MBAYAAA SANA. MTOTO ATAKUFA KIHIVYOOOO KWERI VIONGOZIIII MNAFANYA NINIII???

  • @mariapaulo1713
    @mariapaulo1713 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani pole sana.

  • @daviesibrahim9587
    @daviesibrahim9587 6 ปีที่แล้ว

    Ni bahati mbaya hiyo risasi ilikuwa inamuhusu nani watueleze tujue ni bahati mbaya

  • @leticiachunga9118
    @leticiachunga9118 6 ปีที่แล้ว

    Mungu walaaani police woote

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 6 ปีที่แล้ว

    Polisi wetu mmerogwa na nani? Mbona mnalihaibisha Taifa? Lakini pia mnauaibisha utawala wa Mh. RAIS WETU AMBAYE NI KIMBILIO LA WANYONGE. Kwa hiyo polisi sasa wanatumia silaha kujilinda na kupambana na raia? Wonderful

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 6 ปีที่แล้ว

    Kumbe na nyie mnaijua bahati mbaya ,mbona ikitoe kwetu mnaikataa bahati mbaya

  • @alfredmmbaga9336
    @alfredmmbaga9336 6 ปีที่แล้ว

    Acha kusema UONGO mheshimiwa....!!RISASI YA KUADHARISHA HUWA INAPIGWA JUU...!!
    HII KUJUA SIO MPAKA UWE ASKARI..

  • @merryn4891
    @merryn4891 6 ปีที่แล้ว

    so kweli mbal

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 6 ปีที่แล้ว

    Siku si za mbali niliona video MH.makonda akitamka kuzuia zoezi hili la kutumia nguvu,sasa mbona polisi mumepitiliza,si itafikia mahala mutatumia vifaru kifukuza wa dala dala.

  • @khalfanmkumba5009
    @khalfanmkumba5009 6 ปีที่แล้ว +1

    tanzania ishakua alshabab inatuogopesha dah+974

  • @hopehope5830
    @hopehope5830 6 ปีที่แล้ว

    Eti Tanzania nchi ya amani!??????? Kwanzaa nn polisi mtumie Vyombo vya moto??? Mnauwa sasa mnaumiza watu jamaniiii!!

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 6 ปีที่แล้ว

    ITV BADO MNAMTAFUTA WAZIRI?

  • @emmanuelshayo9623
    @emmanuelshayo9623 6 ปีที่แล้ว

    Mfumo huu wa nguvu ya police unatishia amani kila mahali tanzania. Nguvu ya nini ngoja nanyi mpate madhara ndipo mtakapojua amani haichezewi. Wananchi wanawaangalieni tu

  • @rehemandemo3784
    @rehemandemo3784 6 ปีที่แล้ว

    jomon uwiiii😢😢😢

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 6 ปีที่แล้ว

    Bora hapo wanakubali wamepiga wao risasi Lakini kwa tukio la kinondoni mpaka kupelekea akwilini kupoteza maisha kwa kupigwa risasi polisi wanasema sio wao wanafanya uchunguzi siyo siri I hate police wa kitanzania wote

  • @fadhiligwazibaka5587
    @fadhiligwazibaka5587 6 ปีที่แล้ว

    Hamna jipya

  • @dullaommy2991
    @dullaommy2991 6 ปีที่แล้ว

    watu wengine hawana akili eti bahati mbaya je angekufa

  • @mercymasaki686
    @mercymasaki686 6 ปีที่แล้ว

    ccm sku zote hawafanyag makusud ila makamanda sasa mh

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 7 ปีที่แล้ว +3

    bahati mbaya wakati keshaumia huyo

    • @user-wc9zg6hk5s
      @user-wc9zg6hk5s 7 ปีที่แล้ว

      wamechsha sana ndoo Maana kumbe

    • @leticiachunga9118
      @leticiachunga9118 6 ปีที่แล้ว

      Estamele Jomah bahati mbaya kumpiga huyo mtoto,je ingefika mlengwa ingekuwa ni sahihi kuuwa au kujeruhi?

  • @khairagimbu7001
    @khairagimbu7001 7 ปีที่แล้ว +2

    Safalii 2tapiga kelele wakati wakampeni muliona jasho

    • @user-wc9zg6hk5s
      @user-wc9zg6hk5s 7 ปีที่แล้ว

      haaaa mnafanya makosa makubwa jiangalieni na hio Kazi yenu

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 6 ปีที่แล้ว

    Bashite alisema atadili na wote wanao wanyanyasa bodaboda kwenye mkoa WAKE.HAKUNA CHA BAHATI MBAYA.MUMLIPE.

  • @kautharsaid5241
    @kautharsaid5241 6 ปีที่แล้ว

    Kesho akhera kuna mengi

  • @elizabethmwakalinga3287
    @elizabethmwakalinga3287 6 ปีที่แล้ว

    Hii ni ya zamani

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 ปีที่แล้ว

    We Siro muhuni jiuzulu

  • @saifalbarwani4993
    @saifalbarwani4993 6 ปีที่แล้ว

    kwanini mtumie lisasi za moto

  • @joshuabryson8044
    @joshuabryson8044 6 ปีที่แล้ว

    DAAH! ETI BAHATI MBAYA MMMH!

  • @zenasalumu2560
    @zenasalumu2560 7 ปีที่แล้ว +2

    wanafanya kusudi

  • @imanisongoro4691
    @imanisongoro4691 6 ปีที่แล้ว

    Policce acheni siasa nyiembona amnahuruma nawatoto wawenzenu,pelekeni elabasi

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 ปีที่แล้ว

    What is laki moja nosense

  • @andysolver6973
    @andysolver6973 6 ปีที่แล้ว

    dah bunduki sio za majaribio jamani.

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 6 ปีที่แล้ว

    Ni kwa Tanzania tu kusikia izi shits.

  • @khalidmhina67
    @khalidmhina67 26 วันที่ผ่านมา

    Toka lini Tanzania boda boda wakawavamia Askari?mnataka kuwaaminisha Raiya akiona sitofaham kutaka kujua kulikoni Ni kuwapiga risasi? Je mmeshawapiga risasi nanyie mkiwa barabarani mpigwe?

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 ปีที่แล้ว

    Police wa Tanzania ni wakatili sana sijui kwenye mafunzo ya police Tanzania wanafundishwa kuwa raiya ni wanyama au?yaani wanawachukulia wanachi kama vitu sio kama binadam jamani tunaomba police wajifunze pia Binadama anahitaji kuheshimiwa kwa sababu anahaki ya kuishi na kujielexa wasimchukulie MTU kwa jasba.hiyo sio ustarabu hata kidogo tutunze haki za watu na kulinda uhai wao sio kuwanyanyaza nyie police hamkusomea kunyanyasa watu,mlisomea kulinda jamii.

  • @isaackibbs5981
    @isaackibbs5981 7 ปีที่แล้ว +2

    Bahati mbaya? Pumbavu huyo police akampige mamake then aseme ni bahati mbaya ! Thus is plain stupidity! Hata huyo sirro nae just talking nonsense!!!!

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +1

    bahati mbaya lol .pole kijana mshukuru mungu kwa uzima

  • @yohanakishosha6542
    @yohanakishosha6542 6 ปีที่แล้ว

    Kama majibu ndio hayo ya dokita Ebu ndio ccm walitaka lisu atibiwe hapa nchini mbona angekufa

  • @johnmartinez6047
    @johnmartinez6047 6 ปีที่แล้ว

    Uyo mwarabu UA tu

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 ปีที่แล้ว

    duuuu

  • @shaibungoda9647
    @shaibungoda9647 6 ปีที่แล้ว

    hao maaskari wako warud kwenye mafunzo kiufupi

  • @victorrutta3825
    @victorrutta3825 6 ปีที่แล้ว

    mnatangaza amani uku mmeshika mapanga

  • @kfastak
    @kfastak 6 ปีที่แล้ว

    Mwigulu wewe ni tatizo

  • @tatimafahad9376
    @tatimafahad9376 6 ปีที่แล้ว

    Sirro acha hizo kila siku bahati mbaya ni ushenzi tu huo

  • @zariathkasaju858
    @zariathkasaju858 6 ปีที่แล้ว

    mwambao

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 ปีที่แล้ว

    Wapumbavu wakubwa bahati mbaya gani

  • @fikirinimwaluko8728
    @fikirinimwaluko8728 6 ปีที่แล้ว

    nyie mmezowea nani atawakamateni ! wakati Nchi hii no yenu

  • @ayshajumaa463
    @ayshajumaa463 7 ปีที่แล้ว

    muhudumieni sasa siyo bahat mbaya tupu

  • @speciozakisukulu497
    @speciozakisukulu497 6 ปีที่แล้ว

    Duniania haina usawa

  • @jasmenejuma6025
    @jasmenejuma6025 6 ปีที่แล้ว

    Asikali wasege tuu